- 48
- 76 793
Ahazi Ngessy
เข้าร่วมเมื่อ 13 พ.ย. 2019
#Nawasaidia wajasiriamali kujenga biashara yenye mfumo wa kujitofautisha ili kuondokana na ushindani katika soko.
[Iba Siri Hii] Maajabu Ya Program Ya "Mavuno Mara 3" Kwenye Mahindi Ndani Ya Siku 26 Tu|Ahazi Ngessy
Kwa Nini Wewe Kama Mkulima Uendelee Kuteseka Wakati Umebahatika Kuona Video Hii? Chukua Hatua Mara Moja.
มุมมอง: 375
วีดีโอ
Ujumbe Muhimu Kwa Taasisi|Mtu Binafsi Bustani Eneo Dogo|Ahazi Ngessy
มุมมอง 3073 หลายเดือนก่อน
Je, Una Taasisi Ambayo Ungependa Iweze Kupendezeshwa na Garden? Haya Nafasi Ni Yako. Tuma Ujumbe WENYE neno Ofa Program Kwenda 0766 387 914.
Maajabu Wazungu Washika Majembe Profitable Garden|Ahazi Ngessy
มุมมอง 1823 หลายเดือนก่อน
Hivi Ni Kweli Umeshindwa Kuanzisha Bustani? Haya Unayo nafasi Sasa...Chukua Ofa Hii Kwa Sasa. Tuma Ujumbe WhatApps Kupitia Namba 0766387914
Kutoka Kutuona Matapeli Sasa Angalia [MIRAJI] Alivyosaidika|Ahazi Ngessy
มุมมอง 1084 หลายเดือนก่อน
Hata Wewe Unaweza Kuanzisha Bustani Eneo Dogo Ukiamua, Sisi Tupo Kwa Ajiri Yako. Tuandikie Neno Ofa WhatApps 0766 387 914 Upate Muongozo Hatua Kwa Hatua.
Una Maono? Kutumia Eneo Lako Dogo?|Haya Safari Imeanza|Ahazi Ngessy
มุมมอง 974 หลายเดือนก่อน
Una Maono? Eneo Dogo Lilete Mapinduzi? Haya Tuanzie Hapa...!
Kilimo Eneo Dogo Bila Stress, Jinyakulie Ofa|Ahazi Ngessy
มุมมอง 1284 หลายเดือนก่อน
Umekwama Kuanzisha Bustani Kwa Sababu Ya Kukosa Eneo? Haya Siri Hiyo Hapo Ni Wewe Tu. Jinyakulie Ofa Sasa Tuma Ujumbe Kwenda 255766387914
Maharage [PART II] Jinsi Ya Kuboresha Shamba La Maharage Kwa Organic|Ahazi Ngessy
มุมมอง 5695 หลายเดือนก่อน
Baada Ya Siku 14 Maendeleo Ni Hayo...Hakikisha na Wewe Unachukua Hatua Mara Moja.
[Maharage] Maajabu Ya Organic Kupigwa Mara Moja Tu|Ahazi Ngessy|Kupata Ofa 0766 387 914
มุมมอง 1415 หลายเดือนก่อน
Ukifanikiwa Kuanza Mapema Utapata Mazao Zaidi...Jinyakulie Ofa Ya Organic Lita 1 Kwa Tsh 65,000 Tu Badala Ya 85,000. Wasiliana 0766387914. Utapata Pia Muongozo Hatua Kwa Hatua Jinsi Ya Kufanya Kilimo Cha Maharage Kitakacho Kupa Mazao Mara 3 Zaidi...
[Jinyakulie Ofa Ya Bag] Uanzishe Bustani eneo Dogo|Ahazi Ngessy
มุมมอง 7455 หลายเดือนก่อน
Unaweza Ukiamua Bag la Matundu 160 ambalo linadumu zaidi ya miaka 3, linatosha eneo la Hatua 1 Kwa Hatua 1. Gharama Yake Ni Tsh 65,000 Lipia Leo Tsh 57,000 Na Ukichukua kuanzia 4 Lipia Tsh 51,000 kwa Kila bag. Utapata Ofa Ya Jinsi Ya Kutengeneza Udongo Bure.
Jinsi Ya Kuingiza Tsh 500,000+ Kila Mwezi Kupitia Bustani Eneo Dogo|Profitable Garden
มุมมอง 2.9K5 หลายเดือนก่อน
Unaweza Ukitia Nia, Ujuzi Na Usimamizi...
Bustani Katika Eneo Dogo|Profitable Garden
มุมมอง 1245 หลายเดือนก่อน
Kwa Nini Na wewe Isiwe Sehemu Ya Bustani Yako??
Jinsi Ya Kudhibiti Wadudu Katika Mboga Mboga Kwa Organic|Profitable Garden
มุมมอง 7206 หลายเดือนก่อน
Unaweza Kuacha Kula Mboga Mbovu Kama Utaamua...Inawezekana Kwa Kutumia Organic. #profitable #kilimo #organicfarming #profitable #verticalfarming
Jinsi Ya Kuchagua Mazao Ya Kulima Eneo Dogo|Ahazi Ngessy|Profitable Garden
มุมมอง 5727 หลายเดือนก่อน
Unafikiri.... nini Ili Ufanye Kilimo chenye Tija Eneo Dogo?? haya ndio Mambo Ya Kuzingatia...
Jinsi Wana Karagwe Walivyonufaika Na Profitable Garden|Ahazi Ngessy
มุมมอง 627 หลายเดือนก่อน
Jinsi Wana Karagwe Walivyonufaika Na Profitable Garden|Ahazi Ngessy
Jinsi Mwanafunzi Wetu Alivyopokea Oda Yake Ya Cake Garden|Ahazi Ngessy|Profitable Garden
มุมมอง 2027 หลายเดือนก่อน
Jinsi Mwanafunzi Wetu Alivyopokea Oda Yake Ya Cake Garden|Ahazi Ngessy|Profitable Garden
Jins Ya Kufaidika Na Kilimo Cha Cake Garden Eneo Dogo Na #Ahazi Ngessy|Profitable Garden
มุมมอง 3297 หลายเดือนก่อน
Jins Ya Kufaidika Na Kilimo Cha Cake Garden Eneo Dogo Na #Ahazi Ngessy|Profitable Garden
Jinsi Ya Kuanzisha Bustani Eneo Dogo|Profitable Garden|Ahazi Ngessy
มุมมอง 2288 หลายเดือนก่อน
Jinsi Ya Kuanzisha Bustani Eneo Dogo|Profitable Garden|Ahazi Ngessy
Jinsi Ya Kufaidika Na Eneo Dogo Kwa Bustani|Maneno Ya Walioshinda Na Ahazi Ngessy|Profitable Garden.
มุมมอง 6Kปีที่แล้ว
Jinsi Ya Kufaidika Na Eneo Dogo Kwa Bustani|Maneno Ya Walioshinda Na Ahazi Ngessy|Profitable Garden.
[SIRI SIRI] Hii Siri Katika Kuotesha Mboga EENEO DOGO Ichukue# Na Ahazi Ngessy|Profitable Garden.
มุมมอง 1.1Kปีที่แล้ว
[SIRI SIRI] Hii Siri Katika Kuotesha Mboga EENEO DOGO Ichukue# Na Ahazi Ngessy|Profitable Garden.
Kilimo Eneo Dogo|Kwa Bag Maalumu Na Ahazi Ngessy|Profitable Garden
มุมมอง 713ปีที่แล้ว
Kilimo Eneo Dogo|Kwa Bag Maalumu Na Ahazi Ngessy|Profitable Garden
KUFANYA KAZI-Official Video|Ahazi Ngessy Founder Profitable Garden & Kuku Uchumi...
มุมมอง 374ปีที่แล้ว
KUFANYA KAZI-Official Video|Ahazi Ngessy Founder Profitable Garden & Kuku Uchumi...
FAIDIKA NA ENEO DOGO KWA KILIMO|Ahazi Ngessy|Profitable Garden
มุมมอง 1.2Kปีที่แล้ว
FAIDIKA NA ENEO DOGO KWA KILIMO|Ahazi Ngessy|Profitable Garden
[SUPRISE!] JINSI MR EMMANUEL ALIVYOSHTUKIZA KUTEMBELEA PROFITABLE GARDEN Na Ahazi Ngessy
มุมมอง 608ปีที่แล้ว
[SUPRISE!] JINSI MR EMMANUEL ALIVYOSHTUKIZA KUTEMBELEA PROFITABLE GARDEN Na Ahazi Ngessy
JINSI YA KUTENGENEZA MICHE YA VITUNGUU KWA KITUNGUU|Na Ahazi Ngessy|Profitable Garden.
มุมมอง 8Kปีที่แล้ว
JINSI YA KUTENGENEZA MICHE YA VITUNGUU KWA KITUNGUU|Na Ahazi Ngessy|Profitable Garden.
OFA YA KUPATA PROGRAM YA KILIMO CHA MAGUNIA [BAG MAALUMU]
มุมมอง 1.4Kปีที่แล้ว
OFA YA KUPATA PROGRAM YA KILIMO CHA MAGUNIA [BAG MAALUMU]
KUTEMBELEWA KWA PROFITBLE GARDEN|Na Ahazi Ngessy|Profitable Garden
มุมมอง 15Kปีที่แล้ว
KUTEMBELEWA KWA PROFITBLE GARDEN|Na Ahazi Ngessy|Profitable Garden
MAENDELEO YA BUSTANI YANGU|Profitable Garden Na Ahazi Ngessy
มุมมอง 2.9Kปีที่แล้ว
MAENDELEO YA BUSTANI YANGU|Profitable Garden Na Ahazi Ngessy
UDONGO WENYE AFYA SIRI KATIKA BUSTANI|Na Ahazi Ngessy|Profitable Garden.
มุมมอง 1.2Kปีที่แล้ว
UDONGO WENYE AFYA SIRI KATIKA BUSTANI|Na Ahazi Ngessy|Profitable Garden.
WAZO NA NDOTO KWENYE MAFANIKIO|Profitable Garden Na Ahazi Ngessy
มุมมอง 728ปีที่แล้ว
WAZO NA NDOTO KWENYE MAFANIKIO|Profitable Garden Na Ahazi Ngessy
Zanzibar mnapatikana wapi
Tutumie Ujumbe WhatsApps
Namba Ya WhatsApps 0766 387 914
Hongera sana kwa kufunzu ktk ngazi hii.
Ahsante kwa elimu hiyo, nakutafuta
Wapi hiyo kaka
Kisha mwisho ikawaje!??
Naipataje
Tutumie Ujumbe WhatsApps 0766 387 914
Jinsi ya kujiunga kwenye program
@@Lightmgaya Tutumie Ujumbe WhatsApps 0766 387 914
Safi🔥🔥🔥🔥
Amazing nimependa mnoo
Asnte,nipo kasulu kigoma,naomba maelekezo oganiki ni nini ?
@@SeverinaCheka Tutumie Ujumbe WhatsApps 0766 387 914
Hongera
Nielekeze namba ya kuchanganya hiyoo medium
@@JoshuaMangare Tutumie Ujumbe WhatApps 0766387914
Ubarikiwe sana kupitia mafunzo yako nimeanza kupenda kilimo👍🏻👌
Karibu Sana....Ukipenda Kilimo Umependa Afya Yako..Ukipenda Afya Yako Umependa Uhai Wako...
Nakuhutaji Ahazi nipo Mlandizi
@@MaryKayila nitumie Ujumbe WhatsApps 0766 387 914 Tuyajenge
Mimi niko Pemba unanisaidiaje kujiunga na hiyo progaramm
@@AliHassan-ib8lq inawezekana Tutumie Ujumbe WhatApps 0766387914
Unapatiakana wapi?
Arusha....Karibu
Mwalimu Nahitaji bag napataje
Tutumie Ujumbe Whatapps 0766387914 TUkutumie Muongozo..
Mzee vip umeachana Na Kuku Uchumi ... hatupati taaluma kule kulikon ..
Mwalimu nakukubali sana huwa najifunza vitu vingi kupitia masomo yako
Karibu Sasna Sana, Kwa Pamoja Tuyapiganie Maono Yetu.
Thankx mkulima
Mwl Ninaomba kuweka oda unipatie mifuko 2 mikubwa tafadhali sana
@@teddymatasha4639 Karibu Nitumie Ujumbe WhatsApps 0766 387 914
Asante sana kwa hii elimu ya kukuza kutoka ngazi moja kwenda juu zaidi. Mungu akubarikie na kukulinda
Hizo bags ni bei gani
Hongera sana jembe umepiga hatua kubwa sana
@@dkalbertoanyasime9357 Shukrani Mkuu...Kazi Kazi!!
Nilitegemea utaonyesha mpaka mwisho😂
Natamani kuona bustani ,mifuko mnapata wapi?
@@fatmamsindi4612 Tuandikie Ujumbe WhatApps 0766387914
Hongera sana
Karibu...Tuandikie WhatsApp 0766 387 914
Jamn naitaji atuwa kwa atuwa sielewi unachanganya Nini naomba dalasa
Tuma Ujumbe WhatsApp Upewe Muongozo 0766 387 914
Shukran
Safi kabisa natamani kufanya kilimo hicho
Karibu...Umefikia Wapi??
Mwalim vp kuhusu temp ya eneo haisumbui ukiwa unahitaji mboga fulani?
Inategemea Upo Wapi na Unataka Kuzalisha Mboga Gani...
@@ahazingessy5643 Kwa Dar es Salaam unanishauri mboga gani. mimi nahitaji mboga salama
Pia udongo wangu ni mchanga sijui ni uboresheje. Je ogarnic nitaipataje huku
@@ahazingessy5643 Nipo DSM nahitaji tembele, mchicha nyanya, karoti na bitroot
@@Kombo2989 Wasiliana nasi 0766 387 914 Kwa Maelekezo Zaidi
Umetuonyesha njia
Ni mambo mazuri tunajifunza hapa