@chikuiddy9946 waislamu mko na masikio ngumu iyo bibilia wanachambua ndo inasema ama ni maneno ya ndacha kama ingekua ni kurani mnachukulia vile inasema mbona kwa bibilia hauchukulii vile inasema si andiko moja linasema karibu vitu zote za manabii waliongea hata yesu mwenye akisema ndiye. Nyinyi ni yale majini mnashiriki nayo msikitini ndo yamewapofusha kabisa ndo msijue ukweli
@ uyu jama nifara njogisi munafundishwa nawa cungaji wenu ukristo siyo dini nijina mumeyitwa naba pagani uko atokya kabra nabi issa bin mariyam kuondoka
Ndugu Daniel kiukweli wakati mwingine unajishushia hadhi. Yaani mtu akikusikiliza utagundua wewe ni complicator ila si understanding. Leo unatumia majini kama evidence kutetea hoja yako ambayo hata huelewi😅
Wewe Daniel ni muongo sana juzi tu wewe ulisema Yesu ndiye Mungu mkuu leo wabadilisha tena Yesu ni mtume wa Mungu tuamini lipi hacha kuchanganya wakristo wenzio
Hawa Wakristo wameingizwa Chaka Kwa Kufuata; Paulo, Wapagani wa Antokia na Waandishi wa Biblia Kwa Kukosa Maarifa 🙌 📌Luka amewaambia kwamba ameamuwa Kujiandikia tu yakuokoteza Mitaani na Wala hakupewa Ufunuo/Wahyi kutoka Kwa MwenyeziMungu wa Kuambiwa aandike Habari za Yesu/Mungu wa Wakristo 🙌 📌Rejea Biblia; ✍️Luka 1: 1 📌Hivyo Wakristo wanapotezwa Kwa Kukebehi na Kuwadharirisha Mitume na Manabii na MwenyeziMungu; 👉Eti Kuna Mtume ameambiwa atembee Uchi na akatembea Uchi, 👉Eti Kuna Mtume aloambiwa aoe Kahaba na akao Kahana na 👉Eti Yesu/Mungu Kauliwa Msalabani na Viumbe wake!!!🙌🤫🙆 👉Wanamfanya Yesu/Mungu Wao ni Kinyago/Sanamu akiwa Uchi Msalabani eti Kwa Kimboleo la Dhambi zao!!🙌 👉Wanabatizwa (eti Kufuta Dhambi ya Asili/Dhambi ya Adam na Hawa) Wakti Adam na Hawa walishasamehewa tangia Mbinguni/Peponi Kwa Sharti/Adhab ya Mwanaume/Adam Kutafuta Rizki Kwa Jasho na Mwanamke/Hawa Kuzaa Kwa Uchungu. Je, Wakibatizwa (Wakristo) Wanaume hawatafuti Rizki Kwa Jasho na Wanawake hawazai Kwa Uchungu?!
Sasa Kama Yesu ni Mungu iweje esu akabidhi Roho yake Kwa Baba/MwenyeziMungu?! Yesu hakusulubiwa na hawakumuuwa Bali Wadhani wanamsulubu na Kumuuwa Yesu walibadilishiwa Mtu mwengine Wala hakuwa Yesu (Miujiza ya MwenyeziMungu) 📌Rejea Qura'an; ✍️ Surraht An'-Nisaa 4 : 157 Wakristo wacheni Kujidanya, mnajiangamiza na mtaangamizwa Siku ya Hukmu/Siku ya Kiyama Kwa Kukosa Maarifa.!!! Sasa Daniel unalazimisha Yesu akufe Ili utende Dhambi Kwa Kutegemea Kufa Kwa Yesu !!!
KWANZA NIMKUMBUSHE HIVI SHEIKH DANIELI KWAMBA HAYA STEFANO MLIYEMUUA KWA MAWE NAYE ALISEMA MANENO HAYO HAYO YA KUWAOMBEA MSAMAHA HAO WATESI WAKE AKINA PAULO..! Matendo ya Mitume 7:59.,60. 59. Wakampiga kwa mawe Stefano, naye akiomba, akisema, Bwana Yesu, pokea roho yangu. 60. Akapiga magoti, akalia kwa sauti kuu, Bwana, usiwahesabie dhambi hii. Akiisha kusema haya akalala. Na Sauli alikuwa akiona vema kwa kuuawa kwake. JE, HADITHI HIYO HIYO HAIWEZI KUWA ILIMLENGA HUYU STEFANO,MAANA HAKUSULUBIWA?? NA HILI NAONA USTADHI BOGO ALIPITIWA KUKUKUMBUSHA..!
Mungu gani asiye na uruma amuuwe Yesu kwa ajili ya dhambi za watu wengine huo ni uongo Mungu hawezi kufanya hivyo abadani kila siku mnafanya zinaa mnakula nguruwe kila siku alafu dhambi habebe Yesu msipende urahisi wa kijinga
Huna akili ww kwa waislam mlivoambiwa kweny korani yenu kua ukiwa na njaa kabisa kula nguruwe ila usishibe hua huoni iyo aya ama ukila usishibe inakua sio nguruwe ila ukishiba ndio nguruwe? Watu wengine mbona vilaza kiasi hiki,
Kupitia Stefano ni wazi sasa Sheikh Danieli unatakiwa uje uifute kauli yako uliosema kwamba ",maneno hayo yalisemwa na Yesu pekee yake!"..! Hapa umeshaona kumbe hata Stefano naye aliyasema..!
HUKO TAIF(ni nchi) AMBAKO MTUME MOHAMMAD S.A.W ALIPELEKA UJUMBE, WATU WA TAIF WAKAMWITIA VIJANA WAKITAA BASI AKAPIGWA MAWE HADI MWILI WAKE MZIMA KUTAPAKAA DAMU, ulipokuja msaada kutoka mbinguni ndo hapo akasema wasamehe watu hawa kwani niwatu wasojua
Kwan Muhammad ali fika mwezini kwa maana ni kwel mwezi unaufa wa kupasuka vipande viwili. So how did Muhammad know about the broken of moon into 2 pieces. This question must ask ur self
Hii mijadalaa haitokujaa kuishaa hata siku moja kwamaana MUNGU wa kwenye Biblia na MUNGU wa kwenye Quran ni wawili Tofauti. Issa wa kwenye Quran na YESU wa kwenye Biblia ni wawili Tofauti
SIMLIZI TV NI CHAWA WA WAISLAMU KILA KICHWA CHA HABARI ANACHOWEKA NI CHAKUWASIFIA WAISLAMU KWAMBA NI WASHINDI MFANO KICHWA CHA LEO KINASEMA... "UST MBOGO AMBANANISHA MCHUNGAJI DANIEL MWANKEMWA"🤣🤣🤣🤣🤣
Quran haina mahali Mohammed amefanya mujiza. Sasa mmeanza kuleta vitabu tofauti na quran juu watu wanadai mohamed hakufanya mujiza ili kufumba watu na hadithi za uongo juu uislamu upenda taqiya 😅
Injili ya Luka ilikua wapi wakati bwana yesu alipowatuma wanafunzi wake wakaiubiri injili ulimwenguni, Paulo alikua akiwauwa wanafunzi wa bwana yesu akiwa Luka daktari wake.
injili ni maneno ya yesu aliyowafundisha wanafunzi wake. Yesu aliwatuma wanafunzi waihubiri yale mafundisho ya Yesu. Wakati Yesu anawatuma wanafunzi wakiwa na ufahamu wa yale mafunzo lakini yalikuwa bado hayajaandikwa
Kwa iyo danieli hapo huna zambi😂😂😂yani wewe uwe wa thamani saaana kuliko yesu yani wewe ule bata ustarehe ila yesu apigwe misumari ateseke haaa 😂😂😂 ili wewe ule rahaa sasa mbona kila siku unaomba kanisanj usamehewe zambi ni zipi hizo unazoomba zisamehewe tena mpaka kufika kumuomba mariya awaombee kwa mwanawe😂akili mbovu
Daniel umeviona vitabu vyengine vya bibilia kutoka Ethiopia alokuja navo nabii wenu mkuu vitabu 88 sasa kwanza kavichambuweni ili mueke dini yenu sawa bado inayumba
Sikuliza daniel waislam sio punguwani km wewe unavo jichanganya kupindisha maneno ya Allah na Allah alikuoneni kitambo mtawqpotowa hao wakiristo wezenu
Isa wa islam ni tofauti na wabibilia hata kama waislamu wanatumia bibilia kulaghai wakristo wao wenye hawafuati chenye isa anasema nikutumia taqiya kuwinda wakristo
Mitume wengi walpigwa na watu wake ikiwepo Mtume Muhammad na Ibrahim na wote walkomba N ungu awasamehe kwa ville Hawajui watendalo.
wallah kukuwa mukristo nimutihani mkubwa 🤔🤔🤔🤔🤔 sheikh mbogo muweke Daniel sawa uringaniye haki ❤❤
Kama kuamini kristu ni ngumu na kuamini haya za kimashetani wakiwadanganya kwenye quran
Huyu jamaa haelewek tena pasua kichwa mara anasemaYesu Ni Mungu mkuu mara asaiv tena anasema Yesu ni Mtume
@@alerts9917awuna akiri timamu
@chikuiddy9946 waislamu mko na masikio ngumu iyo bibilia wanachambua ndo inasema ama ni maneno ya ndacha kama ingekua ni kurani mnachukulia vile inasema mbona kwa bibilia hauchukulii vile inasema si andiko moja linasema karibu vitu zote za manabii waliongea hata yesu mwenye akisema ndiye. Nyinyi ni yale majini mnashiriki nayo msikitini ndo yamewapofusha kabisa ndo msijue ukweli
@ uyu jama nifara njogisi munafundishwa nawa cungaji wenu ukristo siyo dini nijina mumeyitwa naba pagani uko atokya kabra nabi issa bin mariyam kuondoka
Hii kesho in sha Allah
Ndugu Daniel kiukweli wakati mwingine unajishushia hadhi. Yaani mtu akikusikiliza utagundua wewe ni complicator ila si understanding. Leo unatumia majini kama evidence kutetea hoja yako ambayo hata huelewi😅
Afu eti Daniel ndo awe Mwalimu wa Kuwaongoza Wakristo Waende Peponi Kwa Hoja sizizo na Mashiko!!!🙌
@@Educatedmind-k9r sheikh othman mazinge alisema ni heri abujahal wakati wa mtume Muhammad kuliko daniel ni abujali wa zama hizi
Wewe Daniel ni muongo sana juzi tu wewe ulisema Yesu ndiye Mungu mkuu leo wabadilisha tena Yesu ni mtume wa Mungu tuamini lipi hacha kuchanganya wakristo wenzio
@@aliabdallah8456 ni Danieli au niandiko
Ustaadh MBOGO tupe e-mail yako nikutumie copy ya vitabu unavyovitaka!
Hakuna popote ambapo mtume Muhammad amesema Yesu/Issa alikufa msalabani.Period
Atawadanganya Wakristo wenziwe/Wavivu wa Kusoma.
Laakin hataweza Kuwadanganya Waislamu wenye Elimu ya UISLAMU 🙌
..
Tunajua allah ni sanamu moja kubwa kuliko zingine zote....
Wewe chuki zimekutawala, soma vitabu
Andiko.na.jina.gani.yesu.kamita.naomba.soma.matayo.27.45
Laanatullaahi alayka ewe kafiri mkubwa kuliko shetani
Ipo siku inshallah atakuonesha uwezo wake
Kwa hiyo wewe kujua Allah ni sanamu ina maana unapingana na sheikh wako Danieli anayekiri Allah ni Mwenyezi Mungu..?
Ina mana mungu wa Daniel kafa innalillahi
Uwezo wa ufahamu wa Daniel na ufafanuzi wa Daniel ni mdogo sana mpaka tunashindwa kumfahamu
Hicho ni kifo kiibaya sana ambacho Mungu hawezi kuruhusu kifo hicho cha lana
Mungu unamjua vizuri haezi fanya hivo..au unaongea too
Hawa Wakristo wameingizwa Chaka Kwa Kufuata; Paulo, Wapagani wa Antokia na Waandishi wa Biblia Kwa Kukosa Maarifa 🙌
📌Luka amewaambia kwamba ameamuwa Kujiandikia tu yakuokoteza Mitaani na Wala hakupewa Ufunuo/Wahyi kutoka Kwa MwenyeziMungu wa Kuambiwa aandike Habari za Yesu/Mungu wa Wakristo 🙌
📌Rejea Biblia;
✍️Luka 1: 1
📌Hivyo Wakristo wanapotezwa Kwa Kukebehi na Kuwadharirisha Mitume na Manabii na MwenyeziMungu;
👉Eti Kuna Mtume ameambiwa atembee Uchi na akatembea Uchi,
👉Eti Kuna Mtume aloambiwa aoe Kahaba na akao Kahana na
👉Eti Yesu/Mungu Kauliwa Msalabani na Viumbe wake!!!🙌🤫🙆
👉Wanamfanya Yesu/Mungu Wao ni Kinyago/Sanamu akiwa Uchi Msalabani eti Kwa Kimboleo la Dhambi zao!!🙌
👉Wanabatizwa (eti Kufuta Dhambi ya Asili/Dhambi ya Adam na Hawa) Wakti Adam na Hawa walishasamehewa tangia Mbinguni/Peponi Kwa Sharti/Adhab ya Mwanaume/Adam Kutafuta Rizki Kwa Jasho na Mwanamke/Hawa Kuzaa Kwa Uchungu.
Je, Wakibatizwa (Wakristo) Wanaume hawatafuti Rizki Kwa Jasho na Wanawake hawazai Kwa Uchungu?!
Nimetamani kusikia hoja ya waislam
Sasa Kama Yesu ni Mungu iweje esu akabidhi Roho yake Kwa Baba/MwenyeziMungu?!
Yesu hakusulubiwa na hawakumuuwa Bali Wadhani wanamsulubu na Kumuuwa Yesu walibadilishiwa Mtu mwengine Wala hakuwa Yesu (Miujiza ya MwenyeziMungu)
📌Rejea Qura'an;
✍️ Surraht An'-Nisaa 4 : 157
Wakristo wacheni Kujidanya, mnajiangamiza na mtaangamizwa Siku ya Hukmu/Siku ya Kiyama Kwa Kukosa Maarifa.!!!
Sasa Daniel unalazimisha Yesu akufe Ili utende Dhambi Kwa Kutegemea Kufa Kwa Yesu !!!
Daniel hoiiiiii masikini wee
Huyu Daniel kilaza kweli 😂😂😂😂😂😂😂
KWANZA NIMKUMBUSHE HIVI SHEIKH DANIELI KWAMBA HAYA STEFANO MLIYEMUUA KWA MAWE NAYE ALISEMA MANENO HAYO HAYO YA KUWAOMBEA MSAMAHA HAO WATESI WAKE AKINA PAULO..!
Matendo ya Mitume 7:59.,60.
59. Wakampiga kwa mawe Stefano, naye akiomba, akisema, Bwana Yesu, pokea roho yangu. 60. Akapiga magoti, akalia kwa sauti kuu, Bwana, usiwahesabie dhambi hii. Akiisha kusema haya akalala. Na Sauli alikuwa akiona vema kwa kuuawa kwake.
JE, HADITHI HIYO HIYO HAIWEZI KUWA ILIMLENGA HUYU STEFANO,MAANA HAKUSULUBIWA??
NA HILI NAONA USTADHI BOGO ALIPITIWA KUKUKUMBUSHA..!
Ama kweli mfa maji haachi kutapa sasa majini yanakusaidiaje kuhusiana na hiyo mada
Mungu gani asiye na uruma amuuwe Yesu kwa ajili ya dhambi za watu wengine huo ni uongo Mungu hawezi kufanya hivyo abadani kila siku mnafanya zinaa mnakula nguruwe kila siku alafu dhambi habebe Yesu msipende urahisi wa kijinga
Mona hata hata waislam wameruhusiwa kula nguruwe 😂 au una aya iliyokataza kula nguruwe katika quran?
Huna akili ww kwa waislam mlivoambiwa kweny korani yenu kua ukiwa na njaa kabisa kula nguruwe ila usishibe hua huoni iyo aya ama ukila usishibe inakua sio nguruwe ila ukishiba ndio nguruwe? Watu wengine mbona vilaza kiasi hiki,
Wakristo wacheni ushabiki ...sikiza hoja hizi kwa uzuri...makinii wacha uvivu
Kupitia Stefano ni wazi sasa Sheikh Danieli unatakiwa uje uifute kauli yako uliosema kwamba ",maneno hayo yalisemwa na Yesu pekee yake!"..!
Hapa umeshaona kumbe hata Stefano naye aliyasema..!
HUKO TAIF(ni nchi) AMBAKO MTUME MOHAMMAD S.A.W ALIPELEKA UJUMBE, WATU WA TAIF WAKAMWITIA VIJANA WAKITAA BASI AKAPIGWA MAWE HADI MWILI WAKE MZIMA KUTAPAKAA DAMU, ulipokuja msaada kutoka mbinguni ndo hapo akasema wasamehe watu hawa kwani niwatu wasojua
Danieli kiladha sana afadhali ndacha
Eeee Allah!msameh mja wako Daniel kwani hajui ata anachokitetea
Ustadh mbogo huyo kashapigwa muhuri moyoni mwake hawezi kukuelewa
Miujiza ya Muhamad ni maneno ya washabiki.kwa kumutetea,ili awe mutume.Quran haitambui hata moja.
Kwan Muhammad ali fika mwezini kwa maana ni kwel mwezi unaufa wa kupasuka vipande viwili. So how did Muhammad know about the broken of moon into 2 pieces. This question must ask ur self
Kwenye Quran unapofunua sura ya majini ni majini yameandikaa au mwenye kuelewaa anieleweshee na kuna sura ya shetanii???
Kafunue mwenyewe ukasome hlf uje utwambie
Wacha kumchomekea Yesu kwenye maneno ya mtume
Hii mijadalaa haitokujaa kuishaa hata siku moja kwamaana MUNGU wa kwenye Biblia na MUNGU wa kwenye Quran ni wawili Tofauti. Issa wa kwenye Quran na YESU wa kwenye Biblia ni wawili Tofauti
SIMLIZI TV NI CHAWA WA WAISLAMU KILA KICHWA CHA HABARI ANACHOWEKA NI CHAKUWASIFIA WAISLAMU KWAMBA NI WASHINDI MFANO KICHWA CHA LEO KINASEMA... "UST MBOGO AMBANANISHA MCHUNGAJI DANIEL MWANKEMWA"🤣🤣🤣🤣🤣
Nyinyi mukatae muitike ila yesu kafa kwahajili yetu njo mana tunamufata ata vitabu vinaeleza vyema kama yesu kafa
Kama quran ndio kitabu cha mwisho ,mbona Allah hakueka wazi tu kuwa yesu hakufa juu yuko mbinguni. Kwa nn alete maelezo yasiyooka kwa quran...
Jamani huyu daniel mpelekeni hospitali ya vichaa akatibiwe
Daniel mbma sasa macho yake yana shida sababu ya ukafiri wake
Huh, people actually believe the moon split? Eishhhh 🤦♂️
What about you believe man as a God. 😅😅😅
@@samxx411 well he is God in fresh my friend, understand the trinity
@@abangaabanga4677crazy 🤪 comment
Bibilia inayo somwa ni moja kwanini Quran inasomwa kwenye vitabu vingi inamaana mfaafu hautoshezi maneno mwenyezi mungu?
Kasome tena Ni kitabu gani chenye version kati ya Biblia na Quran ?
Kasome tena Ni kitabu gani chenye version kati ya Biblia na Quran ?
Quran haina mahali Mohammed amefanya mujiza. Sasa mmeanza kuleta vitabu tofauti na quran juu watu wanadai mohamed hakufanya mujiza ili kufumba watu na hadithi za uongo juu uislamu upenda taqiya 😅
Injili ya Luka ilikua wapi wakati bwana yesu alipowatuma wanafunzi wake wakaiubiri injili ulimwenguni, Paulo alikua akiwauwa wanafunzi wa bwana yesu akiwa Luka daktari wake.
injili ni maneno ya yesu aliyowafundisha wanafunzi wake. Yesu aliwatuma wanafunzi waihubiri yale mafundisho ya Yesu. Wakati Yesu anawatuma wanafunzi wakiwa na ufahamu wa yale mafunzo lakini yalikuwa bado hayajaandikwa
Daniel mbona unajichanganya ni wewe uwa unasema yesu ni mungu leo unasema yesu ni mtume mbona hauweleweki
Kwani Mbogo Hana nguo nyingine
ww daniel mwankemwa ni mdg sn kimaandiko kwa shekh mbogo, kashindwa ndacha utamuweza ww
Sasa uyo mtume quran inaongea juu yake aliyepigwa na watu wake ni nani juu umekataa si yesu inaonekana unamjua si utumbie alikua nani ama hauna jibu 😅
Danieli hee hiyo hadithi unaijua kweli!?
Kwa iyo danieli hapo huna zambi😂😂😂yani wewe uwe wa thamani saaana kuliko yesu yani wewe ule bata ustarehe ila yesu apigwe misumari ateseke haaa 😂😂😂 ili wewe ule rahaa sasa mbona kila siku unaomba kanisanj usamehewe zambi ni zipi hizo unazoomba zisamehewe tena mpaka kufika kumuomba mariya awaombee kwa mwanawe😂akili mbovu
Daniel umeviona vitabu vyengine vya bibilia kutoka Ethiopia alokuja navo nabii wenu mkuu vitabu 88 sasa kwanza kavichambuweni ili mueke dini yenu sawa bado inayumba
Daniel akalia kuti kavu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ina.mana.daniel.ana.pinga.biblia.andik.iko.wazi.3.13.galatiya.ame.laniwa.mtu.yoyote.atundika.musalabani.ina.mana.yesu.ame.laniwa.?
DANIEL MUNGU WAKE NI MAREHEMU👀👀🤣🤣🤣
Sikuliza daniel waislam sio punguwani km wewe unavo jichanganya kupindisha maneno ya Allah na Allah alikuoneni kitambo mtawqpotowa hao wakiristo wezenu
Taif/Twaif ndo Daniel anasema ni taifa...msiba huo
Naona Shehe Mbogo umeamua kupambana Sasa😅😅
Bora ww Shere Mbogo kuliko wenzio wanao ongerea ndan
Mbogo.kiboko.ww.na.hukuna.aya.inasemayesu.ame.beba.zambi.ya.mtu.yoyote.8.21.yohana
Daniel amepoteana 🤣🤣🤣
Waislamu na kiarabu 😂
Hivi Yesu ndiye issa kweli???
Isa wa islam ni tofauti na wabibilia hata kama waislamu wanatumia bibilia kulaghai wakristo wao wenye hawafuati chenye isa anasema nikutumia taqiya kuwinda wakristo
Ndio manake
Sio kabisaa YESU KRISTO ni Tofauti na issa kuanzia sehem waliozaliwaa nchi Tofauti mazingira tofauti maisha yao Tofauti
Kwani Maryam alikuwa mswahili akamwita mwanawe yesu, alikuwa mzungu akamwita Jesus?? yaani nyie kiboko 😅😅😅
Mulize diniel
huyo daniel anaelimu ndogo sana aiseee