SHIKENI ADABU HIJABU NI VAZI ALIYETANGAZA MUNGU , WENGINE MLIKUWA WAKIMBIZI MAMA KAKURUDISHENI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024
  • Saimu Gwao Online Tv ni chanell inayojihusisha sana na vipindi vya dini vyenye mafunzo kwa jamii na matukio tofauti yenye manufaa Tunapatikana Masjid Mtoro Jijini Dar Es salaam. Kwa mawasiliano zaidi 0713471090

ความคิดเห็น • 125

  • @abdullaseifkhamis4277
    @abdullaseifkhamis4277 ปีที่แล้ว

    Zanzibar Imevamiwa na Wapotoshaji mashekh lioneni hili kwasababu nyinyi nikioo cha jamii. Shekh Nyundo Ameacha Pengo

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 ปีที่แล้ว +3

    Mazinge ati haloo haloo,

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 ปีที่แล้ว +2

    Haochadema sitaki nakuwasikia ccm mbele kwambele❤❤❤ ccm moto

  • @FatnaAlly-hm1xc
    @FatnaAlly-hm1xc ปีที่แล้ว

    Maasha
    Mashallah uislam ni dini ya amani

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 ปีที่แล้ว +1

    Waisilamu tuseme alhamdulillah kwama vazi nyet❤❤❤ tunaeshimika alhamdulillah

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 ปีที่แล้ว +17

    MAKAFIRI WANATAMANI MAMA ZETU WAKE ZETU DADA ZETU SHANGAZI ZETU NA WATOTO WETU WA KIKE WATEMBEE UCHI KAMA WAKWAO WANAVYOTEMBE UCHI!,
    ALLAH ANASEMA;HAO WANATAMANI KUWARUDISHA KTK UKAFIRI BAAADA YA KUJUA WAISLAM WAPO KTK HAKI!!

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 ปีที่แล้ว +1

      ​@@Majer-wf6npWewe endelea na mdomo wako utaona matokeo yake eti unajisifia uzinifu na kutukana watu Mdomo ulichongea kichwa utajijua.

    • @nakundwamkubwe7823
      @nakundwamkubwe7823 ปีที่แล้ว +1

      ​@@Majer-wf6npunajisifia zinaa bila aibu? Kwahakika alama kubwa ya makafiri ni kukosa haya 😢😢.

    • @victorphilipo
      @victorphilipo ปีที่แล้ว

      Maisha unacheza nayo wanaimba amani acheni kueneza chuki kama wametereza waombee inchi inariwa kids wasiseme ushungi

    • @godwinmbwambo3316
      @godwinmbwambo3316 ปีที่แล้ว

      Hujui maana ya pasaka. NENDA kasome upya!

  • @ladislausriwa7768
    @ladislausriwa7768 ปีที่แล้ว +1

    Lema siyo kiongozi wa dini mjibuni yeye na uhuni wake msiuhusishe uhuni na dini ya kikristu. Uhuni huo utatuletea shida watanzania wao wataenda kanada na ubeljiji sisi tutachinjana hapa hapa. Vita ya dini mbaya

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 ปีที่แล้ว +3

    Makafiri wanatuonea wivu tunavo jisitiri

  • @salehaljadidi8206
    @salehaljadidi8206 ปีที่แล้ว +4

    Chadema ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo ya Makanisa Tanzania

  • @sheikhfirdaus6491
    @sheikhfirdaus6491 ปีที่แล้ว +2

    Yasalaaaam

  • @abuuaisha9095
    @abuuaisha9095 ปีที่แล้ว

    Inna lillahi wa inna ilayhi raj'uun..!!Mche Mola wako wanafunzi wanavaa hijab..? Unajua hijab au unaongea tu kwa sababu unajua kuongea..!!Kweli ujinga mzigo..!!Na Waislam wanacheka kwa porojo hawajielewi..!! Allahu musta'aan..!!Makhuraf kweli mtihani..!!

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji ปีที่แล้ว +8

    CHAMA CHA KANISA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿CHADEMA

  • @kijakaparare2074
    @kijakaparare2074 ปีที่แล้ว

    MaaMaashaallah mashallah mashekhe wetu mungu awape umri mrefu

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 ปีที่แล้ว +2

    Pia siasa tuacheni hakuna ukabila wala udini tena wakirsto mtukome tuacheni nashungi zetu tena mutaleta vita kwa mavazi yetu

  • @SebatianKisokola-hy7qs
    @SebatianKisokola-hy7qs ปีที่แล้ว

    Nyee waislam mnanitia kichefuchefu sana na dini yenu ya kishilikina ety alla mungu thubutu kitabu chenu uchafu tu

    • @zainabuyassini3095
      @zainabuyassini3095 ปีที่แล้ว

      Kwani hakuna wakirsto wa shirikina. Unajidanganya .

  • @seifrashid2064
    @seifrashid2064 ปีที่แล้ว +9

    Chadema wanaupiga Vita uislamu na Waislamu kwa ujumla Ila Mimi cmtu wa siasa Ila nitashangaa sana kwa muislamu yoyote anaekiunga mkono chadema Ila bi muhimu kujuwa tu nayeye anaupiga Vita uislamu na ataenda kujibu kwa Allah

    • @gooleserviceyoutubescandar3450
      @gooleserviceyoutubescandar3450 ปีที่แล้ว

      Tuwarekebishe Wanaopinga Uislamu Amiiin.

    • @bellasi349
      @bellasi349 ปีที่แล้ว +1

      Acha izo waarabu wenyewe walipinga iyo dini iweje sasa nyie waha Muhammad yeye alipigwa mpaka akang"olewa meno mpaka alizikwa kibogoya sasa jao chadema si ndo basi kabisa

    • @richardmbasha1411
      @richardmbasha1411 ปีที่แล้ว

      Acheni upuuzi bana, mnaingizwa kwenye propaganda za CCM na nyinyi bila kutumia akili mnaingia mkenge.. Tangu lini kukawa na UDINI ktk vyama,

    • @emilyfuraha9421
      @emilyfuraha9421 ปีที่แล้ว

      😅😊

    • @emilyfuraha9421
      @emilyfuraha9421 ปีที่แล้ว

      😊op

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 ปีที่แล้ว +2

    Hao ni wapinzani wasikusumbue mbona masista wa kanisani wanavaa hizo ndizo changamoto za siasa mama nimvumilivu hata magufuli aliitwa kichaa na wanaccm wenzie huyo mama ni mpaka 2030 ccm oyeeeee kazi inaendelea wanawake jeshi kubwa

  • @abdiathumani919
    @abdiathumani919 ปีที่แล้ว +3

    Nyie yawahusu nn

  • @zainabuyassini3095
    @zainabuyassini3095 ปีที่แล้ว

    Chadema waombe Razi

  • @zainabuyassini3095
    @zainabuyassini3095 ปีที่แล้ว

    Yaani chadema waombe razo

  • @nalingarowl7048
    @nalingarowl7048 ปีที่แล้ว +1

    Lisemwe lililopo,Hawa pale Eden hakuwa na vazi.
    * Musa alivuka red sea na sio Nile river.nina mashaka na uelewa*

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul ปีที่แล้ว

      Ww ndo umesoma kitabu cha uongo shekh yupo sahihi

  • @fahadmussa8879
    @fahadmussa8879 ปีที่แล้ว

    She wamitandao kiki moja kwamoja hapitwi nakitu Allah akujalie usome

  • @abdulhamidjabu6530
    @abdulhamidjabu6530 ปีที่แล้ว +3

    Motoooo umewakaaa

    • @zainabuyassini3095
      @zainabuyassini3095 ปีที่แล้ว

      Tunaanza kiwasha jamani Kila sehemu uko miliko waisilamu muambizane tu. Chadema watajuta awajui

  • @amanilucy
    @amanilucy ปีที่แล้ว +1

    Shee muongo ,,,,alafu roho inakuuma kwa mamposa kufungua hoteli ,,,mbona mwamposa hajawai kuwataja kwa ubaya kwenye maubiri take na Kila siku Yuko laivu ,,,Acheni udini na kulalamika tuu

    • @bellasi349
      @bellasi349 ปีที่แล้ว

      Inamuuma kwani akiwa na hotel kosa liko wapi chuki ndoma hata muhamadi aliuawa kwa sumu amewalaani mukuwe na chuki hadi misikitini kwani hijjabu mbona hijja makka wahujaji hawavai nguo ndani ni rubega tout

  • @jacksonngusi4122
    @jacksonngusi4122 ปีที่แล้ว +1

    Acheni udini kuingiza na siasa sisi hatutaki usenge huo mbona wewe umemtukana mwamposa kuwa mhuni mbona sisi hatupigi makelele

  • @DOCTORMitishamba-m1r
    @DOCTORMitishamba-m1r ปีที่แล้ว +2

    Hua anapenda kujipendekeza sana huyo mzee

  • @jumannendayigeze2899
    @jumannendayigeze2899 ปีที่แล้ว

    Acheni hizo jdugu zangu

  • @JerryMwandenje
    @JerryMwandenje ปีที่แล้ว +1

    Kaeni kimya tu bandari zenu hazipo kwenye list y DP Dunia

    • @kamanapomo7029
      @kamanapomo7029 ปีที่แล้ว

      ​@@salumalriyamyhaya makafir yalikua yamekwisha jibinafsisha hii nchi kana kwamba ni yakwao shenz kabisa Sasa kwa7bu wameanzisha vurugu na watauona Moto wasubir watauota na utawaunguza tu

  • @KagyaRama-lr2rg
    @KagyaRama-lr2rg ปีที่แล้ว

    Mafirahun

    • @SwalehNunda
      @SwalehNunda ปีที่แล้ว

      Ujumbe umefika kwamakafiri

  • @angelomalimi2444
    @angelomalimi2444 ปีที่แล้ว

    Waislamu majinga sana elimu ya Madrasa shida sana

    • @aliriasi1359
      @aliriasi1359 ปีที่แล้ว

      Allah akusamehe hujui unacho kiandika 6:42

    • @zainabuyassini3095
      @zainabuyassini3095 ปีที่แล้ว

      Ayo ndio matusi yenu ata kama tumesoma madarsa wewe unakerwa na nini

  • @SalmaMohd-vg3fn
    @SalmaMohd-vg3fn ปีที่แล้ว

    Tena washike adabu zao washenzi wakubwa

  • @naqiahmad26
    @naqiahmad26 ปีที่แล้ว

    SIKU YA ASHURA JAMANI HATA KUGUSIA JUU YA KUUAWA KINYAMA FAMILIA YA MTUME MUHAMMAD SWW ????😢😢

    • @bellasi349
      @bellasi349 ปีที่แล้ว

      Nos mjue huyo hakuwa mtume yeye tu alipewa sumu familia ikauawa sasa huyo alikiwa mtume gani miaka yote 23 y’a utume bado hakubaliki atoke kule muhuni tout

  • @hassanmwinyi7046
    @hassanmwinyi7046 ปีที่แล้ว +3

    Kikwete hajawahi kueafunga mashekh Kama mashekh kikwete aliwafunga mashekh walio jiingiza katika siasa na kuhubiri kuvunja muungano ndio ulio wafanya wafungwe na sio ushekh wao usikurupuke kuongea usicho kijua

    • @joezeno8
      @joezeno8 ปีที่แล้ว

      kweli, ila Rais Mkristo angewafunga hao Masheikh wangelisema kwasababu ni Waislamu

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo ปีที่แล้ว

      Mbona Askofu Mtikila hakufungwa! Na yeye ndie mwanzo WA kuujadili Muungano na nyumbani kwake alikuwa anapeperusha bendera ya Tanganyika?je wewe ni ndie unakurupuka na kuzungumza usilolijuwa?kwa maana Yakima sheikh WA Zanzibar hawana haki ya kuujadili Muungano!lkn Mapadre na Maaskofu wenu wao ni haki Yao?na vp wale waliojiita G55 Kule Bungeni mbona waliambulia kupewa vyeo?au kwasababu ni Watanganyika wenzenu?sasa tunasema ujinga ujinga wenu basi inatoshaaaa!

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo ปีที่แล้ว

      Pale palikuwa na Uzanzibari na Utanganyikautanzania!

    • @bellasi349
      @bellasi349 ปีที่แล้ว

      Ngoja wafungwe wapate adabu saivi kimya shenzi zao mnataka kuviruga amani kama walikuwa na haki wamemuomba uyo Allah wao miaka mingapi mbona hajawanusuru na segerea Allah wa michongo tout hana masikio

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo ปีที่แล้ว

      @@bellasi349Nadhani unapaswa kusoma na kumjuwa Allah!chuki zako hazitakupa mafanikio lkn kama unanitia kiburi walikuwepo akina Fir-auni wengi Tu lkn soma historia zao na yaliyowakuta sasa na wewe yatakufika

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 ปีที่แล้ว

    Wanaenda kanisani mapaja yapo njetu vi utapiga nagoti siunaonekana matako jaman

  • @EmmanuelMagadula-f1y
    @EmmanuelMagadula-f1y ปีที่แล้ว +1

    Haya wewe hauja watukana wachungaji? Mbona una wasema wanathuruma

  • @halidnaamo6156
    @halidnaamo6156 ปีที่แล้ว

    Waislamu mtaiingiza Nchi kwenye Vita,mara ngapi mnawatukana Wakristo?Subirini ......

  • @HiteshkumarDhirajlal-nh3ly
    @HiteshkumarDhirajlal-nh3ly ปีที่แล้ว

    Mungu gani Alice tangaza hijab?? Hivi shehe,are you serious by saying that??oooh!please👀

    • @hussenaaghe2760
      @hussenaaghe2760 ปีที่แล้ว

      Hatuhoji mazezeta kwanza masta Roman cat-like

    • @bellasi349
      @bellasi349 ปีที่แล้ว +1

      Hii ni misukure kila kitu eti Mungu alitangaza hivi hijjabu Mungu aliitangazia wapi mbona hawa hakuvaa hijjabu kazi yao kukopi tout

    • @HiteshkumarDhirajlal-nh3ly
      @HiteshkumarDhirajlal-nh3ly ปีที่แล้ว

      @@hussenaaghe2760 Zezeta la kwanza ni wewe mwenyewe 🤣😂

    • @ummahmed3354
      @ummahmed3354 ปีที่แล้ว

      @@bellasi349 wewe ulijuaje hawa hakuvaa hijabu?....unaonekana bado hujapata kijiko chako chako cha udongo wa mwamposa...

    • @bellasi349
      @bellasi349 ปีที่แล้ว

      @@ummahmed3354 kama alivaa mbona qurani haijasema hijjabu lingekuwa vazi la Mungu basi adamu na hawa ndo yangekuwa mavazi yao yani mafundisho y’a muhamadi labda kichaa ndo atayakubali

  • @Mgema001
    @Mgema001 ปีที่แล้ว

    Kuna muda mazinge ongea point sio kila muda pumba tu....lema aliongelewa wote sio waislam ama wakristo mm sio muumini wa siasa ila kwenye swala la kimungu nipo, usipende kuongelea wakristo hovyo

  • @abdulhamidjabu6530
    @abdulhamidjabu6530 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂bomu

  • @abuuaisha9095
    @abuuaisha9095 ปีที่แล้ว +2

    Mashuleni hakuna hijab za kisheria ila kwa wajinga ndo wanaweza Sema hivyo..!!Nasaha Waislam someni diin yetu elim za kisheria ili msiyumbishwe na Wahubiri mqjahili wenye porojo nyingi kuliko maarifa ya diin..!!Kwani zama hizi mqjahili ni wengi Sana na tena wanajifanya wajuzi kisa tu wamejaaliwa ukasuku..!!Allahu musta'aan

    • @zainabuyassini3095
      @zainabuyassini3095 ปีที่แล้ว

      Ilo ni jukumu la mzazi . Madamu umerusiwa kumvalisha hijabu.

  • @johnmahu5060
    @johnmahu5060 ปีที่แล้ว

    Uislam ni ccm b mnatumika na wezi wa ccm ndo mana kauli ndogo kma hlo la lema mnakimbilia udini mnasaidia. Ccm tu

  • @joezeno8
    @joezeno8 ปีที่แล้ว

    Masheikh awa ni Wanafki, Kikwete aliwafunga Masheikh miaka 9 hawasemi chochote, JPM alichukiwa na wanamsema vibaya kila siku na Chadema kuliko Rais yoyote aliawai kuongoza Nchi ila Masheikh wote kimya! Chadema Wanampinga Rais Samia kuhusu Bandari Masheikh wanaleta UDINI!

    • @lilotz-we7xq
      @lilotz-we7xq ปีที่แล้ว +1

      Acha zako wewe huyo huyo magu hujui kama yeye aliuwa waislamu Wengine kibiti?eti walikuwa magaid,Tanzania naugaidi wapi nawapi huyo magu aliwafunga waislamu Wengi nakutaifisha Mali zao Hadi Wengine walikimbia nchi wote walikuwa waislamu hujui wepunguani?

  • @josephudoba5563
    @josephudoba5563 ปีที่แล้ว +1

    Mimi naomba kujua kafiri ni mtu wa Sina gani

    • @kitengekikali3541
      @kitengekikali3541 ปีที่แล้ว +1

      kaka, naomba nikusaidie maan ya neno kafikir, kafir ni mpingaj yaani yoyote anaekwenda kinyume na mafundisho sahihi ya muumba huyo huitwa mpingaji kiswahili au kafiri kiarabu

    • @MrkhalifaSeif
      @MrkhalifaSeif ปีที่แล้ว +1

      Kafiri ni mtu ambae hafati maelekezo ya dini yyte.mungu akisema fanyeni hivi yy hafanyi.hili msifanye yy anafanya.mfano mkirosto akiambiwa usizini yy akazini anakua kafiri sio mkirosto Tena uyo.

    • @roseberryhamoud6542
      @roseberryhamoud6542 ปีที่แล้ว +1

      Ni mtu ambaye si muislam, ia wengine wanalichukuia tofauti.

    • @AliAli-lw9bj
      @AliAli-lw9bj ปีที่แล้ว

      ​@kitengekikali3541 kafiri ni neno ambalo linatumika kwa aliefikiwa na haki kwa kulinganiwa na akakanusha.
      Huyo atakuwa kafiri.
      Lakini ni kawaida kuwaita watu wasiokuwa waislam kama ni makafiri. Na haifai. Maana Quraan imewaita wakristo na Mayahudi imewaita kwa majina ya Manaswara na Mayahudi na hawakuitwa Makafiri. Ni bahati mbaya tu Jina kafiri limekuwa linalengwa Sana bila utaratibu.

    • @josephudoba5563
      @josephudoba5563 ปีที่แล้ว

      @@AliAli-lw9bj Ali nimekuelewa he muislam ambaye yupo kinyume na waislam Kwa mfano haswali aendi msikitini hafuati haki muasharati hawazi kuwa kafiri?

  • @Ambwene
    @Ambwene ปีที่แล้ว

    Kikwete Muislam lakini aliwanyoosha mashekhe kwa miaka 9 mamamae 😄 🤣 😂 😆 😄

  • @DevothaLighton-dl6zi
    @DevothaLighton-dl6zi ปีที่แล้ว

    Waislam hawa tuwachape ndio itakuwa dawa

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 ปีที่แล้ว

      Umchape nani wewe mpumbavu usichapike wewe tu hayawani mkubwa. Mungu atakuonyesha jeuri yako wewe.

  • @zuzadomikano3765
    @zuzadomikano3765 ปีที่แล้ว

    BWANA Dr. MAZINGE kua mkweli na muazi ,Dr. KIKWETE aliwafunga masheikh myaka 9 MBONA MWAOKOPA KUMSEMA ,LEMA KASEMA KWELI TUJITATHMINI .

    • @joezeno8
      @joezeno8 ปีที่แล้ว +2

      Masheikh hawa ni Wanafki, Kikwete aliwafunga Masheikh miaka 9 hawasemi chochote, JPM alichukiwa na kumsema vibaya kila siku na Chadema kuliko Rais yoyote aliawai kuongoza Nchi ila Masheikh wote kimya! Chadema Wanampinga Rais Samia kuhusu Bandari Masheikh wanaleta UDINI!

    • @machano5690
      @machano5690 ปีที่แล้ว +1

      Mnafiki ni weye na mapadri wako wenyeuchukivu juu ya Uislamu na Waislamu.

    • @amaniramadhan8572
      @amaniramadhan8572 ปีที่แล้ว

      Hahahaha ninyi ndio makafiri Na uislamu wenu ninyi mntaka hii inchi iwe ya kiislamu mkiguswa kwenye kidonda mnashituka

    • @amaniramadhan8572
      @amaniramadhan8572 ปีที่แล้ว

      Ninyi mnawasema wakristo lakini ninyi mkisemwa mnarukaruka acheni ujinga

    • @joezeno8
      @joezeno8 ปีที่แล้ว

      @@amaniramadhan8572hawa machokoo ndio kazi yao, wakimpinga muislamu waleta UDINI ya kishenzi

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 ปีที่แล้ว

    Huna lolote nyooo! Wewe na biblia wapi na wapi