BILIONEA JACK MA: MTOTO wa MASKINI, ALIYEOMBA KAZI MARA 30 AKAKOSA, KIINGEREZA KIKAMUOKOA....

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 173

  • @elishamwakipiti1044
    @elishamwakipiti1044 4 ปีที่แล้ว +100

    Napenda Sana kujua historia ya waliofanikiwaa,,,hua zinanitia moyo sana

    • @maratvonline
      @maratvonline 4 ปีที่แล้ว +5

      Hata mimi

    • @saraenock7600
      @saraenock7600 4 ปีที่แล้ว +3

      Haki napenda saana mambo hizi za waliopata vyao mapema!!!!!!!!!!!!!

    • @jameskenzedex
      @jameskenzedex 4 ปีที่แล้ว +3

      Hata mie kakangu napenda Sana hunifanya kutia Bidii kwa Sana

    • @fatmaswahiba6969
      @fatmaswahiba6969 4 ปีที่แล้ว +2

      Tupo pamoja

    • @danielkenedy4357
      @danielkenedy4357 4 ปีที่แล้ว +2

      Sio wew tu ndugu

  • @waweruwanyawiramassiv2652
    @waweruwanyawiramassiv2652 4 ปีที่แล้ว +86

    Mkenya hapa naskiza kiswahili cha TZ kitamu. nipe like kutoka Kenya

  • @ommythebestotb4383
    @ommythebestotb4383 3 ปีที่แล้ว +19

    Dah!!! Kweli aripitia changamoto sana. Hongera!!! Kijana kwa kutuletea mambo bora na yenye kutufungua kifikra. Kama umeipenda na kujifunza like ili tufahamiane

  • @maratvonline
    @maratvonline 4 ปีที่แล้ว +185

    Kama unaamini ONE DAY YES GONGA LIKE HAPAA

    • @piusimnanka8140
      @piusimnanka8140 4 ปีที่แล้ว

      Jipe moyo..!

    • @isiakaabdallah3031
      @isiakaabdallah3031 4 ปีที่แล้ว

      Unazngua sana sana mtangazji kwa kumuiga mtiga nkujifanansha nae kwakujikunja nkutoa saut inayofanana kidgo na mshkaji utakunya buree boya wwe tumia saut yko harisi uo ni ushamba

    • @afyanajamiino1338
      @afyanajamiino1338 4 ปีที่แล้ว +1

      MKOMBOZI WA WANAWAKE KWA MAGONJWA SUGU NA USAFI BINAFSI
      0766189074
      Ni tiba ya asili na isiyo na kemikali wala madhara yyt yale inatibu vitu vifuatavyo
      🥦Uvimbe kwenye kizazi
      🥦Homon Imbalance
      🥦Hutibu UTI sugu
      🥦Miwasho
      🥦Huondoa harufu mbaya ukeni
      🥦Hufungua mirija ya Uzazi iliyoziba
      🥦Huondoka uchafu Ukeni
      🥦Hurudisha asili ya uke
      🥦Kurudisha hamu ya tendo la ndoa nk
      Kwa mahitaji tuwasiliane kwa 0766189074
      Imethibitisha na mamlaka zote duniani. Karibu upate huduma na ushauri pia

    • @mussamati5216
      @mussamati5216 3 ปีที่แล้ว

      Nimungu na jitihada

    • @AndersonLeheni
      @AndersonLeheni 3 หลายเดือนก่อน

      Mtangazij uko vzri Sana lakni ambao tunafuatilia tujipe like

  • @shazyahya4121
    @shazyahya4121 3 ปีที่แล้ว +10

    Habari kama hizi ndizo zinazoitajika mitandaoni kuamasisha watu wafanye kazi kwa juhudi kufikia malengo ya mafanikio kama MR billionaire JACK MA safi sana 🤝🏾💫

  • @khadijashabaninimba7890
    @khadijashabaninimba7890 2 ปีที่แล้ว +6

    Utakiwi kukata tamaa katika maish yako hata kama unanipitia magumu kiasi gani na unatakiwa kushukur mungu kwa kila hatua unayo pitia 💪💪Never give up 💯

  • @shancyskitchen3044
    @shancyskitchen3044 4 ปีที่แล้ว +35

    Mokombozi Wetu Maskini Through Alibaba Ishaallah Tunampenda💕💕Inshallah Tunamuombea

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 3 ปีที่แล้ว +6

    Napenda Sana Kufuatilia historian za Watu waliofanikiwa maana wananipa msukumo mpk Sasa nayaona mafanikio KUTOKAna na hamasa

  • @thabitngangila8562
    @thabitngangila8562 4 ปีที่แล้ว +15

    Uelezeapo upo sawa brother
    Jitahidi kuunda makala Bora utajenga jina lako vema.

  • @chiefkaitaba.m.9466
    @chiefkaitaba.m.9466 3 ปีที่แล้ว +8

    Tajiri wa Mali na nafsi 👏👏👏 Mungu ambariki sana.

  • @leahmbutu3960
    @leahmbutu3960 3 ปีที่แล้ว +14

    Never ever give up we are waiting our turn

  • @jacobcharles1604
    @jacobcharles1604 4 ปีที่แล้ว +6

    Mungu amlinde kweli kabisa umasikini n laana big up bro

  • @kuttoa2320
    @kuttoa2320 3 ปีที่แล้ว +6

    Huku Kenya 🇰🇪 tuna Hustler Nation agenda yake likiwa kuweka kipaimbele maneno yanayo usiana nakuwaenua kiuchumi ilewaweze kujidumu kimaisha na kuchangia ku endelesh Kenya 🇰🇪 mbele.

  • @enockadam8509
    @enockadam8509 4 ปีที่แล้ว +46

    Tutafute pesa guys, haina kufeli

  • @twahakassimtk4313
    @twahakassimtk4313 3 ปีที่แล้ว +3

    Unajua Mzee Baba..,Endelea Kukaza

  • @mohamedgaraad2986
    @mohamedgaraad2986 3 ปีที่แล้ว +2

    This reporter is perfect masha Allah

  • @komboabdallah4451
    @komboabdallah4451 4 ปีที่แล้ว +4

    Ali baba pia ali mama ,aisee waswahili tudai hatimiliki yetu ya jina

  • @MartinMadimilo-z6w
    @MartinMadimilo-z6w 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kiswahili cha Tanzania ni Safi sana

  • @hakizimanajeanbosco9223
    @hakizimanajeanbosco9223 4 ปีที่แล้ว +4

    Ndio namupenda sana kumusikia jack ma

  • @evamakaranga6955
    @evamakaranga6955 3 ปีที่แล้ว +6

    God bless you alibaba

  • @abdulnjumanji3106
    @abdulnjumanji3106 4 ปีที่แล้ว +8

    JACK MA 💯💯🙌🏻

  • @saraenock7600
    @saraenock7600 4 ปีที่แล้ว +8

    Asanteeeeee sana msimuliaji una sauti nzuri

  • @mwangadavid5167
    @mwangadavid5167 3 ปีที่แล้ว +4

    Duh huyu jama kwenye kufu yupo Safi Sana

  • @abbaimran4122
    @abbaimran4122 4 ปีที่แล้ว +6

    It motivates alot

  • @bonifacenyaroo174
    @bonifacenyaroo174 4 ปีที่แล้ว +13

    Ipo siku(◍•ᴗ•◍)❤

  • @dokasalim943
    @dokasalim943 4 ปีที่แล้ว +15

    Ila kk unajiminya Sana kwa sauti Yako najua unamuiga jamaa flani simtaji jina ila usikaze sana sauti kumuiga mtu TOKA kama wewe anyway stori nzuri kk🤲🤲🤲✔️

    • @kpetres2872
      @kpetres2872 4 ปีที่แล้ว +2

      Dennis mpagaze🤣🤣😅

    • @husseinkaoneka5834
      @husseinkaoneka5834 4 ปีที่แล้ว

      Hpo ushamaansha ANANIAS EDGER 😂😂

    • @michaelfrenkline3429
      @michaelfrenkline3429 4 ปีที่แล้ว +1

      Sio vibaya kuiga ki2 kizuri

    • @khatibkhatib2249
      @khatibkhatib2249 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂Ananias edgaa ilaa siyo vibaya kuiga sauti sema atakuja Kunya maana anjikamua saanaa

    • @christinasteven9361
      @christinasteven9361 3 ปีที่แล้ว +1

      Mmh wabongo hamuish chuki mtabak hvohvo

  • @Thomas-gm9ml
    @Thomas-gm9ml 6 หลายเดือนก่อน +1

    ❤ dah tupambane sana jamani never give up

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 4 ปีที่แล้ว +9

    Njoo uichukue na historia yng mpk Leo napiga Dona kwa mrenda

  • @peterchristopher9590
    @peterchristopher9590 10 หลายเดือนก่อน +1

    What i shall do so as to be like jack-ma...???😢

  • @EzekieliEzekieli-h5e
    @EzekieliEzekieli-h5e 8 หลายเดือนก่อน

    Napenda sana kujua history ya ma bilionear

  • @norbertelpidius4850
    @norbertelpidius4850 3 ปีที่แล้ว +3

    Your my role modal Jack ma

  • @AboubakarKodaxkh
    @AboubakarKodaxkh 4 หลายเดือนก่อน

    Napenda sana kuskia historia ya kimataifa sasa tutapata aje historia kama hizo

  • @mussacharles1967
    @mussacharles1967 3 ปีที่แล้ว +2

    Big up xna huwa inanipa matumaini katka maisha yng

  • @Bosezizunae
    @Bosezizunae หลายเดือนก่อน

    jack maaa🎉🎉🎉❤love uu

  • @deogratiusmarandu7355
    @deogratiusmarandu7355 3 ปีที่แล้ว +1

    Uko vizuri mwangu

  • @massudbiz9828
    @massudbiz9828 4 ปีที่แล้ว +8

    Never give up in your life

  • @Donrugi
    @Donrugi 4 ปีที่แล้ว +17

    Be inspired 💪🏽🙏🏽🙏🏽

  • @DeleteDasilva
    @DeleteDasilva 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wa kwanza ninani

  • @CyprianMhanga
    @CyprianMhanga 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nahitaji zaidi kujifuza kuhusu biashara

  • @faridaessa7844
    @faridaessa7844 4 ปีที่แล้ว +5

    Asante sana kaka

  • @praygodmbisse-cc1tx
    @praygodmbisse-cc1tx ปีที่แล้ว +1

    Daah unajua kisimulia kiongozi

  • @tausikiyabo6302
    @tausikiyabo6302 5 หลายเดือนก่อน

    Sasa mpk leo yupo hai au ndio alipotea mbona mtu mwema jamani 😢😢😢😢

  • @happykopa1560
    @happykopa1560 4 ปีที่แล้ว +3

    One day yes

  • @perndivon8007
    @perndivon8007 4 ปีที่แล้ว +8

    Good sounding

  • @HappyEmmanuel-w2c
    @HappyEmmanuel-w2c 9 หลายเดือนก่อน +1

    Siku moja na me ntafanikiwa kwa uwezo wa mungu

  • @josephchacha5112
    @josephchacha5112 4 ปีที่แล้ว +7

    Wapili leo,ngonga like ntendeze2

  • @hassanparamana2215
    @hassanparamana2215 4 ปีที่แล้ว +9

    serikali hizi hususa china unatakiwa uwe makini sana unapo kuwa una relationship na marekani...wachina wanahisi atatoa siri ya corona kwa wamarekani.

  • @salumsasboy9369
    @salumsasboy9369 4 ปีที่แล้ว +3

    Jack Ma saiv ni bilionea wa PILI baada ya Zhong Zhong ambae ni bilionea wa Saba kidunia, wa Pili ni Jack Ma watatu ni Ma Yun mmiliki wa Tencent

  • @praygodmbisse-cc1tx
    @praygodmbisse-cc1tx ปีที่แล้ว

    Simulizi zinatia moyo 👍🤝

  • @joelbeatus2622
    @joelbeatus2622 4 ปีที่แล้ว +4

    Napenda historians za waliofanikiw

  • @anthonyfredrick6572
    @anthonyfredrick6572 4 ปีที่แล้ว +6

    maisha ni msoto

  • @peterchristopher9590
    @peterchristopher9590 10 หลายเดือนก่อน

    May almighty God protect you and be with u😢❤

  • @tuyisengesamila2893
    @tuyisengesamila2893 2 ปีที่แล้ว

    Asante nakupenda

  • @praygodmbisse-cc1tx
    @praygodmbisse-cc1tx ปีที่แล้ว

    Simulizi zako zina entertainment brooh

  • @selemaniahmadi8501
    @selemaniahmadi8501 4 ปีที่แล้ว +10

    Yani mimi huwa naumia sana napo ona mwana dam anamteka mwana dam mwenzi kisha anam zulu

  • @JoshuahKasema
    @JoshuahKasema 3 หลายเดือนก่อน

    guys, Usiogope kukataliwa kwani ndio chanzo kikubwa Cha mafanikio yako, mfano jack Ma ambaye amekataliwa mara 30.. so kitu simple Kwa kweli

  • @ammsuya9400
    @ammsuya9400 4 ปีที่แล้ว +2

    Hawa jamaa wa mitandao kipindii hiki cha corona uchumi wao mbona umepanda sanaaaaaa

  • @abuubilal2646
    @abuubilal2646 4 ปีที่แล้ว +3

    Alybaba Alymama niambien maana yake jaman!

  • @amanimanase5794
    @amanimanase5794 4 ปีที่แล้ว +7

    Kwa imani na mm lazima ntakuwa bil

  • @erickomeru1864
    @erickomeru1864 4 ปีที่แล้ว +4

    Amen

  • @seffsamwel5649
    @seffsamwel5649 3 ปีที่แล้ว +1

    Big up

  • @mussacharles1967
    @mussacharles1967 3 ปีที่แล้ว +2

    Mafanikio ya Siri ndefu xna katka maixha ya mtu Kuna changamoto nyingi xna na misukosuko mungu ndo anajuwa

  • @imaninamahubirchanel7071
    @imaninamahubirchanel7071 3 ปีที่แล้ว +3

    Kama tuko pamoja hapa gonga gumba na ninaiman namm siku moja

  • @gadoshtv7266
    @gadoshtv7266 4 ปีที่แล้ว +6

    Gooood

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 2 ปีที่แล้ว

    Asante studios

  • @maliyagat6081
    @maliyagat6081 4 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri 💪

  • @enocklazaro576
    @enocklazaro576 3 ปีที่แล้ว +1

    Kazi tu

  • @davidehenriqueslikonde7556
    @davidehenriqueslikonde7556 3 ปีที่แล้ว +2

    Amevumilia mengi mzee

  • @husseinkaoneka5834
    @husseinkaoneka5834 4 ปีที่แล้ว +3

    Ipo cku ntatusua niwe hata lakinea mchyuuuuu, sas hvi elfunea nkifika kwny lakinea ntashkuru nifke hta milionea asee

  • @magidachimija5599
    @magidachimija5599 2 ปีที่แล้ว

    incredible

  • @miriamloserian5698
    @miriamloserian5698 3 ปีที่แล้ว +1

    Well done

  • @kuchiethephenomenal7879
    @kuchiethephenomenal7879 3 ปีที่แล้ว

    My motivator in 2021

  • @habeebomerabubaker4817
    @habeebomerabubaker4817 3 ปีที่แล้ว +1

    Good Happy

  • @wilsonwerema1494
    @wilsonwerema1494 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana mwirwa wane kwa maelezo amaiya

  • @coletashirima2193
    @coletashirima2193 4 ปีที่แล้ว +1

    Thnx

  • @monalisakadja7481
    @monalisakadja7481 3 ปีที่แล้ว

    Nisa sana kk

  • @ramadhanijumanne-rm5pl
    @ramadhanijumanne-rm5pl ปีที่แล้ว

    Yes

  • @sirfabiano767
    @sirfabiano767 4 ปีที่แล้ว +4

    Huyu jamaa si kahukumiwa kunyongwa kwa kutosapoti chama tawala nchini kwao

    • @abdallahsumaku5647
      @abdallahsumaku5647 4 ปีที่แล้ว

      Duuuu

    • @benardedmin2207
      @benardedmin2207 4 ปีที่แล้ว +2

      Hapana bado ila vikwazo kwa sasa ni vingi kwa kukosoa bank za China kwa kukosa ubunifu

    • @afyanajamiino1338
      @afyanajamiino1338 4 ปีที่แล้ว +1

      MKOMBOZI WA WANAWAKE KWA MAGONJWA SUGU NA USAFI BINAFSI
      0766189074
      Ni tiba ya asili na isiyo na kemikali wala madhara yyt yale inatibu vitu vifuatavyo
      🥦Uvimbe kwenye kizazi
      🥦Homon Imbalance
      🥦Hutibu UTI sugu
      🥦Miwasho
      🥦Huondoa harufu mbaya ukeni
      🥦Hufungua mirija ya Uzazi iliyoziba
      🥦Huondoka uchafu Ukeni
      🥦Hurudisha asili ya uke
      🥦Kurudisha hamu ya tendo la ndoa nk
      Kwa mahitaji tuwasiliane kwa 0766189074
      Imethibitisha na mamlaka zote duniani. Karibu upate huduma na ushauri pia

    • @abdunewton6376
      @abdunewton6376 3 ปีที่แล้ว

      U

  • @mpwekenyeke_tv
    @mpwekenyeke_tv 4 ปีที่แล้ว +4

    💪💪

  • @azizawadh5973
    @azizawadh5973 4 ปีที่แล้ว +2

    Jack ma

  • @diamondfrec9539
    @diamondfrec9539 ปีที่แล้ว

    They suppose to tell us where is jack ma?

  • @gogerrah447
    @gogerrah447 3 ปีที่แล้ว

    Safi

  • @shabanimwangia7671
    @shabanimwangia7671 3 ปีที่แล้ว

    Good boy

  • @omarymohamed1318
    @omarymohamed1318 4 ปีที่แล้ว +2

    Kweli juud

  • @allanothuman2941
    @allanothuman2941 3 ปีที่แล้ว +2

    Tunaibiwa mali na wazung wanatuita nyan yaaan wat wa ulay wanatudharu sn ss africk yaaan ww acha tuuh tunaach uzalend tunaend kufuata vya wengine

  • @praygodmbisse-cc1tx
    @praygodmbisse-cc1tx ปีที่แล้ว

    Simulizi zako zimepangwa

  • @kimlisbonriffle1183
    @kimlisbonriffle1183 3 ปีที่แล้ว

    Is really harder situation he passed

  • @shukurushiboga9397
    @shukurushiboga9397 4 ปีที่แล้ว +1

    Ok

  • @juliuskatemi6816
    @juliuskatemi6816 4 ปีที่แล้ว +1

    Jack Ma

  • @selemanemmanuel7423
    @selemanemmanuel7423 4 ปีที่แล้ว +4

    Jack ma√√

  • @stephanoraulent2904
    @stephanoraulent2904 3 ปีที่แล้ว

    Gud,jb

  • @edghamoses6189
    @edghamoses6189 3 ปีที่แล้ว

    Daaaaaah

  • @siliakilojasi4188
    @siliakilojasi4188 3 ปีที่แล้ว +1

    Jack ma.nakubari.huyumwamba

  • @Nasasha591
    @Nasasha591 3 ปีที่แล้ว

    Dah kwel alipitia magumu na hakukata tamaa ingekuw mwingine angeshkt tamaa

  • @stephanoraulent2904
    @stephanoraulent2904 3 ปีที่แล้ว +1

    Kung fu master

  • @sebastianmwantuge5597
    @sebastianmwantuge5597 4 ปีที่แล้ว +2

    Kiingereza

  • @Muhammedramadhan-xl6yg
    @Muhammedramadhan-xl6yg 6 หลายเดือนก่อน

    Uongo aise huyu ni muizrael alitupwa china kimakusudi. Uliza alipo sasa baada ya kuonekana ni agent wa CIA MOSAD 😂

  • @malcomxlumumba
    @malcomxlumumba 11 หลายเดือนก่อน

    Sote ndivyo tunapaswa kufuata kama wa swahili ili tutobowe maana akili zetu huu! Zinatisha

  • @thadeombani7869
    @thadeombani7869 4 หลายเดือนก่อน

    Komba uwe unamalizia na ebwanawe,

  • @mohammedkassim320
    @mohammedkassim320 4 ปีที่แล้ว +3

    Hate midi maisha