MSIKIE MKRISTO ALIPOMUHOJI MAZINGE KWA NINI WAISLAM HAWABATIZWI .MOMBASA NCHINI KENYA .

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ส.ค. 2021

ความคิดเห็น • 69

  • @nurudinehamimu5658
    @nurudinehamimu5658 2 ปีที่แล้ว +4

    Allah akuongeze umri shekhe wetu mazinge.

  • @hafsaali7976
    @hafsaali7976 3 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah mashaallah Allah akupe umri shekh wetu mazinge uzidi kuelimisha watu.

  • @feisalfarsy6562
    @feisalfarsy6562 3 ปีที่แล้ว +4

    Mazinge mashallah ww kiboko bn Allah akupe taufiq inshallah

  • @fatmazullu4933
    @fatmazullu4933 2 ปีที่แล้ว +2

    Sheikh unasilimisha vizuri mashallah!! Allah awalipe nyooteee masheikh wetu, ila leo Mazinge umenipa raha sana kama kawaida yako!

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 3 ปีที่แล้ว +5

    Mkongwe tangu 1984 Masha"Allah Masha"Allah Masha"Allah Masha"Allah Masha"Allah Masha"Allah Masha"Allah Masha"Allah Masha"Allah Masha"Allah

  • @mwanaramadhan7059
    @mwanaramadhan7059 3 ปีที่แล้ว +2

    MashaaAllah jazakAllah ukheri sheikh mazinge uko juuu MashaaAllah

  • @mussamahmoud2376
    @mussamahmoud2376 2 ปีที่แล้ว +2

    Mazinge unatisha!!!! Allah atupemwishomwema

  • @mzackibra6360
    @mzackibra6360 3 ปีที่แล้ว +3

    Takbir ust mazinge Allah kampa elimu ya kipekeee

  • @yasiniibrahimu8483
    @yasiniibrahimu8483 3 ปีที่แล้ว +2

    Asee shekh mungu Skype maisha marefu kuitangaza din ya allah nataman sana uje n kwetu kna wasabato wanatusumbua sanaaaa

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura 2 ปีที่แล้ว +1

    Allahu Akbar
    SubhanaAllah
    Uislam rahaa jamani
    Alhamdulillah

  • @masamasa2387
    @masamasa2387 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah mazinge allah.akuzidishie umri

  • @mdalamgir-gu9hu
    @mdalamgir-gu9hu 2 ปีที่แล้ว

    SUBIRI KWANZA.....TULIA.MPEEE.MPE UYO..UMEONA..DAH YAN RAAHA

  • @rinompemba5926
    @rinompemba5926 2 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah shehe wangu mazinge

  • @mohamednoor8470
    @mohamednoor8470 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah

  • @salehesalehe2967
    @salehesalehe2967 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah awajalie

  • @binahmedjuma8681
    @binahmedjuma8681 3 ปีที่แล้ว +1

    Wote tunazaliwa hali ya kuwa Waislam, kubatizwa ni kutolewa ndani ya Uislam

  • @stanleykipingu228
    @stanleykipingu228 3 ปีที่แล้ว +1

    Takbiiiir

  • @janelithasolomon5212
    @janelithasolomon5212 2 ปีที่แล้ว

    Mazinge juha kweli yaani kachemka wazi wazi ,,,kujibu kuhusu kubatizwa,,,eti hawabatizwi kila yohana mbatizaji alikufa
    Bwege kweliiiiii huyu jamaa

  • @saidahmed9688
    @saidahmed9688 8 หลายเดือนก่อน

    mhadhara mzuri

  • @dcharles4647
    @dcharles4647 3 ปีที่แล้ว

    Imani ya kweri itajulikana vipindi vigumu kama hivi vya Corona..Hizo nyingine ni porojo za kupoteza wale bendera fata upepo.Poleni sana mliokuwa haba ktk imani Ya Yesu kristo,mtaangamiazwa kwa kukosa maarifa.MUNGU awarehem.

    • @khalfanifarisy119
      @khalfanifarisy119 3 ปีที่แล้ว

      Asili ya neno kristo unapajua? Na ni lugha gani?

    • @mohamedimohamedi8933
      @mohamedimohamedi8933 3 ปีที่แล้ว

      Imani ya kweli yesu sio Mungu

    • @shabbymakapaneshabby5000
      @shabbymakapaneshabby5000 2 ปีที่แล้ว

      😅😅😅 imani ya YESU KRISTO ndiyo ipi hiyo???

    • @mohamedimohamedi8933
      @mohamedimohamedi8933 2 ปีที่แล้ว +1

      @@shabbymakapaneshabby5000 wakujue wewe mungu wa pekee na yesu kristo uliemtuma , yesu anaamini mungu mmoja ndio imani ya yesu

    • @ismailyusuph740
      @ismailyusuph740 2 ปีที่แล้ว +2

      Corona imepamba moto’ Lkn hatuwaskii wale wachungaji watakaosema viwete watatembea na vipofu watapona ‘ wenye magonjwa watapona ‘ mbona leo hatuwaoni wakiponyesha...!...Acheni porojo hizo wakristo..!

  • @rajahamy9700
    @rajahamy9700 2 ปีที่แล้ว

    Mashaaallh mashaaallh mashaaallh uislam n raha Sana..

    • @johnkilimo9520
      @johnkilimo9520 2 ปีที่แล้ว

      Kwa ndacha mbona anakimbia mazinge????😆😆😆

    • @ahmadubeida8735
      @ahmadubeida8735 2 ปีที่แล้ว

      @@johnkilimo9520 kwel ww kafiri...

    • @johnkilimo9520
      @johnkilimo9520 2 ปีที่แล้ว

      @@ahmadubeida8735 3:11 uma wako Muhamad makafili 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @ahmadubeida8735
      @ahmadubeida8735 2 ปีที่แล้ว

      @@johnkilimo9520 unajua maana ya kafiri ww...???

    • @johnkilimo9520
      @johnkilimo9520 2 ปีที่แล้ว

      @@ahmadubeida8735 nimekupa aya sasa tafakari mwenyewe

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph740 2 ปีที่แล้ว

    Wakristo hawajielewi’ Yesu kabatizwa na yohana’ Je Yesu alishawahi kubatiza mtu yoyote au hata aliwahi kubatiza wanafunzi wake..?...au wanafunzi waliwahi kubatiza..?..Yaani hawa hawajielewi’ Kwa sababu hata habari ya yohana na Yesu haieleweki ‘ maana Yohana yupo gerezani’ Yesu kashakimbia na wazazi wake misri ‘ karudi yohana kishakatwa kichwa Na hata mfalme aliyetoa amri yohana auawe nae kafa...!...hii stori haieleweki..!

    • @johnkilimo9520
      @johnkilimo9520 2 ปีที่แล้ว

      😆😆😆😆 soma 10:102 Quran ili ujue mnafuata mtu asiyejua aendako 😂😂😂🤣🤣

    • @ismailyusuph740
      @ismailyusuph740 2 ปีที่แล้ว

      @@johnkilimo9520 .....hahaa...hujaelewa ‘..Watu walimfuata mtume ili awaambie itakuaje siku ya mwisho’ mtume akawajibu sielewi ‘ Na aliwajibu hivyo Kwa kuwa hakuwa ameshushiwa ufunuo wakati huo’ Na asingesema asichokijua au kujibu Kwa matamanio yake’ Na hiyo ni kawaida ya mitume ‘ hata Yesu alishaulizwa’ akajibu mimi sisemi neno mwenyewe ‘ nisikiavyo Ndio nihukumuvyo..!
      Baada ya kushushiwa ufunuo na MUNGU mtume Aliwajibu Watu itavyokua ‘ ...!...aliwaambia ‘ Ukiwa muovu utalipwa sawa na uovu wko’ Na ukitenda mema ukiwa muislam mwanaume au mwanamke utaingia peponi urudhukiwe humo..!...hahaha...!...SOMA ww Acha ushabiki’ ...UMEDANDIA TRENI KWA MBELE...!

    • @johnkilimo9520
      @johnkilimo9520 2 ปีที่แล้ว

      @@ismailyusuph740 dah hatareee sana waislamu mnafuta Mudy huku hajui aendako eti mtume wa Mungu 🤣🤣🤣🤣🤣2:97 inaesma adui wa malaika jibril ndie alie telemsha Quran inamaana ni shetani huyo 😆😆😆😆😆

    • @ismailyusuph740
      @ismailyusuph740 2 ปีที่แล้ว

      @@johnkilimo9520 ..Ndugu inaelekea unakurupuka Kwa ushabiki bila maandiko ‘ Waislam tunajua tunakoenda ‘na Aya nimekusaidia uelewe’ Sasa labda ww utoe andiko wakristo wataingia uzima wa milele..!
      Hiyo Aya uliyotoa bado hujaelewa ni vizuri ukauliza ili ufahamishwe ‘ ...sisi waislam tunaamini katika maandiko Sio blah blah ‘ hilo andiko ni mayahudi na manaswara ambao walikua wakiona ghadhabu ya muhammad kupewa utume ‘ Ndio MUNGU anashusha ufunuo kumwambia awaambie ‘ ni MUNGU aliyetaka Jibril kumpelekea utume muhammad ‘ Na angetaka angempa yyt ‘ Lkn aliyekusudiwa ni muhammad hivyo hata wakichukia ni bure tu...!...SOMA uelewe ‘ usikurupukie Aya’ hizo aya Sasa hivi wakristo wenzio wameelewa zamani baada ya kuzisoma na kuelewa...!...hoja zangu Juu pale hujajibu hata moja Kwa sababu huna maandiko..!...hahaaaa...4-0

    • @johnkilimo9520
      @johnkilimo9520 2 ปีที่แล้ว

      @@ismailyusuph740 Mudy anasema mm cyo kiroja mpya katika mitume na wala cjui niendako ngojeni nami nangojea na wala cna uwezo wakujipa mamlaka lkn Yesu Kristo alisema nimepewa mamlaka yooote mbinguni na duniani Yohana 14:6 🙏🙏🙏