SHEIKH MUHAMAD IDDI -ANSWARI SUNA WA KWELI NI MKWELI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- Ramiya Wetu
Ramiya Wetu ni channel pendwa ya kukupa habari za kidini khaswa historiya za wanazuoni wetu africa masharik na kukuburudisha kwa qaswida ,quran kwa njia ya tajweed inshaallah naomba tuwe pamoja kwa kusubscribe maneno mekundu hapo chini Yaloandikwa (Subscribe)
Zaidi nikufuatilia na kufanyia kazi pia Ruhsa ushauri,maoni na Ujumbe tunapokea kwa Maono mbali mbali na fikra Tufuatilie Whatsapp +254726068683 +254784546717 , +255748022635 #RAMIYA#WETU#WETUUPDATES
Allah akujalie pepo ya juu pamoja na Masheikh zako na pamoja na Rasulu Allah.Ammmin
Amiiiiin Ya Rwabiiii shukraaaan
اللهم صل على سيدنا محمد وعلى اله وصحبه وسلم
Aamiin Yaa Rabbal Alaamiin
Elimu yenye manufaa
Allahumma amiin
Shk Abuu Eid, naku miss sana wallah. Namuomba Allah atukitanishe tena ktk Jannat Firdous nuzula.
الله اغفر له وارحمه ونور ووسع قبره واسكنه في الجنة
Mungu amrahamu abuu idd ameelezea kwa ufaswaha wa hali ya juu zaidi mas,ala ya muandamo wa mwezikwa kutumia vitabu vya masheikh wakubwa wakubwa kama vile al marhum al uthaimeen al marhum bin baazi mufti wa oman al bassam jee hawa nao ni makhurafi ama watu wa bidaa na jee fatawa zao ni za kijahil tuweni na inswaf katika mambo ya dini na tuache taasub yaani tuache mikao dini haiendeshwi na mirengo
Allahuma hufirahu warahmahu wasaknahu firjannah
Aamiin
Amiin
Dah wallah Tanzania imepata pigo kuondokewa na mwanazuoni huyu
Huu msumari wa Wahabia kweli kweli acha wafurahie
Allah akuhifaz pahal pema
Amiiiiin ya Rwabiiii
@ramiyawetutv sheh Samahan nna wifi yang yuko sptali kafanjiw upreshen mara 3 kambiw chango yake inaganz akila anatapk naomba muuombe duw kwakwel
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatu shkh Allah akulehemu hakika wenye kukuelewa wamekuelewa lkn hakika unacho kuongea Wala hakuna ubishi ukiona utafunga mwezi wa kimataifa hakuna shida ukiwa na mashaka unataka ufunge kwa mwezi wa afrika mashaliki hakuna shida lkn Hawa wenzetu wamekuja kutufarakanisha huo ndio ukweli
Kwa ufaham huo na uelewa huo, Inatakiwa hata ndani ya Tanzania Kila Mji uliopo ndani Tanzania uangalie Mwezi Wao tu, hakuna kusikiliza Mji Mji Mwingine. {{Tusishindane bwana,, Tushike lenye Nguvu zaidi}}
Mpuuzi mkubwa mkubwa!!! Jaahil, 😂😂😂 kwani Tanzania mwezi una andama kwenye siku tofauti? Fikiria kabl hujaongea hiyo hoja ni ya msingi mpuuzi
muislam anaemuukumu mwezie bila yakujua atimayeke mwenyewe uyo nijaili nauislam akifa musikumbuke mabaya yake kumbuken mema yake
Shekhe Allah akusamehe ww na cc kwani sasaivi anaendikiwa barua ni nan??inshu co murudi nyuma mwezi umethibiti tatehe fulani hapana inshu ni kwamba kwann taarifa za mwezi zinapatikana kwa wakat nacc tunabaki kusema huko co kwetu jee kwetu wapi kwa vipimo vya kisheria inshu ndo ipo hapo
Alikuwa mjinga vip wewe ndo bwege hauelewi kitu Jaahilu Murakkabu
Hauwezi kumuelewa mwamba wakati wewe ni zuzu mjinga wa mwisho
Ahahaaa aisee mawahabi ni watu wapumbavu sana cjui akili zenu zimeumbwaje kiasi kwamba hamuelewi maneno ya wazi na yanayofahamika kama haya, hivi nyie mawahabi akili zenu aisee hazina akili
Siku zote bidaa hupambiw na watu wengi miongon mwao niww , kikubw dua kwa sheikh wako Amekufa kweny ukhurafy kutetea batwil , lakin tusisahau sote njia moja kikubwa tuishj kwakufuata Sunna, ...Mwisho.Allah amfanyie wepec.
Huthaimin pia hurafi?
Huyu jamaa alikua mjinga sana
Mwanzo Hilo jina lako ni vituko kwa hakika mjinga ni wewe abuu idd katoa ushahidi wa vitabu vya masheikh sasa wewe lete vyako ili umtie abuu idd ujingani
@@AbdulkarimShosi unaona jina langu ni kituko kwa sababu Wew ni Mwanafunzi wa huyo mjinga
Unakataa hadi maandiko hakika wewe ni mjinga sanaa mbwa wewe
Hakushindi wewe
Ongera yko ww tupaki wa tanzania@@Kaankaraz