Kinachonipa furaha ni kwamba historia zinabadilika na kuvunjwa kila kukicha, Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika. sema Amen kama unaitakia mema bara letu.
Hii ndio nchi Mungu aliyoibariki kumbe taratibu machozi yanafutika binafsi Mzee mpango na mkubali hekima zake utulivu pia na utendaji kazi safi Mungu nae aliyekuwa na mpango nae jamani pindi alipougua hakuacha kumtetea nae baada ya kupona alionyesha fadhila kwa Mungu pia kwa waliomhudumia na pengine Mungu alimpa kipimo cha imani ili apite kisha amuinue...hongera mama Samia hongera Mzee mpango na hongera Tanzania Furaha iliweje kuzaliwa Tz...Mungu ibariki Tz.
UMEINGIA VIZURI, ULIKUWA UMEBEBA BAHASHA ULILUSHA MKONO MMOJA MBELE NA NYUMA, ULIPOKABIDHI BAHASHA ULIKUWA HUNA MZIGO, ILITAKIWA URUSHE MIKONO YOTE MBELE NA NYUMA, SODIER UMEPITIA MAFUNZO WAPI.
Mheshimiwa rais kwafanya chaguo sahihi kua mheshimiwa Philip mipango kua makamo wa raise mungu amsimamie aitende kazi yake vyema kwajili ya inch nawanainch wake
@@lucasmhagama8166 pia usipojua umuhimu wa kufurahia mafanikio ya wengine na wewe huwezi pewa""miye nina furaha waha kuwa makamu wa Raisi shida iko wapi hapo au hukuielewa comment yangu unajikuta umejibu??pole
I like the way Tanzania Parliament conduct themselves.
I salute you Honorables from Nairobi , Kenya
Joyful parliament ...to Tanzanias I love your ways...from Kenya🇰🇪
Hata mm nimelipenda bunge lao halichoshi...
Thank you brother
@@hamjanikera1234 wallah si kama huku kwetu ukiingia bungeni roho time yoyote waeza rushiwa ngumi ya jicho
@@fatumajumbe7345 😅😅😅😅
Piecafull
wanawake like zenu penda sana tanzania yetu wanawake oyeeeeeee 😍😍😍😍
i am not Tanzania but i love watching everything about Tanzania
Abass, where are you from?
karibuu
Karibu Tanzania..
Welcome hm
welcome
Hongera sana Mh. Philip Mpango.
Mwenyezi Mungu akujaalie kila la Kheri katika Utekelezaji wa Majukumu yako, Aamiin.
FIRST LADY AIDY WA RAISI WA KWANZA CONGRATULATIONS
Haitwi first lady ... huyo aitwa ADC ... First lady ni cheo cha mke wa Rais mfano walivyokuwa Salma Kikwete, Janet Magufuri nk
Ok
I am not Tanzanian, but you guys you made yr country proud 👏💙❤
Sijui ntafute uraia wa Tz am falling in love with this Nation day by day.. much love from Kenya ♥️♥️🇰🇪 MUNGU IBARIKI TANZANIA!
Karibu sana eti
Karibu tanzania
Tanzania ni poa sana lkn sheria zao ningumu sana bora kenya
@@ahmadmuhammadnguri1770 hizo sheria ngumu ziko vizuri ndo maana nchi imelainika yani selikari ya Tanzania kweli naongea bila unafiki INAJIELEWA! ❤️
Welcome tz peace & love🇹🇿
Mwalimu Nyerere must be smiling broadly from the High Heavens.Aliujenga msingi imara sana.
Nina raha sana mambo ya watanzania..ahh..from USA🇰🇪🇱🇷
We are ok
Thank you
Kinachonipa furaha ni kwamba historia zinabadilika na kuvunjwa kila kukicha, Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika. sema Amen kama unaitakia mema bara letu.
amn
Ameni
Ameen
Amen
Ameni
Hii ndio Tanzania yetu! Mungu anatusimamia kila siku!tumtangulize mbele! Asante Rais wetu Samia Mungu ametupatia Makamu kupitia kwako
Wow! Vice President nominated remained calm and humble when his name was called out! Love from Kenya 🇰🇪
Na wetu ni mdomo tu...vurugu. kenya tutabadulisha siasa lini
I love you Tanzania naipenda sana nchi yangu nafurahi kuzaliwa tanzania😘😘😘❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Hii ndio nchi Mungu aliyoibariki kumbe taratibu machozi yanafutika binafsi Mzee mpango na mkubali hekima zake utulivu pia na utendaji kazi safi Mungu nae aliyekuwa na mpango nae jamani pindi alipougua hakuacha kumtetea nae baada ya kupona alionyesha fadhila kwa Mungu pia kwa waliomhudumia na pengine Mungu alimpa kipimo cha imani ili apite kisha amuinue...hongera mama Samia hongera Mzee mpango na hongera Tanzania Furaha iliweje kuzaliwa Tz...Mungu ibariki Tz.
Niko Kenya jinsi navyofwatilia matokeo Tanzania. Utadhani Mimi ni mtazania
Tunakushukuru sana 🤝
Upo sahihi
Kwa sababu huna hila ndani yako. Mimi niko Kenya Ila ni mtz
Wanawake wamethaminiwa Sana ahamu hii ya mama Samia
Auwi kama nimeamka Usingizini vile... Nakupenda TANZANIA 🇹🇿
😂😂
Mzee anafaa Sana kuwa MC nimecheka Sana naendelea kucheka proud to be among ov Tanzanian
Mimi mkenya lakini Tanzania nchi yangu.Mama Samia na afuate nyayo za mzee wetu na nchi hii itakuwa salama na ya kuigwa
Nakupenda Tanzania yangu, najivunia kuwa mtanzania,AMANI NA UPENDO ndio nguzo yetu.
Mungu ibariki Tanzania
I love the way Tanzania leaders handle their business. Hongereni watanzania Mungu awabariki sana. Tuna mengi ya kujifunza toka kwenu. Kenya.
Amina🙏🏼
I love Tanzania and I love people of Tanzania god blessing Tanzania and god blessing all of African Rwanda
Bob
Your welcome brother God bless you too
Proud to be a Tanzanian ♥️🇹🇿🔥 Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais kipenzi wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote 😍💪♥️✔✅✔
Spika anafaa kuwa MC anafurahisha
Maana ya spika ni nn?
Hahaha
mungu ibariki tanzania najivunia kuwa mtanzania nawapongeza viongozi wetu
Mashaallah I'm very happy 🤗🤗❤🇹🇿🇹🇿
This is so beautiful
Safi kabisa mama samia Rais wetu
Nimezidisha upendo kwa wa Tanzania. Ahhh mungu abariki wa Tanzania. Love from Mombasa Kenya
Maasha allah krb sana TANZANIA 🇹🇿🇹🇿
masha allha allha akulinde na jicho la hasadi
Tanzania ndio nchi inayoongoza africa kwa kutazamwa kwa sasa
Hatariiii
Kabisa
Sana aisee
Mweshimiwa rais ongera sana
Umoja na ushirikiano ndio nguzo yetu wa Tanzania nakupenda Sana nchi yangu
Wanawake oyeeeee
Oyeeeeeeee
Watanzania mimi mkenya lakini niwapenda sana kila sasa najipata tu nikifuta news zenu.. tafadli naomba kaa munaeza ni host kwenu
Karibu sana jirani.
@@matthewjohn5108 nimeshukuru sana cku moja ntatembea huko qwenu sababu mumechaa nikaribisha
Karib sana, we are born to care foreigners.
Karibu sana
@@CharlesLeoMgaya Nashukuru na mujue nkiingia huko nasma niwambia hapa hapa tu.. atreast handshake
UMEINGIA VIZURI, ULIKUWA UMEBEBA BAHASHA ULILUSHA MKONO MMOJA MBELE NA NYUMA, ULIPOKABIDHI BAHASHA ULIKUWA HUNA MZIGO, ILITAKIWA URUSHE MIKONO YOTE MBELE NA NYUMA, SODIER UMEPITIA MAFUNZO WAPI.
Ok
Najikuta nafurah tu Mwenyewe Jaman
Ndo mambo ya kulala maskini na kuamka tajiri ndo hayo sasa
mob love just wish i was from tanzania
Mashaa Allah it's really interesting
Asa nalia Nini jamanii eti nafrahi adi nalia ongera Sana mze mipango tunaiman utaweka mipango sawa🙏🙏
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hahaha
😂🤣😂 SIKU ZOTE MPAMBE ANANGUVU KULIKO MWENYEMALI 😂🤣🤣 mpambe anakuwa na machachali balaa
Sana bro na ni kama kavunjwa mguu😂🤣😂🤣😂
Kina mama oyeeeeeeeee🙏💪
Oyeeeeee tunawezaaaa
Ouuuooooooyeeeeeeeee. Uku nikiwa nimeziba pua ili oye itoke vizuri. 😂😂😂😂🤣🙊
Oyeeeeeeee
ninapenda huyu mama na serikali yake
I love Tanzania 🇹🇿.
Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Ibariki Afrika
Barikiwa saaana raha saaana
Kenyans we need to be serious like Tanzanians . Very organized no throwing stones and blowing whistles in parliament
NDUGAI bwana!!!
Nilitaka kusomea upolice sema nilichelewa kulima milaba hahahahaha ila mungu ana makusudi yake sasa nipo ulaya Asante mungu
Pia huko ulaya waweza kua
hahaha hahaha!!! hilo neno kilima milaba limenikumbusha mbali sana!!
🤣🤣🤣
Umenikumbusha mbali ww
Ulivyosema milaba nimekumbuka Iringa daah
Kina mama mpoooo 😂😂😂😂
Saaaaaaan 222
Big love from Kenya. President angemteua ule jamaa wa...(uliskia wapi😆)
Raha jamani raha sana Tanzania yangu asante Mama Samia tunakupenda raga mpaka bunge
Wanawake tunaweza sana jnm samia nakupenda sana rais Wa Tanzania magufuli mpendwa wetu atuachia rais Jmn
Ninyi ni watu wangu sanaaaa!
Mh spika nakupenda sana
Hongera mama mnaweza Mungu wabariki
Wakenya wengi hapa kushinda watizedi wenyewe.
Nasikia tu wana wake wana wake mungu ibaliki Tanzania pamoja name viongozi wetu
Team mafisi from Kenya 🇰🇪 wameniomba niwaulizie kama ako single 🤗am just a messenger 💌🙌🏿💌
Hawatambui kama ni bodyguard wa prezo
Pisheni mbali
😂😂😂😂😂😂
😂😂
🍻🇰🇪🇹🇿🇰🇪🇹🇿🇰🇪🇹🇿🇰🇪🇹🇿🇰🇪🇹🇿🖤❤💚
That look from Muheshimiwa Lukuvi,though😄😄
Hadi raha jamani 🥰😍💪🏾🙌🙇♀️🙏Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mama samiaa eeeh mama samia Suluhuu... Mitano tena..
Hongera Tanzania,hongera mama Samia Tanzania isonge mbelee
Tanzania raha tele
This is just super.
Hii ndiyo Nchi yangu ambayo Mungu Wangu amenipa niishi kwa Amani na Furaha.
Haya mambo ndio tulkuwa tunatka buana bunge live
Spika wewe😂😂😂🤣
Hongera sana Philip.
uyo ndo Nyamburi mashauri Adis wa kwanza mwanamke vivaaa Tanzania
Piga kelele kwakina mama
Haya bana mpaka umeagiza maji ya kunywa hahahaaaa
Waooo Safi sana
Big up kanda maalumu kitu kutoka musoma
Umeanza hvy hy ni wa kigomaaaaa.
@@rahmaabubakarisaanatu1961 anamaanisha mpambe wa Rais nadhani
Hapo sawa na sio mpambe wa raisi aaaaah
Much joyfully for this choice🙏🙏🙏🙏
A d c. Tangu nchi imeingia uchumi wa kat🤣🤣🤣🤣🙊🙊🙈🙈
Wachaaa weeeeh mpambe na upambe wake Nakupenda mie mpmbe wa mwenye kiti wa kijiji cha kitongoji😋🤗
Nani kamsikia spika kaguna mmhh mambo hayo kumekuuuucha bungeni Dodoma
hahahaha wanawake tunaweza
Mheshimiwa rais kwafanya chaguo sahihi kua mheshimiwa Philip mipango kua makamo wa raise mungu amsimamie aitende kazi yake vyema kwajili ya inch nawanainch wake
Mna vishindo😀
😂😂😂😂 Wanaume mmezoea wa awake ndio hatujawahi so lazima
@@jenyyusuph4973 sawa bana urubani wenu
@@kgchippy 😂😂😂ngoja tujalibu mtu one waume ndio maba alivyo andikwa mungu lkn
The time has come african nations to try woman and appreciate there leadership.
Mungu tuongoze Tanzania tuwe na ujasiri
This speaker is very fun
jaman jaman mbon mwaka huu mutatukoma jeshi wanawake.pig kereeeeereee
Wanawake wanaweza
Wabunge nawapenda ni kama wanafunzi wa secondary school boarding
Ma tony wote wa Tz wapelekwe jeshini plz ntakuja kunishukuru badae
Tunakuombea kwa Mungu wambinguni akulinde baba yetu mteule makamu wa Rais Samia Ubarikiwe sana😂
Mbona iko wazi?
I love what I am watching
The speaker could also do well as a comedian.
hahahahahahahahahaaaaaaaa eti mzuieeeeee
Binaadamu ukija na yako yashamuishia ukiangalia jinsi watu walivyolia kw msiba wa magu na saivi wamesahau wafurahia umakamo kama hakuna kilichotokea
Kawaida binadam akiisha fukiwa mwenyezimungu anawasahaulisha
Nchi ipi iliyopata uhuru?
Watu wakajua kabudi kumbe mipango daaaah
Nimependa sana wanawake na maendeleo ongera sana Tanzanian
Kwaiyo adc amemtoloka raisi au ma adc wapo wawili
Kigooooma,eee kigoma yeee yetagutigite hahaaaa baba levo japo mfipa ila KG ndiyo kwenu leo watakukoma
Fanya kazi kwa bidii ufaidi nchi yako la sivyo utabaki kusema hivi
@@lucasmhagama8166 pia usipojua umuhimu wa kufurahia mafanikio ya wengine na wewe huwezi pewa""miye nina furaha waha kuwa makamu wa Raisi shida iko wapi hapo au hukuielewa comment yangu unajikuta umejibu??pole