KICHEKO MSIBANI: Angalia Masanja Mkandamizaji alivyowachekesha watu siku ya mazishi
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
- Dr Josephat Gwajima is the Senior Pastor of a Largest Church in Tanzania. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God is using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in the name of Jesus. Follow his Facebook page jgwajima Instagram bishopgwajima
Join our Live Online Services every sunday at 1030 East Africa Time
Masanja oyeeee from Lebanon nawakilisha
Amina leo umenibariki
Mungu aiweke mahali pema
Good speech for the family n community i like the intermix this guy is brilliant.when it's sad time we need people to comfort us at the same time educate us not to provoke God.God bless you Masanja...
Hallelujah‼︎
Brother Masanja uko vizuri sana
Safiiiiiii......... majeshi majeshi.....%100
Nawatangazia ulimwengu kwamba Yesu kristo atarudi kuchukuwa watakatifu wake okokokeni tubuni haraka walioanguka rudini kwa Yesu inukeni tutembee
Nampenda sana Rais wetu Jonh Pombe magufuri kwa kazi nzuri anayo ifanya,ametufuta machozi kwa mambo yote tuliyo yapata kipindi cha nyuma,naomba watanzania wote tuzidi kumwombea uzima mungu azidi kumwongoza katika kazi yake nzuri anayo ifanya,Amina
Amos Lumoka magufuli kajaje hapa
Ila kwel
Polepole na kamati yako mupo vizuri sana saluti kwenu maana musiba hafai kua kiongozi pamoja na lugola alikua waziri wa mambo ya ndani akathani dunia ameibeba kwenye mgongo wake kumbe mambo ya mpito too.
Ni vizuri kwa kuwa kilio hakitakiwi kwa watakatifu....
Nakukubali kka mungu ndy mchungaji
mmmh he hatare
Barakah
Safi sana mazishi ya watakatifu haina kilio twajua mwezetu ametangulia tu nyuma nasi.
Kenya hapa nawakilisha
Ok pw
Masanja nirikua nakipinga sana IRA Leo nimekukubali wenimtumishi wa mungu nisamehe kwa kukupinga ameni ubarikiwe imanueli mgaya nakuoenda sana kama unavyojikubali mwenyewe aleluya!!
Bwana akubariki
hongera Sana Masanja
Jaman
Jameni mbavu zangu nakupenda bule masanja
God blessings
Hapo kipaji kipoo
Masanja namkubali sana yaan
amen
Achen siasa wakan ni kaz2
Amen
amina
Ndalo Joriga
amen mungu ni mwema hatuna bundi kumrudishia yeye sifa na utukufu
George Mwambona
bundi
typing error nilimaanisha BUDI na siyo bundi
msuya utahukumiwa kwa kutofuata maagizo ya kristo
Masanja
Pole
Nakupenda bure masanja we ni hatari
W
Masanja we nooomaaa sanaaa
Bwana alitoa na Bwana ametwa jinalake lipewesifa
Dojaman mungu awake rohoya malehemu mahalpema Pepon apumzike Kwa aman
Nampenda bule masanja
sasa mbona Gwajima kashindwa kumfufua mama yake hali yuafufua wafu? wajinga ndio waliwao
Yohana Chihongo q1g
hi nibongo move nawara cyo msiba
Abduly Sheky Mganga hajigangi
juliasi MUSSA
nawakubali san
Nikweli kabisa masanja Kwa sababu Sisi watanzania tunaongoza Kwa rushwa matajir wote wange enda pepon .
ukovizuri masanja watu same barikiwa
safari njema ndugu yetu
Masanj una mamb duuuuuuuh
Tafuta furaha,aman,upendo wazati,hekima,busara,piakueshimika kupitia mungu kwamwanadau utapata machozi
mtahukumiwa
Bahahti bu
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
th-cam.com/play/PLKasB8zDTCL-jXnbRpY_0e-ydrNjlulzU.html
Soma Biblia kila siku kwa njia ya Audio
Hivi Gwajima ni lini atajenga lile kanisa alilosema na kununua Ile train?
Kigogo
Haha masanja bibi alikuwa kweny promotion time 😻😀😀😀
mwenyenachoHajgamb
Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake libarikiwe
😃😃😃😃
Aladin
Msiba ni sherehe
ঃঃযলি
Tayari
P
muuuuua jamami kicheko
Nyie hukumu Itoke wap na wakati yesu kashabeba dhambi zenu !
Daaaaah unahitaji kusoma maandika bro, SOMA BIBLIA
Shomari Msuya hukumu IPO kama hukuomba msamaha yesu alikufa kwaajili yetu ila usikosee bila kutubu toba ni lazima
Hata me najua hukumu ipo Happy , ila kuna baadhi ya wakristo wasiojua hilo , kama hili lijama linajiita Thomas jinga Sana hili
Thomas Moris we punga kweli wewe ! Udini wa kijinga ukowap sasa apo !
Kwanini unapenda kuleta udini? Hii inaonesha uwezo mdogo wa akili wewe shika unachokiamini usichokinua kiache.
hivi kuna mtuu amemuonaga mungu au yesu? kuna mtuu ambayo ameenda binguni au peponi? saa nyingine ujinga ni ubaya. ukishakufa basi tuu amna kitu kinaendelea. angalieni amerikkka wanauwa watu wengi alafu bado wanasema wao ni nchii yawa christo. daa nilisaau mungu aliuwa watu wakati hali panda juu na wazimu wake. daa mungu apendi afrika ndio maana nchii za afrika haziendelewi na wageni ndio wanapendwa. watanzania wengi ni wa jinga kama nini, amukeni kondo
mmmmh ay bwan
yuko tununu
Ningeamini Gwajima ni mfufuaji wafu kama angelimfufua mama yake
neno
Miaka 84 amfufue kwa lipi?
Kwani Yesu mwenyewe alifufua wafu wote wakati ule. jibu unalo
hahahahaha eti kufufua aje amfufue marehemu bib yangu
Kufufua hawezi acheni kupotezana iseee
upuuzi
Duuh
mtukio
Yuko tununu sana
Jamani tumesahau kwamba kuna sherehe mbili... Ambazo ni kuzaliwa na kufa.... Tuwe tunasoma biblia jamani eeee..... Ubishi wawabongo...!!!!
Kuna tofauti ya sherehe na sikukuu brother,sikukuu inaweza kua sherehe lakini si kila sikukuu ni sherehe, msiba ni sikukuu ila si sherehe.
kweli
+joseph bizzy well said
haaaaa
hahaha biblia inachekesha kama nini...daa kaiyo mungu anapenda wazungu sana kuliko sisi? biblia ni kitabu cha wazungu ambayo mambo ya sheriha. wazungu walikuja afrika na biblia wakawapa waafrika kitabu na wakachukua nchii.
ila masanja
Hii comed
Masanja umezd kuchekesha bhana mpaka ubavu wauma
majuto
Rosemary Kiwelu y
Duu hi so PW
Da!!!
Umefariji hadi sahau kama uko na msiba.
Mm nifiwe na mzazi Wangu alafu nimwone mtu anafanya km anachekesha siwezi kumpenda
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana libalikiwe
Hatakama usimpende kwan marehem hatozikwa?
upo sahihi
Hapo ndo wanaponiacha hoi mm nilifikiri sherehe kumbe msiba
Sherehe yake ya mwisho
Doctor madofe tiba asili yupo kwaajili yenu, kutoa majini wachafu, kuzuiya majinamizi, kushika wezi, zindiko la mali, kumvuta mpenzi, kusafishwa nyota, kupata mtoto haraka, kurekebisha ndoa zenye migogoro, kumzibiti mme au mke kwenye michepuko, kufunga ndoa haraka, kupata Pete yabahati, kupata utajiri wa majini, dawa za biashara, masomo darasani, wasiliana na doctor madofe ili upate tiba, sim 0657035985,0745065574,0685326723.
Duuuuuu
noma san
Erasto Mbwaga allye fiwa anajickuyaje mnavyo cheka
wee kama unamuamini MUNGU Tuelezee kwenye hi haleluya yako sheria afanywe nini au utungiwe ya kiumbe ndio MUNGU hakua na sheria kakuletea upako tu wa kudanganya watu
Video za ngono
cruel romance
seedu generation haaa
seedu generations
Hahaha
hahahaha!ubarikiwe
Sasa ngwajima c unafufuaga watu ww, ,tunaomba utufufulie masI mzee wetu
BUSNA tv by si
Gwajima mfufue huyo tumuone
Tofautisha kati ya aliyechukuliwa msukule na ambaye wakat umefika wa kufa
na wew umekisea sio shereh mbili soma vizur biblia
Duuuuuuuuh hatar sana
Mmmmhu huu msiba au nini ? Manake si kwa vicheko hivyo
kuishi ni kristo kufa faida
Elizabeth Me and I
Elizabeth Mwandu tfrt
daaa hii balaa jmn!!
daah kamtimizia sherehe yake ya mwisho
Hapana ni kazi
Emmy Iponea ki p
Haaaaaa sio poa
Grace Stanfod ubarikiwre
Asikiae na Afahamu jamani
Lol 😂 kwa M/Mungu tumetoka na kwake tutarudi
Bibi alikuwa kwenye promotion time 😂😂😂😂😂😂😂😂
sasa msibani mbn sherehen
Eliada Abel msibani ukifika usiwe mzigo wape maneno ya faraja walo fiwa n thts what exactly Masanja is doing 😇😇
mbona kama sielewi elewi jaman hii nisheree au msiba maana naona jeneza
sikiliza neno alafu soma biblia
Holly Nation Productions msiba ni sherehe pia
Mm mwenyewe sielewii
efv v f ...
Kifo cha askofu nestoli timanywa
Hahahaha msiba umeingiliwa
haha
Haha
Amina leo umenibariki
Amen
Aladin
majuto