Smart ni kitu kikubwa sana kwa biashara na sio kwa mavazi tu, bali na maeneo megine. Mimi niliwah kutamani kununua bisi pale makumbusho, wakati najiandaa nimuite muuza bisi ninune, yule muuza bisi akakwapua mate kutoka kwenye koo, akayatema pembeni na wakati huo ameshikilia bisi packt mbili mikononi, nikahisi knyaa nikagairi. Mpaka sasa sitamani tena popcorn za makumbusho zote
Powerful 🎉
Braza uko vizuri kusema kweli uko juu umesema kweli maneno ya busara ili ufanikiwe
Asanteee nimekuelewa pale kwenye waza waza utaniambiaa 😅
Kweli kabisa biashar ni usafiii na kauli zuri
Mungu akubariki sana bro🎉
Wahindi wako vizuri sanaa..anacheka na MTEJA....mswahili ananuna kama amefumaniwa
Hongera sana mungu akupe afya njema kupitia mahubiri yako.
Uko vizr sana kaka Yani yote hayo nikweli kabisa
Kweli, muonekano kwenye biashara ni muhimu sana.
Kweli kabisa.....
Safi sana hii ni content muhimu sana
Asante bro 🙏
Safi
Oa bro kwani kunyoa kipara ndo heshima.