Maneno ya Dkt Philip Mpango Bungeni baada ya Kupendekezwa kuwa Makamu wa Rais

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 64

  • @mwajumahaji3718
    @mwajumahaji3718 3 ปีที่แล้ว +7

    Hongera sana mzee fanya kazi kwa biidii mtangulize mungu

  • @enterenter1921
    @enterenter1921 3 ปีที่แล้ว +4

    Ashukuriwe Mungu muweza wa yote Alhamndulilah 🇹🇿😘nimefurah mno kukuona umepona unaendelea nakaz zako Mungu nimwema saan amekunyanyua kwa uwezo wake hii ndo inaitwa mkono wa Mungu 😘😘😘Kila lakheir

  • @mwengatv3058
    @mwengatv3058 3 ปีที่แล้ว +5

    Safi sana,
    Ila kawalidhishe Lindi na mtwala pesa zao za korosho ndio ufanye mengine

  • @jaypchanze3922
    @jaypchanze3922 3 ปีที่แล้ว +5

    Kilichochema huandaliwa vyema ugumu wa majukumu hudhihirisha ubora wa mtu muhimu umepitia mengi hili halitokushinda jitoe katika Roho na kweli na Mungu yu pamoja nawe Dr. Mpango kazi njema na yenye mafanikio zaidi.

  • @mosesbusanya3528
    @mosesbusanya3528 3 ปีที่แล้ว +6

    mtu sahihi mtu makini 👏🏽👏🏽🙏

  • @shau78
    @shau78 3 ปีที่แล้ว +4

    naunga mkono uteuzi kwa asilimia 100. Mungu akutangulie Dr Mpango. utaacha pengo kubwa wizara ya fedha. lakini nafasi ya makamu wa rais pia ni ya muhimu sana. songa mbele baba.

  • @kingsuleiman7201
    @kingsuleiman7201 3 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe uko vizuri umepita sehemu nyingi za kikazi hivo hatuna Shaka mungu akupe nguvu.

  • @syproelvistru2610
    @syproelvistru2610 3 ปีที่แล้ว +7

    uongo dhambi Mpango sio mtu mbaya ...mimi huwa sipendi wasaka vyeo huyu jamaa hakutafuta hata ubunge...

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 3 ปีที่แล้ว

      Kwa kweli hapa mungu ametenda ni kama ile ya hayati MHE magufuli embe dodo lililoanguka kutoka kwenye muarobaini mungu ahsante

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 3 ปีที่แล้ว

      Ahsante baba kwa ahadi ya kufuata nyayo ubarikiwe sana tunakuombea kila la kheri

  • @zuhuraally4146
    @zuhuraally4146 3 ปีที่แล้ว +2

    Mwenyenzi mungu atakusimamia baba kwa uwezo wake inshallah

  • @januarybayo6216
    @januarybayo6216 3 ปีที่แล้ว

    Hongera Dr mpango naamini mipango itaenda vizuri

  • @JosephMulungu-v1j
    @JosephMulungu-v1j 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde baba kweri watanzania tunakuombea uongoze kwaamani natukimuomba mungu amulaze pema peponi laisi wetu magufuli

  • @kudranyome319
    @kudranyome319 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana baba mungu akutie nguv

  • @DJSharifu_onthe1and2
    @DJSharifu_onthe1and2 3 ปีที่แล้ว +2

    Kazi ipo

  • @pilliruhabaye9835
    @pilliruhabaye9835 3 ปีที่แล้ว

    Chombo kutoka.kigoma.hongera.kaka.fanya.kazi tunahitaji.uzalendo.wakweli.mungu.atawaongoza.mkiwa waamininifu.kwa.keki.zetu.za.taifa

  • @sarahmgaya9853
    @sarahmgaya9853 3 ปีที่แล้ว

    Hongera baba upadiri ulikushinda sasa piga kazi ukimtanguliza Mungu , tunaimani naww

  • @jaymalebo2159
    @jaymalebo2159 3 ปีที่แล้ว

    Nilazima taifa liendelee, barikiwa sana mzee wetu kwa maneno mazuri, inshallah Mungu Mkubwa kwa uteuzi huu,mshauri sana Mama yetu🙏🏻🙏🏻❤

  • @haysanhassan2685
    @haysanhassan2685 3 ปีที่แล้ว +4

    Mzee umenikumbusha mechi yako na makonda pale bandarini ulivyoondoka na point 3 na goli nyingi.

  • @40kstore
    @40kstore 3 ปีที่แล้ว

    Very smart,speech yake imenifanya nijione sijui kitu..

  • @jerinosanka4383
    @jerinosanka4383 3 ปีที่แล้ว +1

    kazi inaendelea na mpango mungu amtangulie

  • @norbertedward2179
    @norbertedward2179 3 ปีที่แล้ว +2

    Nice mpango

  • @esteramon9333
    @esteramon9333 3 ปีที่แล้ว +4

    Wew nimtulivu na kuamini kamuunge mkono Mama ucimuangushe

  • @shanaharuna217
    @shanaharuna217 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Baba*Pigs kazi Mungu awe nawe.

  • @abdumuwinge3416
    @abdumuwinge3416 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera mpango kwa nafasi hiyo tunaomba umshauri vzr mama yetu
    Apate kuliongoza vzr taifa letu kama alivyokua akiongoza kipenzi chetu hayati magufuli

  • @khadijatajiri8097
    @khadijatajiri8097 3 ปีที่แล้ว

    Hongera Sana baba

  • @sumako7960
    @sumako7960 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu hakubariki sana

  • @keanesou4339
    @keanesou4339 3 ปีที่แล้ว

    Aksante Dr, ww ndio baba mwingine tuliyekupata kwa sasa

  • @Officialboysafi
    @Officialboysafi 3 ปีที่แล้ว +2

    Hongera yake

  • @kingsuleiman7201
    @kingsuleiman7201 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongela Sana mpango

  • @thomasnyemba4367
    @thomasnyemba4367 3 ปีที่แล้ว +1

    Safiiiiiiiii

  • @masundelwa
    @masundelwa 3 ปีที่แล้ว +1

    Tuntaka viongoz muwe na kashkash🔥🔥🔥 Kama za JPM ,, ikiwezekana hata zaidi ya JPM... Tuntaka muwe mfano mzuri kwa mataifa ya Africa.

  • @sumako7960
    @sumako7960 3 ปีที่แล้ว +3

    Kigoma moja iyo

  • @kuchiafricancinema
    @kuchiafricancinema 3 ปีที่แล้ว +2

    Waha wanaenda kupata raisi muda si mrefu

  • @neemapaul8632
    @neemapaul8632 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akutangulie makam wetuuuu

  • @melinalumambo3218
    @melinalumambo3218 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @mosesbusanya3528
    @mosesbusanya3528 3 ปีที่แล้ว +2

    🙏👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽

  • @arushijuma6894
    @arushijuma6894 3 ปีที่แล้ว +2

    Upadir kaz hhhhhhh

  • @HassanMohamed-vs4re
    @HassanMohamed-vs4re 3 ปีที่แล้ว +1

    Mmmhh sawa ilaa huyuu jamaa kuna walakinii at

  • @azizaabubakar5595
    @azizaabubakar5595 3 ปีที่แล้ว +1

    Saaaafi baba

  • @mabulakhan4433
    @mabulakhan4433 3 ปีที่แล้ว +1

    👍👍👍👍👍👍

  • @geofreymwakasitu7658
    @geofreymwakasitu7658 3 ปีที่แล้ว +2

    💪💪

  • @jamilaezekiel6174
    @jamilaezekiel6174 3 ปีที่แล้ว +1

    Asant kwa maneno yako mazuli kilichobaki ni kuziba masikio na kutokusikiliza maneno ni kupambana tu na asie elekea ni kumtumbua tu

  • @ezapesambili2130
    @ezapesambili2130 3 ปีที่แล้ว +2

    Piga kelele kwa kigoma yakeee weeee!

  • @wangonamuhange8218
    @wangonamuhange8218 3 ปีที่แล้ว

    Kasha jiona kalaisi mtalajiwa kenyewe kana mbwembwe aka

  • @judithmichael9888
    @judithmichael9888 3 ปีที่แล้ว

    Mpango katika mipango

  • @jamaa2760
    @jamaa2760 3 ปีที่แล้ว

    Kongole Mh. Naibu Rais.

  • @sumako7960
    @sumako7960 3 ปีที่แล้ว +1

    Wanakigoma mupo

  • @josej9888
    @josej9888 3 ปีที่แล้ว +1

    Sisytime ya Magufuli bado ipo Sana Ikulu hivi mpango nimtu wawapi?

  • @ngindotv8576
    @ngindotv8576 3 ปีที่แล้ว +1

    Msomi ..busara nyingi

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว +1

    Wanapeana wao kwa wao tu

  • @kuchiafricancinema
    @kuchiafricancinema 3 ปีที่แล้ว +2

    Waha wanaenda kupata raisi muda si mrefu