INNEVITABLE LOVE 2 || Swahili Latest || Bongo Movie 2021

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 305

  • @paschalmachine-ww8zu
    @paschalmachine-ww8zu ปีที่แล้ว +4

    Igizo linamafundisho ndan yake nimelipenda sana kama na wenzangu mmelipnda kama mim naombeni like zenu

  • @mezadawa5306
    @mezadawa5306 2 ปีที่แล้ว +9

    movie nzuri sana imenitoa machozi. mwanzo nzuri na mwisho pia haya mapenz jaman ni hatari sana hakika ni upofu. waigizaji wote mmecheza vizur geita gold mko juu sana..

  • @KHADIJAUMAZIRUMBA
    @KHADIJAUMAZIRUMBA 8 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera sana deo Hadi umenikumbusha ya nyuma bt umefanya uamuzi mzr🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @anisethlukoko821
    @anisethlukoko821 2 ปีที่แล้ว +3

    Oyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!
    Waooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!
    Daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
    Nimeinjoy saaaaaaaanaaaaaa. Unajua kijana, hakika ukiongeza juhudi kanumba tutamuona, sio kwamba hawez tokea Kama kanumba Kama wanavyodhi ila kila kitu nawakati wake, kwako wewe naanza kumuona kanumba.

  • @barakaelias1116
    @barakaelias1116 2 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana kanumba wangu ilete wewe ndo unataka kuirudisha taswira ya bongo movei iliyopotea kwa mda mrefu

  • @magrethbujiku6829
    @magrethbujiku6829 2 ปีที่แล้ว +3

    Hilo koti LaDeo msijifanye hamlioni 😂😂😂😂😂lkn Kaz nzur kapaya🥰🥰

  • @clarissidi1437
    @clarissidi1437 2 ปีที่แล้ว +2

    Imenitoa machozi jamani, movie nzuri sana inasisimua na mafundisho pia, hongera sana kapaya

  • @essykinyanjui9642
    @essykinyanjui9642 2 ปีที่แล้ว +1

    Filamu yenyu nzuri yanaa funzo kumbwa mpangilio mzuri hayana kelele ,,,naawapa pongezi Sana ,,Karen , preshas ,deo na Mike congratulations ,,

  • @clevertete9067
    @clevertete9067 2 ปีที่แล้ว +4

    Congratulations to those but Mr Deo hongera kwa maamuzi magumu naamini jamii nzima imejifunza jambo 👏🎁

  • @inkurushow2827
    @inkurushow2827 2 ปีที่แล้ว +1

    Cool cool kabisa, mkiendelea hivyo mtafufua tena sana ya Bongo movies

  • @jeansibomana656
    @jeansibomana656 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongerini sana
    Kua na msimamo deo
    Wewe ni noma kaka

  • @alinyamawi2968
    @alinyamawi2968 2 ปีที่แล้ว +2

    Hapo nawapa pongezi .... movie iko fty sana ...inafunzo zuri ....✓✓✓... Congratulations

  • @yeremialusega1565
    @yeremialusega1565 2 ปีที่แล้ว +3

    Movie Iko pw Sana ,,,🤗 nimepata lesson kubwa sna kweny maishaaa🙏🙏🙏

  • @aminaabudhull9373
    @aminaabudhull9373 2 ปีที่แล้ว +2

    Mike deo Karen na preshas hongerasan kwakazi nzuri

  • @sabreenbonaya2520
    @sabreenbonaya2520 2 ปีที่แล้ว +12

    Mike, DEO, Karen na preshas hongereni sana kwa uwamuzi kwa penzi imara na thabiti congratulations good work you are all blessed

  • @moniquemshai2654
    @moniquemshai2654 2 ปีที่แล้ว +1

    nimependezwa na video zenu .....nasubiria zaidi na zaidi , natoka kenya

  • @mbomamukenge8104
    @mbomamukenge8104 2 ปีที่แล้ว +2

    Nawapenda sana tumahamu sana ya film part2 tumaliziye adisizetu menifurahasha sana kucheza na uwo Dada achaya muzigo brother 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @promiseirene1430
    @promiseirene1430 2 ปีที่แล้ว +5

    ❤️❤️❤️❤️💞🤣🤣🔥🔥🙏hki mapenzi wewe Deo nimekupenda

  • @zakayocoster3337
    @zakayocoster3337 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa sana bongo tupo juu sas

  • @Graceyust
    @Graceyust 2 ปีที่แล้ว +7

    Kazi nzuri, maudhui mazuri, mpangilio mzuri wa matukio, zaidi mmeu kwenye hitimisho, hakuna maswali ya kujiuliza, kwa hapa big up sana

  • @johnfilbert5915
    @johnfilbert5915 2 ปีที่แล้ว +3

    Unatuchelewesha bhana,ila ongera kijana mwenzangu,umepambana sana kurudisha heshima ya filamu Tanzania, tulikwama tokea Enzi za kanumba

  • @ziyadabasca4840
    @ziyadabasca4840 2 ปีที่แล้ว +1

    Baba kipenzi kapaya kwer filamu isihishe tuongeze muenderezo filamu nzuri sana muno💪💪💪nakuweka nguvu enderea ndere yako ni pazur san ongera tunakupenda san 👍💋💋🥰🥰

  • @benemelack3360
    @benemelack3360 หลายเดือนก่อน +1

    Hongela sanaaaaa Umeonyesha moyo

  • @michaelpatrick9137
    @michaelpatrick9137 2 ปีที่แล้ว +3

    Great job, congratulations all of you..mmefanya firm nzuri na yenye mafunzo namaonyo sa a kwa jamiii

  • @ibrahimmartine9185
    @ibrahimmartine9185 2 ปีที่แล้ว +1

    Movie nzur sana nmeipenda hongeren kwa washirki wote wa hii bongo movie

  • @johntshenda7244
    @johntshenda7244 2 ปีที่แล้ว +1

    kaka déo mungu azidishe akili natena amilinde Sana naipend Sana filamu yenu mimi nimu Congo,,i say thenks 4this,,

  • @saadazubeiry8918
    @saadazubeiry8918 ปีที่แล้ว

    Sijaipenda hii film aisee ! sijaifahamu mwanzo hadi mwisho naona ovyoo tu!
    Ni afadhali ile kosa la mama ilikua bomba sana!

  • @shamilamvula3372
    @shamilamvula3372 2 ปีที่แล้ว +3

    Kila jema mungu utangulia ,nimeipendaaa sanaa

  • @enocksima3621
    @enocksima3621 2 ปีที่แล้ว +4

    Very fantastic,,,wonderful movie ,,,,xafi xana gud work ,,,,much appreciation

  • @rebeccamukonyi3489
    @rebeccamukonyi3489 2 ปีที่แล้ว +1

    asante sana Mungu awabariki sana kwa mafundisho mema masikini ako na haki.

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana Michael na careen kwa maamuzi yenu movie tamu sana

  • @johnwere5282
    @johnwere5282 2 ปีที่แล้ว +2

    hongera sana kwa filamu tamu na mafunzo si haba. Hakika ni ya kufana na kuelimisha

    • @majaliwawilson9372
      @majaliwawilson9372 2 ปีที่แล้ว

      Lakini Mimi huwa najiuliza Adam hakuchaguliwa mke mke wa Babu yetu Adam alijiandaa kumpenda Adam? Navitabu vip vinavyo onesha Kuna Mahal mitume walichagulia wake kosa hapo nikauli yamaskini ndio haikosawa lakini vitabu vina sema mzazi nimunguwako wapil hivo ndiomana leo tumezalau yawazazi nakusema natakiwa kuwa na nitaempenda nasio nitae chaguliwa ndiomana Kat ya ndowa 100 zitazo kuwa zimefungwa Leo itayo kuwa inamiaka 40 haipo kila moja itakuwa nandowa nyingine tena hivo tunakokwenda tunaletewa ndowa za mikataba yaani tutaishi mwaka au miaka 2 hivo tutaungana najamii yakishetani kwani hawatat ndowa zidum zikidum ushoga usagaji hauta shamili Sasa ninihik Kama sio ushetani tunao letwa bila kujitambuwa kilamtu ajifuze vitabu awe namaalifa nasio maneno yqkuwambiwa

  • @veronicandinda4560
    @veronicandinda4560 2 ปีที่แล้ว +13

    Congratulations team,enjoying from kenya

  • @jesussavesus2210
    @jesussavesus2210 2 ปีที่แล้ว +5

    Luka 23:42-43 Akamwambia Yesu, Bwana, unikumbuke utakapoingia katika ufalme wako. Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, leo hii utakuwa pamoja nami peponi.
    Kwa yeyote asiyemjua Mungu au asiyemwamini Mungu na anataka, jiulize kwa nini miaka ya ulimwengu huu imegawanyika kati ya, Kabla ya Kristo na Baada ya Kifo, Mungu alituambia yeye ni nani na kwamba yeye ni halisi sana. Hujachelewa kumtafuta Mungu kwa moyo wako wote kwa maombi na toba, kwa sababu Yesu anakupenda zaidi ya uwezavyo kujua na anataka uokoke. Usikatae zawadi ya bure ya uzima wa milele, kwa sababu hukumu ni ya kweli sana. Ikiwa utamwomba Yesu Kristo kwa moyo wa kweli akusamehe dhambi zako zote, na kuingia moyoni mwako na tafadhali kukuokoa, atakuokoa na hivi karibuni utajua jinsi yeye ni halisi. Mungu akubariki. ❤🙏🕊

  • @Amina-xc8tl
    @Amina-xc8tl 2 ปีที่แล้ว +1

    Movie nzr mno nayenye funzo kubwa sana kwa wazazi wanamna hii, asanteni sana washirika nyote

  • @polomzuanda4746
    @polomzuanda4746 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali sana unajua kupangilia kila kitu kazi nzuri sana

  • @charlesjulius7288
    @charlesjulius7288 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzur sana na bado ina tikisa mpaka Sasa so big up sana kapaya the great 👊👊

  • @abubakarkoita4778
    @abubakarkoita4778 2 ปีที่แล้ว +2

    I love this movie.Maudhui yako shwarii na wazi kabisa

  • @jamesisaac8804
    @jamesisaac8804 2 ปีที่แล้ว +1

    WOW films nzuli taomba ifwatao part 3

  • @halimanj8544
    @halimanj8544 2 ปีที่แล้ว +1

    nawapenda sana nyote vipenz vyangu asante Kwa kazi yenu

  • @LoolKing-z5z
    @LoolKing-z5z 10 หลายเดือนก่อน

    Waaah yaani ilivoisha ata alikua yafaa iwe ndo ni part 1, hii movie ni nzuri sanaa nimependa jamani mapenzi hayaa nkweli yanauma Asanteni sanaa nawapenda🙏

  • @ruthkisaka7903
    @ruthkisaka7903 2 ปีที่แล้ว +7

    Good lesson learned from your film congratulations caren ,Deo and Mike

  • @vipvip-zv7xv
    @vipvip-zv7xv 2 ปีที่แล้ว +2

    Funzo zuri sna..Maskin ana haki y kupend ..hongera kwenu..maamuz y kudum

  • @danielmach422
    @danielmach422 2 ปีที่แล้ว +1

    Sasa hizi ndizo movie alizokuwa akifanya marehemu Steven Kanumba (MUNGU amrehem)
    Hakika mchezo umeanza vizuri na umeisha kiukali zaidiii...
    Hongereni sana waandaaji na MUNGU awazidishie kipaji🙏

  • @mboyakevin3404
    @mboyakevin3404 2 ปีที่แล้ว +1

    Movie nzuri sana nawashukuru kutoka Nairobi Kenya

  • @annamamaalpha8295
    @annamamaalpha8295 2 ปีที่แล้ว +2

    Waooo tunaisubiri kwahamu kubwa sana

  • @johnbernad3990
    @johnbernad3990 2 ปีที่แล้ว

    Kapaya hongera sana kwa sasa bongo mov ipo mikononi mwako maana mov zako zote zina maadili congratulation Kwa hilo

  • @monicahjoseph2528
    @monicahjoseph2528 2 ปีที่แล้ว +2

    Wow Mr CEO en Michael ,ur strong ,much love u guyz 💕💕 nice movie

  • @priscadaudi1001
    @priscadaudi1001 2 ปีที่แล้ว +1

    Nzuri sana,nimetoka na idea frani

  • @ChristineKesi-k9r
    @ChristineKesi-k9r 4 หลายเดือนก่อน

    Best film,thrilling wth great lessons,hongereni sana, excellent job Deu,kp it up👏

  • @andrew0502
    @andrew0502 ปีที่แล้ว +2

    You are good in film guys, God bless you more and more!!

  • @ignasiakomba1320
    @ignasiakomba1320 2 ปีที่แล้ว +3

    Talented brother 💪💪 keep it 💯 on going nimevutiwa na intertain also education to the society

  • @essykinyanjui9642
    @essykinyanjui9642 2 ปีที่แล้ว +5

    Kapaya good job bro♥️♥️♥️👏👏👏👏

  • @winniewairimu3822
    @winniewairimu3822 2 ปีที่แล้ว +1

    Mr kapayaa naangalia sanaaa,mazee Yana roho ya ushamba balaa

  • @JosephatKalya
    @JosephatKalya หลายเดือนก่อน

    Abig blow to Baze 10..... actually landlord has applied native sense 😂😂😂😂😂😂 kimekuramba brother.

  • @linetymmboga7271
    @linetymmboga7271 2 ปีที่แล้ว +8

    Wow nice movie and good job I'm from Kenya

    • @sallykavuna6574
      @sallykavuna6574 2 ปีที่แล้ว

      Kapaya have a good job 👊👊♥️ kutoka kanya♥️♥️♥️♥️♥️

    • @ramlakhamis3392
      @ramlakhamis3392 ปีที่แล้ว

  • @rachelnasiruza6455
    @rachelnasiruza6455 2 ปีที่แล้ว +6

    Too Emotional, but I must say this is the best of kapaya the great💪

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 2 ปีที่แล้ว +5

    Congratulations for the movie....A lesson which i learn from the story is about power of love

  • @lucykalunde9701
    @lucykalunde9701 2 ปีที่แล้ว +1

    Nlikuwa naingoja sana big up manzee

  • @josephsaruni31
    @josephsaruni31 2 ปีที่แล้ว +5

    Congratulations guys we're waiting for part 2

  • @edwinkiplangat5906
    @edwinkiplangat5906 2 ปีที่แล้ว +2

    Nice film kipendacho roho ni dawa God bless you abundantly wish you all the best hope to see another one

  • @peteraw1600
    @peteraw1600 2 ปีที่แล้ว +2

    Congrats team kapaya the great.

  • @elpinnershehele7344
    @elpinnershehele7344 2 ปีที่แล้ว +2

    From Mombasa, nimeingojea kwa muda sana

  • @annettesimiyu7597
    @annettesimiyu7597 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri sana ongera

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni kwa kzi nzuri

  • @raymondlucas1452
    @raymondlucas1452 2 ปีที่แล้ว +1

    Big up brother Deo from kapaya the Great Nice short 🙏 may God bless you

  • @christinasafi151
    @christinasafi151 2 ปีที่แล้ว +1

    Kapaya na penda sana filamu zako kaka. Unakwenda kuisimamisha tena pendera ya filamu zenye maana kubwa. Nakutakia mafanikiao mema, pamoja na team nzima. Wekeni upendo kwenye kundi, heshima na masikilizano mkifanya hivyo, tasnia yenu itafika mbali sana. Mungu abariki kazi zenu. "Mwenda pole hajikwai". Vizuri sana kaka🇹🇿🇨🇩🇨🇦

    • @kapaayathegreat
      @kapaayathegreat  2 ปีที่แล้ว

      Ahsante sana 🙏,
      Christina Safi ubarikiwe sana

  • @ailcemuthoni3339
    @ailcemuthoni3339 2 ปีที่แล้ว +4

    I love the movie it's so lit 🔥🔥🔥 na kwakweli true love is inseparable

  • @annragui68
    @annragui68 2 ปีที่แล้ว +1

    Wow deo unaweza kua mume mwema aki

  • @amidjaja5695
    @amidjaja5695 2 ปีที่แล้ว +3

    Naisubiri kwa hamu😍😍😍

  • @vivianjonathan1783
    @vivianjonathan1783 2 ปีที่แล้ว +1

    Nzuri nzur sana

  • @officialimagineproduction9729
    @officialimagineproduction9729 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri sana...keep it up

  • @andrewmwambi538
    @andrewmwambi538 2 ปีที่แล้ว +1

    Filamu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Sana hongera kwa watumbuizaji . Kapaya the great filims Sasa endelezeni NTEMI episode 13

    • @ailcemuthoni3339
      @ailcemuthoni3339 2 ปีที่แล้ว

      Yeah the movie is lit 🔥 so lovely it's showing the power of love,I hope Sasa ntemi wetu atarudi

    • @andrewmwambi538
      @andrewmwambi538 2 ปีที่แล้ว

      @@ailcemuthoni3339 let's wait en see next ni gany

    • @ailcemuthoni3339
      @ailcemuthoni3339 2 ปีที่แล้ว

      @@andrewmwambi538 yeah I know something good will come for sure , but honestly I miss ntemi

    • @andrewmwambi538
      @andrewmwambi538 2 ปีที่แล้ว

      @@ailcemuthoni3339 as per me it's like Ntemi come to the end coz Ntemi alinyoa sahii hawezi kuwa mchunga ngombe Tena 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg1652 2 ปีที่แล้ว +2

    Movie nzuri sana ongeleni nabapenda sana 🙏 ❤❤

    • @boytz202
      @boytz202 2 ปีที่แล้ว

      Good job

  • @OmanOman-ky2oo
    @OmanOman-ky2oo 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimafundisho tosha👌🥰🥰🥰🤣

  • @omarelhabibi4071
    @omarelhabibi4071 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa mafunzo mazuri tunapata kutoka kwa movies zako🙏🙏🙏🇧🇮🇧🇮

  • @shijanyanda542
    @shijanyanda542 2 ปีที่แล้ว

    Hongera bro kwa kazi zko

  • @barakaelias1116
    @barakaelias1116 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimelia sana hii filamu maana mimi imenitokea watu ambao hatujabarikiw 'na Mungu kuwa 'na mali tunadharaulika jmn 😭😭😭😭😭😭

  • @mkacibeiib7278
    @mkacibeiib7278 2 ปีที่แล้ว +1

    jamani hii movie ni nzr na iko na mafunzo japokua nimelia lkn daa nici 🥰🥰

  • @zenangongoro574
    @zenangongoro574 2 ปีที่แล้ว

    Kapaya unajua sana kaka bigup be blessed

    • @kapaayathegreat
      @kapaayathegreat  2 ปีที่แล้ว

      Ahsante sana mpenzi wangu Zena

    • @zenangongoro574
      @zenangongoro574 2 ปีที่แล้ว

      @@kapaayathegreat mm ni wa kiume kaka kapaya 😂😂😂 niko na kipaji cha kuigiza kaka lakini nahisi kipaji changu kinaishia chini sijapata nafasi ya kukionyesha popote ila nyinyi kaka mko mbali😢😢😢😢

    • @kapaayathegreat
      @kapaayathegreat  2 ปีที่แล้ว

      @@zenangongoro574 wewe ukowapi

  • @WardaKassim-c1q
    @WardaKassim-c1q 9 หลายเดือนก่อน

    Inafundixha kiasi good job

  • @agnesslucas4744
    @agnesslucas4744 2 ปีที่แล้ว +1

    Deo ukovizuriii Sana musukuma

  • @bernardrwekaza1254
    @bernardrwekaza1254 2 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante Sana my broh ,keep it on rocking the stage my buddy🙏🙏🙏

  • @antoniaoswald1643
    @antoniaoswald1643 2 ปีที่แล้ว

    Hongera kwa washiriki wote movie ni nzuri sanaa

  • @Innocentciza
    @Innocentciza 2 ปีที่แล้ว +1

    Dauka she still best actriss love from BUJA

  • @simonmwaura8784
    @simonmwaura8784 ปีที่แล้ว +1

    The greatest kapaya

  • @josephsaruni31
    @josephsaruni31 2 ปีที่แล้ว +4

    Thanks guys for posting part 2

  • @inocentmwale962
    @inocentmwale962 2 ปีที่แล้ว +1

    Kapaya nakubari sana brother

  • @gideonmarube6832
    @gideonmarube6832 2 ปีที่แล้ว +1

    Deo naye anaumia rohoni mwake , coz anampenda precious sana vile maiko anampenda caren, Bossi nayeanapembeleza Annah kuhusu mapenzi pale offisini, kweri hii filamu inapendeza sanaaa,

  • @beatriceagosa3587
    @beatriceagosa3587 2 ปีที่แล้ว +1

    Good job Mr kapaya

  • @deogratiasodas
    @deogratiasodas 2 ปีที่แล้ว +1

    Ongeza kazi nyingine nimepnda 👏👏

  • @gideonmarube6832
    @gideonmarube6832 2 ปีที่แล้ว +1

    Maiko anampenda caren Sana 🙏🙏

  • @martherlulyalya5347
    @martherlulyalya5347 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana kaka Ntemi ama kweli movie zako zina reflect na jamii za kitanzania hongera saana, Natamani kujiunga nifanye kazi na ww bro"

  • @ziyadabasca4840
    @ziyadabasca4840 2 ปีที่แล้ว +1

    Tunakupenda san unafany kazi nzuri

  • @ygggggg9762
    @ygggggg9762 2 ปีที่แล้ว +3

    Okay twasubiri

  • @estermpare6315
    @estermpare6315 2 ปีที่แล้ว +2

    😭😭😭Daaah mapenzi I yanaumaa saana

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 2 ปีที่แล้ว +1

    Tunaisubiri kwa hamu mungu awabariki sana katika kazi zenu🙏🙏🙏🙏 nawapenda sana❤️ ❤️

  • @rosemuhazi9542
    @rosemuhazi9542 2 ปีที่แล้ว +4

    Woooiye l like it the true love never die 🔥🔥🙏

  • @samuelntaconagize1445
    @samuelntaconagize1445 2 ปีที่แล้ว +3

    Congratulations my brother, I congratulate you for a good job in South Africa

  • @dtv6734
    @dtv6734 2 ปีที่แล้ว +1

    wazEe, , , hapo kwenye nguMi hapaJabambA 😂😄