BUSTANI ZINAZOWAFAA WATU WAISHIO KWENYE NYUMBA ZA KUPANGA AU MIJINI | MODESTUS NANDE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2022
  • Je ungependa kula mboga ambazo umestawisha wewe mwenyewe kwa maji safi na mbolea unazoamini ni salama kwa afya yako; Lakini kwa bahati mabya sana unaishi mjini ambako hakuna ardhi ya kulima na tena umepanga sehemu ambayo hakuna uwanja wa kulima bustani ndogo ya mboga ?
    Wakulima wanakuambia hilo sio tatizo na haipaswi sababu ya wewe kutojishughulisha na kilimo ambacho kitakusaidia kupa mboga safi ambazo unatamani kuzipata. Unachotakiwa kufanya ni kutumia mbinu kadha wa kadha ambazo Mr. Modestus amezielezea katika video hii.
    Ziko mbinu zingine nyingi ambazo unaweza usizione katika video hii lakini tutakuletea katika video zijazo kama vile Kilimo bila udongo, Kilimo cha mboga mboga kwenye makopo n.k
    Usiache kutufuatilia kujua hayo yote na mengine mengi.

ความคิดเห็น • 9