FAIDA ZA MAJIVU KWA KUKU/ Benefits and use of wood ash to poultry farm

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 36

  • @florakivenule1533
    @florakivenule1533 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa somo nzuri

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Tupo pamoja sana ndugu endelea kutufuatilia video zingine zaidi ktkt channel hii ujifunze mengi

  • @AminaJumanne-q6v
    @AminaJumanne-q6v 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nafurahia mafunzo Asante sana

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa sana ndugu

  • @IsmailNiilo
    @IsmailNiilo 2 หลายเดือนก่อน +1

    Bravo

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      Thank you

  • @HappinessIshengoma-n6q
    @HappinessIshengoma-n6q 3 หลายเดือนก่อน +2

    Asante sana kwa elimu

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      Tupo pamoja sana

  • @JANEBGOYA
    @JANEBGOYA 2 หลายเดือนก่อน +2

    ASANTE SANA

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa pia

  • @AnneManyanda
    @AnneManyanda 16 วันที่ผ่านมา +1

    Nimefurahishwa na somo hili, nitatumia

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  16 วันที่ผ่านมา

      Tunashukuru sana kwa hilo . Endelea kutufuatilia video zingine zaidi ktkt channel hii ujifunze mengi zaidi

  • @luqmanjustin2173
    @luqmanjustin2173 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wazo zuri mnoo 😊

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa sana ndugu karibu katika ufugaji

    • @luqmanjustin2173
      @luqmanjustin2173 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@AGALUSTV asnte nimekwisha karibia

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      @luqmanjustin2173 tupo pamoja sana ndugu

    • @luqmanjustin2173
      @luqmanjustin2173 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@AGALUSTV sawasawa

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      @luqmanjustin2173 🤝✍️

  • @HappinessIshengoma-n6q
    @HappinessIshengoma-n6q 3 หลายเดือนก่อน +1

    Swali langu ni je,..nawezaje kujua yai la kuku wa kienyeji kama Lina mbegu au la,..yaani kama litatotoleka?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      Kujua yai lenye mbegu ni baada ya wiki Moja baada ya kuatamia.
      th-cam.com/video/GYn2tgwKlvw/w-d-xo.html

  • @MugaboAfande
    @MugaboAfande 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kweri

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      Hakika

  • @HaruniSamwel-i7f
    @HaruniSamwel-i7f 3 หลายเดือนก่อน +1

    Uhakika ticha

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa sana ndugu

  • @Grace-og9wl
    @Grace-og9wl 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mayai ya bata waeza shika ukijipaka jivu

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      Ndio japo usipende sana shida mayai ya bata

  • @ChrstopherPeter
    @ChrstopherPeter 2 หลายเดือนก่อน

    Samahan swli ety kuku yeyote akiwa na utitiill unatakiwa awe na dawa gan na matumiz yake

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      Dawa za utitiri zipo duka la mifugo ndugu

    • @ladislausmsongole8479
      @ladislausmsongole8479 2 หลายเดือนก่อน +1

      Twanga majani ya kisamvu loweka kwenye maji kisha wanyunyizie. Au nunua Akheri powder duka la dawa za mifugo. Pia mafuta ya taa utitili haupendi ukiwapaka kuku

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน +1

      @ladislausmsongole8479 Tunashukuru sana kwa ushirikiano

  • @babuusomi2877
    @babuusomi2877 3 หลายเดือนก่อน +1

    Somi halijaeleweka kabisa kwa kwamba majivu ni dawa au madini

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      Tumeelekeza faida za majivu kwa kuku... Ktk kuhimarisha afya kwa ujumla

  • @Rehemandimbo-t3x
    @Rehemandimbo-t3x 3 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba unisaidie dawa kienyeji ya mafua

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      Tiba asili ya mafua
      th-cam.com/video/WGT_dUPqrZM/w-d-xo.html

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa elimu nzuri

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      Tupo pamoja sana ndugu