DR.SULLE SAFARI YA MTUME MUHAMMAD S.A.W (SEHEMU YA 1)2024 ISRAA NA MIRAJI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
  • #drsulle #tanzania #islaamic #health

ความคิดเห็น • 114

  • @ismailhassan5209
    @ismailhassan5209 ปีที่แล้ว +7

    Maashaallah Allah akupe umri mrefu uzidi kuwepo kuipigania dini ya Allah Inshaallah Allah atakulipa

  • @RamadanPaul
    @RamadanPaul ปีที่แล้ว +7

    Wakristo hawawezi kuelewa hii,,,,
    Dr sulle u always great 👍👍

    • @user13375
      @user13375 ปีที่แล้ว

      Kumbe mlango upo India😢😢 sijuwi tunafanyeje huku si tuhamie karib na milango😂😂😂

    • @favoritebrayo
      @favoritebrayo ปีที่แล้ว

      so nyinyi ndo mnaelewa kumuabudu mohammed😁

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw ปีที่แล้ว

      ​@@favoritebrayoMuongo mkubwa we, waislam toka lini waka mwamini binaadam.

    • @AmirJuma-p5j
      @AmirJuma-p5j 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 wakristo hawakosi kwa dokta sule 😂😂😂 . Wanamfatilia balaa

  • @abuushomari7533
    @abuushomari7533 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah umeelezea vizur kwenye nyongo na digestion system 😊😊

  • @Dr_nanjase
    @Dr_nanjase 11 วันที่ผ่านมา

    🫳🫳🫳 mikono MwenyezMUNGU atufanyie wepesi inshaAllah

  • @VenansiaIsack
    @VenansiaIsack 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika Dr sule ni Nuru na zawadi kubwa katka uislam katk kuilingania dini mungu akupe maisha marefu inshallah.

  • @saudaumar3354
    @saudaumar3354 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah Mashallah Mashallah

  • @RASHIDALI-n7m3g
    @RASHIDALI-n7m3g ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah nakupenda sheikh Dr. Sule

  • @ShafiiMawe-u8m
    @ShafiiMawe-u8m ปีที่แล้ว +1

    Sheikh mungu akujaalie maisha malefu tuweze kupata elimi iliyopanuka ila makosa aliyoyafanya Adam kwa kudanganywa na Hawa hujaiyaja au haifahamiki

  • @Yahyasalim-wg1fi
    @Yahyasalim-wg1fi ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah kazi nzuri

  • @Nily-kz3db
    @Nily-kz3db ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah Dr Sule Allah Atuhfadh waislam wte

  • @fahadherrera8172
    @fahadherrera8172 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah shukran Maalim

  • @JumannePili-j5g
    @JumannePili-j5g ปีที่แล้ว +3

    Unajua Sana Dr sule

  • @aminahassani-jh5rp
    @aminahassani-jh5rp 8 หลายเดือนก่อน

    Mashallah Shekhe wetu mungu akuweke sana tu

  • @naxirybeachboy
    @naxirybeachboy ปีที่แล้ว +1

    Inshaallah Dr sule MUNGU azid 2wezexha

  • @AliJanfar
    @AliJanfar ปีที่แล้ว +1

    Inshaallah mwenyezi Mungu atubariki

  • @mariamharoon1840
    @mariamharoon1840 ปีที่แล้ว +2

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ mashaaallaah

  • @DanielSJZ-y6r
    @DanielSJZ-y6r ปีที่แล้ว +1

    Hizi hadithi ni nzuri na zinachekesha sana

  • @MunaShamis
    @MunaShamis 11 หลายเดือนก่อน

    Safi sanaa Dr sule Allah akuzidishie❤

  • @Fardadihd
    @Fardadihd ปีที่แล้ว +2

    Nakupata vizuri kutokea Dubai nakufatilia sana

  • @jamesrichard3971
    @jamesrichard3971 ปีที่แล้ว +8

    Asante shekh,, nakuelewa Sana, Ila ndacha nikichwa maji Sana,, anaogopa kurudisha Gari ya kanisa na nyumba ya kanisa 😅

    • @Alexfadhili6404
      @Alexfadhili6404 ปีที่แล้ว

      Mungu akusamee.

    • @mohammedrajabumwamba1322
      @mohammedrajabumwamba1322 ปีที่แล้ว

      ​@@Alexfadhili6404 😂😂 mungu akusamehe ww

    • @miishhassn
      @miishhassn ปีที่แล้ว

      Wee kumbe sikuwa najua hilo😂😂

    • @umdtv2749
      @umdtv2749 ปีที่แล้ว

      @@mohammedrajabumwamba1322 mna mezeshwa vitu vya ajabu sanaaaaa.
      Mwambie atoe ayo maneno anayo yaongea anatoa wapi.
      Atoe na maandiko kwenye iyo quaran. Aache uongo basi mungu sio mwanadamu shauri yenu

    • @ahmedmpimbi9684
      @ahmedmpimbi9684 11 หลายเดือนก่อน

      Kwamba wewe umeisoma quran kuliko yeye na unaona anachokisema ni uongo au sio 😃​@@umdtv2749

  • @allymohamedi2531
    @allymohamedi2531 5 หลายเดือนก่อน

    Allah akbar

  • @Kizuamediatv
    @Kizuamediatv 11 หลายเดือนก่อน

    Mashaallaah

  • @hamisimuhammad3656
    @hamisimuhammad3656 ปีที่แล้ว +1

    Nakufatilia dr sulle kutoka miwaga dimani kibiti

  • @AbuuSiiriin
    @AbuuSiiriin ปีที่แล้ว

    Sule mwenyewe mbovu Allah amuongoze

  • @fatumaomari5978
    @fatumaomari5978 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah ❣️❣️❣️🥰🥰

  • @BashiriAllyibrahim-kr3fb
    @BashiriAllyibrahim-kr3fb ปีที่แล้ว +1

    Nakufatilia Dr sule kutka marekani napenda historia kama hizo

  • @BacarMapahiee
    @BacarMapahiee ปีที่แล้ว

    Akuna binadamu mwenye kiswa bofu kama kumuona Dr sulle,anatoa MANENO ya kasfa lánatula nawashukia sana-sana

  • @fabimbilinyi2529
    @fabimbilinyi2529 ปีที่แล้ว

    Ishrra

  • @ibrahmsafiry1575
    @ibrahmsafiry1575 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @naxirybeachboy
    @naxirybeachboy ปีที่แล้ว

    kutoka kenya Dr upo sawa kihistory

  • @KhalfanMilole
    @KhalfanMilole ปีที่แล้ว

    Kuteremka kutoka mbingun kwan kuna ushahid kuwa adam kaumw mbingun allah anasema fil ardh nyny mnasema fi samai

  • @mariamharoon1840
    @mariamharoon1840 ปีที่แล้ว +1

    Naipataje hiyo kadi sasa mimi nipo oman

  • @allysaidlyambange4500
    @allysaidlyambange4500 ปีที่แล้ว

    Shehe hivi wakina adamu wanashushwa duniani wafrika TULIKUWEPO AU HATUKUWEPO

    • @bellasi349
      @bellasi349 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂 eti kuna milango 37 za kwenda peponi ila hakuna iliyoko africa 😂😂😂😂😂

  • @miambayankeba1084
    @miambayankeba1084 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa alivuka mitoni mapori vipi mpaka afike saudi Arabia?

    • @bellasi349
      @bellasi349 10 หลายเดือนก่อน

      Yan ni vichekesho eti walipoteana miaka 40 😂😂😂 yani hawa jamaa kwa visa😂vya kijinga wana diplôme

  • @umdtv2749
    @umdtv2749 ปีที่แล้ว +1

    Lakini alkahaba ilikuwa sehemu ya kuabudia masanamu ilikuwaje ikawa nyumba takatifu.
    Leo ndo nimeamini mtume muhamadi alifanya mingu yote ya pale alkahaba kuwa mungu moja kubwa na kuabudiwa adi saiz.

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw ปีที่แล้ว

      Aliye jenga alkaba Ibrahim kwa taarifa yako

  • @FatmaHussein-j1p
    @FatmaHussein-j1p 5 หลายเดือนก่อน

    Safari YA mtume alikuwa akisafiri Sana wapi

  • @ChademaKandayaUnguja
    @ChademaKandayaUnguja 10 หลายเดือนก่อน

    Hadith gani au aya gani inasema ivoo?

  • @hadjiemedy494
    @hadjiemedy494 10 หลายเดือนก่อน

    😮b

  • @ahmada2072
    @ahmada2072 10 หลายเดือนก่อน

    27:44 P.O
    V

  • @BadiMwanengo
    @BadiMwanengo ปีที่แล้ว

    Tatizo lako shekh video zako zaina hatupati next video

    • @miishhassn
      @miishhassn ปีที่แล้ว

      Ipo ya pil rud utaiona

  • @BadiMwanengo
    @BadiMwanengo ปีที่แล้ว

    Sadakta

  • @MgeniNyela
    @MgeniNyela ปีที่แล้ว

    Enseleeni kudanganyana waislam mnaishi kwa hadithi

    • @mwarabumbarak4342
      @mwarabumbarak4342 ปีที่แล้ว

      Kumbe Biblia ni maneno ya kuhadithiwa
      Luka 1
      .1 Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu habari za mambo yale yaliyotimizwa katikati yetu,
      2 kama walivyotuhadithia wale waliokuwa mashahidi wenye kuyaona, na watumishi wa lile neno tokea mwanzo,
      3 nimeona vema mimi nami, kwa kuwa nimejitafutia usahihi wa mambo hayo yote tangu mwanzo, kukuandikia kwa taratibu, Theofilo mtukufu,
      4 upate kujua hakika ya mambo yale uliyofundishwa.

    • @miishhassn
      @miishhassn ปีที่แล้ว

      We mwenyewe unaish kwa hadith we ulimkuta yesu wew ama ulikuja kuhadithiwa na babu zako kuna yesu😏

    • @bellasi349
      @bellasi349 10 หลายเดือนก่อน

      Yan ivi kuna mtu anaweza kuamini huo upumbavu eti muhamadi alienda mbinguni ?

  • @obedkalinga9704
    @obedkalinga9704 11 หลายเดือนก่อน

    waongopee waislamu, eti milango 36 ya kuingilia mbinguni

    • @MuuYascohy-oc7os
      @MuuYascohy-oc7os 10 หลายเดือนก่อน

      Lione ili kafiri linavyoteseka kwan kakwambia ww uamini kenge ww??

    • @bellasi349
      @bellasi349 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @AmirJuma-p5j
      @AmirJuma-p5j 5 หลายเดือนก่อน

      Kama una pointi na wewe toa usiponde za wenzio ?

  • @ManenoPapalu-ku3vl
    @ManenoPapalu-ku3vl ปีที่แล้ว +1

    Mbona nimesikia sauti ya mpira kwenye hii video

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul ปีที่แล้ว

      Chumba cha jirani wanaangalia mpira...

    • @IssaNasir-v2e
      @IssaNasir-v2e ปีที่แล้ว

      Sabb mpira sio haram

  • @Abdulrahmanhassan18
    @Abdulrahmanhassan18 ปีที่แล้ว +1

    Dr sule je kufanya mazoezi ya meditation mazoezi ya kukaa kimya peke Yako na kutafakari ukiwa umefunga macho je ni haram? Kwajina lingine wanaita yoga

  • @umdtv2749
    @umdtv2749 ปีที่แล้ว +1

    Hahaha 😂🙂😂 adam alilipa mahali kwa nani wakati wao ndo walikua watu wa kwanza

  • @nicholouskavindi8512
    @nicholouskavindi8512 ปีที่แล้ว

    Historia za waislamu n za kutunga sana kila shehe na stori yake kuhusu israa mnasoma kitabu gani?

    • @nicholouskavindi8512
      @nicholouskavindi8512 ปีที่แล้ว

      Adam Na Eva walikua Eden Sio peponi Eden n hapahapa Duniani

    • @nicholouskavindi8512
      @nicholouskavindi8512 ปีที่แล้ว

      Hiyo mahali ya Hawa alipewa nani

    • @miishhassn
      @miishhassn ปีที่แล้ว

      ​@@nicholouskavindi8512kwanz unajua mahali yake ilikuewa nn ama unauliza tu

    • @miishhassn
      @miishhassn ปีที่แล้ว

      Shekh yupi kaelezea tofauti ama ni chuk zako tu

    • @nicholouskavindi8512
      @nicholouskavindi8512 ปีที่แล้ว

      Hakuna chuki ukisoma ktk Qur'an yenyewe huwezi Ona hiki wanachosimulia masheikh ndomana kila mtu Na chumvi zake shk Othman msikilize au shk Othman maiko nae

  • @KhalfanMilole
    @KhalfanMilole ปีที่แล้ว

    Peponi sawa cio mbinguni pepo yao ilikuw hapa hapa dunian ...mnapotesema wameshushwa mbingun ndo unajichanganya

  • @umdtv2749
    @umdtv2749 ปีที่แล้ว +1

    Iyo milango sio ya kuingilia mbinguni ila ni kuzimu

  • @obedkalinga9704
    @obedkalinga9704 11 หลายเดือนก่อน

    waislamu eti unamwelewa sule. badala ya kuhoji, kwanini aende yerusalem na sio macca munaoamini ndio mji mtakatifu, ameenda mbinguni nani alimuona?, alikutana na allah?, aliona nini huko mbinguni?, alifikaje mbinguni?

  • @mosesmutharimi5837
    @mosesmutharimi5837 ปีที่แล้ว

    Swali ni je mtume alienda mbinguni kwa mwili au ni roho

    • @bellasi349
      @bellasi349 10 หลายเดือนก่อน +1

      Hakuna😂cha kwenda mbinguni ni upumbavu tu mbinguni hakwéda Mussa ibrahim😂aende muhamadi yani kweli africa wajinga hawataisha

    • @AmirJuma-p5j
      @AmirJuma-p5j 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@bellasi349ilo swali we umeelewa? Au unajibu kifala

  • @umdtv2749
    @umdtv2749 ปีที่แล้ว +1

    Kwakua nyie mnao wake weng sema ndoa zako sio ndoa yako.
    Ila mtu unaoa wake 4 huko ni kudhini bwawa

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw ปีที่แล้ว

      Watu wa bara wa ngapi na wa kristo wana wake zaidi ya mmoja?

    • @AmirJuma-p5j
      @AmirJuma-p5j 5 หลายเดือนก่อน

      Solomon kaoa wake wangapi wewe ?

  • @josephchrizostom8437
    @josephchrizostom8437 ปีที่แล้ว

    na pia safari hiyo ilikuwa ndoto kwa mujibu wa quruani 17:60

    • @miishhassn
      @miishhassn ปีที่แล้ว

      Jam huielew Quran ni vyema ujar kimya usiaibike aya unasema hatukuifanya ndoto inamaanisha haikuwa ndot ungesena tuliifanya ndot hapo sawa tungesema ilikuwa ndoto ama ulimkimbia teacher wa kiswahil saiv kibakulamba huelewi lugha😂

    • @nicholouskavindi8512
      @nicholouskavindi8512 ปีที่แล้ว

      N ilkua ndoto hakuna Alie mshuhudia Hata mmoja hivi kweli akiwa Hai alipaa kwenda mbinguni Ila alpofariki mkamzika kwanini asingepaa maana mbingu alishaonyeshwa?

    • @miishhassn
      @miishhassn ปีที่แล้ว

      @@nicholouskavindi8512 kila nafsi itaonja mauti ndio maan wote hata walio wema waliobja maut hata yey lzm angepitia hapo

    • @hansiselemani8025
      @hansiselemani8025 ปีที่แล้ว

      Sm dini br

  • @obedkalinga9704
    @obedkalinga9704 11 หลายเดือนก่อน

    milango ni miwili tu wa kuzimu na peponi basi.mingine hiyo ni uongo kujifanya unajua bali upotoshaji

    • @bellasi349
      @bellasi349 10 หลายเดือนก่อน

      Kwa kudanganya wapo vizuri

  • @user13375
    @user13375 ปีที่แล้ว

    😂😂😮😮

  • @princeacama401
    @princeacama401 ปีที่แล้ว

    Wapi imeandikwa milango yakuingia mbinguni ni 36?? Hii ni elmu ya mashetani yako cjui unatoa wapi hizi hekaya za abunwasi??

    • @favoritebrayo
      @favoritebrayo ปีที่แล้ว

      mimi namshangaa kwanza mohammed alikufa yeye anasema alienda mbinguni

  • @shabanramadhan7632
    @shabanramadhan7632 ปีที่แล้ว

    Niwaambie TU Jamani mnakosea sana eti video ni ya mawaidha lakini ukiifungua inaanza na tangazo la mziki hivi kweli mko serious

    • @shubebunyesi542
      @shubebunyesi542 ปีที่แล้ว +1

      Kumbuka hii mitandao ni mitandao ya watu ayo matangazo hawaweki wao ni gugo wenyewe wanaweka na ndio unapoangalia tangazo ndio pesa inaingia lkn lengo la mashekhe ni kufikisha ujumbe

    • @abdulazizitwalib5859
      @abdulazizitwalib5859 ปีที่แล้ว

      ​@@shubebunyesi542FACTY

    • @miishhassn
      @miishhassn ปีที่แล้ว

      Acheb ushamba hayo ni matangazo ya weny media zao ama umenunua sim juz😂

    • @shabanramadhan7632
      @shabanramadhan7632 ปีที่แล้ว

      @@miishhassn kwahyo unasapot kwenye taarifa ya msiba watu wacheke kidogo.

    • @miishhassn
      @miishhassn ปีที่แล้ว

      @@shabanramadhan7632 unaonrkan urlewa wako mdogo elewa sio wao wanaweka ni anaemiliki app ya TH-cam ndio maan inahesabu hapo pemben ukibonyeza hiyo skip baafa hizo sekunde inaonfoke we umrkaza fuvu unasema ni wao sio wao hata katikati wanaweza kata video eawek tangazo la kampun flun mgano glovo kwan dr sule anamilik glovo kuea muelewa bas hee

  • @emilioadremaneadremane2706
    @emilioadremaneadremane2706 ปีที่แล้ว

    I kiboko

  • @SmilingAnacondaSnake-sp8ct
    @SmilingAnacondaSnake-sp8ct ปีที่แล้ว

    Shehe iyo milango uliiona au ni hadidhi zenu zile za siku zote ? Kwa nini mlango usiwepo tanzania? Kwa hiyo tukifa hapa tanzania tunakwenda kuingilia india kha!

    • @amadimagadi7978
      @amadimagadi7978 11 หลายเดือนก่อน

      Wewe mbona hukuumbwa paka umeumbwa binadamu...mlango kutokuwepo Tanzania ni mipango ya Mungu huezi mpangia Mungu cha kufanya bwege ww

    • @hashamyusuph2912
      @hashamyusuph2912 10 หลายเดือนก่อน

      Sio wewe ni lohoyako wewe utabakia uliko zikwa roho itakwenda kwenye iyo milango

    • @bellasi349
      @bellasi349 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @bellasi349
      @bellasi349 10 หลายเดือนก่อน

      @@amadimagadi7978mjibu kwaiyo watu wa africain wataîgilia india na wataéda kwa ndege😂au nini upumbavu jamani africa hapana

    • @ShomiLongwa
      @ShomiLongwa 7 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa kwa kumuelewesha chizi

  • @josephchrizostom8437
    @josephchrizostom8437 ปีที่แล้ว

    soma vitabu cha wito kwa mflme cha ahmad mizra utajifunza pepo ni nin mbingu ni nini

  • @MasizieRahim-gw1bf
    @MasizieRahim-gw1bf 11 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤