NOUMA!!! MUME WA DIVA AFUNGUKA SABABU YA BIFU LAKE NA DIVA/ ATANGAZA SIKU YA NDOA TENA MKE MPYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 175

  • @sarahkeivaly3351
    @sarahkeivaly3351 8 หลายเดือนก่อน +11

    Kaka wa MJINI-mjini

  • @zarina254-vz1he
    @zarina254-vz1he 8 หลายเดือนก่อน +5

    Waaaah ona vile anavyonyonya io midomo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 8 หลายเดือนก่อน +4

    ao ote ye na demu wake chenga..na io ni mifumo yao sio ya ndoa😊

  • @jamilajamal1584
    @jamilajamal1584 8 หลายเดือนก่อน +4

    Daah hii sasa imezidi dharau hii 💯 mpaka kumwita kopo la choo na choo mmmh😭😭

  • @iam_sami
    @iam_sami 8 หลายเดือนก่อน +5

    Jamaaa muongo kama dini ingekuwa kweli uyu mungu angemuadhibu mana atumia dini kuficha maovu yke 😂😂😂

  • @ruwaiyaahmed3361
    @ruwaiyaahmed3361 8 หลายเดือนก่อน +5

    Hawa wote mafala wanataka kututia kwenye ufala wao wanatuboa

  • @cdeleo9336
    @cdeleo9336 8 หลายเดือนก่อน +8

    Wewe diva ukome this man wasn’t good for you from the go ila ukaforce. Huyu ni narcissist na hawezi kubadilika. Nenda kadai talaka mahakamani na sio instagram bila hivyo utachizika na huyu mshenzi wa tabia

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 8 หลายเดือนก่อน +8

    Kwani si walielewana jmn?mnatupa shida wambea😅😅

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 8 หลายเดือนก่อน +27

    Hebu fata nyayo za baba ako sheikh Daruwesh mti mkavu hana majivuno na kibri ni kpnz cha watu punguza dharau na majigambo

  • @bernardeliasi6527
    @bernardeliasi6527 8 หลายเดือนก่อน +9

    diva ni king'ang'a jamani uuuuuuwiiiii

  • @Sage-o4q
    @Sage-o4q 8 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu ni kichaaa😂😂😂😂😂 eti kabila gani hajui kabila la diva, vua wigi anavua tunaangaliana panki😂😂😂😂😂😂

  • @wmarysella
    @wmarysella 8 หลายเดือนก่อน +3

    Nimerudi tena nina swali kwa hio likopo lako la chooni ndio kusema je

  • @tonygee5680
    @tonygee5680 8 หลายเดือนก่อน +4

    Yaani mwamume huyuu ana mambo ya kikee kwelii

  • @deejulesdonatha4107
    @deejulesdonatha4107 8 หลายเดือนก่อน +3

    This guy is a gaslighter! So leo umeumwa moyo kwaajili ya Diva? Kina Sabrina nao wabaya, mke mhindi nae mbaya ww ndio mzuri mmfyuuu

  • @bahatadof5543
    @bahatadof5543 7 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli bila hela mtoto mzuri Kama diva huwezi kuwa naye,watu watakupole shekhe

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 8 หลายเดือนก่อน +6

    Wewe mume hujui wajibu wako mpaka mkeo akwambie nitumie pesa?!

  • @chibandamwende3676
    @chibandamwende3676 7 หลายเดือนก่อน

    U understand??? Diva kafunza huyu mengi.afu Diva lazima awe na shida za kiakili ,U understand??😅😅😅

  • @deborahcharles4916
    @deborahcharles4916 8 หลายเดือนก่อน +5

    Wanaume weupe af handsome wanadharau mmnmmh acheni

    • @SuzanIkwabe
      @SuzanIkwabe 8 หลายเดือนก่อน

      Hasa huyu ht sura yake inaaonyesha!!

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 8 หลายเดือนก่อน +7

    Uwii kwnn umeongea hivyo ati.kopo.la chooni huna mfano mwingine yesu wngu..so sad haya life linatisha sana hakika

    • @Maryc2G
      @Maryc2G 8 หลายเดือนก่อน +3

      Wadada tuwe na imani, mtu unamkana yesu, mwisho anaishia kuitwa kopo la chooni yaani kinywa chake , aibu kubwa hiyo

  • @Unknown-mj6wj
    @Unknown-mj6wj 8 หลายเดือนก่อน +35

    Diva akisikiliza interview kadharauriwa sana hata kabila mumewe hajui anamuita Yule dada

    • @Divathebawse
      @Divathebawse 8 หลายเดือนก่อน +12

      aliwahi Mpiga Mamake mzazi kunidharau mimi nashtushwa na nini uyo kama unataka kujua maisha yake na tabia zake zilizofanya nimuache nenda kwao arusha nenda znz alipoanza tabia za kuoaoa afu shuka apo magomen my dear uyo ni hanaga adabu kwanza mi namdharau hasa mwanaume niliekuwa namuhudumia ugonjwa ambao nikiutaja utapasuka akinidharau si namuona chizi, achutame bwana we .. uyo sio mtu mchawi sana uyo yan simtaki ata kwa bure tena yan ata aoe wanawake wazuri kama malaika hanishtui , kwa kipi najihudumua naishi maisha mazuri nafnaya kaz nzur maarufu nna pesa na saa hii na deal na watu wenye hela na adabu zao sio huyo hanaga shukran uyo uyo ni kinyesi

    • @LeeLian95
      @LeeLian95 8 หลายเดือนก่อน +4

      @@Divathebawse😂😂😂Diva ulisema mke wa mganga ni wa kawaida, mbona tumemuona ni mzuri balaaaa halafu mtoto mbichiiiiii, wewe kama humtaki Abdul umeambiwa udai talaka🤣🤣🤣🤣kumbe hata kudai talaka kujawahi halafu unalalamika unazungushwa 🤣we dai talaka bwana uone kama hupewi, unajifanya humpendi mganga wakat unatukisa kibiriti😅😅😅 halafu kutwa kumsema Mamake mzazi unajifanya watu wanakuomba ushauri huna adabu wewe

    • @AmanaHussein
      @AmanaHussein 8 หลายเดือนก่อน +3

      Kwan watu wakiongea lazima ujibu wee diva nimshahiliiiiii

    • @Pweza
      @Pweza 8 หลายเดือนก่อน +4

      ​@@Divathebawseila kwa kweli we dada kichwani fangasi tupu... Wewe sio CHIZI bali ni TAHIRA

    • @swalharajab8365
      @swalharajab8365 8 หลายเดือนก่อน +7

      ​@@Divathebawse😂😂😂😂heee kumbe unafwatilia hadi interviw zake ....yaan wew kwa huyu abdull hubandukii😂😂 ndo maana kiba alikuitaga kigagulah maan hujielewi kwa nini usiwe na maish yako kama queen alokuag mke wa dr mwaka😂😂😂jiongeze dad ...utatumiwa na moyo wako mpka lini khaaa ona sas dharau zakufwata mpak miguuni mwako looo😂😂😂

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hili jinga kubwa nalo eti linajiita Sheikh. Sheikh gani anaeshinda kwenye media na kuongelea maisha yake ya ndoa vibaya? Mahusiano yake yamemshinda yeye atawezaje kusaidia wengine? Aache kutapeli watu hana lolote.

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 8 หลายเดือนก่อน +9

    so unamaanisha Diva nikopo lachooni doh wanaume bna

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 7 หลายเดือนก่อน

      Ni mshenzi tu snatafuta kiki juu ya Diva huyu. Mshirikina mkubwa.

  • @Luckyme-b4i
    @Luckyme-b4i 8 หลายเดือนก่อน +4

    Kwamba Diva katumiwa hadi watu wa serikalini waongee nae

  • @aishatest4451
    @aishatest4451 8 หลายเดือนก่อน

    hatali sana, 😢😢

  • @harrysonngosha7931
    @harrysonngosha7931 8 หลายเดือนก่อน +4

    Mie nilicho kiona kwa awa watu ni kitu kidogo sana mwanzo walivyo anza kulikuwa na upendo wa dhati sana ila siku zilivyozidi kwenda kuna kitu kizito wametupiwa ili wapoteane na kinacho walinda mpaka sasa ni kuwa walipendana sana ila jinsi muda unavyo enda inaonekana mke kachoka na haya mapenzi ila mwanaume bado anapenda uku kuongea anaongea tu lakini moyoni bado anampenda mke wake sasa hapo ndio hatari yenyewe

  • @sophiasaid6765
    @sophiasaid6765 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mshenzi kabisa hana adabu yaani hajui kabila la mke wake

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 8 หลายเดือนก่อน

    Wadada mafala kweli iv uyu jamaa mbona hana shida tatizo ni nini mbn mnamtetea yule bibi kidude😂😂

  • @aaliyahloubna8919
    @aaliyahloubna8919 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kwani ndoa yake si imeshapita tayar na mtoto z,..... Mungu ailinde ndoa yenu

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 8 หลายเดือนก่อน +1

    Dah huyu kaka ameongea v point nzuri sana kopo la chooni likiwa la kwako huwezi kulitupa kha msemo mzuri sana huyu kaka ana akili sana anaongea vizuri mash Allah

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 8 หลายเดือนก่อน +4

    Diva kadhalilishwa interview nzima

  • @AnethJoseph-m5i
    @AnethJoseph-m5i 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu kaka anazarau saana🙌🤔

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 8 หลายเดือนก่อน +1

    Sisi wanawake bwana saa nyingine tuna matatizo diva you have to stop it mambo yako ya ndoa ni btn nyinyi wawili wow

  • @MagrethMallya-we8ui
    @MagrethMallya-we8ui 8 หลายเดือนก่อน +7

    Huyu jamaa ana hitilafu kwenye akili yake.

  • @zainababdullsadik1247
    @zainababdullsadik1247 8 หลายเดือนก่อน +4

    Mtuachee tushawachokaa unapendaa mahojiano si nenda bungeni tumewachokaa siku mbili tunakuona umebeba kikoba cha mkeo

  • @joycemuhoja4729
    @joycemuhoja4729 7 หลายเดือนก่อน

    Uyo Diva ni mkubwa alafu muda wote miwani

  • @shakilaahmed5761
    @shakilaahmed5761 8 หลายเดือนก่อน +4

    Hapo kwa pankiii umenimalizaa shekheee 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @beauty2239
      @beauty2239 8 หลายเดือนก่อน

      Hahaaaa katumaliza wengi

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 6 หลายเดือนก่อน

    Waandishi ni wengi awana kazi za kufanya

  • @jessicaanania6326
    @jessicaanania6326 8 หลายเดือนก่อน +3

    Wanaongeleana vibaya ukitokea msiba wa msanii mwenzako wako wote washarudiana

    • @talentshow2024
      @talentshow2024 8 หลายเดือนก่อน

      Hawa waigizaji mnadanganywa

  • @adyaalawy8764
    @adyaalawy8764 8 หลายเดือนก่อน +9

    Kwani kutoa talaka mpaka mwanamke akuombe?? Kawa una unamzungumzia vibaya hivi, mpe talaka.

    • @ElizabethWamcha
      @ElizabethWamcha 8 หลายเดือนก่อน

      Maumbwa awa wanapenda kuongelewa uyu bwana ajielewi diva nae ndio mwendawqzimu kabisa

    • @KelvinNdokole
      @KelvinNdokole 7 หลายเดือนก่อน

      sasa wewe dada maswla ya mtandao unayaweka moyoni...una akili timamu ampe talaka vip yaaan ,,,
      unajua maana ya ndoa ..?
      hata kama amemtukana yana kuhusu nini wenzako wananusana mbaka mkundu,,,
      Acha ujinga maswala ya watu na taraka unapata dhambi hukumu ipo bola aamue allah mwenyewe hataki talaka wewe unasema ampe taraka baba ako shetani au wewe shetani

  • @JacklineNamundengozi
    @JacklineNamundengozi 8 หลายเดือนก่อน

    It's because he has stood his ground, allow him to move on his been through alot with your childish diva😂

  • @bushmechanic5991
    @bushmechanic5991 8 หลายเดือนก่อน +1

    Salam brother hajj manara your top man keep up Good team from UK.

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mwanamke gani asiependa pesa na kila kitu ni pesa mwanaume unakwenda kazini ukirudi unataka chakula vipi mwanamke atapika bila kumpa pesa akanunue vitu. Wanaume mnajitoa akili. Sheikh unadharaulisha wanaume wote waonekane wa hovyo huwezi mkashifu mwanamke ambae alikuwa mkeo?!

  • @shakiralasway8821
    @shakiralasway8821 8 หลายเดือนก่อน

    huyu kichuguu kweli,kabila lamkeo ukamuulize mtangazaji😮

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 8 หลายเดือนก่อน +9

    He is talking crap as in mavi! Hii nchi imejaa wagonjwa wa akili, this guy is seriously sick. Ushauriwe na huyu, really?

    • @efrahfarahahmed8960
      @efrahfarahahmed8960 8 หลายเดือนก่อน

      Kichaa moja kabisa anajisifia mtu kampiga mama yake mzima kweli mama ni wakupigwa 😭

  • @glorybrayankessi7002
    @glorybrayankessi7002 8 หลายเดือนก่อน +5

    Na bado diva atakuja kumrudia tena maana hata hakomagi

  • @roselinasandi6509
    @roselinasandi6509 8 หลายเดือนก่อน +1

    Eti black mamba jmn...ila wanawake wengi huwa wanabadilika ndoani baada ya kuumizwa na tabia fulani

  • @sarahkeivaly3351
    @sarahkeivaly3351 8 หลายเดือนก่อน

    Kaka msenzi- msenzi - sana huyu.
    Kweli hapa Diva aliyavagaa

  • @spreadlove5300
    @spreadlove5300 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu atakuwa kamtengeneza Diva sio bure 😮😮😮

  • @Sage-o4q
    @Sage-o4q 8 หลายเดือนก่อน

    Kwamba ana panki😂😂😂😂😂😂

  • @talentshow2024
    @talentshow2024 8 หลายเดือนก่อน

    Wote ni wasanii na mnatuigizia mwanaume akiamua kutoa talaka sio mpaka aombwe ..
    Igizeni mwisho wenu upo

  • @ShirfaDigubike
    @ShirfaDigubike 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mzinifu

  • @Babygirl758
    @Babygirl758 8 หลายเดือนก่อน

    Hili ji ndoa 😂

  • @Maryc2G
    @Maryc2G 8 หลายเดือนก่อน +12

    Bora ule ugali na dagaa kwa uhuru na furaha, kuliko kila bata kwa masimango.

  • @x7hia
    @x7hia 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nawaonea huruma sana wanaomtaka huyu jamaa mana ni kichefuchefu kukaa nae hata dakika mbili , majivuno mengi mfukoni hamna kitu kazi kutaka kulishwa na mademu tu ovyo sana ww

  • @righitkileo
    @righitkileo 8 หลายเดือนก่อน +4

    Wote wawili wanashida ya Afya ya Akili.. haiwezekani mwanaume rijali kumdhalilisha.mwanamke wake its shem

  • @nurumasha
    @nurumasha 8 หลายเดือนก่อน

    Kitu nilichokifunza. Ukiachana na mtu usimuongelee yani wakiuuliza kuhusu yy jifanye kama hujasikia au jibu kitu kingine mfano: kwanini umeachana na fulani? Sasa ili umkwepe kumtaja we jichetue useme ooh unazungumzia matango! Ee, yanalipa ukiyapatia hela😅😅😅 sasa hapo hatokuuliza tena

  • @Tupilike
    @Tupilike 8 หลายเดือนก่อน

    Ila abduli 😂😂

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 8 หลายเดือนก่อน +5

    Diva amedharauliwa mpaka akaitwa black mamba 😢

    • @beauty2239
      @beauty2239 8 หลายเดือนก่อน +2

      Ameyataka angekaaa kimya nani angemdharau

    • @MaryamSimai-b9f
      @MaryamSimai-b9f 2 หลายเดือนก่อน +1

      Heee33

  • @MusaNason
    @MusaNason 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kaongea Madini

  • @ShangweSylus-nf6we
    @ShangweSylus-nf6we 8 หลายเดือนก่อน +1

    Diva atakuwa ana shida ya akili alidhani ndoa ni maua tu? Ndoa ngumu na inahitaji busara na kujishusha ili maisha yaende.

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kabila gn 😁👍🏃😁😁😳

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 8 หลายเดือนก่อน +4

    Weee shehe unapata dhambi kubwa unachukua udhaifu wa mwanamke kumuongezea maumivu si vizuri km umefikia hatua ya kumdhalilisha namna hiyo si umpe talaka yake hata kwenye maandiko yanasema muoane na muachane kwa ihsani nawe ni mtoto wa kiislam unafahamu kila kitu jirekebishe. Huyu mke wa ngapi?!

    • @fatmaabdallah7709
      @fatmaabdallah7709 5 หลายเดือนก่อน

      @user-el4tj6et2t kishakuja hujamuona?! 😂😅😅 Tunangoja wa 5 na kuendelea. Wee huogopi?

  • @mwanamkeshujaabongoflavama7180
    @mwanamkeshujaabongoflavama7180 8 หลายเดือนก่อน

    Si kweli wanawake wote wana penda hela inategemea ni kina nani hao unokuwa nao kimausiano

  • @EgidiusVedasto
    @EgidiusVedasto 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kushindana kuzungumza akuna suluisho ila kama mmoja akikaa kmy kuna mda mwenzake atakosa cha kuongea ni mahamuz

  • @ruwaiyaahmed3361
    @ruwaiyaahmed3361 8 หลายเดือนก่อน

    Wanatafuta tenshen za kingese

  • @x7hia
    @x7hia 8 หลายเดือนก่อน +1

    Inavoonekana diva anakusumbua sana unamtaka na unaweweseka pole diva sio type yako katafute wanawake washamba ndio type yako mzee

  • @SalumMusafiri
    @SalumMusafiri 8 หลายเดือนก่อน

    Matapeli wa 2 wamapenzi

  • @paskaziasholla7471
    @paskaziasholla7471 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kama mtoa hela ndio wewe sibola niuze nyanya zangu nipate kiasi bila masimango

  • @mrsmumewangu4907
    @mrsmumewangu4907 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hili kaka kama janamke linapenda majivuno na hao wajinga wanaompa cheo ambacho sio chake sheikh atakua huyo mnuka zinaa mamae

  • @naimasbuguza2395
    @naimasbuguza2395 8 หลายเดือนก่อน

    Kwann unamwita sheikh?

  • @joycejwaproscovia
    @joycejwaproscovia 8 หลายเดือนก่อน +6

    kaka ana dharau uyu khaa 😂

    • @Divathebawse
      @Divathebawse 8 หลายเดือนก่อน +1

      awe na dharau afu awe na hela ganda la ndizi tu hana lolote uyo mwanaume surual

    • @dn.n4983
      @dn.n4983 8 หลายเดือนก่อน

      Kweli dharau no moja huyu hata kukaa meza moja siwezi

    • @AmanaHussein
      @AmanaHussein 8 หลายเดือนก่อน +2

      Jmn dada mbona usikae kimya, duuh mwenyez Mungu nifundishe kunyamaza🤐🤐

  • @Bashitetako
    @Bashitetako 8 หลายเดือนก่อน

    Mnatia kinyaa to be honest tz kuna ndoa za mamilioni tena wengine wana wa4 wengine wake 10 na hatuoni hayo maigizo hili likija kwenye mitandao lina lamba midomo tu. Kwa hiyo in 2two weeks unakuja tena uwana sheria umesomea chooni ama?

  • @KassimAlly-xp4dz
    @KassimAlly-xp4dz 8 หลายเดือนก่อน

    Msimlaumu bd kijana akikuwa ataacha

  • @MsafiriJabu
    @MsafiriJabu 8 หลายเดือนก่อน +4

    Ila mwamba huyu eti napend panki yake kumbe ndo maana wigi havuagi

  • @MariamIbrahim-h7p
    @MariamIbrahim-h7p 8 หลายเดือนก่อน

    Namielew sn uyu hata skifanyae intanview na mwanamkee amuangaliyiii atae

  • @beauty2239
    @beauty2239 8 หลายเดือนก่อน +4

    Yaan huyu diva ana matatizo kwa kweli aombewe

  • @AishaHaji-jn7sg
    @AishaHaji-jn7sg 8 หลายเดือนก่อน

    HUYU MWANAUME ANAMDHARAU SANA DIVA WALLAH…kwani diva Hana wazazi kwanini sasa hawaingilii hivi mtu wao anadhalilishwa hivi…this is very sad wallah

    • @sabihasalim942
      @sabihasalim942 8 หลายเดือนก่อน +1

      Nakumbuka Diva alisema manake alikufa akiwa mdogo hata hamkumbuki ....lakini akekuweko asingekubali mwanawe adhalilishwe.

    • @AmanaHussein
      @AmanaHussein 8 หลายเดือนก่อน

      Mambo ya wanandoa to yawache

    • @AishaHaji-jn7sg
      @AishaHaji-jn7sg 8 หลายเดือนก่อน

      @@AmanaHussein wasingeleta mitandaoni

    • @AishaHaji-jn7sg
      @AishaHaji-jn7sg 8 หลายเดือนก่อน

      @@sabihasalim942 lakini anasema baba ake yupo 🥹

  • @BimHamdi
    @BimHamdi 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu kaka nikiona interview zake huwa nazichupa naona nimechoka na huyo diva kila siku drama za mitandao mxiuuuu

  • @HannanSomaiyah-wp7ny
    @HannanSomaiyah-wp7ny 8 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu alichomrogea bint wa Watu Allah atamuonesha ,Wacha kuntesa mtoto wa watu,Mungu anakuona,Kesho kutwa Diva akiona hii interview atapanda kuongea siku mbili tutamsikia karud tenaa,Huyu anajiinaga bonge la Handsome boy fulani Ila Wakawaida tu😮

    • @TheSalma1999
      @TheSalma1999 8 หลายเดือนก่อน

      Si kwa prank hilo la diva kha

  • @wmarysella
    @wmarysella 8 หลายเดือนก่อน

    Na kuota unatuzwa hela ?

  • @Divathebawse
    @Divathebawse 8 หลายเดือนก่อน +9

    nna voice recorder zako nikitaka talaka sababu siitaki hii ndoa aisee kwanza watu wako wanakuzunguka yan wanakuchoraaa apo unavyojiongelesha dharau kwa ufup kila ukiongea nao waje wanibembeleze wanakuchora wanakucheka wanasema jamaa muongo muhuni .. we si umekuja juzi ofisin kwangu usiku ulifata nn sema what happened after you came there apo sijaongezea nilikataa kuishi na ww unapoishi stak daiwa kodi mie haohao unaokaa nao wakusaidie hawana hela hata za gesi maisha yako ya uhalisia ni unyanyasaji na uongoooo mpaka unaona naongeaa sana means sikutaki na namaanisha toa talaka nimemaliza ongea tena uone sauti zako ntazotoa za juz nikikukataa live endelea

    • @adyaalawy8764
      @adyaalawy8764 8 หลายเดือนก่อน +2

      Mwache huyu for good. Usiende na kurudi.

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 8 หลายเดือนก่อน +2

      🤔🤔🤔Hii ni comedy show 🫣🤝Pole Diva uliolewa very cheap hukuweza hata kuringa Leo hii mnatupigia makelele 🫵🏾huyu bwana ni bwana wa waarabu na Wahindi.🤔wachana nae utapasua moyo na kichwa kupagawa 🤔nimeshaona hata usingizi hupati 🤪🫣Kumbuka kutesa kwa Zamuuuu🤲🤲🤲🤲🤝✍🏽✍🏽✍🏽🗣️🥁🥁🥁

    • @kambulatamwambablaisenews5128
      @kambulatamwambablaisenews5128 8 หลายเดือนก่อน

      Pole dada yangu

    • @kambulatamwambablaisenews5128
      @kambulatamwambablaisenews5128 8 หลายเดือนก่อน

      Pole dada yangu

    • @maidimples8236
      @maidimples8236 8 หลายเดือนก่อน +2

      I pray that Allah bless you two with what is good for you all inshaAllah

  • @ElinaPoul
    @ElinaPoul 8 หลายเดือนก่อน

    Hamna wewe ulitaka tension za camera na kuwaaminisha watu kuwa ww kiboko umemuweza diva so wenye matatizo yao ya mapenzi wakutafute kwa tiba uwasaidie ni njia yako kutafuta wateja alf hutaki kutoa talaka sbb diva ana madai yake kwako khs baadhi ya mali zake pesa zake uzotumia unahofia kudaiwa na kugawana, apo hamna mapenzi wala ndoa zaidi umemshikilia mwenzako kifungoni na hafaidiki kitu uku ww unaendelea na mahusiano yako mengine

  • @wmarysella
    @wmarysella 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe kabila la diva ulijui mume wewe

  • @AmanaHussein
    @AmanaHussein 8 หลายเดือนก่อน +8

    Diva umevunja ndoa Yako Kwa mikono Yako mwenyewe baada ya kukuowa Abdul umemchafuaaaaaa sanaaaaaa

    • @Divathebawse
      @Divathebawse 8 หลายเดือนก่อน +1

      tena niko very proud kuvunja ndoa hii maana i dont do toxic shit anavyoongea tu utapata jibu kwann sitaki ndoa na ww anachanganyikiwa sababu simtaki nimemkataa kuna watu wanamshobokea wasiomjua lakin kinyago nimekichonga mwenyewe ana lipi huyo fukara wa akili

    • @elynejosiah
      @elynejosiah 8 หลายเดือนก่อน +3

      ​@@Divathebawse usipende kujibu kila kitu. Just move on from this narcissistic man.

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 8 หลายเดือนก่อน

      ​@D.thebawse hata Sungura aliposhindwa kuufikia mkungu kumbuka alisema sizitaki mbichi hizi, 😊😊 mkungu uliiva ujue lakini kwa hasira alisema sizitaki mbichi hizi... Acha hayo.. huyu kaka anamapungufu hatujakataa lakini wew uliopitiliza .. hukuwa mtulivu kwa mengi uliweka hadharani vna Kama mwanamke haikufaa.. samahani Mimi ni dadako nakufundisha kesho utaolewa Tena usirudie makosa.. ( The Bible) mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake kwa mikono yake yeye mwenyewe ❤..pole

    • @godblesshudson1564
      @godblesshudson1564 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@Divathebawse We are there for you Madam. Don't be upsetted with this MAN. I heard your interview, you don't abuse him like he does to you. STAY WITH YOUR GOOD SOUL NO MATTER WHAT!!!!
      KUNA MSEMO UNASEMA UKIFANYA KAZI USIKU, WATU HAWAKUONI ILA MUNGU ANAKUONA. NA MUNGU HAJIBU KWA KUANGALIA WATU ILA ANAANGALIA JUHUDI ZA MTU BINAFSI, SO WE MOVE ON TIA JUHUDI KWENYE KAZI YAKO.
      TUMEKUFAHAMU WEWE KWAAJILI YA KAZI UNAYOIFANYA.
      ILA YEYE WENGI TUMEMJUA KUPITIA WEWE ❤

  • @shakilaahmed5761
    @shakilaahmed5761 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu ni drama ati 2 weeks

  • @nyandichearts
    @nyandichearts 8 หลายเดือนก่อน

    Kiuje huyo

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 8 หลายเดือนก่อน +3

    Eti kopo la choon khas dharau kubwa sn

  • @efrahfarahahmed8960
    @efrahfarahahmed8960 8 หลายเดือนก่อน +1

    Diva amedharauliwa sana hapa jaman huyu baba anakibri sana inawezekana nimtesaji wa wanawake ila diva nae apunguze kufurahia mabaya ya watu ili nae apate furaha

  • @salha.d5060
    @salha.d5060 8 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
    WE HUJUI KUFANYA HEBU MKANDE VIZURI KITANDANI UONE KAMA ATAKUA HIVYO

  • @mosesgasana7109
    @mosesgasana7109 8 หลายเดือนก่อน

    Tafsiri halısı ya mtu anayefanya mapenzi kinyume na ……….means ni shograa au nsenge regardless ni ME or KE. Damn!👎

  • @MariamIbrahim-h7p
    @MariamIbrahim-h7p 8 หลายเดือนก่อน

    Nakuelewa kweli

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 8 หลายเดือนก่อน

    Kwa jinsi Abdulrazaki alivyomtesa na kumdhalilisha yule msichana na mwanae Wallahi atahangaika sana hadi kiyama !!!! Kibri cha kipuzi, hawashi wala hazimi kazi kujifaragua kama mtoto wa kike tu !!!

    • @shwaibukhatibu2838
      @shwaibukhatibu2838 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 hujui uliongealo wanawake NI wasumbufu sana

  • @gracekiondo2541
    @gracekiondo2541 8 หลายเดือนก่อน

    Sasa wewe una project gani?

  • @OmaryMwigula
    @OmaryMwigula 8 หลายเดือนก่อน

    Diva ni muhaya 😮Eti kabila gani?

    • @rodambwana2045
      @rodambwana2045 8 หลายเดือนก่อน

      Ni mtu wa tanga ila kabira sijui ni mbondei au msambaa

    • @deborahcharles4916
      @deborahcharles4916 8 หลายเดือนก่อน

      Ebo! Mbona muhaya

  • @TheReporter-A47
    @TheReporter-A47 8 หลายเดือนก่อน

    Kwa camera man aliamua kumchukua bidada peke ake😂😂😂

  • @zarina254-vz1he
    @zarina254-vz1he 8 หลายเดือนก่อน

    Is this guy a COMEDIAN 😂

  • @seychelelamsamba475
    @seychelelamsamba475 8 หลายเดือนก่อน

    Kama ma sheikh ndo wako hivi basi hamna dini.. wake WOTE wakuachie then ujihesabie haki? Unasema Diva anaenda kwa media wakat we unafanya tour is next level bitchyness

  • @NzeyimznaSauda
    @NzeyimznaSauda 8 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂❤😮j

  • @kissamwamunyange1018
    @kissamwamunyange1018 8 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani ya lini hii? Mbona walirudiana kipindi cha kifo cha Gardner?

    • @happynessrichardsamoire1392
      @happynessrichardsamoire1392 8 หลายเดือนก่อน

      Ya leo

    • @kissamwamunyange1018
      @kissamwamunyange1018 8 หลายเดือนก่อน

      Asante Happy

    • @nadyasalim7956
      @nadyasalim7956 8 หลายเดือนก่อน

      mie mwenyewe nashangaa

    • @David_keyan
      @David_keyan 8 หลายเดือนก่อน

      Mtangazaji jiandalie utasomewa dua na wewe uingie kwa shekhe mwenzio diva amechoshwaaa namuonea huruma mbona hana hata shida diva wa watu @divathebawse pole sanaaa naelewa

    • @MwanajumaShaban-e5j
      @MwanajumaShaban-e5j 8 หลายเดือนก่อน

      Makubwa haya mara wameachana mara wako pamoja

  • @MusaNason
    @MusaNason 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kaongea Madini