MNAPOSEMA SERIKALI HII INA UDINI MUNAMAANISHA NINI? SWALI LA SHEIKH MZIWANDA KWA WAZIRI MKUU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @habibujafari6513
    @habibujafari6513 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah mwenyezimungu amhifadhi sheikh na ampe umli mref wenye manufaa

  • @abubakariali9848
    @abubakariali9848 ปีที่แล้ว +2

    Mwamba umeupiga mwingi san 😊 🙏 m/mungu akupe umri mrefu.., Ety m/mungu ampe kinachomstahiQi Nyerere Laan..tu Allah

  • @habibaramadhani-xv2ed
    @habibaramadhani-xv2ed ปีที่แล้ว +1

    Hijabu ni vazi la Heshima Amejihifadhi vizuri .Kila Mama, Dada au Mtoto wa kike Akivaa ni Kheri Sana.

  • @ayshahamisi1240
    @ayshahamisi1240 ปีที่แล้ว +2

    Maa Sha Allah tabaarakallah, Allah akupe umri mrefu tuendelee kunufaika nawe

  • @Ahmadasshii-raazy8888
    @Ahmadasshii-raazy8888 ปีที่แล้ว +1

    ALLAH amuhifadhi sheikh wetu mziwanda

  • @abdushakurathuman5205
    @abdushakurathuman5205 ปีที่แล้ว +1

    Allah akuhifadhi sheikh wetu
    Mtume anasema kila kitu kinanjia na njia ya kwenda peponi ni elimu.
    Allah awe nawe mwamba

  • @abuukilanga2249
    @abuukilanga2249 ปีที่แล้ว +1

    Kigoma Malima alianzisha namba badala ya majina ALLAH AMSAMEHE MADHAMBI YAKE AMYN

  • @kasifabiti8249
    @kasifabiti8249 ปีที่แล้ว

    Masha'Allah,,,, Allah akujaalie miaka mingi

  • @azizbashir
    @azizbashir ปีที่แล้ว +1

    TANZANIA NDIYO ILIKUWA KIMBILIO YA WAISLAM EAST AFRICA LKN BAKWATA IMETURUDISHA NYUMA SANA MAHANA WAJANJA WAJANJA WENGI SANA UWEZISIKIA WANATETEA UISLAM AU HATA KUISEMEA UISLAM

  • @husseinabdul7948
    @husseinabdul7948 ปีที่แล้ว +1

    Jazzakumullahkhery

  • @Ahmadasshii-raazy8888
    @Ahmadasshii-raazy8888 ปีที่แล้ว +1

    Tunaisubiri B kwa nguvu in shaa ALLAH hii imekua moto

  • @khamisyahya7703
    @khamisyahya7703 ปีที่แล้ว +2

    Sheikh, Allah akujalie kila la kher na mahitaji yako yote ya kher.....ila usipate nafasi bakwata kwa maana hatutasikia tena mikazo yako.

  • @masudimwinyi7301
    @masudimwinyi7301 ปีที่แล้ว +1

    Swadakta Sheikh wangu zidisheni juhudi ya kuwaamsha waislam tuipiganie dini yetu kwa nguvu zetu zote ili tumfurahishe mola wetu

  • @edoedo4973
    @edoedo4973 ปีที่แล้ว

    SHHEIKH YAWEZEKANA MWANAMKE KUWA IMAMU AU KIONGOZI

  • @maftuhihassan3114
    @maftuhihassan3114 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali shekhe mashaalwa

  • @amanisalum1638
    @amanisalum1638 ปีที่แล้ว +2

    Leo umepita sawa na upeo wa akili na tamanio la nafsi yangu.Allah akulinde.

  • @abuuruwaydatvTz
    @abuuruwaydatvTz ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah

  • @maliamhotimaliamhoti5302
    @maliamhotimaliamhoti5302 ปีที่แล้ว

    Allah akuhifadh shekh

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 ปีที่แล้ว +1

    SADAQTA SHEIKH. .MA SHAA ALLAH.

  • @jonfredkewe3451
    @jonfredkewe3451 ปีที่แล้ว

    Aloo hii nchi inakwenda babaya mashekhe mtaiharibu msipokuwa makini kuzungumzatu kawaida unataka tukufahamu Kama unaijua kuruani ushezi Sana huu

  • @Ahmadasshii-raazy8888
    @Ahmadasshii-raazy8888 ปีที่แล้ว +1

    Tunaomba asinyimwe mimbar ya kutoa dukuku tusionekane wanyonge katika nchi

  • @thuweinriyamy897
    @thuweinriyamy897 ปีที่แล้ว +2

    Hao wanaopinga uislamu wametumwa na mabwana zao wazungu?mimi naapa wakristo wa TZ hawana roho mbaya ni baadhi ya wamafiqi tu wachache

  • @antarsangali4456
    @antarsangali4456 ปีที่แล้ว +1

    Warioba utalivuruga taifa kwa maneno yako yasio na vipimo .Wewe ni mchafuzi wa amani na muungano wetu. Ila kwa waislam umeupanda mkenge

  • @habibaramadhani-xv2ed
    @habibaramadhani-xv2ed ปีที่แล้ว +1

    Kuupiga Mwingi ni kuongea Rais SEMA Usiogope .Uwanja wako.

  • @salimabdallah5304
    @salimabdallah5304 ปีที่แล้ว +1

    Tunataka histori ya tanganyika maana imevurugwa. Hatuna muelekeo sheikh mziwanda.

    • @mansooralaisri5200
      @mansooralaisri5200 ปีที่แล้ว

      Naona watu hawa faham, Watanganlka ni warabu walizaliwa Tanganyika, Wale weusi wote ndio Watanzania. Kwa hiyo wenye Asılı ya nchi ni warabu. Wala msibadilishe.

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 ปีที่แล้ว

      Tanganyika ya nini sasa

    • @mansooralaisri5200
      @mansooralaisri5200 ปีที่แล้ว

      @@fahadfaraj6474 Najuwa hutaitaka Tanganyika sababu ni ya Warabu. Ipo itakuwepo na itadumu

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 ปีที่แล้ว

      @@mansooralaisri5200 waarabu wanakaa urabuni huku kuna wenye asili yakiarabu

  • @kamrudinelias3922
    @kamrudinelias3922 ปีที่แล้ว

    Ndo maana JPM hakupendelea democracy la kijingajinga, ukiwaaxhia vibaraka kujipendekeza kwa wakoloni na mabeberu basi vibaraka watleta fujo tuu bila huruma kufurahisha mabwana zao wa huko majuu....

  • @someparuranga7377
    @someparuranga7377 ปีที่แล้ว

    Anaongea kweli wanao chokonoa cyo wazalendo nikianzisha chokochoko vurugu wao na familia zao wanatikea pande nyengine zafrika

  • @CharlesMisungwi-f8t
    @CharlesMisungwi-f8t ปีที่แล้ว

    Siyo dini yako nidini yamungu hujui lolotezaidi yakichwa chakokujaa maji badala ya ubongo hakunadini inayo hamasisha maangamizi kamaunavyo daiwewe ilihali yakitokea hayo huwezi hatakutembea kilomita 10.

  • @mhandomhina5503
    @mhandomhina5503 ปีที่แล้ว

    Chifu Erasto Mang'enya na aliwahi kupata wazifa mkubwa awamu ya kwanza nchi hii. Ana shairi moja ktk mstari fulani ameeleza Hali ya Padri mmoja akipinga waumini wasijiuhusishe na harakati za uhuru japokuwa kanisani wanaelezwa upendo lakini mbona wao wako safu ya
    mbele kumsaidia makoloni?

    • @latwifsued3316
      @latwifsued3316 ปีที่แล้ว

      Maashaallah, shekh mfike na huku mikoani, wilayani mtuamshe waislamu wamelala hawjitambui kabisa. Uko vizuri

  • @salimabdallah5304
    @salimabdallah5304 ปีที่แล้ว

    Mpaka ikulu na mhimbili yote ya waisilamu.

  • @USACAUDIOVISUALMATERIALS
    @USACAUDIOVISUALMATERIALS ปีที่แล้ว

    NAAAAAAM!

  • @emanuelbalama-el2jd
    @emanuelbalama-el2jd ปีที่แล้ว

    Mkristo unayehis kuonewa ebu soma efeso (6:12) biblia imekuonyesha wapi epeleke vita yako.

    • @abdulsataribashiri8300
      @abdulsataribashiri8300 ปีที่แล้ว

      Umetumwa ama

    • @joramndegeleki3607
      @joramndegeleki3607 ปีที่แล้ว

      Kitakwimu wakristo ni wengi pia ni jambo lakubalance tu, lakini pia huko Zanzibar wakiristo ni wachache ndo maana hats ktk serikali ya Zanzibar wakristo ni wachache pia

  • @davidwambura5915
    @davidwambura5915 ปีที่แล้ว

    Huyu shekhe kichwa box, Wakristo tupo bise na Mungu wetu nyie mnahangaika tu.

  • @josephmuchiri3180
    @josephmuchiri3180 ปีที่แล้ว

    TUIGAWE NCHI BASI WAISLAMU WOOTE MKAE PWANI

    • @mhinahalfan2694
      @mhinahalfan2694 ปีที่แล้ว

      Hatujafikia huko. Amejaribu tu kuelezea tofauti akiongoza nchi muislam na akiongoza mkisto.
      Umoja wetu kama taifa ni muhimu sana ila tunahitaji kuwa na umakini sana wakati tunaongea haswa mambo yanayogusa imani

    • @mohamedbakari-lv6we
      @mohamedbakari-lv6we ปีที่แล้ว

      Wakiristo hamna nchi , katafuten sehem mwende, kwanza tumewazid wingi, pili Waislam ndyo tumepigania uhuru

    • @josephmuchiri3180
      @josephmuchiri3180 ปีที่แล้ว

      @@mohamedbakari-lv6we uhuru upi?kwani Tz ilipata uhuru?af niambie kwann NYERERE AKAWA RAISI#note Tanganyika haijawai kupigania uhuru

    • @mhandomhina5503
      @mhandomhina5503 ปีที่แล้ว

      Sababu, ukatoliki ulipewa shavu la uwakala Tanganyika na Mwingereza kwani Anglikana ilikuwa changa hapa Tanganyika na Lutherani ya Mjerumani ilikuwa hiko vizuri hivyo namna nzuri ilikuwa hiyo. Lakini wakala nae alijiongeza na ndio maana haya yanayozungumzwa si ya kupayuka kwani Kwenye nafsi zenu yapo na mnayaweka wazi mkisilimu tu.

  • @ambokileasheengai1140
    @ambokileasheengai1140 ปีที่แล้ว

    Msisingizie wakristo ni nyie waislam mnaowatesa wanawake kama mnavyoondeshwa kwenye vitabu vyenu

    • @Ahmadasshii-raazy8888
      @Ahmadasshii-raazy8888 ปีที่แล้ว

      Tumewatesa wapi kwa mfano, mm kwa mtazamo wangu naona ukiristo ndo unatesa wanawake, ni vyema kama tukijadiliana kwa uzuri, naomba weka hoja mezani

    • @ambokileasheengai1140
      @ambokileasheengai1140 ปีที่แล้ว

      @@Ahmadasshii-raazy8888 hoja gani soma quran...

  • @khadijasarkaly5588
    @khadijasarkaly5588 ปีที่แล้ว

    Bashiri frexeball hahah

  • @ramadhanmwandambotuntufye5972
    @ramadhanmwandambotuntufye5972 ปีที่แล้ว

    Hotuba Bora kuliko zote nilizowahi kukusikiliza

  • @hamynas
    @hamynas ปีที่แล้ว

    ziwanda kawaacha mashia kakimbilia serikalini tema... shekhe .mbwembwe huyu miingi saana

    • @khelefomary4486
      @khelefomary4486 ปีที่แล้ว +4

      Sifa moja ya shekh lazima awepo kila sehemu yenye kuleta utata ili awaeleweshe watu ndugu

    • @canoksancomprehensivelearn7182
      @canoksancomprehensivelearn7182 ปีที่แล้ว +2

      Hajawaacha mashia na uislam unaingia na kugusa kila mahali. Uislamu hata mtume S.A.W alikuwa katika akhera ni mwalimu mzuri na kigezo na katika vita jemadar mkuu katika siyaasa humuwezi (uongozi) na katika serikal yake aloiongoA haijapata mfano na sisi waislam nchi nyingi tumezishika hatukuishia msikitini tu

    • @janerouhassanjanerou7933
      @janerouhassanjanerou7933 ปีที่แล้ว +1

      Bila ya choko choko wala asinge igusa iyo serikali sema tu wame mchokoza

    • @abdushakurathuman5205
      @abdushakurathuman5205 ปีที่แล้ว

      Unaona amekosea sio

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 ปีที่แล้ว

      HAJAWAACHA MASHIYA NA HIYO MADA INAWAHUSU MASHIYA KWANI HIYO JUMUIA YA AMANI VIONGOZI WAKE NI MASHIYA AKIWEMO ALHADI SAALUM