MZEE MPILI APAGAWA NA SIMBA TUSIPOKUWA MAKINI YANGA TUTAUMIA LIGI NGUMU/NGAO YA JAMII SIMBA ANAKUFA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 63

  • @JolotaErastoJuma
    @JolotaErastoJuma หลายเดือนก่อน +15

    WANA SIMBA TWENDE TUKAUJAZE UWANJA WA LUPASO. SIMBA NGUVU MOJA UBAYA UBWELA 🎉🎉🎉❤❤❤

  • @Dastanikasanda
    @Dastanikasanda หลายเดือนก่อน +5

    😂😂😂 ivi kanachezaga namba ngap uwanjani. Kazee haka kaongo baraa. Kaone 😂😂😂

  • @user-mm9qr7em8k
    @user-mm9qr7em8k หลายเดือนก่อน +7

    Mzee mpili mm km mpemba nakuahidi zama zako zimeisha .chukua Hilo neno Leo hii.huna jini ww .unavibwengo tuu.tulia dawa itakuingia vzr max hii .nautanikumbuka.ww.

    • @stanslausmteme8455
      @stanslausmteme8455 หลายเดือนก่อน

      Huyo mzee si mchawi km mnavyomfikiria

  • @SalumHamis-u5s
    @SalumHamis-u5s หลายเดือนก่อน +4

    Unalingia uchawi na sisi tunaujuwa

  • @HassanMakili
    @HassanMakili หลายเดือนก่อน +1

    Mzee kaingia kwenye mfumo swali kidogo kageuka mala ligi itakua ngumu mala tutampiga magoli ya kuhesabu😊😊😊

    • @user-ip6xg6jx3g
      @user-ip6xg6jx3g หลายเดือนก่อน

      Mzee kapagawa. Hapo dawa haijamuingia. Dawa ikimuingia sijui itakuje

  • @PiusKimaro
    @PiusKimaro หลายเดือนก่อน +1

    Mzee maili ujana wote mpaka uzee unaishia kwenye mboyoyo za yangu.

  • @user-uj5wg9mm2t
    @user-uj5wg9mm2t หลายเดือนก่อน +1

    Huu mwaka hutoboi endelea kujiingiza kwenye ushabik😂😂😂😂😂😂

  • @mwitajohn4882
    @mwitajohn4882 หลายเดือนก่อน +5

    Mzee kapunguza mauzo siku hisi

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 หลายเดือนก่อน

      Kamuachia Mzee Magoma

  • @KakeSimba
    @KakeSimba หลายเดือนก่อน +4

    Mzeempili hunaishu kama ulivyokuwa huna meno na Mypa huna unakufatu tare 8

  • @JuhudiKasanga-yq5ks
    @JuhudiKasanga-yq5ks หลายเดือนก่อน

    Preseason kelele za makolo zilikuwa nyingi kweli mungu mwema ligi punde inaanza taabu ipo palepale ndugu zangu mpaka wachezaji wenye akili timamu wanatoroka walishaona kinachoendelea huko ndo maana kocha anaomba mechi na timu za mtaani alishaona hakuna timu hapo ,kocha timamu anaomba mechi ngumu ajue mapungufu yake sio ndogo ajue yupo vizuri kufunga ndondi cup

  • @MichaelLinda-vd8rx
    @MichaelLinda-vd8rx หลายเดือนก่อน +1

    Utakuja kufa we mzee adi kuongea shida majini yatakuua mwenyewe

  • @user-mv8ns9cb5m
    @user-mv8ns9cb5m หลายเดือนก่อน

    Pole sana pilpil hauna jipya

  • @HerriThabiti-qd5rr
    @HerriThabiti-qd5rr หลายเดือนก่อน +3

    Mpili unatema mate bn

  • @sizabintrajabu6709
    @sizabintrajabu6709 หลายเดือนก่อน +2

    Utani wa mpira uwe wa mpira tuu usivuke mipaka heshima ni kitu cha bule hujawahi kwenda sokoni ukaulizia heshima muhemu mkubwa huyo mzee mpili ni nguzo ya family tuache mambo ya ubinafsi huwezi kumtangaza kwenye mitandao kuwa hana meno hiyo ni fedheha

  • @Baikoko-q3l
    @Baikoko-q3l หลายเดือนก่อน +3

    Yanga ni timu ya wazee simba tumesajili

    • @jonasmakwa6461
      @jonasmakwa6461 หลายเดือนก่อน

      Hakuna timu ambayo haina wazee je ww ukiwa mzee utaacha kushabikia timu yako

  • @ibrahimally8073
    @ibrahimally8073 หลายเดือนก่อน +1

    We Mzee mpili kiboko yako ni Mzee Magoma.. ndio maana huna meno wewe😂😂

  • @user-bi8hr3nu6g
    @user-bi8hr3nu6g หลายเดือนก่อน +2

    Huyo mzee mmesema meno hana babu yako uliemtelekeza bushi anayo meno

  • @user-qo6qv6mc5p
    @user-qo6qv6mc5p หลายเดือนก่อน +2

    Xavi mtupu

  • @JamaliShemalimbwi-ov4uc
    @JamaliShemalimbwi-ov4uc หลายเดือนก่อน +4

    Huna lolote Mzee mpili

  • @AbbakarAthuman
    @AbbakarAthuman หลายเดือนก่อน +2

    Ubaya ubwela

  • @maase2023
    @maase2023 29 วันที่ผ่านมา

    Huyu mpili hana lolote ni muongo tu na akauze magimbi tu fix sana huyu

  • @joshuac.mashida1378
    @joshuac.mashida1378 หลายเดือนก่อน

    Mzee mpili ni shabiki na mwanachama damu

  • @immamunisi1312
    @immamunisi1312 หลายเดือนก่อน

    Mzee angalia usije jinyonga

  • @KhamisImani
    @KhamisImani หลายเดือนก่อน

    Ww mzee hauna ishu unajifanya mchawi rakini mwakahu tunakuchinjaa ww ngooja mechi iyanzeeer😮

  • @user-sy4wf5ll4o
    @user-sy4wf5ll4o หลายเดือนก่อน

    Sasa mnafanya nn hapo klabuni kama sikujadili uchawi hapo

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 หลายเดือนก่อน +4

    Mzeee Mpili yanga ni Timu ya wazee ukubali Tuu hata wewe una nafasi ya kuichezea yanga pia

    • @user-wh2mm1eq2x
      @user-wh2mm1eq2x หลายเดือนก่อน

      Apewe jezi 😂😂😂😂

  • @justingobe178
    @justingobe178 หลายเดือนก่อน

    Hakuna jipya

  • @StanKalangula
    @StanKalangula หลายเดือนก่อน

    Hahahaaaaaaaaaa mzee tumuunganishe na magoma

  • @franciskabete
    @franciskabete หลายเดือนก่อน

    Mzee Mpili jiandae kisaikolojia tarehe 8

  • @yusufufikiri5005
    @yusufufikiri5005 หลายเดือนก่อน

    HANA LOLOTE ANATEGEMEA UCHAWI TU. CHEKI KILIVYO NA MAPENGO

  • @allychambua7835
    @allychambua7835 หลายเดือนก่อน

    Magoma huyoooo

  • @dafrosamonko8254
    @dafrosamonko8254 หลายเดือนก่อน

    Munafanya nini hapo

  • @ifmknowledgepower7333
    @ifmknowledgepower7333 หลายเดือนก่อน

    Nakufuta maneno yako, na yatairudia timu yako ya yanga, utafungwa yanga magoli ya kuhesabu

  • @SimonAmon-dr8xw
    @SimonAmon-dr8xw หลายเดือนก่อน

    Tukaujaze uwanja. UBAYA UBWELA

  • @StanKalangula
    @StanKalangula หลายเดือนก่อน

    Wanaroga hapo

  • @allychambua7835
    @allychambua7835 หลายเดือนก่อน

    Magoli kumbe unajua idadi yake. Ushirikina umetamalaki ndani ya klabu ya wazee

  • @davidmangole-z1z
    @davidmangole-z1z หลายเดือนก่อน

    ww Nini mzee yanga apo unacheza namba ngapi

  • @user-pe2ox3wr1j
    @user-pe2ox3wr1j หลายเดือนก่อน

    Mchawi huyo mzee

  • @user-wd8hr4kc3z
    @user-wd8hr4kc3z หลายเดือนก่อน

    Utapotea kama ulivyopotea kigoma

  • @TausiJamali
    @TausiJamali หลายเดือนก่อน

    Kwani huyu mzee naishi jangwani au

  • @user-xd2tg8eq1h
    @user-xd2tg8eq1h หลายเดือนก่อน

    Kachawi ka yanga hako kazee 😂😂😂

  • @thomasdesta939
    @thomasdesta939 หลายเดือนก่อน

    We babu unacheza mpira mdomoni

  • @yusufufikiri5005
    @yusufufikiri5005 หลายเดือนก่อน

    SASA WEWE KAMA MKUBWA MBONE UNAANZIA YOSO?

  • @Manasemkunjile
    @Manasemkunjile หลายเดือนก่อน

    Mmesha mcholoza kaanza kipole

  • @Lucy-qe7mb
    @Lucy-qe7mb หลายเดือนก่อน

    Tutokee apa kanunue.meno mdomon uko

  • @JammalMuhammad
    @JammalMuhammad หลายเดือนก่อน

    Kumbe wewe siku hiyo mpili utachezaaa?

  • @AmbrosiMushi
    @AmbrosiMushi หลายเดือนก่อน

    Acha kuseme mbembeeeee utakoma tu

  • @Master45j8Master45j
    @Master45j8Master45j หลายเดือนก่อน

    We mzee jautu unalolote

  • @Paulkessy-j8n
    @Paulkessy-j8n หลายเดือนก่อน

    Kwani kwenda club bingwa ajabu we mzee zwazwa kweli..huna lolote wewe

  • @chamyluna8030
    @chamyluna8030 หลายเดือนก่อน

    Wajinga nao huzeeka

  • @joshuac.mashida1378
    @joshuac.mashida1378 หลายเดือนก่อน

    Mzee mpili ni shabiki na mwanachama damu

  • @joshuac.mashida1378
    @joshuac.mashida1378 หลายเดือนก่อน

    Mzee mpili ni shabiki na mwanachama damu