Kifo Na Uhai Kipi Chenye Uhakika ?/ Kwenye Biblea Mtume (S.A.W) Katajwa / Pro Habibu Mazinge

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 58

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv ปีที่แล้ว +4

    Swadakta sheikh 💚 tutazi kumsifu na kumswalia 💯 mtume MOHAMMAD (S.A.W) Kipenzi kya ALLAH nani kipenzi wetu .

  • @FridaMajii
    @FridaMajii 11 หลายเดือนก่อน

    Sheikh mazinge mashaAllah nakupenda kwa ajili ya allah wew ni jeshi

  • @mohamedkibwana7558
    @mohamedkibwana7558 ปีที่แล้ว

    Umri Taweel Sheikh Mazinge

  • @FridaMajii
    @FridaMajii 11 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah azdi kukupa umri mref na mwisho mwemaaa,,naikumbuka ile unapenda kusema hiiii

  • @issafaquedalaura8279
    @issafaquedalaura8279 11 หลายเดือนก่อน

    DD Mazinge Masha Allah 👏

  • @abdurahmanabdallah2403
    @abdurahmanabdallah2403 ปีที่แล้ว +3

    MASHALLAH SHEIKH MAZINGE MUNGU AKUEKE

  • @hamadsalim1072
    @hamadsalim1072 ปีที่แล้ว +1

    hongera kidume w allah

  • @SociedadeSust1234
    @SociedadeSust1234 ปีที่แล้ว +1

    Allah akuifadh sheikh Mazinge

  • @AndulHida-hs5py
    @AndulHida-hs5py ปีที่แล้ว +1

    Barak Allah feeq, Jazzak Allah kheri.

  • @khairiyyahsultan-vm1fk
    @khairiyyahsultan-vm1fk ปีที่แล้ว

    Ustadh mazinge tunakupenda sanaa ❤ Allah awe pamoja naww daima in sha allah na akupe mwisho mwema ustadh wetu😊😊😊

  • @MwinyijumaSeleman
    @MwinyijumaSeleman ปีที่แล้ว +1

    Mazinge mungu akubariki

  • @KGONLINETV-i7z
    @KGONLINETV-i7z ปีที่แล้ว +3

    MAULIDI NAONA YATAZIDI WALLAHI

  • @athmanali
    @athmanali ปีที่แล้ว

    Tabaraka Allah and Alhamdhulillah

  • @fredrickgitonga1972
    @fredrickgitonga1972 ปีที่แล้ว

    Uhai

  • @HabibaAlly-qk1zf
    @HabibaAlly-qk1zf 10 หลายเดือนก่อน

    Story book

  • @muhammadmbaraka4515
    @muhammadmbaraka4515 ปีที่แล้ว +2

    Hatari sanaa😂😂

  • @fredrickgitonga1972
    @fredrickgitonga1972 ปีที่แล้ว

    King Solomon alimsifia YESU KRISTO,

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 6 หลายเดือนก่อน

    Allah awaongoe kwakweli huyu jamaa nae bidaa zimemkaa mbona alishindwa jibu swali la mchungaji ukiniletea Aya ya kuruan inayotaja mauli au adithi nitasilimu mbona ulichemka, ukweli mnaona aibu kwakuwa mmeshapotea inabidi muendelee kutetea ouvu wenu huo wa maulidi,

  • @kabarezephanie3573
    @kabarezephanie3573 ปีที่แล้ว

    Alakini inaonekana wacristo wanakusumbuwa sana

  • @FridaMajii
    @FridaMajii 11 หลายเดือนก่อน

    Nickiapo saut yko sura yngu huwa yeny tabasam nahasw pale ninapockia tumsifu Mtume wetu kipenz chetu mkubwa wa daraja furah yngu huwa haina kifan,

  • @inamxmdsheekh1978
    @inamxmdsheekh1978 ปีที่แล้ว

    Babu sifu Mtume SAW bila maulidi

    • @yassirswaleh7127
      @yassirswaleh7127 ปีที่แล้ว

      Hayo maulid tayari ni kumsifu mtume😂😂. Sasa shida ni nn😂

  • @muhammadmbaraka4515
    @muhammadmbaraka4515 ปีที่แล้ว +1

    Eti pia pia😂😂

  • @HafidhAli-lt5xt
    @HafidhAli-lt5xt ปีที่แล้ว +1

    Kumsifu tunamsifu usiku na mchana ila hii tabia ya ngoma firimbi pia ni kumsifu Mtume?

    • @yassirswaleh7127
      @yassirswaleh7127 ปีที่แล้ว

      Shida ya Ngoma ni nini. Mbona mtume wetu (SAW) alipijiwa matwari.

    • @zanzibaronlytv3470
      @zanzibaronlytv3470 ปีที่แล้ว

      ​@@yassirswaleh7127allah atuongoze

  • @zanzibaronlytv3470
    @zanzibaronlytv3470 ปีที่แล้ว +1

    sasa sheikh mazinge umewasilimisha wengi wakristo kupitia bibilia na vitabu vyao vengine na ukatupa msimamo sisi waislam kua uislam ni mzur kwa kutumia Quran na sunna sasa swali,
    iweje hii leo wewe unafanya maulidi (bidaa) ambayo haipo ktk Quran and sunnah ?

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 6 หลายเดือนก่อน

    Unajiita et profesa, unawasilimisha watu unswatoa kwenye batili unawaitia maulidi,mangoma ngoma na bidaa kibao hasa utakuwa umemsaidia nini,arafu unawambia manaswara Christmas haipo katika biblia wemwenyewe maulid hayapo katika quruani wala aduthi za mtume uzushi tyuu

  • @suleymansalim5732
    @suleymansalim5732 ปีที่แล้ว +2

    Huyu baybo inamsumbua sasa anataka kutupa ushahidi sisi waislam kupitia bibilia 😂😂😂😂😂anacheza cheza tu.

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 ปีที่แล้ว

      Kucheza vp fafanua mazinge anae ongea ukweli

    • @mikekhalifaali7510
      @mikekhalifaali7510 ปีที่แล้ว

      @@fikafikan8484 Wewe ungekaa ukaangalia haki , Mazinge anafanya sarakasi hapo,

  • @singanoatanasi1994
    @singanoatanasi1994 ปีที่แล้ว

    Afu nasikitika hao wanaocheka hamfahamu aisee kicheko kitakua fedheha siku ikifika shetani ndo ndivo alivyo kama ivo mlivo aisee

  • @osmaniidrisa6290
    @osmaniidrisa6290 ปีที่แล้ว +1

    Picha ya bachu inahusika vp hapo

  • @singanoatanasi1994
    @singanoatanasi1994 ปีที่แล้ว

    Jamani mzee mbona unapotosha waumini wenu waisilamu someni koroani na biblia Mazinge anapindua aya

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 ปีที่แล้ว

      Aya gani kapindua mrogo ww

    • @bellalygeomecky1145
      @bellalygeomecky1145 ปีที่แล้ว

      Kajifunze kuitamka Quran then uje na pumba zako

    • @singanoatanasi1994
      @singanoatanasi1994 ปีที่แล้ว

      Hata kiswahili hamtaki mnataka kiarabu ili mdanganyane vilaza wakubwa kweli nyie

  • @mikekhalifaali7510
    @mikekhalifaali7510 ปีที่แล้ว +1

    Sasa Biblia waislamu inatuhusu nini, hoja 19 za Bachu si mjibu basi? Maulid ni upuuz mzee wetu,

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 ปีที่แล้ว +1

      Ww nakuona sio muisilamu huyo anawqtoa wakiristo katika kiza ana mtangaza Allah na mtume wake kunacho kuuma nn

    • @mikekhalifaali7510
      @mikekhalifaali7510 ปีที่แล้ว

      @@fikafikan8484 Anayewaongoza watu na mazinge au Allah?, Kufanya bidaa kama Maulid ndiko kumtangaza Allah na mtume? Sasa kukataa bidaa na wanaoneza bidaa zenyewe ndio kunamfanya mtu asiwe Muislamu eti?
      Maulid ni upuuz na kama kweli ni haki basi wapite katika mihoja 19 ya Bachu

  • @singanoatanasi1994
    @singanoatanasi1994 ปีที่แล้ว

    Halafu mmekosa ushahidi vitabu vyenu vinawachanganya alafu mnasema marehemu muhamadi yupo kwenye Biblia hakuna mara ndo roho mtakatifu kwakuwa mmeona korani haina vielelezo vinavoridhisha acha uongo mzee afu nanyie waisilamu mnacheka

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 ปีที่แล้ว +1

      Ww kafiri nyamaza yesu mwenyewe ajua quran ni nn

    • @singanoatanasi1994
      @singanoatanasi1994 ปีที่แล้ว

      Wewe kafiri ndie anaelalamika kwakuwa analaana yesu kristo ndie mfalme duniani na mbinguni hata wafuasi wake hawalalami kafiri mkubwa mara laki tisa kalalamike msikitini

    • @SumaAbduly
      @SumaAbduly ปีที่แล้ว

      Lait ungejua ukwer ulipo usinge sema hivo soma vitabu hasa baibo utajua mengi na ukwer

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 ปีที่แล้ว

      Bibilia kwani kitabu cha mungu sio kitabu cha mungu kitabu chamungu taurati zabur injil na quran hakuna bibilia hapo wala mungu haijui hio bibilia wala yesu mtume wamungu hajui bibilia

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl ปีที่แล้ว

    Watu wa bidaa hawana maneno kwenye mizushi Yao ya maulidi

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 ปีที่แล้ว

      Acha usenge

    • @jimjam-xg7rv
      @jimjam-xg7rv ปีที่แล้ว +1

      Ebu niambiye nini maana ya maulid ili tutatwe chuki baina zetu sisi waislamu umma Bora .

    • @HABARYTv-vd7lq
      @HABARYTv-vd7lq ปีที่แล้ว +2

      Acheni mijadala wee usofata maulid sawa na ss tunaofata tuachie maulid yetu

    • @legend9805
      @legend9805 ปีที่แล้ว +2

      Nyinyi badala ya kuangalie mambo muhimu mwashugulika na waislamu wenzenu

    • @amudybae4939
      @amudybae4939 ปีที่แล้ว

      Ikiwa mauliri NI UZUSHI JE UGAWO WA TAWHEED YA UTATU MUMEITPATA KUPITIA AYA GANI AU HADITHI IPI???
      😂😂😂😂😂😂😂😂
      AMA KWELI MUNAPOSIKIA UKWELI WA HAKKI KWA WANA WA MAULIDI YANAWACHOMA SANAAA KWA UKWELI WANAYOYASEMA 😂😂😂😂😂😂