WiFi kama Huyo Mimi aka ila shoga angu tambua kuwa we we unandugu mdomo wako utakuponza shauri yako ukipenda boga upende na UA lake ukipenda mume upende na ndugu zake. Upo
Mm naongea ila pili umenizidi ujanja🤣🤣🤣yaan unaongea km umefyatuka akili jmn lkn nakupenda ivo ivo ata km waongea sna🤣🤣🤣🤣Allah abariki kazi yenu kipaji chenu kifike mbali ln shaa Allah🤲
Kujiunga kwenye group letu la WhatsApp
Bonyeza link itakupeleka 👇👇👇
chat.whatsapp.com/EXedjPddrA9C1XIkEg36JP
Bandi
Iove
Helllo
Mbn ii link haitaki
@@shibezulfa umeona eeeh
zuri sana wajitangaze zaidi
Mwanamke anaongea ni kma alimeza memory card ya 80 GB 🤣🤣🤣🤣🤣 yaani aboeshi 😘😘
Hahahaha daaah
@@busatitv hahahaa
Hhhhhhhhaaaaa
Kanichekesha uyu mwanamke 🤣🤣🤣
Kwann tena @Oman
Daa pili salute yako yani unajua hadi basi nakupenda hatari,, uwaga unanifurahisha sanaa
Asante sana🙏
Tuna washukuru kwa kazi mnayo ifanyi .
Kiswahili ni luga nzuri babisa.
Mafundisho mazuri yaliyomo. 🇨🇩🇨🇩
Kali sana Hii
❤️
Mmmmh gubu la wifi
Mwanaume wa akili unaweza enda aje Kwa kina dem mkalaliane huko 🤣🤣🤣🤣😃alaaaaaa
Yani
Yani mna jua comedy kweli 😃😃😃
Goodwork❤
Wewe mambo baya😂
🤣🤣
Ndugu wa mume kazi walinichokesha mm pia😊
Nice movie
😂😂😂😂 huyu mwanaume hamna kabisa Lakin pili nakufagilia kwa Kaz zako nice ❤❤❤
Asante sana
Jmn uyo wifii nimempenda buleee❤❤❤
Asante sana
Kazi nzuri sana 👏
Asante sana
Mubarkiwe moves nzur sana
Asante sana
Wow 🔥🔥🔥🔥 Tola hongera kwa maneno ya busara
Safi sana
Mume mwenyewe zongweee
Pili meza mate nakupenda bure❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣
Uyu dada ni wifi yangu kabisa khaaa
🤣🤣🤣🤣
Mnawezana ?
Mmmh uyo wifi hatr ana maneno meng😂😂😂😂😂
Jamani hii sauti yapili si ndio ya aliyekuwa bibi wa ktk movie ya kirikou😀😀😀ile maji maji maji
Sauti Gani hiyo jamani
Aaah pili Maboga hahaha ni yeyeeeeee
Jamani wifi anaongea🎉😂
Mpo vizuri asee
Asanteeee
Nimeupenda
Asanteeee sana
Mv nzuri sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Asante sana
Napenda movie zenu Pili huachi kuwaka tu🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
Mmeweza
Asante Sanaa
Wow very very Nice♥️♥️♥️♥️
Asante Sanaa
Kazi nzuri samahani kiongozi wa Busati unaweza ukanipa huyu pili maboga nifanye nae kazi?
🙏🙏
Unamtaka ?
Jamanikimenuka 😅😅😅😅😅ka wifikwawifi ngumikweli jamani😅😅😅
Nice
Thanks
Wif ana ongea kama kameza memor😁😁😁😁😁😁ongereni sana kwa kazi yenu zuri sana mubarikiwe wote ❤ ❤ ❤
Asante sana
Nice movie ❤❤
🙏🙏🙏
Shukrani saner 🙏 kazi nzuri 👋👋👋
🙏🙏🙏
Punguza mdomo mwanamke
Nice sikitu...hongereni wote
Asante sana
😂😂😂😂😂pili ivii adi really life uko ivii au ni kipaji Tu ,,, nawapenda sanaa naona nitafika tz kwaajili yenu
Tuleteeeee zawadiiii
Napendaaaa
Asanteee
Mwambie asikie
Weee hii nikali mwana mke anaongea na hata hapaliwi na mate jamani 😂😂😂
Nikweli mama unamdomo kweli
😅😅wifii.zbc redio.inaongea hiy😂
nice
🙏
🤣🤣🤣🤣😂pili jmny ati jifanye unanimbeleza🤣🤣wallah mko funny kwel😂🥰Allah azidi kuwainua n kipaji chenu inshallah 🤲😊
Inshallah
Mungu akujaalie pia
Amiin
👍kabisa
🙏🙏
Hau.ndowale.wanaume.suruwali.wanae.taka.kufugwa.na.mwana.mke.mwanaume.huyo.vpi.anaenda.kulala.kwa.wakwe😅😅😅😅😅😅😅😅
🤣🤣🤣🤣💪💪
Nyie nampenda pili kwakweli 🤣🤣🤣🤣
Weeee
Nasubiria season two kwa ham jaman😂
Hao.niwale.wanaume.suruwali.walio.zoeya.kufungwa.na.wana.wake😅😅😅😅 12:20 😅😅😅😅😅😅
🤣🤣🤣🤣
good movie
Mhh huo moyo wa wifi
Hatari tupu
Wamwanzo mie leo
Umetisha sana kunywa soda hapo ulipo
Kweli maman
Yani
Nzur
Asante sana 🙏
Hahaha hahaha munafiiki
Kw hio tatizo ni vipaseli au sio 😄
🤣🤣🤣🤣
WiFi kama Huyo Mimi aka ila shoga angu tambua kuwa we we unandugu mdomo wako utakuponza shauri yako ukipenda boga upende na UA lake ukipenda mume upende na ndugu zake. Upo
Nice Project
🔥🔥
Sawa kabisa
Sawaaa
Nimecheka sana movie kali haha😂😂😂😂😅
Asante sana
Uyo wizo weeuuuh 😂😂😂
🤣🤣
Mm naongea ila pili umenizidi ujanja🤣🤣🤣yaan unaongea km umefyatuka akili jmn lkn nakupenda ivo ivo ata km waongea sna🤣🤣🤣🤣Allah abariki kazi yenu kipaji chenu kifike mbali ln shaa Allah🤲
Hahaha lkn Unampenda hivyo hivyo daah nimecheka sana
@@busatitv wallah tena nampenda tena na tena na washirika wte kwa jumla Allah hawazidishie kipaji🤲
Asante sana, tunakupenda pia ❣️
Amiin 🙏🙏
Wifi kaoatikana 😂😂😂😂
🎉🎉
Ģabo pati two
Pili maboga awe na Suzy bale m2 na wifi yake
🤣🤣🤣
Nimechoka nimechoka nimechoka😂😂😂😂😂huyu dada na mpenda bureee kwa kazi yake anayo fanya
Tunamtoa bureeeee huyo Busati tumemshindwa
@@busatitv muacheni kabisa bila yeye felimu zenu hazita pendeza kwa upande wangu yeye ndio anafikisha ujunbe kwenye jaami
🤣🤣🤣🤣
Unakera kitu mna movies nzuri lkn amuweki Walithia Wa picha zenu za movies
Pole
Anaongea kweli kweli 😂
🤣🤣🤣
Kama kameza cd
J
punguza mdomo jamani pili😃😃😃
Ana Mdomo balaaa
😂😂😂😂 nimeipenda sana
Asante sana
Punguza kuongea bana...washoutt😅😅
I wish uyu mama awe mother in law wangu
Umempenda eeeh?
Watu wakuomba like mko wapi mana mm nishafika 😂😂😂
Umefika mpaka huku 🤣🤣🤣
Wifi❤❤❤
Uyo wif salut
nibaki kucheka tu maana mh ngumu kumeza
🤣🤣🤣 Cheka tu mana Hakuna namna
Nimbembeleze 🤭 🤭 🤭 🤭 hahaha wifi bubu hatar
Wifi ana Gubu kweli hahaha
Hi imeenda
Hatari sana
Lakwako Hilo wifi kama so lako lajirani yako 🤣.fumbo fubia mjinga mwerevu ufumbua
🤣🤣🤣🤣
Leo namuonatena wifi nakukubali hhh
Asante sana
Yupooo
Kaka muongoo 😂🤣
Kaka yupi tena
hahahaha haloo
Hatari sana
Mwifi
Hi iimeenda
Sanaaa
Mdomo Kaa chiriku😅😅😅😅
Yani
pili wewe hatari 😅😅😅
Pili ni hatari sana
Tuone yajayo jaman
Mwanamke uyu kando na kuongea,,,,ana akili kweli kwa kaka yako unakulwa uko???
Tupi sasa hapo Jamani
Aibu😂😂😂😂
Kwann 🤣🤣
😅😅❤
Duuuu heee jamani kaka muongo uyo
😂😂😂😂
❤❤❤❤❤
❤️❤️❤️
Pili na sauda nawapenda bure
Unawapenda eeeh
mmh
🥰
Muongo uyu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😄😄😄😄
"duh" mwanamke kasuku jameni
😂😂😂
@@busatitv weeee huyu dada hatari
Kibali anacho
Asante Sanaa
Maaa wifi Atali 😅
Huyo ndio Chuki na Chuki zake 🤣🤣