Hakika Ahazi umenihamasisha sana na hata nimejitolea kuweka bando kuruhusu vijana wapenda kukaa bila KAZI wakusikilize na hata kufanya majumbani mwao. Baadhii waliokusikiliza wamenifuatilia nyumbani na kujionea Ninachofanya .ktk huu umri wangu. Changamoto kubwa vijana wanataka white collar jobs wengine wanabesa hii elimu lkn hainikatishi tamaa ninaendelea kishawishi.
Thankx mkulima
Umenifurahisha kaka
Nakuhutaji Ahazi nipo Mlandizi
@@MaryKayila nitumie Ujumbe WhatsApps 0766 387 914 Tuyajenge
Nice job hakika inapendeza sana.
Nice nimeipenda Mimi Grace Malley ngoja Nijaribu ntawajulisha
asantee!!! kwa kutupa madini
Shukran
Umenihamasisha sana kaka yangu
Nice nice job, surely I wll practice it
Namimi nahitaji kulima nipo mbezi Luis
Naitwa Babla niko Zanzibar aise nimevutiwa mno na kilimo hiki.Naomba nipate mafunzo
Hakika Ahazi umenihamasisha sana na hata nimejitolea kuweka bando kuruhusu vijana wapenda kukaa bila KAZI wakusikilize na hata kufanya majumbani mwao. Baadhii waliokusikiliza wamenifuatilia nyumbani na kujionea Ninachofanya .ktk huu umri wangu. Changamoto kubwa vijana wanataka white collar jobs wengine wanabesa hii elimu lkn hainikatishi tamaa ninaendelea kishawishi.
Siku zote Jivunie Kazi iliyo katika Ubunifu wa akili Yako na Ikafanywa na Mkono wako....
Na Mimi naitaji kulima
Darasa bei GANI?