Sijutii kuwa mkatoliki daima maishani mwangu, ni Raha sana kuwaona watoto wakikristo wakifanya kazi nzuri...mbarikiwe sana na Mungu awatunze kulitangaza jina lake daima! Proudlly catholic!
Wakatoliki wote mnahitaji huruma ya MUNGU kwa siku hizi za mwisho, katoliki umebeba ushetani mkubwa mpaka, mwl ISAAC JAVAN HUKO HUMU MTEMBELENI ATAWAPA SIRI ILIYOKUWA HUKO
Toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndipo utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako , na ajizaniae amesimama kumbe ameanguka,wewe unasema wakatoliki wamebeba ushetani unamaanisha nini?! Lakini wapo wanaosema wameokoka ila matendo yao ni hatari sana. Unajua sisi tuliyookoka tunapenda sana kujihesabia haki.,kwa kusema bwana Yesu asifiwe eti ndio tuna haki kuliko wengine,chunguza kwanza nafsi yako, ndipo umgeukie mwingine.
@@panadomadola3064 namaanisha mnachokiabudu sicho masanamu yamejaa mnajua nyuma ya sanamu zimebeba roho gani ikiwa tu Biblia imetaamka wazi usichoongee chochote kilichokuwa mbinguni na dunian, je catholic haikiuki andiko la Biblia kijichongea sanamu, nakuomba wafu wawaombe kwa YESU, BIBLIA iko wazi wafu hawana kumbukumbu lolote kuhusu maisha ya Dunian, papa anaongoza mbariki ndoa za jinsia moja je hamkumbuki sodoma na Gomorrah, je hamjui mtu huyu ni mpiga kirsto, papa anasema unaweza kwenda mbinguni kwa njia yako mwenyewe, je hapingani na Biblia? YESU alitaamka kwamba mtu haji kwa baba yangu bila kupitia kwangu,
🎉🎉❤❤❤❤❤❤mungu awabariki😅😊❤🎉
Watoto hongera sana kwa kazi nzuri. Proud to be catholic ❤❤
Hakika tuna jeshi la Kristu Mungu awaimarishie imani yenu
Hongereni sana watoto wetu,Ishikeni imani yenu
Ahsanten🎉❤mzidi kukua katika kristo,Mungu awabariki 💖
Hongerin San watoto Kwa ujumbe mzuri mungu awajalie afya njema
Hongereni sana watoto wazur Mungu aendelee kuwapigania katika utume wenu
Ongera Sana Fr Philibert paroko PAROKIA ya kijwire baba Mlezi wa watoto mungu akupe baraka na moyo wa kuwalea watoto vyema hakika ni kazi nzuri sana
Hongeren sana watoto mungu azidi kukuinua katika utume❤❤❤❤❤
Mungu,atukuzwe mwanadami atakatifuzwe
Mungu awabariki sana mkue katika imani thabiti ❤🎉
Sichoki kuwatazama kila mara...Mungu azidi kuwabariki watoto wazuri. Hongereni sana
Ni kweli MUNGU,akubariki
Heko watoto nice voice
Mmetisha ongereni
Mbarikiwe
Mungu awabariki sana,mkuwe na imani kuu❤❤❤❤ ya kumpenda Mungu daima
Hongera sana,
Big up kipapa hakuna kurudi nyuma, Mbarikiwe sana Kwa kazi nzuri❤🎉🎉🎉❤🎉🎉🎉❤🎉
Proud catholic
Jaman nyie mtoto ni malezi ,,hongeren sana walez wa watoto
Wimbo mzuri sana
Mungu awabariki sana na mkue hivyohivyo kwa kumsifu Mungu
Watoto wanainjilisha na wanatia moyo. Mungu azidi kuwaita wengi kujiunga kipapa. Safi saaaaaana❤
Najivunia ukatholiki wangu
Waoooh wachawee Wana wa bukoba hongereni wazazi walei kwa ujumla kwakweli malezi ya watoto ni mazuri
Sijutii kuwa mkatoliki daima maishani mwangu, ni Raha sana kuwaona watoto wakikristo wakifanya kazi nzuri...mbarikiwe sana na Mungu awatunze kulitangaza jina lake daima! Proudlly catholic!
Tiffadangote Mungu akubariki
Mungu no mwema
Katoriki ulikuwa mzuri lakini watu wameingizwa kwenye ushetani, huku papa akiwa ndio kiongozi wa ushetani
@@angelitapaulo nonsense
KANISA KATOLIKI ni imara
❤Haleluyaaaaa, Mwenyezi Mungu awabariki.
Mungu awabariki
Mungu awabaliki watoto wa nyumban 4:40
Mungu awabariki watoto wazuri
Askofu jovitus alikuwa mkurugenzi wa shirika la kipapa.
Amefanya kazi kubwa .kote nchini tunawaona watoto hawa.
Mungu akubariki sana
Waoo, ongereni sana
Hongereni sana watoto mmeinjilisha
This is awesome
Hongeren,watoto,wa,kipapa
Proud to be Catholic
Hongereni sana wanangu mungu azidi kuwajazia imani yakiloho
Waaoooh 👋👋👋😳😳🥱😀😀 mmetisha sana hakika.
Safi sana utume mwema watoto
Amina
Mungu awazidishie nguvu 1:24 1:26
Mungu akawabariki muwe watetezi wa Imani ya katoriki
#SUBSCRIBE LIKE COMMENT SHARE #
Ongera sana
Nguvu ya Hekima itokayo kwa Muumba 🙏🙏
Vizuri wadogo zangu😅
Mbarikiwe sana
Mungu ni mwema.
ASANTE mno
Saf sana wadogozangu mmeidhinisha
Jamani nimewapenda San mmenikumbush enz zangu
❤❤❤❤
Wakatoliki wote mnahitaji huruma ya MUNGU kwa siku hizi za mwisho, katoliki umebeba ushetani mkubwa mpaka, mwl ISAAC JAVAN HUKO HUMU MTEMBELENI ATAWAPA SIRI ILIYOKUWA HUKO
Toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndipo utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako , na ajizaniae amesimama kumbe ameanguka,wewe unasema wakatoliki wamebeba ushetani unamaanisha nini?! Lakini wapo wanaosema wameokoka ila matendo yao ni hatari sana. Unajua sisi tuliyookoka tunapenda sana kujihesabia haki.,kwa kusema bwana Yesu asifiwe eti ndio tuna haki kuliko wengine,chunguza kwanza nafsi yako, ndipo umgeukie mwingine.
Ubarikiwe sana maana watu wanajipamdisha kabla ya kupandishwa@@panadomadola3064
Who is Isaac Javan, I want to see him
@@severinsella4065 TH-cam Mwl ISAAC JAVAN