DR.SULLE SAFARI YA MTUME MUHAMMAD S.A.W (SEHEMU YA 4)2024 ISRAA NA MIRAJI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 21

  • @rahmadaniel5803
    @rahmadaniel5803 8 หลายเดือนก่อน +1

    Inshaa'Allah Allah akujaalie nguvu Afya shekhe wetu ili uje kutumalisia maajabu na ujuzi wake Mola wetu mlezi na kipenzi chetu mtume Muhammad S.A.W

  • @SwafaaKaneza
    @SwafaaKaneza 8 หลายเดือนก่อน +1

    Maa shaa Allah sheikh wangu,Yani kwa juu Yako Niko najifunza dini yangu zaidi,Niko natambua Ukubwa WA Mwenyezimungu zaidi,Asante sana nasubiri kwa hamu sehemu ya tanu!!

  • @nourdinpro
    @nourdinpro 8 หลายเดือนก่อน +3

    I follow you from uganda, shekh mungu akupe umri mrefu

  • @رضيهتنزانيا
    @رضيهتنزانيا 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akujaalie her dunian nakesho akhela D. Sullen
    Yaan hata niweke ila nikikuckilizaga najua mpya

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mash Allah Dr Sulle kichwa kimebeba madini mpaka raha. Shukrani kwa elimu.

  • @lilbowwowmuyisa
    @lilbowwowmuyisa 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi ni sheikh ISSA Muyisa-ukutu Lil'bowwow Hongera sheikh wangu Dr sulle,Allah akulinde nakutakiya kila la heri, wewe ni sheikh m'kubwa mwenyi kutambuwa historia ya dini n'a umesoma dini 100 ku dini 10,000 duniani,nakusapoti zaidi mwalimu wangu.

  • @protusmuliro2796
    @protusmuliro2796 9 หลายเดือนก่อน +14

    Yani mm kabla ya kusilim niliwafwata Sana Hawa masheikh niliujuwa uisilam vizuri kuliko hata wanafunzi wenzangu madrasa

  • @GodfreyMwamelo-z3b
    @GodfreyMwamelo-z3b 2 หลายเดือนก่อน

    Allah akurinde

  • @MohamedHalake-cy8bh
    @MohamedHalake-cy8bh 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ntapataje huduma zenu Dr sule tafadhali naomba kuuliza

  • @Intenotz
    @Intenotz 9 หลายเดือนก่อน +1

    Professional sheh nakubali sana huna baya mungu atupe mwisho mwema

  • @Fardadihd
    @Fardadihd 9 หลายเดือนก่อน +1

    Dr sule anza mazoezi

  • @suleymandachi782
    @suleymandachi782 9 หลายเดือนก่อน +3

    Mada ni islaa na miraji tatizo umetoka kwenye mada na kuingiza mada tofauti mtililiko umekosekana mada haujakatika Dr sure nakushauri ukiandaa mada jitahidi ifate mtililiko na kuifunga mada kwa faida ya watazamaji na wasikilizaji,ineanza vizuri lakini umemaliza tofauti

    • @nourdinpro
      @nourdinpro 8 หลายเดือนก่อน

      Acha ujuwaji

    • @rahmadaniel5803
      @rahmadaniel5803 8 หลายเดือนก่อน

      Hujamfatilia vizuri kama ungemfatilia ungeuwona mtitiro tatizo binaadamu wa karne hii tuns kiherehere cha kuongea na kuandika bila kusikiliza kwa umakini

    • @hamadnyambwa2900
      @hamadnyambwa2900 8 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa

  • @hassanikombe9053
    @hassanikombe9053 9 หลายเดือนก่อน +2

    Tunasubiri sehem y 5 shekhe nipo pamojaa na wwe

  • @isaackmlayy6228
    @isaackmlayy6228 9 หลายเดือนก่อน +1

    hadithi za abunuasi

    • @رضيهتنزانيا
      @رضيهتنزانيا 8 หลายเดือนก่อน +2

      Msubilien yesu alud awalinganie uislam huenda mtaamin maana wenzet hamna macho yakupona wala kusikia yanayosemwa hvyo ninyi msubilien Yusuf alud huenda mtatuelewa waislam tunachokisema

    • @rahmadaniel5803
      @rahmadaniel5803 8 หลายเดือนก่อน

      Tunga na we za kwako zenye msisimko na zenye kutamana kujua mengi zaidi na zitakazo endana na kitabu cha Mungu tuone kama rahisi....fungua macho maana nabii issa yu karibu kuurudia ulimwengu na usije ukasema hukuambiwa kuwa dini ya haki mbele ya Mungu isiyo ungwa ugwa wala kuficha ukweli wake kuwa ni Islamic

  • @hemedbamja3197
    @hemedbamja3197 9 หลายเดือนก่อน +1

    Royal membership card family??au unakusudia " Royal family membership card"