🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • 🔴#Live: MUME wa DIVA (ABDULRAZACK) Afunguka A-Z KUVUNJIKA kwa NDOA YAO, DIVA kunywa SUMU | MAPITO
    KATIKA kipindi cha 'MAPITO' leo Julai 06, tumepiga stori na mtaalam wa masuala ya mahusiano, Sheikh Abdulrazack, ambaye pia ni mume wa mtangazaji Diva the Bawse....
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 329

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  2 ปีที่แล้ว +2

    SUBSCRIBE NOW UWE WA KWANZA KUONA:👉🏾 bit.ly/3MraYdQ

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 2 ปีที่แล้ว

      Naipenda sana global na milardayo TV za uhakika bsun wanaongea uongo mwingi sanaaaa

    • @yusraabdallah4288
      @yusraabdallah4288 2 ปีที่แล้ว

      Wigi ni dhambi amebadilisha maumbile aliyo umbwa kwenye dini yetu ya kiislaam

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 2 ปีที่แล้ว

      @@margarethpolepole7438 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @idaaman7489
    @idaaman7489 2 ปีที่แล้ว +11

    ana confidence in beyond. honestly siku yke ipo ya kuunbuka

  • @unknownafrica5568
    @unknownafrica5568 2 ปีที่แล้ว +2

    Duh muogope mmungu ww kama pesa mbona ww ujitibie kwanza uwe na pesa .dawa kama ugojwa sawa ila. Sijui utajiri au mtu kuolewa ni uongo hiyo anajua Allah

  • @noraazan9124
    @noraazan9124 2 ปีที่แล้ว +2

    Ukimsikiliza huyu kaka vizuri utagundua ni muongo sana

  • @alwiyad1977
    @alwiyad1977 2 ปีที่แล้ว +9

    Misri hakuna hadharal maut, ni mji uko yemen na wa Yemen wanajua duuu jamaa muon go but diva attracted her style kicha Kama yeye

  • @halimakindamba4883
    @halimakindamba4883 2 ปีที่แล้ว +8

    mmmmh Huyuuu Hata Hajuiiii WHAT IS LOVE KHAAAA😢😢😢😢😢

  • @zainabusabas7421
    @zainabusabas7421 2 ปีที่แล้ว +2

    Mganga msanii kwa ushekhegani kutwa kuloga wanawake ulale nao mfyuu na wanawake wengi tunaingia mkenge kwakupenda walamba lips

  • @maryamalhajri5886
    @maryamalhajri5886 2 ปีที่แล้ว +2

    Misri ni Egypt n.a. hathar mout ipo ndani ya yemen

  • @eyabdimaha3698
    @eyabdimaha3698 2 ปีที่แล้ว +12

    Kwa sifa za diva hio mimba angekua nayo kweli nahisi angepima mkojo live akatuonesha results anyway zaidi nyinyi ndio mnajua na Mungu Namalizia kumpa pole kama kweli

    • @berthamahangila4462
      @berthamahangila4462 2 ปีที่แล้ว +1

      Hakuna cha mimba hapo ni drama tu

    • @ummySheikh72
      @ummySheikh72 2 ปีที่แล้ว +1

      Hakuwa na mimba mipango yao tu ya kutaka kupiga pesa mjini

  • @zainabufeka87
    @zainabufeka87 2 ปีที่แล้ว +8

    Huyu shekhe ubwa ubwa tuu anataka utamu kwanza niaibu mwanaume waivi eti sheikh tumuogope allah

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 2 ปีที่แล้ว +23

    Huyo ni Doctor Wazimu ukimuangalia hali yake anatakiwa akajitibu kwanza halafu ndio ajiite Doctor wa mapenzi kuna wanawake wa napenda kutumia moyo pekeyake bila kutumia akili Misiri shele gani Misiri kubwa watazania mnapenda kufeki ampendae mke wake haondoki hata kama inauma inauma kwako wewe na yule alieubeba ujauzito huo ni uongo

    • @boubabizo246
      @boubabizo246 2 ปีที่แล้ว

      Wewe akikufuata lazma uwende box. Aca uwoongo. Simnapenda wanaume wakulamba lips.

  • @celline3148
    @celline3148 2 ปีที่แล้ว

    Mungu wa mbinguni akusaidie Diva ulipoangukia Mungu akupe macho ya Roho kilio kilichoko mbele yako ni kikubwa sana mdogo wangu Mungu Mwema akusaidie.

    • @gracekadzo1767
      @gracekadzo1767 2 ปีที่แล้ว +1

      Kwa kweli amsaidie

    • @celline3148
      @celline3148 2 ปีที่แล้ว

      Yaani tena haraka kabla siku za maombolezo hazijamfikia

    • @davidvictoriousdv
      @davidvictoriousdv ปีที่แล้ว

      Yamemkuta sasa, maombolezo.

  • @ahyatibenn5719
    @ahyatibenn5719 2 ปีที่แล้ว +7

    mnafiki mkubwa, anasahau anavyowanyanyasa wanawake kwa kutumia dawa kisha anawalala..

  • @ambrosiamlinga8402
    @ambrosiamlinga8402 2 ปีที่แล้ว +6

    Vyombo husika vichunguze na kumchukulia hatua huyu abdul, inaoneka anatumia uganga wake wa kienyeji kama sehemu ya kuwapata wanawake wenye matatizo/emotional na kuwalaghai kisha anawatumia kingono. Hili ni swala ni very serious.

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 2 ปีที่แล้ว

      Litapeli hili

    • @kiehbhzh7044
      @kiehbhzh7044 2 ปีที่แล้ว

      Abdulazaki anasauti ya kuchombeza akaerewa na wadada lkn anaonekana ni mtu mapenzi sn anapenda sex na anaonekana ni muongo mnoo kuwadanganya wadada🤞

  • @Jassmin-media-official
    @Jassmin-media-official 2 ปีที่แล้ว +11

    Huongo mtupu unaachaje mwanamke Hospital 🏥 eti ukutaka kusikia wee kijana achana nahizo

  • @queentanitah1346
    @queentanitah1346 2 ปีที่แล้ว +8

    Hadhramaut haiko Misry muongo wewe. Hadhramaut iko east-central Yemen, on the Gulf of Aden. Waongopee hao waliokuwa hawakusoma na hawajui.

    • @MissHaffy.
      @MissHaffy. 2 ปีที่แล้ว +1

      ndo namshangaa huyu sheikh hajui wayemen tupo anatutajia kwetu Hadharam anasema n misri

    • @neemayatosha1618
      @neemayatosha1618 2 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣🤣 kwahiyo inamaana hiyo psychology hajasoma. Yaani nisome Mzumbe Morogoro alafu niseme iko Mwanza.

    • @sumeyaahmed4187
      @sumeyaahmed4187 8 หลายเดือนก่อน

      @@MissHaffy. والله نحنا اليمن هههههههههههههه كذاب هذا الشيخ

  • @bakariomari8758
    @bakariomari8758 2 ปีที่แล้ว +17

    Huyu kaka nimuongo na hajui lolote kuhusu uislamu na amuogope mungu. Kwanza uislam ni haramu kuvaa wigi. Alafu hadharamut haipo misri. Huyu ni conman wawazi

    • @raghad.2801
      @raghad.2801 2 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa tapeli shek gani

    • @maalimabdhuli6213
      @maalimabdhuli6213 ปีที่แล้ว

      Kabisa muongo sana, huo mji uko Yemen na yeye anasema uko Misri.

    • @fatmaabdul2712
      @fatmaabdul2712 ปีที่แล้ว +1

      Huyu ni taperi kabisa mshezi kabisa

  • @rahmarajab3688
    @rahmarajab3688 2 ปีที่แล้ว +1

    Eti "MIMI NI SHEIKH,
    Wajua maana ya sheikh wewe,,
    Acha Bangi zako weweee!!!

  • @jareengeorge5478
    @jareengeorge5478 2 ปีที่แล้ว +17

    Kwendraaaaaa.ndio unapenda Sana umaaarufu.acha uongooooo.

  • @zuwenaalamin8985
    @zuwenaalamin8985 2 ปีที่แล้ว +12

    Ebu acha upumbavu wewe usijiite shekhe kbs juu ya huo upumbavu wako au hujui maana ya shekhe.huyu jamaa ni Mjanja Mjanja sanaaa kiukweli na ipo siku atapata aibu hatakuja kuamin ktk maisha yake

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 2 ปีที่แล้ว +2

      Tena mchana kiama acha ajimwambafai iko cku yatamtokea puani hata amini muache azidi kpoteza hao wanawake wallah ni mbaya sana kktana sana na mwanaume anaejifanya kama ivi alafu hana imani yakmuogopa mola wake ee ogopeni siku mtakae rejeshwa kwa Allah dunia ni sitarehe ndogo yenye kpmbaza

    • @zuwenaalamin8985
      @zuwenaalamin8985 2 ปีที่แล้ว

      @@hanifa9153 kbs jmn

  • @vickieeddie2230
    @vickieeddie2230 2 ปีที่แล้ว +8

    yaani ukiona mwanaume anaongea ongea hivyo ujue hamna mtu hapo yaani hiyo mdo sign ya kwanza ya kumjua tapeli huyu bro yupo vizuri tu kama binadamu ila mjanja mjanja sana kwenye mapenz hayupo real...

  • @fhyubhhh2881
    @fhyubhhh2881 2 ปีที่แล้ว +6

    TAPELI HILI NUMBER ONE

  • @RajatSharma-uq7pz
    @RajatSharma-uq7pz 2 ปีที่แล้ว +1

    Abdul ww ni shehena sio sheikh, Una halalisha wig

  • @ibrahimfarha3853
    @ibrahimfarha3853 2 ปีที่แล้ว +1

    Wanaume Mungu anawaona

  • @fatmaallyabdul1732
    @fatmaallyabdul1732 2 ปีที่แล้ว

    Unajiita shekhe halafu unasema unasema unasema unawasaidia watu kuroga,waliorogwa.sijui mapenzi Allah atuhurumie

  • @maisarah6819
    @maisarah6819 2 ปีที่แล้ว +4

    Kuusu kajala na harmonize Sheikh nmekuelewa.

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 2 ปีที่แล้ว +2

    khaaaaaa kaka unamahanisha haumutambuwi Diva 😂😂😂😂😂

  • @alsam4881
    @alsam4881 2 ปีที่แล้ว +5

    Huyo jamaa ni mjanja, muongo na ni tapeli mkubwa Shekhe ukoko.

    • @michelinemapendo6652
      @michelinemapendo6652 2 ปีที่แล้ว

      wanaume waki bongo khaaaaaa mimi na Mange kimambe niwazungutuuu 🤣😂😂😂😂😂😂

  • @skeetergodwins2576
    @skeetergodwins2576 2 ปีที่แล้ว +21

    Huyu kijana anaonekana sio mkweli. Uso unasema mengi.

  • @ruckiadady3812
    @ruckiadady3812 2 ปีที่แล้ว

    Dah

  • @chantalharakandi2576
    @chantalharakandi2576 2 ปีที่แล้ว

    Apana kakangu wigi na mtandio tofauti wewe usisemi ivo apo hauko sahihi ni kumuombea pole pole tu Allah amuongoze

  • @لَاإِلٰهَإِلَّااللّٰهُمُحَ-ي2ه

    Unaunjanja sana we mganga kwakujitetea hujambo na kutunga uongoo acha hizo tabia 😂😃😃😃😂😂😂😂😂🤣🤣🤣

  • @dullah__theking9529
    @dullah__theking9529 2 ปีที่แล้ว +5

    Sema huyu mwamba ako na Akili mingi sana🙌

  • @husnamadai7052
    @husnamadai7052 2 ปีที่แล้ว +3

    Mwenyewe hajielewi kwenye mahusiano mbona hukumtengeneza Sabrina awe bora ulimtengeneza kwa manyanyaso

  • @joleenmasha
    @joleenmasha 2 ปีที่แล้ว +9

    Eti ku sacrifice mwili wake kwa kuwa fame? Watu hufanya hivyo, huyo jamaa ni mjanja sana

  • @happymrema6728
    @happymrema6728 2 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 2 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa amekili “ hawezi kuishi maneno yake 100%”

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 2 ปีที่แล้ว +6

    Hyu kaka mjanja sana akili nyingi umshindi kuongea yupo na confident safi sana kichwani yupo vizuri kwakweli😂😂😂 yote wanayomshutumu binadamu wote wanafanya au wanaume wote wanafanya binadamu atujatimia ,. Mjanja sana bid up mwandishi pia umehoji kirafiki

  • @zoozzoz9879
    @zoozzoz9879 2 ปีที่แล้ว +1

    Mmmmh...Tapeli wetu

  • @aminahassan3588
    @aminahassan3588 2 ปีที่แล้ว +2

    Hadhramaut iko yemen shehe

  • @fatmarashid3137
    @fatmarashid3137 2 ปีที่แล้ว +1

    Uwii sheikh abdulazak mbona hapo umetukoroga?

  • @serahrobath7685
    @serahrobath7685 2 ปีที่แล้ว +1

    Umeongea vizuri

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 2 ปีที่แล้ว +1

    Mm nafanya hospital mahusiano yangu mengi nayapata hospital ivyo ni kawaida

  • @janethomary2005
    @janethomary2005 2 ปีที่แล้ว +2

    Kwakua wew Huna Acha watu wawe namaisha yao bwana

  • @yousramutwale2463
    @yousramutwale2463 2 ปีที่แล้ว +2

    Kuusu umarufu apana sabab nilimjuwa uyu Abdul razak Toka zamani sio kwasababu ya diva

  • @Jassmin-media-official
    @Jassmin-media-official 2 ปีที่แล้ว +3

    Matapeli wamekutana eti bank zinadawaiwa maneno gani hayo

  • @sidrasidra8616
    @sidrasidra8616 2 ปีที่แล้ว +1

    Hilo jina la sheikh tafadhali mslimuite mwiteni jina lake

    • @ashahassan1877
      @ashahassan1877 ปีที่แล้ว +1

      Nikweli huyu nibaba nikaka mnajipatia madhambi bure alafu mtakuja juta

  • @ambokileasheengai1140
    @ambokileasheengai1140 2 ปีที่แล้ว

    HUWEZI KUMTENGENEZA MTU ,,,KWANZA MNAINGIA KWENYE MAHUSIANO KWA HOBBY NA DESTIRI ZA MAISHA ZIENDANE KIDOGO,,OTHERWISE KAMA WAZAZI WAKE WALISHINDWA KUMTENGENEZA NDIO UTAWEZA WEWE,,,ACHA UONGO WEWE.....ULICHOKIFUTA UTAKIPTA

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 2 ปีที่แล้ว +1

    Ila vingine ni uwongo eti ashindwe kulipa bili inamaana hata wasafi halipwi??

  • @mashaurilameck1327
    @mashaurilameck1327 ปีที่แล้ว

    Mkubwa mungu tu punzi na chakula umesikia jina lako apo acha izo

  • @sashahauke2032
    @sashahauke2032 2 ปีที่แล้ว +3

    Safi sana hii ndio dawa ya diva alikua anaringa sana hapo diva utaimba haleluya 🤣🤣🤣utasoma no my dia hakuna ndoa mama hapo

  • @chemstry409
    @chemstry409 2 ปีที่แล้ว +2

    Hahahahahaa...huyu jamaa TAPELI...kweli...😆😆

    • @michelinemapendo6652
      @michelinemapendo6652 2 ปีที่แล้ว

      yapeli mukubwa uuuwi 🤣😂😂😂🤣🙌🙌🙌🙌

  • @jennylunsinde9770
    @jennylunsinde9770 2 ปีที่แล้ว

    Jamani nina swali. Je navipi mwanaume ambae hakubali kutengenezwa

  • @Marjeby
    @Marjeby 2 ปีที่แล้ว +1

    We mjinga wa Arusha huko na meno yako kama mavi eti unauliza violence ni nini kwa kiswahili?!aiseee hii Nchi jamani

  • @hamidahassan1282
    @hamidahassan1282 2 ปีที่แล้ว +1

    Tiba kama tiba

  • @pracxedismathias5555
    @pracxedismathias5555 2 ปีที่แล้ว +2

    midomo na macho tuu vinakutambulisha kuwa wee ni katapeli fresh🤦

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 ปีที่แล้ว +2

    Hiyo ndiyo kazi yao waswshili kuachana hovyo kuoana jumamosi kuachana jumapili hicho kwao siyo kitu cha ajabu sana

    • @antybabybintrashid2333
      @antybabybintrashid2333 2 ปีที่แล้ว +1

      Usitukane wakunga uzazi ungalipo alaf kuoa na kuacha ni tabia ya mtu sio uswahili

  • @WinWilly4162
    @WinWilly4162 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu huwa haponi kwenye mapenzi ndo maana anaishia kuumiza watoto wa watu

  • @felistersmejumaa5188
    @felistersmejumaa5188 2 ปีที่แล้ว +3

    Maake kwanza hapo ncheke mie 🤣🤣🤣 Eti Diva alipendewa shape nae 🤣🤣 kaka muongo ww alafu mjanja kweli

  • @honeybaby7120
    @honeybaby7120 2 ปีที่แล้ว

    Kweli jaman

  • @berthamahangila4462
    @berthamahangila4462 2 ปีที่แล้ว +3

    Dr wa mapenzi huwez ht kumkata kucha mkeo😀😀😀😀😀huyu ana maigizo

  • @faridamhunga7548
    @faridamhunga7548 2 ปีที่แล้ว

    Nyoko mtandio na wig n vitu vi2 tofaut

  • @claudia1500
    @claudia1500 2 ปีที่แล้ว +8

    Yani you kind of a playboy! Af hueleweki

  • @ayoanite4011
    @ayoanite4011 2 ปีที่แล้ว +3

    Kama amesema hajui mariam mbona ....katikati hapo wakati ulimuuliza mambo ya dawa ya kiume alisema mariam aliongea na hiyo ndio ushahidi wa dawa .....ama sio jamani huyu ni mjinga

  • @beatricerading5984
    @beatricerading5984 2 ปีที่แล้ว +7

    This guy is a real womaniser,Penda yeye Sana..

    • @guddenhazard6686
      @guddenhazard6686 2 ปีที่แล้ว

      So you love kwasababu ni womanizer?

    • @reyyathu8978
      @reyyathu8978 2 ปีที่แล้ว

      What do you mean lol why are you contradicting your statement..is being a womaniser something to be proud of .jinga

  • @inongee1141
    @inongee1141 2 ปีที่แล้ว +4

    Hapo kwenye dakika 5. Imenikumbusha mbali kunasiku nilishanga baba mmoja ananitaka kinguvu nikawa simtaki. Kuna mama mmoja nikamwambia huyu baba ananisumbua eti. ananitaka yule mama akaniambia ee makubwa huyo baba kafiwa na mkewe hata kuzikwa bado hajazikwa. akaniambia mkewe kafa na ukimwi. nikabaki nimeduwa nashangaa nikamkimbia. baada ya wiki moja yule baba nae alikufa jamani.alikufa kwa sterress

    • @neemaloy889
      @neemaloy889 2 ปีที่แล้ว

      Duuu

    • @esthermoraa6648
      @esthermoraa6648 2 ปีที่แล้ว +1

      Jamani ungemkubalia mzee wa watu hangekufa

    • @marymalaika476
      @marymalaika476 2 ปีที่แล้ว

      @@esthermoraa6648 😂😂😂

    • @inongee1141
      @inongee1141 2 ปีที่แล้ว

      @@esthermoraa6648 we aniambukize hakuna kitu .kinacho ua haraka kama kuishi kwama tumaini

  • @SaidSaid-ef8md
    @SaidSaid-ef8md 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwanangu nimekukubali kwa 100% hivo ndo mwanaume anatakiwa awe, we kamanda wangu kabisaaa 👍

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 ปีที่แล้ว

    Mtu mwenyewe wa kupendwa yukuwapi hana mpango kwanza hayo macho gani

  • @ashaally6993
    @ashaally6993 2 ปีที่แล้ว +10

    🤣🤣🤣🤣 Diva kuchamba kwingi
    Umewezekana

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 2 ปีที่แล้ว

      Kupenda walamba midomo,bora mimi nije kukuchukua aisha

  • @ahmadzubeir3363
    @ahmadzubeir3363 2 ปีที่แล้ว

    Sheikh mimi mwanafunzi wako naona umeniacha kipindi kireefu. Nituie ticketi ya ndege nije tufanye kazi kama zamani Sheikh wanguu.

    • @zulfaomari8555
      @zulfaomari8555 2 ปีที่แล้ว

      Tatizo huyu umalaya na kujiramba2

  • @mouwanahamisi8216
    @mouwanahamisi8216 2 ปีที่แล้ว +3

    Usihalalishe kharam Kwa Dunia yako Dini inatufundisha aurat lmar -at jamii lbadinih Ila wajihiha walkafain....Na wigi si halali usituhalalishie

    • @regen5458
      @regen5458 2 ปีที่แล้ว

      Ywataka kuhalalisha haramu huyu

  • @adam-saffi211
    @adam-saffi211 2 ปีที่แล้ว +1

    Bongo tuna vichakaa wengi sana, what mavi is he talking about? Another Manara?

  • @teggertegger3669
    @teggertegger3669 2 ปีที่แล้ว +1

    Mmh shekhe unahalalisha wigi ? Kweli unasema watu wamechanganyikiwa ww ushaungua brov

  • @christinaonditi9341
    @christinaonditi9341 2 ปีที่แล้ว +1

    Nani anampenda mwenzake zaidi ya inajulikana.

  • @fhyubhhh2881
    @fhyubhhh2881 2 ปีที่แล้ว

    Ma-love hauna na hauyajui halafu wajiita dr LOVE pumbavuu kafiee hukoo

  • @veronicapotas5706
    @veronicapotas5706 2 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂nyie mi sina neno ngoja niendelee kuenjoy na usingle

  • @nasrayahya2885
    @nasrayahya2885 2 ปีที่แล้ว

    Usipotoshe watu dini ya kiislamu hairuhusu hivo vitu kamwe labda useme kama utamlekebisha kidogo kidogo nasio kusema kuwa wiki nisawa na mtandio

  • @joleenmasha
    @joleenmasha 2 ปีที่แล้ว +8

    Hapana kwa nini huwezi kumupelekea muke wako chai kitandani? Eti wewe ni mwa frika mtanzania huna Mapenzi kwa nini akupeleke taratibu lakini wewe mbona ukaharakisha kumuoa basi?

  • @madelineayo5717
    @madelineayo5717 2 ปีที่แล้ว

    Sheikh nimemkubali kwenye dakika 5 za kuachwa🤣🤣🤣

  • @fatmarashid3137
    @fatmarashid3137 2 ปีที่แล้ว +1

    Ya kweli hayo wigi ndio liwe mtandio?

  • @nasrayahya2885
    @nasrayahya2885 2 ปีที่แล้ว

    Kwadini ya kiislamu hailuhusiwi kutizamia ndoa huo ni ushirikina

  • @irenechris5418
    @irenechris5418 2 ปีที่แล้ว

    Siasa za uongo nyingi sikupendi

  • @njumamussa401
    @njumamussa401 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera kwa kufunza jamii

  • @jumarajab5316
    @jumarajab5316 2 ปีที่แล้ว +6

    huyu mganga mshaurini aokoke aachane na manyanga

    • @tatotato506
      @tatotato506 2 ปีที่แล้ว

      Wewe ulienda hoficn kwake ukayaonamanyanga

  • @zakiaabdula4709
    @zakiaabdula4709 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyo nitapeli kqeli

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 2 ปีที่แล้ว +1

    Yn Kaka tapel uyu htr

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 ปีที่แล้ว

    Mwanaume mzima ati kusema ati naogopa kurogwa huna mpya mbona wewe unawaroga wanawake ili wakutake

  • @shumesaalhabsi1722
    @shumesaalhabsi1722 2 ปีที่แล้ว

    Hata mimi nataka namba ya abdul razaq ninamasuar mengi sana

  • @samiratahir9815
    @samiratahir9815 2 ปีที่แล้ว +1

    Diva kauvaa mkenge

  • @guenterernst5481
    @guenterernst5481 2 ปีที่แล้ว

    Kwani diva amekukosea nini hata umuache na anakupenda sana hata haya huna mrongo mkubwa unachezea wanawake KWA vile unajiona Handsome mbaya wewe

  • @raiyanmohd8261
    @raiyanmohd8261 2 ปีที่แล้ว

    Mh mtihani huyu mapepe kwenye uislamu Hakuna kitu mahusiano yy ana shajiisha zinaa hana ushehe wala nn ni ao ao vijana wa mtaani

  • @ashahassan1877
    @ashahassan1877 ปีที่แล้ว

    Ubaya wake Nini wanaume wote waongo wakweli wapo peponi tu huyuni mume boratu natamani awe mumewangu ilacjui wapi nampata nanita muheshimu Sana nawa Toto wake pianitawapenda chai nitakuwekea shekhe njoo kwangu😄😄😄🍉

  • @mussakiziyzi408
    @mussakiziyzi408 2 ปีที่แล้ว

    Duh jamaa kamba kaali.
    Kasomea misri sehem inaitwa Hadramout.
    Misri na hadramout wapi wapi boss

  • @julianamaganga4803
    @julianamaganga4803 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani mnavocoment ovyo Mimi hapo nashindwa kuelewa Ina maana hii media inakula bando wakati inajua huyu mtu muongo😳

  • @ashazuber6548
    @ashazuber6548 2 ปีที่แล้ว

    Khanisi barazuli wahed mfyuuuuuuu umemtelekeza ndugu yetu nyoko ww

  • @chunanachu2529
    @chunanachu2529 2 ปีที่แล้ว +4

    Hapo kwa kajala umeongea points hakuna heshima kwenye mapenzi mtu amemtaka kimapenzi mtoto wako wa kumzaa na kamuonyesha uchi wake anakwambia samahan na unamsamehe????kajala hana akili ata moja

    • @zaytunhijja6771
      @zaytunhijja6771 2 ปีที่แล้ว

      Afadhali yakajala kuliko yake yy ni mchafu mbwa

    • @janethomary2005
      @janethomary2005 2 ปีที่แล้ว

      Kwan hapo wanaongelea kajala au amduli

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 2 ปีที่แล้ว +2

    Kwan ni kweli ndoa chalii🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️
    🤣🤣🤣Ndoa za wasanii Kama muvi

  • @SamsungA-sq9pi
    @SamsungA-sq9pi 2 ปีที่แล้ว +3

    Hadhral maut sio Misr ipo Yemen usiseme uongo

    • @nai7876
      @nai7876 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣 et alipitiwa kidogo 🤣🤣🤣🤣

    • @aliabdallah4222
      @aliabdallah4222 2 ปีที่แล้ว +1

      mwongo huyu tapeli

  • @btylove1870
    @btylove1870 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu baba hapana aise 😅😅😅

  • @zayoumaus8235
    @zayoumaus8235 2 ปีที่แล้ว +2

    Asalalaa😂😂Eti wingi ni mtandio😂😂😂🤣🤣😂🤣😂shekhe shikamoo

    • @zuwenasaleh9613
      @zuwenasaleh9613 2 ปีที่แล้ว

      Hahahaha hatari voo

    • @Assam8885
      @Assam8885 2 ปีที่แล้ว +1

      😅😅😅😅😅asalalaa nimecheka😅😅