Rehema Simfukwe - Huniachi (Live Music Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
- HUNIACHI ni wimbo wenye kutukumbusha UKUU na uweza wa MUNGU wetu na KWELI iliyo kwenye AHADI zake! Kwa mazingira yoyote yale YEYE amesema HATATUACHA. AHADI zake ni KWELI na ZIMEHAKIKISHWA.
Upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe; na katika mito, haitakugharikisha; uendapo katika moto, hutateketea; wala mwali wa moto hautakuunguza. Isaya 43:2
Live Recorded at Jakaya Kikwete Convention Center -Dodoma Tanzania
Song Composed by Samuel Yonah
Soprano:
1)Sarah John
2)Anna Masero
3)Joyceline Kato
Alto:
1)Elizabeth Hange
2) Happiness Humbo
3)Hannah Malumbu
4)Maryline James
Tenor:
1)Joshua Lugendo
2)Hagai Ipyana
3)George Sangiza
MD/Arranger/MainKeys - Samwel Yonah
Aux1(Synth Lead) - Victor Daniel
Aux 2 (Brass/Synth Cord) - Alfred Yonah
Aux 3 - (Marimba/Bells/Synth) Nasamwa Mwangosi
Guitarists:
Guitar 1🎸 - Andrew Kaniki
Guitar 2 - Emmanuel Robert
Bass Guitar -Raphael Shayo
Bass Guitar - Emmanuel Materu
Acoustic - Bezalel Mwandete
Drums:
Charles Singano
Peter Kiondo
Hospitality: Lightness Rhody, Praygod Ulomi, Sadwel Grishael
Lyric Interpreter: Venisia Z Mzonya
Audio Mixed/Mastered by Samuel Yonah/Samyonstudios
Decorations/LED Screen: Simply Special Decor
FOH Sound & Backline Equipment & Stage & Lights : HaddyPro Company Ltd
Make-up: Shatafrica Beity Store
Designer: Jujustitches
Powerful song! I like ve the creativity involved, from the melody to the video to the anointing! More grace to you and your team!! Ubarikiwe sana Rehema
Ubarikiwe sana mama yangu
I love you ministry
Wakenya sote twasema hatatuacha
Amen
Kabisa 🥳🥳🥳
This my song
If you are from Kenya gonga like hapa tukisonga 😊
😊😊
Mbarikiwe sanaa
This is so profound huniachiii❤Israel Mbonyi song 4days ago🎉Sarah K new song 4 days ago eeeiy this is amazing there is something about June 🎉🎉Huniachii aaah uko nami eeeiy
From Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪the grace that is upon this lady glory to God .
Beautiful song.
Glory to God
Kama umebarikiwa na nyimbo weka like hapo
Ameen
Uuuuuu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Psalms 23 the lord is my shepherd he will never leave me nor forsake me in Jesus name 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Be blessed 🙌 😊
Love from🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼
HUNIACHI🔥🔥the powerful song💪💪 Nakupenda mnoo dada Rehema nyimbo zako zinanibariki mnoo🎉🎉
🇰🇪🇰🇪🇰🇪 blessed from Kenya. Minister Rehema Simfukwe is a real blessing.
Ameeen
At all times no 1 fun u bless me alot with ur songs en usipotee ivo tena I really missed ur voice
That day at JAKAYA CONVENTION ....DODOMA ....Cant forget .....nilikuwa nakusubr kwa ham aiseeee be blessed 😘😘
Ameen
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤thanks again
Back up dresses🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉song🎉🎉🎉
Msimu Mpya umeingia katika maisha yangu! Ktk ulimwengu wa kiroho naona vile ambavyo Mungu ameviachilia kuanzia mwezi Juni... Naona baraka juu ya baraka sababu nipo naye sitaogopa lolote ambalo shetani ameliweka njiani!... If you want to connect you can like this
Amen amen
Amen. M in that season too.
Ahsante MUNGU Kwa kutupa Mjumbe Wako ktk Kizazi chetu, Sister (Rehema Simfukwe.) Ombi langu Mungu niinue na mm Siku Moja Ili nifanye Collaboration na Mtumishi wako huyu maana umeweka vitu vikubwa Ndani yangu Ila Bado ni Muda wangu wa kuviatamia.
This song feels like a big hug from God. Ulisema huniachi loving the vibes
Ameen
Oooh my lord my lord 🙌🙌🙌Your song isn't just a tune; it's a journey of emotions, a melody that unites hearts. It's like a warm hug that reaches deep within, touching the very essence of connection.
Amen amen
Wooow So sweet,stress reliever❤❤😊 Minister Rehema to the fullest 😊🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🤍🤍🤍more Grace dear❤
Lovely song, don't come after me in the comments but the Lady at the back was the ONLY ONE without a MIC. Even as a Jesus Lover, I will not be pleased, thinking out loud here sorry.
am Amazed with song,sooo powerful,,,,,huniachi,,,aaah,katika moto,maji mengi. WOW,,,🔥🔥WOW,,,agree with me,like💯💯💯
Amen, outfit on point well done. Warembo wa Yesu angelic voices God bless you all🎉🎉🎉❤❤
I can't get enough of this song ...Kenyans in the house 🤚🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen
Amen
@@rehemasimfukwe I would like to meet you one day when you come to Kenya
Ni kweli mungu hajawai niacha,it's dad's anniversary and mungu amekua nami,,,I feel blessed by this song.
Amen hatamuacha kabisa
Honestly the song is soo good it has blessed me,,,i have loved how you reply to pple's comments it feels good to someone when a role model replys to them ,,barikiwa mama twakutazamia
In these season when you are waiting upon the Lord no matter what happens.It is you and you no one else am Standing upon God's Promises upon my life.❤
🙌🏾🙌🏾
Huu ni ukiri wangu Kwa mwezi huu mpya wa June na kuendelea Mungu hataniacha
Nakukubali sana rehema
AMEN
th-cam.com/video/-hinAupvzAA/w-d-xo.htmlsi=FtLkBL2EPEGRlyld ili upate mambo mengi unayo yapenda
Wow amazing one ,mungu haniachi
Ulisema huniachi🎉🎉🎉🎉🎉
Hongra sana Dada kazi nzuri na Mavazi yako pia yanaleta utukufu wa Mungu ❤❤❤
Ameen
Anointing oil flows with power and might. Blessed from 🇰🇪.
#HUNIACHI🎉🎉
Amen 🙌🙌
🙌🏾🙌🏾🙌🏾
This is so powerful may God bless you
My favourite song ❣
Amen sana
Such a blessed song.mungu wangu huniwachi uko nami hadi mwisho🙏🏿🙏🏿
Wooow this is indeed amazing. We celebrate the grace of God upon you.❤❤❤Guys nipitieni.
Amina❤🎉
Ameen
Keep it up 👆 🎉🎉😂😊😊😊
Thissssss song is a blessing 😭😭😭🤲🏻🤲🏻🙇🏻♀️🙇🏻♀️🙇🏻♀️♥️♥️🙌🏻🔥 indeed my God is with me and His spirit 🙇🏻♀️🔥🙌🏻
The vocals😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
❤❤
@@rehemasimfukwe 😍
Huniachi umesema
Wakenya tumefika HUNIACHI aaaaa , Rabuka HUNIACHI hadi PARADISO .
Halleluya
Always kudos to nice work well sang song God never leaves us or hide His face from us He is always with us through thin and thick Amen.
Heavenly song✨❤️
I can't wait for Agape Band Gospel Remix of this song. 🎉 Tutasebene tu all the way na Rehema. Amazing Song Arrangement and Vocals.
😍🙌🔥🔥
Eeeeeeeeeeeeeeeeaaaaaaaaaaaaaaaa
Wow, that was really fantastic...! I am blessed... My GOD will never leave me alone
Sinach wa East Africa🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Eeeyy🔥🧡.
I'm blessed and encouraged and reassured, especially in my academics 🥹💯. The Word of God to me🧡💯. Thank you Woman of God 🥹. God bless you 🧡.
Wow, i like the message, the melody, the creativity, the dressings, Be blessed more
Wow I LOVE THIS💯
This song reminds me on how God has always been on my side 😢
❤❤❤
hallelujah 🙌 Good sound 👏
From KENYA 🇰🇪
❤❤❤
Umesema uko nami
Natamani tufanye colabo kwa sababu wewe ni muimbaji ninaye mkubali sana
🙌 🙌 🔥 👏 👏 👏 Amen
Good worship, for He will not leave us, He will be with us, the source of our strength and fortress indeed
Giving thanks to God for being with me during the whole process of my life
😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇
🙌🏾🙌🏾🙌🏾
🙌🏾🙌🏾🙌🏾
This is my testimony tooo .
Thaank youuuu daddyyy❤❤❤❤
Nimekukimbilia Bwana nisiaibike , faraja yangu yote inatoka kwako, ushindi wangu wote unatoka kwako🥰🥰
Huniachi umesema
Amen and Amen
Amen
🙌🏾🙌🏾
Amen
Amen and Amen
Kweli Ako na mi weee Asante dada kwa kutuhudumia Dani ya Christo. Neema tele e ❤❤🎉
Halleluya
Powerful
POWERFUL ONE❤
🤩🤩🤩
Am blessed❤
Amen
Hakika MUNGU wetu ni mkuu sana hutaniacha BWANA upo nami kila niendako
God bless you more ❤️ and more ❤❤❤❤❤
Blessed too
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Na sis Drcongo tunajuwa Mungu hata tuacha kweli
Ameen
huniachi bwana upo na me guyz this gospel song is fire 💥💥💥
Ameen amen
Halisi God bless you🎉🎉🎉🎉
Hee! Bhas nlivyosikia audio nlijua ni debora lukalu, nakuja kuutafta kumbe ni wa nyumban
Asante sana DADA yetu kwa kufanyika baraka kwetu hakika MUNGU anatenda kwa watu wake 🎉
Ameen
Barikiwa sana
From Tanzania 🇹🇿🇹🇿 watching 🔥🔥🔥🔥
Ameen
Nice song... But pliz don't join the Kenyan songs that keep on repeating and repeating and repeating... Build on your chapters. Good job thou.
Such a blessing to many❤❤Dada umebarikiwa
Asante sana mpendwa umetubariki na wimbo wenye nguvu za Mungu.Hakika haniachi.Barikiwa zaidi
Mungu ainuliwe zaidi, ubarikiwe sana 🙏
Eiiiiiiiiyyyyy❤❤❤❤❤❤❤
Huniachiiii Yesuuuuu
Uko namiiiiiii
🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Powerful, congratulations
Amen baba Ubarikiwe sana
waaaaao ❤ the song very powerful my lovely singer rehema
Ameeen
Hakika BWANA katika moto na katika maji mengi yeye yupo pamoja nasi 🙏🙏🔥🔥💪💪
Ameen
Wow
Nice songo
Hallelujah
Tazama mimi nipo pamoja nanyi hata ukamilifu wa dahari.
Ameen
Amen
This is beautiful it's been playing in my mind since yesterday
June is a month of favour and prosperity God will not leave us we must win 🎉🎉
Amen be blessed 🙌
kama umeipenda nipe lik😌
Nafarijika tu apa. Yesu ni Ngome acha tu....
Ameen
Mwenyezi Mungu aibariki kazi ya mikono yako
Halleluya
Ameeeen.. great song indeed from rehema simfukwe..
Musicians na MD samyonah mmetisha sana humu...
Mi5 tena
Ameen
Huniachi Bwana am your daughter Daddy🙏🙏🙏