Danel,Aya 50 sura ya 6, inasema hivi:- Sema (Ewe Mtume), Mimi siwaambii kuwa nina khazina za Mwenye ezi Mungu(kwa hiyo natumia nitakavyo), wala sijui ghaybu(siri za Mwenye ezi Mungu), wala siwaambii mimi ni Malaika, MIMI SIFUATI ISPOKUA YALE NINAYOFUNULIWA...". Daniel, GHAYBU ni jambo ambalo Mwenye ezi Mungu hajalifunua kwa yoyote ktk viumbe wake, si Mtume wala si Malaika. na ndiyo hiyo aloambiwa Mtume aseme kuwa haijui, ispokuwa atakapofunuliwa.
Danel,Aya 50 sura ya 6, inasema hivi:-
Sema (Ewe Mtume), Mimi siwaambii kuwa nina khazina za Mwenye ezi Mungu(kwa hiyo natumia nitakavyo), wala sijui ghaybu(siri za Mwenye ezi Mungu), wala siwaambii mimi ni Malaika, MIMI SIFUATI ISPOKUA YALE NINAYOFUNULIWA...".
Daniel, GHAYBU ni jambo ambalo Mwenye ezi Mungu hajalifunua kwa yoyote ktk viumbe wake, si Mtume wala si Malaika. na ndiyo hiyo aloambiwa Mtume aseme kuwa haijui, ispokuwa atakapofunuliwa.
DANEIL ANAKWEPA WAZIWAZI HATAKI KUSEMA KWELI KWELI ELIMU NI MUHIMU SANA UYO AMEBAKI ANAROBOKA TU. HAJUI CHOCHOTE
Allahu Akbar ❤
Mashaallah
Ndoo maana mm nili silimu wakristo vicha sana waongo wakubwa siku fanya makosa kusilimu hawa jama vicha sana