MAMA MJANE AMWAGA MACHOZI MBELE WAZIRI JERRY SILAA | ATESEKA MIAKA 6 KUDAI HAKI YA MIRATHI INAUMA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- “UKINIACHA NTAKUFA” MAMA AMNG’ANG’ANIA WAZIRI SILAA ARUSHA
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa ameelekeza ofisi ya Kamishna wa Ardhi mkoa wa Arusha kufanyiwa kazi kwa haraka suala la Mama Magreth Ndereu mkazi wa Unga Limited jijini Arusha ambaye amekuwa akihangaika kwa muda mrefu.
Waziri Silaa ametoa maelekezo hayo wakati alipotembelea eneo hilo lenye migogoro ya Ardhi ambapo ameahidi kuja na kutembela eneo lake mama huyo ili kumaliza mgogoro huo.
Asante sana Mama Samia Suluhu Hassan.Uteuzi mzuri sana.Jerry piga kazi.
Jeri wewe kweli mtoto wa kita unajuwa madhingira yote ya maisha yetu ya kitani
😊😊w😊😊
Hongera Sana muheshimiwa kwa kazi nzuri mwnyz Mungu akulinde kwa kila hatua
Mashalahaa safi sana Alha amekupa kuwa wazili iliusaidie
Wanyoge mueshimiwa Samia suluhuhasani umepata jembe
Silaaa
Mtetezi wa wanyonge live long silaa na makonde God will take care of you and your families
Mungu akubariki silaa akupe afya njema uwe kimbilio ya waonewao tukipata wengine km makonda na mpina angepewa nafasi naye kuzunguka nchi ccm ingepaa SS tunaendelea kumuomba mungu atupe watu wengine km hao ameni
Haki kwa binadamu wote.
Huyu waziri ndo atawanyoosha vizuri serikali ya samiya ipo strong kileleni.💪safi sana wazuri.
Mh Makonda&Mh Slaa..Mama Samia Oyeeeeeee❤❤❤❤
Jerry ndio kichwaaaa lakini sio Makonda wewee
Mungu akupe nguvu nakuombea kakaa❤
Mkuu silaa nashukuru kwa elimu yko nzuri...mimi najifunza kweli hapo nasi katika familia yetu kuna mke w binamu yetu kajimilikisha mashamba yetu hadi jina la koo la babu yetu anawapa watoto wake
Nice one Rais wetu mtarajiwa for future
VIVA MH. WAZIRI SILAA.....AIBU NA FEDHEHA KUBWA KUDHULUMU MJANE NA MAYATIMA.
Jery Slaa Mungu amekubariki sana sana sana!
Ivi hofis ya uyu wazir kwa dar iko maeneo gn
Mungu akutunze akulinde akupiganie atutete akusaidie mheshimiwa
Good job god bless you 🙏🙏
,inshaalah Allah atawapa haki yao mjane na mayatima na yatima WA said janjira zidi taasisi inayojinasibisha na dini Ansar suna waliyowazulu yatima WA said Mohamed janjira Allah yupo
Ivi hofis ya uyu wazir kwa dar iko maeneo gn
aisee mh jery unachoongea ni kweli kabisa ila mke akifa mume hawezi sumbuliwa kabisa afe mume sasa iiiii rangi zote utaziona nawaona jamani kwa baadhi ya wajana inaumiza na inasikitisha
Genius
Safi sana mhe
Hakhi ya mtu haipotei bure dada pole sana allah yu nawe inshallah 😢😢
Allahuma Aameen Yaarb Alaameen 🤲
Allah andika kwa herufi kubwa Shukran
Hapo shetani aliweza; sheria Za watanzania lugha inayotumika ni waingereza!
Mtihani jamani
Kazi kweli kweli
,mjane WA said kamuuguza mumewe India kurudi meneja WA biashara yaemu kashiriana taasisi ya Ansar wakamfungia mjane kesi ya uvamizi pamoja ushaidi WA vielelezo wamepewa haki wazulumaji ndio mahakama zetu
Mtihani sana
Yani umesema kweli kabisa.
Inna lilahi waina ilahi rajiun Allah atunusuru yarabi na izo mitihani
Slaaa big up sana
Mweshimiwa kuhusu miradhi Kiukweli tunateseka wengi,tunaishi mahkmn mpka miaka kumi unateswa namtu mmoja amabae nayy nimoja wamtoto wamarehemu.Anajikuta yy ndio mwenye Mali zte jmn miradhi inatusumbua jmn
Hawa jamaa wa proud to be kila mahala wao ndo wanadhulumu wajane. So sa😢
Jaman naomben namba ya muheshimiwa
Makonda namjua vizur....oyeeee
huyu Silaa ni mtu wa maana sana. ataendelea na mchakato huu wakusaidia migogoro hata baada ya uchaguzi
Heee! Ndio nn hiki kumdhulumu mama wawatu
Jer umeongey ukweli mim.mume wang.alifarik ndug wakasema nimemuuwa
Yaani sisi wajane Mungu atusaidie tu😢 mara zote tunaitwa wauwaji😭😭
Pole sana
Yn umo umo. Waziri umepota kunako 😂😂😂
MAKONDAA VS DR.SILAAA 🤲🙏🙌🙌🙌🧠💯❤️🫡👊😊
Mama 5 tena
Jeri Jeri tunaomba urudishie hiisehem ulikua Tumaini lawanyonge
Unaacha kutafuta vyako unagagania vya marehemu ambaye ana familia yake shem on you. Ni kwa nini wsjane wsnaonewa sana? Limwanamme lizima linadhulumu mali za mjane hovyo,
Jamaa na kikoti cheusi hana kingine nn tumchangieee😂😂😂
Na waziristan wetu shati lake jeupe analipenda sana
Ok hivi ni lazima migogoro i tatuliwe kwenye majukwa ?
Utasem mali zinamuhusu si asubir baba ake afe asimamie izo mali