THAMANI YA MAMA Full Movie || Swahili Latest || Bongo Movie 2021
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 30 มิ.ย. 2022
- THAMANI YA MAMA || Bongo movie 2021 || swahili Latest Bongo Movie
THAMANI YA MAMA is the best Tanzanian film with good content. The aim of this film is to provide education on reproductive health.
KAPAYA THE GREAT FILM Contact: 0655 218 331/0753 318 331
email. kapayamic75@gmail.com
Instagram Kapayathegreat TANZANIA. - ภาพยนตร์และแอนิเมชัน
Wow MashaAllah nice movie I'm watch saudia Arabia ( mkaaji wa Kenya)❤❤
VERY TOUCHING STORY ,IT HAS TAUGHT ME ALOT,THANK YOU FROM KENYA
Kapaya movie zako ni 🔥 broo big up sana ✋✋✋ endeleeni kutuletea movie nzuri namna hii
Hongera sana kaka hakika unajua sana na asante kwa kutuelimisha namana ya kuishi katika maisha yetu ya kila siku
Bila shaka hii ni kazi nzuri👏👏 ila naomba muendelezo wa Kosa la Mama❣️❣️
Tonka
Ni kweli kitu ya muhimu sana kurudiliya kosa la mama
Bonge la movie, hongeren sana.
Nimekubari utunzi mzuri uchezaji pia safi
Mashallah movie nzuri sanaa yaani haiboeshi kabisa leteni nyengine kama hiyo from (Kenya) watching nikiwa Saudiarabia
P
Nimeipenda sana
Wàaaaaàaaaaa2
ingia TH-cam andika kapayathegreat films au NTEMI TV kisha SUBSCRIBE ili kuendelea kupata zote
good job johnson keep the fire burning
Ninyi ni Baraka Sana wapendwa, very interesting story!
Am happy for you Jonhson, nimejifunza vitu vingi Sana Toka kwako!
Itoshe tu kusema ninyi NYOTE ni Baraka kwangu!
Be blessed kapaya Kwa moyo wako nmependa Sana movie zako
Hongera sana kaka kwa kazi nzur ya kuelimisha jamii Mungu akutie nguvu uweze kusonga mbele zaid
Jonson mungu akuongezee moyo wahuluma
Kaka Kapaya watu hawajui yatima ukimshika kichwa tu basi Allah anakulipa thawabu sasa vipi ukimpa chochote unaujira mkubwa sana
Kapaya aisee this is more than educational movie kwanini nilichelewa kuifatilia jamani. Bravo bravoooo kwako brother
mi ndo naicheck saiv
@@user-rv4wm7ov3s iko njema Sana aisee
ahsante sana, Endelea ku Enjoy
Nimeipenda sana, hongereni, leteni na nyingine
the best character with lots of heartfelt affections ,,johnsons good job
Lv 💞
Kwa kweli jonhson mungu akubariki sana
I love you guys keep it up ❤❤❤, much love from Lebanon
Kaz nzr leteni nyingine congratulations 👏👏👏 zenu Kwa wote mliohusika hapa
ingia TH-cam andika kapayathegreat films au NTEMI TV kisha SUBSCRIBE ili kuendelea kupata zote
Mashalha mashalha muvi nzuri Sanaa👌👌👌👌👍👍👍
Ipo vzr Sana ,Mungu awabariki kwa kazi nzr aisee mpo vizuri
Mwanyaezi Mungu ibarikie kazi yako kaka hakika malipo ni kwamungu tu unastahili ponfezi kwa huduma ya elimu uitoayo. Mungu akutie nguvu
Ameen sana 🙏
Movie tamu walai ata sijui ndasifia gani pia baba naye c mbaya juu akuchezea mali ya mkewe congratulations 👏 kwa mawaitha mazuri nimejifunza kitu
Duuuuh Kapaya Broo kazi yko n nzuri sana keep it the great work .....💪💪💪....I support u from Kenya ....endelea kutuletea vitu vipya
Tunakupenda san kapaya mana kazizako nzuri sana 💪💪🔥🥰
I found tears in my cheeks suddenly very touchable and teachable also
Mpo good sana mmekuja kitofaut sana kwa Kaz nzur hakika 2nainjoy
Assalamu aleikum warmatulla taala wabarakatu. Namshukuru Allahu hii imenifanya kusikia moyo wangu hauna nguvyu. Wanawake wengi tunapitia kwenye changa moto nyingi. Sadaka yako mwenye Enzi mungu amekubali. Amin hakika sadaka ndio ufunguo wa maisha. Sifa njema zote ni zake mwenye Enzi mungu Amin.
Ameen sana 🙏
Fantastic story,I wish I can have another one like that,(Kenya) watching from saudi
SUBSCRIBE to our channel, you will see another sweet films like kosa la mama
Daaaaah hii movie imenifanya nitoe chozi hakika nmejifunza tunakupenda sana kapaya❤️❤️
Ahsante sana 🙏, Philomena
Nakukubali kijana,vema sana.
Johnson my best actor I do follow ur movies Kila mahali I like ur acting
Also has taught me we have to trust ppl not Especially hawa tunakutana ukubwana 😢😢,and to help any one we able to help you never know your tommorow🎉 and not only money are enough in our lives Peace is what it needed❤
Mungu azidi kukuhifadhi kwa kazi nzuri unafanya 🇸🇦🇸🇦
Aisee hii muvi ni tamu hongereni sana wahusika
🎉🎉🎉🎉❤❤❤nimependa sn kbs 😊😊😊🎉🎉🎉
KUTOKA KENYA.JOHNSON HAKIKA UMSANII FIKA UNAPOANZA JAMBO UNAAKISHA KIKOMO TUPO.REAL LIFE FICTION.HEKO WOTE
Nzur san hongereni washiriki
Aminia sana KAPAYA uko vizur sana endelea kuwakilisha ...
Endeleeni na Moy huo huo wapendwaa💯💯♥️♥️♥️
Hongelenn sana kwa kaz yenu. Nzuri😅
Nice one watching from KSA
nzuri sana yenye mafunzo ya kutosha hongera Johnson
Very impressive"" naona bongo movie mnaanza kunikoshaaa, big up sanaa "kipaya the great"
Kaa tayari muda wowote kupata kazi mpyaaa
Waaoooh! Move nzur sana cikutamani hata ifike mwisho, tunaomba nyingine tena
Mbona zipo hapo nyingi2
Good job kapaya 💕💕,,endeleza please
Sinema hii ina mafunzo kibao......shukrana kapaya james deo
Ahsante sana mpenzi wangu jamani
Monique Mshai
Kazi safi really motivating, just can't get enough of it great job
Sawa kaka unajua kuchezea hakili zamashabiki binasfi nimeipenda kaziyako
Ninzur ninzur sana kwakwel hongeren nyoot
Wooou congratulation thank you so much be blessed all I like it 🔥🔥🔥🔥🙏❤
MWERO
Ambia watoto ukweri
Tunajifunza kuwa mungu akikubariki na pesa nawe saidi walemafu, maskini, wagonjwa, na wale awajiwezi kimaisa , kipindi yenu hiko sawa
Pole sana Salome na wadogo zako wote jamn
Thank you so much have learn many things from this video God bless you more
Yani kaka kapaya nakuelewa sana kwa ubunifu kama huu hakika utapiga hatua sana kwenye tasinia ya flam Tanzania mm nakufatilia vizur sana kaka nikiwa Kenya me mtanzania hongera sana umefundisha vitu vingi Sana mungu awe na ww 🙏🫶🌹♥️💯
shukrani sana
Watching from kenya I really love the story line
Very good thing it's movie
The best movie ever with a lot of teachings
Hongera sana kaka kwakazinzuri unayo fanya
hongera sana broo stori nzuri sana endelea kutuletea nzuri zaidi big up
Ebwana ndugu jemes kapaya unafanya kitu Roh inapenda WW NI zaid ya kanumba Big up nataman Siku moja uwigize na Wema Kama mke wako nitafurah sana
🤝ntalifanyia kazi tamanio lako
Bado, kanumba ni habari nyingine kijana Sema kazi zake siyo mbaya Yuko vzr
Kaz nzuri saaana,inasikitisha kwakweli
Félicitations bro pour le travail #tokoos
Asanteni sana kwa kazi nzur sna ❤
Naipenda Sana yaani haiboesji
Kazi nzuri,,nimetazama hadi nikalia machozi,,,Kwa hakika mama ni wa thamani
KAPAYA Nakupenda sana sana wewe ni actor mzuri sana sana part one wewe na Sandra congratulations 🎊
Iko vizur hongereni
Nakubali bro ujawahi kukosea
Ni nzuri sana wamoiz from Kenya
Mwendelezo kosa la mama
UKIMALIZA HII TUNAOMBA MWUENDELEZO WA KOSA LA MAMA NI MOVIE TAMU SANA
Mbona ipo
Jamn hongera sana kapaya Kaz nzur
Ahsante sana mpenzi wangu magreth
Big up brother!
Your doing great brother,,keep going higher
Mmetisha nimeipenda hyo
Hongera kwa kazi nzuri sana
Uhakika , hukoseagi kaka mkubwa kapaya 🔥🔥🔥
Ahsante sana kaka 🙏
NAMPENDA uyu kaka movie zake ana kua na ukarimu asa akiwa na uyu baba ..
Ahsante 🤝
Just waiting
Muv Nzuli sana sana, from Mozambique
daaa hii picha bomba sanaaaa
Jaman wakina baba msitufanyie hivyo😮😮
Usiogope kumsaidia mtu yeyote anaestahili Msaada uwenda unaemtafuta ni mmoja kt ya unaemsaidia.very good Jonson mungu amekulipa hapa hapa duniani pia hongera BB Jonson Kwa kusema ukweli hakika ni funzo zuri sana lenye maarifaa
Filamu nzuri saana Johnson muigizaji mzuri saana from Rwanda
Tunawapenda
Nashukuru sana ndugu zangu kutoka Rwanda 🇷🇼 🙏
Micheal nakubali movie zako big up bro from Kenya 💙♥️💪
🙏🤝
Ahsante sana kaka inaelimisha kila pande mungu awajarie jamani
Kazi safi sana
Watching from kenya...very nice
Naipenda kaz yako kapaya
Weee iyo kali sana ogera
Naomba mawasiliano na wewe nataka niwe moja wapo kwenye movies zako
ata mm nimeipenda
Asante nimejifunz pakubwa
Movie nzuri san haibiesh aki part 2 from kenya
Kajere hakajavaa kofia!!¡😂😂
wouw kapaya
Nambie mpenzi wangu
fatuma
Wee inamafunzo ila inahitaji moyo
Nzuri San yaani mumeuwosha moyo wangu kabisa
Kaz Kaz big brother
Asante sana ndugu Kapaya kwa filamu zako tamutamu💪💪💪😍😍alafu Ntemi ep13 ilipata shida Gani?!
Woow very nice movie
Watching from Uganda
.nzur sana