UFUGAJI WA BATA VS KUKU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ส.ค. 2024
  • Ufugaji wa bata vs ufugaji wa kuku
    #ufugajiwakuku
    👉Jiunge nasi facebook
    www.facebook.c...
    👉Video zetu kuhusu ufugaji wa kuku na kilimo cha mazao mbali mbali zinapatikana
    / @agalustv

ความคิดเห็น • 80

  • @user-bm8xo5bx5r
    @user-bm8xo5bx5r ปีที่แล้ว +2

    Asanteni kwa mafunzo yenu yanayoendelea. Bado naendelea kujifunza.

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว

      Karibu Sana ndugu

  • @user-mn2we8mc3x
    @user-mn2we8mc3x 8 หลายเดือนก่อน +1

    Habali ya kazi mm ndy nimeanza ufugaji wa bata, nataka kufahamu bata anauwezo wakutotoa Mayai mangapi akiatamia kwakuwa bata wangu wametaga sehem moja zaid ya mmoja na Mayai yamekuwa zaid ya 30

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  8 หลายเดือนก่อน

      Angalau mayai 8 hadi 10

  • @LautaroIshak
    @LautaroIshak 19 วันที่ผ่านมา

    Kwa sababu wanakula sana

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  19 วันที่ผ่านมา

      Ni hesbau tu ndugu

  • @hollojumannemlimi4496
    @hollojumannemlimi4496 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante kwa elimu

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Tupo pamoja ndugu

  • @oldpoultry9341
    @oldpoultry9341 2 ปีที่แล้ว +2

    Soo beautiful 😍
    Stay connected please 🙏🏼

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Ok thank you🙏🙏🤝

  • @user-jd1yo1ve6u
    @user-jd1yo1ve6u 5 หลายเดือนก่อน +1

    Je bata anaweza kufugwa kwenye cage yaani banda la ghorofa kama kuku??

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  5 หลายเดือนก่อน +1

      Hapana ndugu

  • @ashrathswaibu3990
    @ashrathswaibu3990 ปีที่แล้ว +1

    unaweza kufuga kuku na bata wakalala chumba kimoja?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว

      Wanaweza japo kitaalam si vizur maaana waweza sababisha magonjwa kw kuku

  • @mwamvitasigera2695
    @mwamvitasigera2695 19 วันที่ผ่านมา

    Vifaranga vya bata wangu haviwezi kusimama ghafla tu.je shida ni nini na dawa ni nini

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  19 วันที่ผ่านมา

      Vitamin na madini wape

  • @adamchizabushahuchizabus-bu4ui
    @adamchizabushahuchizabus-bu4ui ปีที่แล้ว +1

    Naitwa Adam chiza niko mwanza busweru naombo maerekezo jinsi ya kutunza vifaranga vya kuku

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว

      Video za utunzaji wa vifaranga
      th-cam.com/play/PL8xez8Eh4s0ENNDvJHA3l1dLb6SOmAv3b.html

  • @raphaelmatondane4676
    @raphaelmatondane4676 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nahitaji mayai kwa ajiri ya kutotolesha.

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      Mayai ya nini ndugu bata AU kuku

    • @EmmanuelTamosha
      @EmmanuelTamosha หลายเดือนก่อน

      @@AGALUSTV kuku

  • @janethmkilindi4819
    @janethmkilindi4819 ปีที่แล้ว +2

    Unaweza kuchanganya kuku na bata

  • @MilicahMalemba
    @MilicahMalemba 11 หลายเดือนก่อน +1

    Bata anaanza kutaga akiwa na umri gani?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  11 หลายเดือนก่อน

      Miezi 6+

  • @fatumalemky8657
    @fatumalemky8657 ปีที่แล้ว +2

    Wanadema ukiyashika mayai ya Bata anazira kuyaatamia

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว

      Unaposhika mayai upakae Majivu mikonono na iwe usiku

  • @rosekhalid2953
    @rosekhalid2953 2 ปีที่แล้ว +2

    Naomba kuliza changamoto za bata wanapoanguliwa unatakiwa wapewe Nini na wanatakiwa uawandaaje

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Joto, vitamin na chakula kizuri

  • @allanluoga2425
    @allanluoga2425 2 ปีที่แล้ว +1

    Kuku🔥

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Aaaaah 😁😁

  • @user-yc9ev5wj5f
    @user-yc9ev5wj5f ปีที่แล้ว +1

    Tuma number ya simu yako

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว

      Sawa ndugu

  • @LautaroIshak
    @LautaroIshak 19 วันที่ผ่านมา

    Mm nataka nianze kufunga bata ila Watu wanasema kwamba bata hawana faida kwa sababu wanakuja sana

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  19 วันที่ผ่านมา

      Ata bei take IPO juu pia

  • @faidakulanga2531
    @faidakulanga2531 ปีที่แล้ว +1

    Asande

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว

      Barikiwa sana

  • @merysaimony6526
    @merysaimony6526 2 ปีที่แล้ว +1

    Ntapataje bata

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Upo wapi

  • @jayharryson4913
    @jayharryson4913 2 ปีที่แล้ว +2

    Agalus mbona naweka swali langu toka somo lililopita hunijibu
    Nimeuliza Kuku wangu nahisi Yai kavunjia Tumbon nafanyaje...?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว +1

      Pole. Na samahani kwa kuchelewa. Angalia sehem y haja kama kuna ute unatoka kama upo ni njia ya kujua kama yai limepasuka. Pia angalia kucheza kw mkia, na kujitenga na kujikunyata sasa kama ni kweli kumsaidia ingiza vidole sehem y haja kukagua kama kw ndani kuna mabaki, uyatoe pia mpe Anti biotics pia waweza weka maji y vugu vugu yenye chumvi kumkanda sehem hizo🙏🙏🙏 tuzid wasiliana

    • @jayharryson4913
      @jayharryson4913 2 ปีที่แล้ว +1

      Naona hana tatizo lolote siku tano toka nihisi limepasuka sema nadhan kama kagoma kutaga tena

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Ok🙏🙏🙏

    • @kahinditv2250
      @kahinditv2250 2 ปีที่แล้ว +1

      Ahsanteni lkn je Bata anapougua tiba yake niipi

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Ucjali lipo somo la magonjwa na tiba za bata linakuja ivi punde🙏🙏

  • @havertzclement689
    @havertzclement689 2 ปีที่แล้ว +1

    Bata wangu wanachelewa Sana kutaga shida ipo wapi au dume ni mbovu

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      , wape madini kwenye Chakula Chao Wape DCP au chokaa na mifupa

    • @fatmakirungi9926
      @fatmakirungi9926 2 ปีที่แล้ว +1

      Fatilia kilaalfajili na usiku anawapanda

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Okay

  • @havertzclement689
    @havertzclement689 2 ปีที่แล้ว

    kinga ya bata Kinga ya asiri ni Kinga gan

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Nyingi zjnafanana na za kuku 🙏🤝

  • @moseskasanga8844
    @moseskasanga8844 2 ปีที่แล้ว +1

    Naomba nifundishwe namna ya kutengeneza dawa za asili Kuuwa utitili na viroboto

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Tiba za as ili za viroboto na utitiri ni hili somo lake👇
      th-cam.com/video/NEWUCCjobCw/w-d-xo.html

  • @EmmanuelTamosha
    @EmmanuelTamosha หลายเดือนก่อน +1

    Jamani masoko yao yako wap??

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Masoko ya nini ndugu kuku AU bata

    • @EmmanuelTamosha
      @EmmanuelTamosha หลายเดือนก่อน +1

      @@AGALUSTV bata

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Sawa wa ndugu tutazidi Kuwasiliana kupata masoko

  • @nooratshariff5067
    @nooratshariff5067 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbona wanasa kua bats wanaugonjwa wakuezashingo ?jibu tafadhali

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Upungufu wa vitamin na madini wape bata madini na vitamin mara kw mara🙏

  • @godfreyngowi6434
    @godfreyngowi6434 2 ปีที่แล้ว +2

    Nasikia bata hawana soko kama kuku, je ni kweli?

    • @havertzclement689
      @havertzclement689 2 ปีที่แล้ว

      Iyo ni kweri kbsa aifichk

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Pamoja sana, 🤝🙏

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Hutegemea na mazingira uliyopo japo up ndyo ukweli 🙏

  • @rosekhalid2953
    @rosekhalid2953 2 ปีที่แล้ว +1

    Natamani San Bata kuwafunga Ila Bata anangua alafu watoto wanakufa natakiwa kuwapa chanjo km kuku au naomba ushauri

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว +1

      Hapana wape joto na vitamin KWENYE Maji y kunywa na chakula kizuri

  • @kashindekalungwana8588
    @kashindekalungwana8588 2 ปีที่แล้ว +1

    Soko la mayaiya Bata na bata

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Unaitaji au

  • @richardkunambi9400
    @richardkunambi9400 ปีที่แล้ว +1

    Naomba kujua soko la kuuza bata baadae ya kukua na bei yake ni wastani upi ?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว

      Sawa tukipata tutakujuza

    • @JumaKisailo-et4jc
      @JumaKisailo-et4jc 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kumbe soko la Bata hakuna

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  4 หลายเดือนก่อน

      Tuzid wasiliana tu

  • @irenebahati5458
    @irenebahati5458 2 ปีที่แล้ว +3

    Bata wangu amehama nyumbani anapaa naona anakimbia dume nifanyaje arudi anahasira wiki ya tatu hii harud analala juu ya nyumba ya jiran nikitaka kumshika anapaa

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Mkate mabawa 🙏🙏 fuatilia apa
      th-cam.com/video/h0-bKlcoZ3o/w-d-xo.html

    • @nyangigenyabitwano1180
      @nyangigenyabitwano1180 2 ปีที่แล้ว +1

      Wakate mabawa Yale manyoya marefu

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      OK 🙏🏿✍️

  • @margaretwanjiku9621
    @margaretwanjiku9621 2 ปีที่แล้ว +1

    Unaweza fuga kuku na bata kwa banda moja?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว +1

      Si vizuri kufanya hivyo hasa kwa kuku ni rahisi kushambuliwa na magonjwa

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว +2

      Si vizuri kufanya hivyo hasa kwa kuku ni rahisi kushambuliwa na magonjwa

  • @emmanuelruda3211
    @emmanuelruda3211 2 ปีที่แล้ว +1

    Ni vena kuanza kufuga Bata wangap?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Uwezo wako tu