S2KIZZY Azungumzia KUFANYA KAZI na DIAMOND na ALIKIBA/"NATAKA KUONDOA TOFAUTI Zao"/"WASANII WENGINE.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • Producer S2kizzy ameweka wazi matamanio yake ya kutaka kuufikisha mbali muziki wa Bongoflava huku akifunguka namna ambavyo anaweza kufanya kazi hata na wasanii wanaodaiwa kuwa na tofauti katika kazi zao za muziki (Ugomvi)
    _________________________________________________________________________________
    Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe TH-cam channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
    _________________________________________________________________________________
    Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp

ความคิดเห็น • 5

  • @NemesMasawe
    @NemesMasawe หลายเดือนก่อน +3

    Good answer watangazajii wanatafutaa content ili wauzee wajaribu kutafuta uhalisia siyo maneno ya uchonganishi

  • @NemesMasawe
    @NemesMasawe หลายเดือนก่อน +3

    Nice zombie

  • @donlee9992
    @donlee9992 หลายเดือนก่อน +1

    Motoo

  • @BarakamussaBarakamussa-go7nv
    @BarakamussaBarakamussa-go7nv หลายเดือนก่อน +6

    Alafu wewe rich Kuna siku utapelekwa mahakamani kwa kumsema kiba vibaya mtu. Kwenye uzinguzi Alisha Sema nyimbo ni yake alitaka kurapu mwenywe ndio bilinasi alikuwepo akajaribu akafiti na Kila mtu alisikiya. Kiba ajawai kusema uwongo wala kutaja alie andika atakuweka adharani

  • @frontdee1
    @frontdee1 หลายเดือนก่อน +1

    ety inasemekana ufinyu wa mawazo tu , watu wenyewe since day one ngoma inatoka unaambiwa Ali alishamaliza ngoma yote ila kwakua mnajisikiliza wenyewe mtajuaje nimewashusha saana