Hapa nimegundua Sasa unajua mm huwa nakufatilia Sana hata kwenye mahubili yako bora umeniongezea siku za kuishi tena maana nimecheka Sana ukweli huwezi kushangilia Manchester wkt timu yako hapa Tz huishangiliii😂😂😀😀😂😂
Yaani katika comedy za Masanja napendaga zaidi hizi za enzi za mwalimu aina hizi naweza kukaa siku nzima naziangalia ila tatizo haziko nyingi online pls any help mwenye nazo anisaidie aloo BIG UP MASANJA
🤣🤣🤣 pumbavu....! Bila kokosolewa hutofika...@ Pastor masanja. - Mjasiriamali wa karne....young billionaire. Kazi nzuri sana ya kuhamasisha, ndomana yote yamezaa matunda. 🙄🙄😏🤔🤔🤨🤨🤨😚☺😘🤣🤣🤣🤢🤢🤮🤮🤧🤧🤓🤓🤓🤕🤯🤯👺👺☻☻👣👣👀👁👥👥👏👏🤘🤘👌 show love. Nakupenda sana Masanja😇💩🙃
Ahsante sana kaka tufanye uzalendo. Na mtindo wa kusubilia goli lifungwe ndo tushangilie haileti maana ni mwendo wa kushangilia mwanzo mwisho tuige kwa mashabiki wa Liverpool
*Kama unakubali kiatu cha Mkandamizaji gonga like* 😂 😂 😂 😂
Mungu huwa anampa kila mtu kitu chake kaka hii ndio kazi yako...gonga like kama unaliona hili
Baba mch Leo kavurugwa sana hataki masihala kwenye nchi yetu twendeni TAIFA asante baba mchungaji
Haswa inabidi kesho ibada ya asubuh ili tuwahi kufanya mapenzi na timu yetu
Kama umesikia ukafanye mapenz na samata na kichuya na msuva gonga like yko hap
Matala Moma 😂😂😂😂😂Me ctaki jmn 😂😂😂
😀😀
Hatari
😁😁
Mungu akujali kila la KHERI inshallah 👌😅😅😅😅masanja hongera bro
Unapita na vigari vya watoto 😂😂😂😂😂😂hii nimekuja kuona 2020
😆😆😆😅😅😅😅
Hahahaha we miss you guys come back men!
Mashemegi zangu wa 🇹🇿 ilikuwa n haki yenu kufuzu mana sio kwa kuhamasisha mlivo hamasisha tukutane Egypt AFCON ln sha Allah #🇰🇪
Mbona watanzania atupendi kufanya mapenzi na nnchi yetu.. Twenden tukafanye mapenzi taifa
yekeyeke yekete sure tayariiii watu tulikuwa nyomi balaaa
😁😁😁😁😁😁msuvaaaa
hahahaaaa tushafanya mapenzii...
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
twendeni tukafanye mapenzi na tim yetu jaman ifikapo j.pili
Hahaaaaaa ,inabidi na mimi nikafanye mapenzi na timu yangu kwa kweli(uzalendo kwanza)
kafanye mapenzi na thamata ili tuwafunge waganda
My self nimeflahi Sana nikwer Kabsa, duniani bila mapenzi wew usingekuwepo halikadhalika timu ya (TAIFA 🌟) usingekuwepo.
Uyo mpaka langi umemkomesha😂😂😂
😂😂😂😂niazime hiyo kiatu
My Best actor of all the time despite ubize wake wa neno la mungu
😁😁😁unapita na vigari vya watoto uuuuuw
hahahaaaa
Hongera sn brother. Point taken!
Nlikuwa napenda sna na still I like this style
way back ,,,, liniutarudi tena
dar nmeikumbuka original comedy
Ahahahaaaa ni Leo Jamani mkafanye mapenzi uwanjani Jamani
good masanja we scored
😂😂masanja sarutiiiiiiiìiiii
Ahsante masanja
asante safi sana
Hee iyo moka ya masanja
Hahaa bora urudi kwenye komedi tuu asee
😂😂😂😂😂😂icho kiatu sasa had gar inapigwa tege masaja shikamoo jaman mkaka anae dhohofisha taifa kwa kupaka rangi wadada pole
Zainabu Khalifa utaenda Zena tuandamane
@@silasmwaringa9106 apana best sipo tz ningeenda lakin ndo ivyo
Hahah unatisha yani kiatu ni hatari🤣🤣
😂😂😂😂jumapili ni kufanya mapenzi tu na team ya taifa
Lazima tukafanye mapenzi 😊
😂😂😂😂😂😂mchungaji banaaaa aca na mimi niende uwanja wataifa nikaone Burundi na Gabon siko mtizi jameniii nasisi leo tukashangiliye team yetu ya taifa
😂😂😂😂😂masanja ww noma ww kila idara ukosei iyo kiatu umeitoaa wp mzee baba hahaahh kwl watu wakafanye mapenzi na amunikee uko
Ooh jaman mbona imeishaa
Hiyo kiatu hahahah
Hahahahah hilo shoes sasa hahahahaha Kemea pepo shikamoooooooo Tukutane Taifa tr 24
george mbembe kiatu nishida.
@@aishaail4455 hahaha shoes hii cyo ya nchi hii hahahahah
hahahaaaaaa nimpenda sana hyo
Skonkodi hizo sasa😂😂😂😂😂
Skonkodi "ndo Nini"
😹😂 oi masanja make more of this vichekesho still 🔥🔥 on pick
Upo vzur kaka
Mpaka nimekumbuka enzi izo 😂😂😂
mkafanye mapenzi na Samata ahahahahahahaah teteteeteteteet
Hapa nimegundua Sasa unajua mm huwa nakufatilia Sana hata kwenye mahubili yako bora umeniongezea siku za kuishi tena maana nimecheka Sana ukweli huwezi kushangilia Manchester wkt timu yako hapa Tz huishangiliii😂😂😀😀😂😂
Ongera masanja oyee!!!
Yaani katika comedy za Masanja napendaga zaidi hizi za enzi za mwalimu aina hizi naweza kukaa siku nzima naziangalia ila tatizo haziko nyingi online pls any help mwenye nazo anisaidie aloo BIG UP MASANJA
Kweli watu wamekalia kushabikia timu za watu na ugonvi juu lkn yakwao hata kuongelea hawaongie
🤣🤣🤣 pumbavu....!
Bila kokosolewa hutofika...@ Pastor masanja.
- Mjasiriamali wa karne....young billionaire.
Kazi nzuri sana ya kuhamasisha, ndomana yote yamezaa matunda.
🙄🙄😏🤔🤔🤨🤨🤨😚☺😘🤣🤣🤣🤢🤢🤮🤮🤧🤧🤓🤓🤓🤕🤯🤯👺👺☻☻👣👣👀👁👥👥👏👏🤘🤘👌 show love.
Nakupenda sana Masanja😇💩🙃
Safi sana walioko Dar. mtuwakilishe jaman
Kkkkkkkkkkkkk sanaa kiongoz nakukubaliiiiii
Ahaaa nimependa
Mmepata bahati ya kumiliki pesa na smartphone,. Kuandika kusoma kwako shida, ni uwanja siyo wanja
Hahahahaha.....jaman mwee uzalendo kwanza mengine yanafuata
mpumbavu,,unapita na vigari vya watoto hapaaaaa,,,hahahahhaaaa
Hahaaahahahahaaaaaaa, safi sana Masanja
Fanya mapenzu na timu ya taifa😂😂😂😂
Tukafanye mapenzi na timu yetu,...!!?😂😂 Kwa wanawake sawa ila sisi wanaume Itabidi twiga Starz iwepo...!! Ndio mapenzi yatafanywa vizuri
hahaha
Safi sn mchungaji,😂😂😂
Mmmm mapenz na amunike
umenichekesha kwa sauti kuuu masanja
team masanja like bs
😂😂mungu wangu
Hahahahahahaaaaaa hii sasa kali
Aiiiii umenichekeshaaaa nomaaa mtumishi wwww kiboko
Hahahaaa vigari vya watoto
Mbavu zangu jamani
Nakupenda Sana mchungaji wangu.
Hii kalii
Twenden tukafanye mapenzi na amonike
Mi ni Mzalendo lkn Taifa stars kuifunga uganda ni sawa na kuchemsha supu ya Mawe🏃🏻🏃🏻
Haaaaaaaaa mbavu zangu icho kiyatu sasa cha kemeya pepo
Asante masaja
Unapita na vigari vya watoto pipiii unampigia nani
Mungu isaidie taifa yetu ishinde
Kiukweli umeicheza vizuri 😀😀😀
mwalimu kashasema.....
Mkurabita mkubwa 😂🤣😂🤣🤣 shabiki namba moja namaanisha hii 1 wa masanja fanya comed kaka watu wafurahi.....
😂😂😂eti fanya mapenzi nataifa aisee ila kwel tunapenda team zainje mnoo.
😂😂😂😂😂😂😂😂 kafanye mapenzi na samata
Sawaaa
Eti,,,,,,ndo mchungaji, ,,,hatr mtupuuu, ,,afu uzalendo co kuangalia mpira
Hahaha jamani masanja love u
HAHAHAAAA TUSHAFANYA MAPENZI
masanja noma
Ndio baba!
hahahaaa et mnapaka rangi mabinti ndo nyie mnadhoofisha taifa duuh
Mara paaa mnaenda wengi halafu mnafungwa 🙈🙈🙈
Wachane Baba, wakafanye mapenzi
😅😅😅😅😅😅😅 huyo mpaka rangi kucha kanifurahisha
tumefanya mapenzi na timu yetu leo masanja tatu bilaaaaa😀😀😀😀😀😀
Nakubali mkandamizaji
Haaaaaa masanja bwana
mmmmmmmhhhhh umegusa panapo tunamapenzi na timu za nje lkn timu ya taifa hatuipi kipaumbele .big up mkandamizaji wakandamize baba
Hahahahahaaa waambie yanga hahahahaa
Hahahaaaa Manchester baba yako
Ahsante sana kaka tufanye uzalendo. Na mtindo wa kusubilia goli lifungwe ndo tushangilie haileti maana ni mwendo wa kushangilia mwanzo mwisho tuige kwa mashabiki wa Liverpool
Twende Taifa
Hahahahahha, TWENDENI TUKAFANYE MAPENZI NA TAIFA STARS, HAHH
😂😂😂😂 huyo ulomchapa nngekuwa Mimi sasa
😁😁😁😁 MTAKURAAA BAKORAAA NCHI MZIMAAAAAAAA
Kipaji cha usanii kipo hapo.
Ujumbe umenifikia.
Ahahahaa Ahahahaa oooooouuuuuiiiyee😁😁😁😁😁😁😁
acha uni masanja bwana azakwaza wew na msuva mkafanye mapezi