VIDEO: TAZAMA JAMII INAYOISHI KWA MATUNDA NA NYAMA,UTACHEKA MAJINA YAO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 455

  • @keiyalaitayo7903
    @keiyalaitayo7903 2 ปีที่แล้ว +16

    Ana miaka tatu gonga like tuendelee kwenda na nchi yetu ngumu

  • @mkongomanidrc849
    @mkongomanidrc849 2 ปีที่แล้ว +7

    Allah Akbar mwenyezi mungu ndie muumbaji wa mbingu na ardhi na wana Adam

  • @maryamsaleh8438
    @maryamsaleh8438 2 ปีที่แล้ว +32

    🤣🤣🤣🤣shikamoo nchi yangu Tanzania nakupendajee!

  • @trendvibeke
    @trendvibeke 2 ปีที่แล้ว +22

    This is great Africa is rich in culture bigup Ayo tv 🇰🇪🇰🇪 ❤

  • @uledimtumwa2406
    @uledimtumwa2406 2 ปีที่แล้ว +20

    Haya majina yanasababisha NIDA kugoma kutoa Vitambulisho vya Uraia.Umakini unahitajika kwakweli.

  • @saljam82
    @saljam82 2 ปีที่แล้ว +29

    Influence is power...
    Msanii gani unaempenda au kumsikiliza.?
    Madogo wa kihadzabe wanajibu Diamond.

    • @jumakibe5032
      @jumakibe5032 2 ปีที่แล้ว +2

      Hatar mzee

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 2 ปีที่แล้ว

      Nishida mondi adi. Mpolini. Ankulikan. Kweli simba

  • @highmedland9280
    @highmedland9280 2 ปีที่แล้ว +1

    Hawana dini hao au wanaadubu jua au.mbn hujawauliza wanachokiabudu , ungewambia mwenyezi mungu ni mmoja tu ,Allah s,w,t. Na mtume Muhammad s,a,w.

    • @kreamagdfsa1697
      @kreamagdfsa1697 2 ปีที่แล้ว

      Allahu Akbar Allah tabaraq rahman

  • @Willem_Mah
    @Willem_Mah 2 ปีที่แล้ว +4

    Mandishi be like; jina lako nani?
    Hadzabe; Oleh-ka-fuf-dwa-ah-su-du-ika.
    Kwa kiswahili haiwezekani 😁😁😁😅😅
    Mwandishi; de ka brrizz!!!
    😁😆😆😆

  • @eliaspeter4017
    @eliaspeter4017 ปีที่แล้ว

    Tanzania nchi yangu, du!! Mungu alitupatia kila kitu, hawa ndugu na hii lugha sambamba na watu wa NIDA kazi wanayo

  • @SakinaValy
    @SakinaValy หลายเดือนก่อน

    Mungu kila kiumbe uliemuweka duniani hakika ni wako na anakuomba kwa imani yake

  • @wazirmlogi7532
    @wazirmlogi7532 2 ปีที่แล้ว +5

    Nimegundua uzaben hawamjui allykiba wanamjua diamond,we diamond umemfanya nini allykiba!! "Kamongo umemfanya nn pegelee hana maketi"😂😂😂

  • @yanickmustafa7221
    @yanickmustafa7221 2 ปีที่แล้ว

    Diamond platnumz 👑🙌🙌🙌🙌🦁🦁🦁

  • @mtabiriwanyotashekhadinans7494
    @mtabiriwanyotashekhadinans7494 2 ปีที่แล้ว +19

    Aisee nimecheka sana hii nchi ni ngumu sana

  • @kachubemaulid717
    @kachubemaulid717 2 ปีที่แล้ว +1

    Salut Sana 🔥🔥 dudu kwee

  • @uledimtumwa2406
    @uledimtumwa2406 2 ปีที่แล้ว +13

    Wana lafudhi nzuri ya Kiswahili kuzidi Masai na Wachaga.

    • @palokuthereza2555
      @palokuthereza2555 2 ปีที่แล้ว +1

      Mtuache wachagga

    • @ahz6907
      @ahz6907 2 ปีที่แล้ว +1

      Wachaga zero kabisa na wezi haoooo

    • @palokuthereza2555
      @palokuthereza2555 2 ปีที่แล้ว

      @@ahz6907 zero kwenye nini na wezi wamekuibia nini ebu jaribuni kuwa na respect jamani

    • @emmanuelzani2889
      @emmanuelzani2889 2 ปีที่แล้ว

      @@palokuthereza2555 pole sana, mengine yaache yapite.

    • @pus.4506
      @pus.4506 2 ปีที่แล้ว +1

      Sio vizuri kuingiza ukabila humu ndugu unakosea

  • @majaliwajohn481
    @majaliwajohn481 2 ปีที่แล้ว +1

    Mmmmh haya majina tema mate chini so powa kama umeskia jina la mshikaji wa pili vizuuuri litaje.

  • @maigecharles301
    @maigecharles301 2 ปีที่แล้ว

    Daaaaaah noma sana hata mtoa talifa kashindwa kulitaja hilo jina 😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣

  • @anordjoseph6644
    @anordjoseph6644 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂 yaani w mwaandishi unanifurahisha kweli kweli ndugu zangu ni jamii wasandawe

  • @faithjonathan3845
    @faithjonathan3845 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimependa huyo mwenye miaka tatu🤣🤣🤣

    • @mariamomar1735
      @mariamomar1735 2 ปีที่แล้ว +1

      Miaka 3 alafu kwa kujiamini mjanga kweli huyo hajui miaka yake alafu kamuiga diamond

  • @barakamwita1506
    @barakamwita1506 ปีที่แล้ว

    Duuuh dume tatu za nyani ndo mahari😁😁 big up Tanzania tuko pamoja na wahadzabe

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 2 ปีที่แล้ว +10

    Subhanaallah kuna lugha jamani duniani watu wamanyala ndio wanao zungumza hivyo nilifikiria kuwa watu wa Africa ya kusini

    • @georgemassebu2083
      @georgemassebu2083 2 ปีที่แล้ว +1

      Huku siyo Manyara, ni Wilaya Karatu mkoa wa Arusha... Lake Eyasi

    • @uledimtumwa2406
      @uledimtumwa2406 2 ปีที่แล้ว +3

      @@georgemassebu2083 Makongoro Nyerere ni Mkuu wa mkoa wa Arusha !!!😂😂😂?? .Hapo Manyara sikiliza uzuri utaelewa.

    • @manyaraboy
      @manyaraboy 2 ปีที่แล้ว

      MANYARA is my home and it's blessings for everything tanzanite tarangire mbuga maziwa tribes yani full fululu mpka mbulu

    • @highzacknnko9685
      @highzacknnko9685 2 ปีที่แล้ว

      @@manyaraboy nakubali

  • @sayeedbinazan
    @sayeedbinazan 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyo miaka tatu atuache kidogo😂😂

  • @ommythetruth5449
    @ommythetruth5449 2 ปีที่แล้ว +1

    MY WANGU POPOTE ULIPO NALETA KWENU DUME 3 ZA NYANI NA DEBE MOJA LA ASALI KAMA MAHARI 😋😋😋

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 2 ปีที่แล้ว +7

    Majina yao yana swaga kinomaa😍😍😍

  • @hadeeegahalmawali504
    @hadeeegahalmawali504 2 ปีที่แล้ว +1

    Jmn tz yetu kubwa 🤣🤣🤣👌👌

  • @rich.kizza10
    @rich.kizza10 2 ปีที่แล้ว +2

    Mwanangu Charles TZA tumesoma wote chuo🔥

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 ปีที่แล้ว

    Hy kwa kiswahili haiwezekani 🤣🤣😁

  • @aboubaqarally9834
    @aboubaqarally9834 2 ปีที่แล้ว

    Hilo jina sasa mamae😁😁😁

  • @aishawhite1107
    @aishawhite1107 2 ปีที่แล้ว +20

    😂😂😂😂😂😂Tanzania nakupenda nchi yangu wewe

    • @neemaruhembe6360
      @neemaruhembe6360 2 ปีที่แล้ว

      Wapo mkoa gani jamani kumbe Tanzania ni story nzuri aisee

  • @ruu6592
    @ruu6592 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu isaidie Africa

  • @zakariazakaria3853
    @zakariazakaria3853 2 ปีที่แล้ว +1

    Dume 3 za Nyani

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani jamani serikali iwaongoze hao watu japo dini wajuwe kwamaana hayo majina tu mimihata moja sikuweza kulishika hata elufi mojatu viongozi waongozeni vizuri hawanduguzetu

  • @highzacknnko9685
    @highzacknnko9685 2 ปีที่แล้ว +6

    Hapa ndio pale panaponifanya hata niwe katika hali gani nakumbuka tuu kuwa Mungu ni fundi. Angalia kwa nje tunaona lugha ngumu lakini wao huona wanaelewana.MUNGU wa mbinguni sifa na utukufu ni zako
    - wachaga ...aika RUWA mbee
    - wamasai .....Ashe ENGAI
    - wapare ....Havache MULUNGU
    - wameru ...,Haika IRUWA

  • @athumanisalimu7771
    @athumanisalimu7771 2 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa daimond anastahili kuitwa simba

  • @magidalenarauya4286
    @magidalenarauya4286 2 ปีที่แล้ว +3

    Mwanangu diamond unakubalika mpaka Kwa hadzabe huko porini hebu wanunulie TV ya Sola wawe wanaangalia wasafi

    • @teychriss3248
      @teychriss3248 2 ปีที่แล้ว

      Point! Aende hata aiapige show bila vyombo mradi wamuone live tu

  • @ignaszyinzile5094
    @ignaszyinzile5094 2 ปีที่แล้ว +1

    Millrd ayo daaaaaaaaaaaa hiii noma sanna

  • @professorbenjamin1027
    @professorbenjamin1027 2 ปีที่แล้ว +1

    Dahh Huku sijui kama nitapaweza nimeomba kuamishwa mtu anaitwa dudukwaaa mara kwakwakuokwaako 😂😂

  • @modysultan6170
    @modysultan6170 2 ปีที่แล้ว +1

    sasa hayo majina karani kazi anayo hayaaandikiki hayo🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @zaituniselemani3247
      @zaituniselemani3247 2 ปีที่แล้ว

      Hahaaaa yaani ni shida sijui ataandikaje do! Tanzania kubwa

  • @tedyokachu5013
    @tedyokachu5013 2 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😄😄😄😄😄😄hilo jina la huyo mwenye kofiaaaaaa😆😆😆😆😆

  • @saketnicholaus9962
    @saketnicholaus9962 ปีที่แล้ว

    Mahali ni dume 2 za nyani 😀😀😀😀😀😀😀

  • @yusrashabani2983
    @yusrashabani2983 2 ปีที่แล้ว +2

    Ilo jina la mtu wa pili nimecheka sana hata kwa mzizi siwezi kulirudia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @makereziron2918
      @makereziron2918 ปีที่แล้ว

      Nmesikia majina mengi ya kihadzabe Ila huyo wa pili duu....

  • @eriminewilsonpjo9540
    @eriminewilsonpjo9540 2 ปีที่แล้ว +1

    Waulize kama wanamjua Raisi watanzania watakuambia Diamond

  • @hajijuma9588
    @hajijuma9588 2 ปีที่แล้ว

    Kweli diamond ni nembo ya Taifa duuhh

  • @bujimucharles153
    @bujimucharles153 2 ปีที่แล้ว +2

    Duh! Nimependa sana majina yao na yanafurahisha kinoma japo kuyatamka ni magumu

  • @janetdaniely7945
    @janetdaniely7945 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamn Tz 🇹🇿 yanguu pend sana inchi yangu

  • @saidymatejoe2212
    @saidymatejoe2212 2 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😁 niwenzet hawa kwelii. Nchi ya mama iyooo

  • @leahally4618
    @leahally4618 2 ปีที่แล้ว +3

    Chibuu km chibuuu 💪💪💪

  • @lucyjeremia1381
    @lucyjeremia1381 2 ปีที่แล้ว

    😂 😂 😂 😂 😂 😂 Jmn mim mwenyewe nimeshindwa ayo majina watu wa sensa kazi wanayo

  • @peninamsuko4858
    @peninamsuko4858 2 ปีที่แล้ว +2

    Jamani unaezasema huko nidunianyingine mungu aliumba kwrli

  • @chanjamtagwa8565
    @chanjamtagwa8565 2 ปีที่แล้ว +1

    Ayo mwambie mondi akapige show huko awape burudani jamani wa tz wenzetu ikiisha sensa

  • @rehemamayende552
    @rehemamayende552 2 ปีที่แล้ว

    Uyu mwanahabari wa mchongo amalize jina vipi😃😃😃😃😃

  • @AbuubakarJuma-se9cp
    @AbuubakarJuma-se9cp ปีที่แล้ว

    Dah ndoa

  • @peterdotto4055
    @peterdotto4055 ปีที่แล้ว

    Majina hayo yanaandikika vipi asee, raisi watakuwa hawamjui wanamjua diamond tuu

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 2 ปีที่แล้ว +4

    Huyo alovaa kofia jina lake 🤣🤣

    • @uledimtumwa2406
      @uledimtumwa2406 2 ปีที่แล้ว

      Ila analafudhi nzuri ya kiswahili kuliko Masai na Wachaga.

  • @teychriss3248
    @teychriss3248 2 ปีที่แล้ว +6

    Makarani wa sensa kazi mnayo!!

  • @mkobaofficial8037
    @mkobaofficial8037 2 ปีที่แล้ว +1

    Diamond Platinum

  • @anuarinyangasa9414
    @anuarinyangasa9414 2 ปีที่แล้ว

    Unalijua mwenewe, mmmh mtangazaji gani

  • @Johny255Official
    @Johny255Official 2 ปีที่แล้ว +1

    Love this from kenya

  • @tumaliciou8889
    @tumaliciou8889 2 ปีที่แล้ว +6

    Makarani wajipange na kuandika ayo majina Dah😂😂😂😂

    • @kelvinjustin8168
      @kelvinjustin8168 2 ปีที่แล้ว

      Ebu nitajie jinamoja2 ulio sikia

    • @mmn7480
      @mmn7480 2 ปีที่แล้ว

      @@kelvinjustin8168 dododonkoteaj

  • @khalidngwembele9075
    @khalidngwembele9075 2 ปีที่แล้ว +13

    Hilo jina Ol'enka soe w'an'usuein'ka!🙌😂

    • @uledimtumwa2406
      @uledimtumwa2406 2 ปีที่แล้ว

      Kwa hawa form six wa miaka hii,hawatoweza kuandikisha hayo Majina.

    • @kasukukasuku3896
      @kasukukasuku3896 2 ปีที่แล้ว

      Majina yao yanatamkwa kwa klick language🤣🤣🤣🤣🙌hii jamii inahitaji kumulikwa zaidi Ina kitu Cha kujinfunza ni kivutio kwakweri

    • @mariammkwabi7101
      @mariammkwabi7101 2 ปีที่แล้ว

      😂😂

    • @hijazhija316
      @hijazhija316 2 ปีที่แล้ว +1

      Oya kausha

    • @estermathias8354
      @estermathias8354 2 ปีที่แล้ว +1

      Hahaaaa umetishaaq

  • @mariambwambo9885
    @mariambwambo9885 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamn...nimewapenda🙈

  • @mcback4384
    @mcback4384 2 ปีที่แล้ว

    Huko ni bangi free zone wanaburuza msuba ile ngumuu 😂😂😂😂

  • @Pascal1122
    @Pascal1122 2 ปีที่แล้ว

    😀😀😀😀😀😀 majina ni Noma kweli 😀😀😀😀

  • @faustinewilliam4908
    @faustinewilliam4908 2 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahahahahahah Waliyopangiwa uko kazi wanayo😂😂😂🤣🤣🔥

  • @MeshackKondo
    @MeshackKondo ปีที่แล้ว

    😂😂😂hii ni ngumu😂😂😂😂

  • @halimahalima8818
    @halimahalima8818 2 ปีที่แล้ว

    😀😀😀 ii ni Tanzania kwel

  • @nemesapollo4846
    @nemesapollo4846 2 ปีที่แล้ว +2

    Aaah hyo Kwa kiswahili haiwezekani

  • @athumanfuko199
    @athumanfuko199 2 ปีที่แล้ว

    wanavitambulisho vya NIDA hao Millard Ayo hujauliza hilo swali

  • @ananiamaduke2655
    @ananiamaduke2655 2 ปีที่แล้ว

    Wapo nchi gan

  • @modysultan6170
    @modysultan6170 2 ปีที่แล้ว +1

    nilitamani kuiyona ndefu hii

  • @jacksonmagige8565
    @jacksonmagige8565 2 ปีที่แล้ว

    Diamond wanamtaja vzuri wenyewe kiswahili chao kizur kuliko wamasai huyo msikaji wa pili anapga piga ulimi mdomoni et ndo jina lake

  • @zulfahamissi9266
    @zulfahamissi9266 2 ปีที่แล้ว

    Hiv hawa wa2 wapo tanzania hii😆😆😆🤣

  • @MikereMio
    @MikereMio 2 ปีที่แล้ว +6

    hayo majina huwezi andika eti . lakini wamepata heshima yangu

  • @jacquilinenoah949
    @jacquilinenoah949 2 ปีที่แล้ว

    mm hayo majina nipo hoiii😂😂😂😂

  • @kendrickzeyn9928
    @kendrickzeyn9928 2 ปีที่แล้ว

    Hili jina la kaka wa pili apo dah linachekesha sanaaaaaaa Olekakuduoasikuika 😂😂😂😂

    • @shamsamuhammad3677
      @shamsamuhammad3677 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣💃limeniacha hoi hata meme

  • @husseinguyo4929
    @husseinguyo4929 2 ปีที่แล้ว

    Nyie Tanzania muapenda kutaja mambo ya usanii tuu

  • @haniiniramzan9989
    @haniiniramzan9989 2 ปีที่แล้ว

    Ili kabila limenivunja mbavu majina Yao nimecheka kwasauti Yani ila nimeipenda sana

  • @mwanziadavid5570
    @mwanziadavid5570 2 ปีที่แล้ว +4

    Huyo dogo ako na miaka mitatu🤣🤣

  • @dyanamotz
    @dyanamotz 2 ปีที่แล้ว

    😂😂😂 mtangazaji anacho kitafuta

  • @stinaismail846
    @stinaismail846 2 ปีที่แล้ว

    😂😂😂nimekubali aisee majina magumu mtangazaje kasema jina unalijua mwenyewe 🤣🤣

  • @mosesg.pendael8381
    @mosesg.pendael8381 2 ปีที่แล้ว +3

    Huyu "Ole ka kuku kiswaika" aoe sasa!.... Ok, kuna swali umeli skip sana mtangazaji! Hao nyani ni chakula au ufahari?

  • @ananiamaduke2655
    @ananiamaduke2655 2 ปีที่แล้ว

    Wakipata mmoja wapo anakitambulisho cha NIDA niite mbwa

  • @johnbernad3990
    @johnbernad3990 2 ปีที่แล้ว +1

    Huko ndo pakwenda kuolea sasa yani dume tatu za nyani na asari unachukua jiko raha sana achana na huku mpaka uwe na milioni mbili na zaid ndo uowe

    • @mwaneyseifseif3059
      @mwaneyseifseif3059 2 ปีที่แล้ว

      Nyani sasa kumpta inshu sio km zamani wanapita ovyo kijjn kwetu

  • @salumjrsaidjr7150
    @salumjrsaidjr7150 2 ปีที่แล้ว +9

    Hapo wahesabu sensa kazi wanayo!!

  • @mohamedabdullahi8874
    @mohamedabdullahi8874 ปีที่แล้ว

    They have links with south Africa tribes u use clicking sound dialect 4 communication

  • @nadanasser1020
    @nadanasser1020 2 ปีที่แล้ว

    Ahaaaa

  • @ahmadsayyeed7910
    @ahmadsayyeed7910 2 ปีที่แล้ว

    Duh😀😃😄😁😆😅🤣😂 hayo majina

  • @abelmbilinyi1262
    @abelmbilinyi1262 2 ปีที่แล้ว +1

    Diamond platnumz

  • @jumakibe5032
    @jumakibe5032 2 ปีที่แล้ว +1

    Dah hii interview mbona fupi sn milard ayo

  • @ramadhanikimbeho3016
    @ramadhanikimbeho3016 2 ปีที่แล้ว

    Haaa haaa duh miaka tatu🤣🤣

  • @goodneighbour2638
    @goodneighbour2638 2 ปีที่แล้ว +1

    hawa jamaa wanaweza kuwa wapiga mabiti ya mdomo wazuri sana wakatumika kwenye sanaa

  • @erastomkulu6829
    @erastomkulu6829 ปีที่แล้ว

    Kwahyo wapo inch gan xx

  • @yolenimocheng8745
    @yolenimocheng8745 2 ปีที่แล้ว +2

    Kazi kwenu makarani kwa majina hayoo😂😂😂😂 lazima mtudanganye..

  • @saimonijonas4356
    @saimonijonas4356 2 ปีที่แล้ว +2

    Ukioa huku ujiandae kila wiki ng'ombe.

  • @rashidmhenga285
    @rashidmhenga285 2 ปีที่แล้ว

    Hiii ni TANZANIA

  • @eliassteven5575
    @eliassteven5575 2 ปีที่แล้ว +2

    Duuuh hayo majina ni hatari 🔥🔥🔥🔥

  • @abbymkombozi4382
    @abbymkombozi4382 2 ปีที่แล้ว

    Namie Naitwa Didakus okwae nyakworon tic

  • @vanessahappy954
    @vanessahappy954 2 ปีที่แล้ว

    Duh kweli lugha zipo kitoe nyani na asali

  • @sheikhsharifmaduatz2871
    @sheikhsharifmaduatz2871 2 ปีที่แล้ว

    *INATISHA NA INAUMIZA JINSI WACHAWI NA MAJINI WALIVYOMSHAMBULIA HUYU MTU DAH😭😭😭 INAUMA SANA TAZAMA HAPO CHINI UKAONE 👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽**th-cam.com/channels/Fe4_eicCAHCXppuPY3_9xw.html** 👆🏾👆🏾👆🏾👆🏾👆🏾 WANGA NA WACHAWI WAONEKANA LIVE* 😔😔😔😔

  • @rosejoely4518
    @rosejoely4518 2 ปีที่แล้ว +1

    Simbaaaaaaa unajulikana❤❤❤

    • @yahayamaulana1561
      @yahayamaulana1561 2 ปีที่แล้ว +1

      Washamba ndiomana wamemtaja msanii mshamba

    • @rosejoely4518
      @rosejoely4518 2 ปีที่แล้ว

      Tatizo liko wapi acha ajulikane na washaba mwezake nikiwemo mm