SHEKH MUHAMMD IDD - IMANI / SWALA / ZINAA / LIWATWI / RADHI ZA WAZAZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @othmankassimu1544
    @othmankassimu1544 5 หลายเดือนก่อน

    maneno ya hekima sana haya...
    #MwenyeziMungu Atupe Ufahamu mzuri na kuyatenda yaliyo ya hakhi.

  • @salamakhamis7245
    @salamakhamis7245 5 ปีที่แล้ว +7

    Baaraka LLAHU fiiqu yaa Shaykh. ujumbe umefikisha

  • @mdoekibai3991
    @mdoekibai3991 2 ปีที่แล้ว

    Allah akuzidishie shekh inshallah

  • @iddysufiani6116
    @iddysufiani6116 5 ปีที่แล้ว +9

    bab deo naomba huyuu SHEKH anamaidha mengi sana na mazuri sana fanyeni kilp fup fup mziweke humuu

  • @yusuphkwaya7843
    @yusuphkwaya7843 5 ปีที่แล้ว +4

    Shekh Mohamed iddi mungu akupe umri mrefu

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

    Sio wale masheikh\ maaskofu wanaohubiri siasa,,,,,, safi sana!!!

  • @iddydaruwesh8650
    @iddydaruwesh8650 4 ปีที่แล้ว

    Ni likuwa sheikh wangu

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 2 ปีที่แล้ว

    Subhanaallah mwenyezi mungu katulea dini yake lakini tumuamini yeye tu lakini nyinyi mashekhe wa tanzania mmeifanya dini kupigana na unafiki juu kabla huja tanga a dini kwa watu wengine hembu jiangalie wewe Mwenyewe unamfanya alio agiza mtume wetu salalahu aleyi wasalam wengi nyinyi mashekhe mnasali sala tano lakini nanyinyi ndio mnayofanya maasi makubwa

  • @Shekhahmedbawazir
    @Shekhahmedbawazir 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah akulipe sana sana

  • @mzeemohamed8065
    @mzeemohamed8065 5 ปีที่แล้ว +6

    Nan kafurah kama mm alipomuona Shekhe Othman Maalim

  • @jamalbahdela524
    @jamalbahdela524 5 ปีที่แล้ว +1

    Maashaallah sheikhunaa

  • @NurdinKishik
    @NurdinKishik 5 ปีที่แล้ว +3

    yaallaah

  • @Badooyusuf
    @Badooyusuf 5 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah

  • @jasminmohamed6145
    @jasminmohamed6145 4 ปีที่แล้ว

    Shukran Jazakallahu kheir

  • @abduhamzasungura1642
    @abduhamzasungura1642 5 ปีที่แล้ว +8

    Allah Akulinde Na Mahasidi Na Mafasiki Lakini Shekh Abuu Idi Upo Muwazi Na Mwenye Hoja Na Unapinga Majambo Kwa Hoja
    Wewe Ni Tofauti Na Mashekh Wengine Wanao Towa Hoja Zao Kwenye Vichwa Vyao
    Na Nakusifu Shekh Abu Idi Unasimamia Kwenye Ukweli bila Unafiki Na bila Ya Kumuogopa Shekh Yoyote Mpotoshaji
    hawa Mafasiki Zama Hizi Wapo Wengi
    Wapotayari Kuwafarakanisha Waislam Kwa Kutaka Umaarufu tu Pamoja Na Chuki Zao Zidi Ya Viongozi Wetu Wa Kiislam
    Hawapo Tayari Kujibu Hoja Anazo Zitowa Shek Mohamed Idi Wao Wamekalia Ubishi Tuu
    Natowarai Namuomba Mufti Amualike Mufti Wa Saudia Aje Tanzania Aje Kutowa Fatuwa Kwa Yale Yote Tunayo Kufurishana Ili Tujenge Umoja Wa Waislam Afrika Mashariki
    Maana Akija Mufti Wa Saudia Ndani Ya Ardhi Yetu Ya Tanzania Na Akatowa Fatuwa Akiwa Hapa Hapa Tz Maswala Yote Yatakaa Sawa
    Maana Hawa Wanao Fata Saudia Wataambiwa Fateni Muandamo Wa Nchi Yenu
    Mawahabi Ndiyo Wataamini Waambiwacho
    watakao Bakia Wabishi Ni Kati Ya Kizazi Cha Mayahudi Maana Hata Watolewe Dalili Gani Wao Ni Kupinga Tu na Kuwakufurisha Mashekh
    Namuomba. Allah Atuhifadhi Na Mafasiki Amin Amin Amin
    Na shekh Wetu Abu Idi Allah Akupe Umri Mrefu Tufaidi Elimu Yako Aliyo Kufundisha Shek Muhammad Ayub Allah Amlaze Mahala Pema Peponi Amin Amin Amin.

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

    Swadakta!!!!

  • @habibrwegoshora6624
    @habibrwegoshora6624 5 ปีที่แล้ว +10

    Sisemi sheik Mohammed Idd anawashinda masheikh. Wengine..lakini Mm huwa namkubali sana hana ubabaishaji ktk kuongea..mathalani ukiwauliza baadhi ya masheikh kwamba ikitokea Marekani wakauona mwezi jioni wakati huku ni Alfajiri tunaweza huku Tz tunaweza kuamka na swaumu ? Bila Nia bila Daku..?..je tukila mchana itakuwaje ? Wakati ni haramu kura mchana wa ramadhani ? Tufanyeje ?

  • @mwanahamisjuma3361
    @mwanahamisjuma3361 5 ปีที่แล้ว

    Allah akulipe kheiry maneno mazur unayoyaongea ni ukweli

  • @الزغويالزغوي-ض3ن
    @الزغويالزغوي-ض3ن 5 ปีที่แล้ว +2

    DAH :
    YANI YULE MUME ALIYE OLEWA KAWADHULUMU WANAWAKE 4
    NA YULE MUME ALIYE MUOA MWENZAKE NAYE KAWADHULUMU WANAWAKE 4
    AKUHIFADHI MWENYEZI MUNGU NA ATUNUFAISHE KUPITIA MAWAIDHA YAKO.

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 5 ปีที่แล้ว +1

    Jembe ilo

  • @nadiakarata8984
    @nadiakarata8984 3 ปีที่แล้ว

    Mashekh wa kutetea uzushi

    • @abdulkatalango2890
      @abdulkatalango2890 3 ปีที่แล้ว

      kwa hapo kwa akili zako nyingi anatetea uzushi?

    • @abaafarhat9191
      @abaafarhat9191 2 ปีที่แล้ว

      Sikiliza clip yake alipomkosoa Alhad Musa kwa kuomba kwa jina la yesu baadae akasema tumemaliza tofauti zetu jamani kwenye ugomvi wetu na shekh wa mkoa vipi hapo ukemee uovu kisha baadae uunge mkono ili msigombane ni shekh huyu?

    • @mdoekibai3991
      @mdoekibai3991 2 ปีที่แล้ว

      @@abaafarhat9191 ww kunakitu kakiongea apo alafu unacho nikama amegusa ikulu pole lkn yy alijua kwamba mmo ndomana akakupozeni naushauri kwamba tubieni toba yenyekuswih mtasamehew

  • @abdulrahmanbakar5416
    @abdulrahmanbakar5416 5 ปีที่แล้ว +2

    Uyo shekh ana mada yake ya liwat na talaka embu fanya uzitupie humu

  • @jumaissa1816
    @jumaissa1816 5 ปีที่แล้ว

    Junha muogope allah hii ni dini sio mipasho .

  • @abubakarimwanyuki4963
    @abubakarimwanyuki4963 5 ปีที่แล้ว

    NDUGU ZANGU TUJITAHIDI TUSITAJE UDHAIFU WA MASHEKHE MITANDAONI NI HATAR

  • @hajimasoud7210
    @hajimasoud7210 5 ปีที่แล้ว

    sheikh hivi wewe ulipotukana nyumba ya allah na kuifananisha na guest ulikuwa humuogopi allah au ulilopoka

  • @junhanbabu1218
    @junhanbabu1218 5 ปีที่แล้ว

    Hayya Leo huna za wapotoshaji, heheheeee

    • @machembamatumbo133
      @machembamatumbo133 5 ปีที่แล้ว

      Mashekhe wote mtoe mawaidha kama haya yanayo lenga jamii,tuache mwezi umeza lini utachomoka lini,jamii ikiwa vizuri rudini kwenye itilafu,

    • @mbwanarajabhussein7141
      @mbwanarajabhussein7141 5 ปีที่แล้ว

      Acha unafiki ndugu, unataka mawaidha au migogoro? Wanafiki moja ya sifa yao wanapenda sana uchonganishi.....jitambue

    • @shosiabdalla6880
      @shosiabdalla6880 4 ปีที่แล้ว

      Swadakta ya sheikh tupe kalima kwa hakika hoja zako kwenye mas ala ya dini hoja zako zina nguvu

    • @juliuskenyaisisitoridudaya1804
      @juliuskenyaisisitoridudaya1804 4 ปีที่แล้ว +1

      Tusitowe. Aibu ya. Mashekhe. Mtandaoni

    • @abdulkatalango2890
      @abdulkatalango2890 3 ปีที่แล้ว

      mashaallah