VITA YA MANARA NA JEMEDARI | KUFUKUZWA KAZI EFM | ROHO MBAYA | YEYE SIO YANGA NI SIMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 267

  • @josephadam5384
    @josephadam5384 2 ปีที่แล้ว +3

    Jemedari said mchambuz bora TANZANIA

  • @richardpembe606
    @richardpembe606 2 ปีที่แล้ว +8

    Jemedali haipendi Yanga na hafai kuwa mtangazaji wa michezo maana hayuko fair. Manara anaongea ukweli

  • @mashakanovati3875
    @mashakanovati3875 2 ปีที่แล้ว

    ukweli apa tanzania kuna tim nyingi za ligi kuu ila chakushanga sana jemidari anaiongelea sana yanga kuona kila wanachofanya awajui je apo efm unalipwa kwaajili ya kuiongelea yanga tu fanya kazi yako kaka acha kuongelea tim isiyokuusu

  • @nelsonkilongozi2854
    @nelsonkilongozi2854 2 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo radio yenu tuliishaacha kuisikia. Mnatumia nguvu nyingi kumtetea lakini hatumpendi hatumpendi hatumpendi

    • @Baharia92
      @Baharia92 2 ปีที่แล้ว

      Umeacha kusikiliza sasa mbona umetumia mb zako kuangalia shabikieni mpira acheni blaa blaa kila mtu ana Uhuru wa kuzungumza na kukosoa kikubwa usitukanwe Tu my brother

  • @markikivea7101
    @markikivea7101 2 ปีที่แล้ว +3

    Hatutaki aiongelee YANGA YETU KABISA

  • @timamusulemani7306
    @timamusulemani7306 2 ปีที่แล้ว +2

    Kweli kabisa mana👍👍👍👍👍👍

  • @legendmmari8094
    @legendmmari8094 2 ปีที่แล้ว +2

    Alafu huyo jamaa nadhani hata yanga hatumuamini mana Jana katuambia azizi deal done kubr uongo hatumtaki manara anatuvuruga

  • @peektvonline7244
    @peektvonline7244 2 ปีที่แล้ว +2

    Nipe clip yoyote ambayo jemedari ameizungumzia vizuri yangaa alafu nikwambie

  • @daudkhatib4678
    @daudkhatib4678 2 ปีที่แล้ว +1

    Please. Please. We. Gemedari. Achanaa. Na. Yanga. Haikuhusuu. Hataa. Kidogoo.

  • @FrankMasinde-ul2ed
    @FrankMasinde-ul2ed ปีที่แล้ว +1

    Duuuuu

  • @noordinrashidi8131
    @noordinrashidi8131 2 ปีที่แล้ว +2

    Mnatumika sana jaribu kujitasmini

  • @suitstv5889
    @suitstv5889 2 ปีที่แล้ว +3

    Kaka Jemedar fanya kazi yako tuna mfaham huyu Haji no Simba tuna. Mjua sisi wanayanga piga Kaz Kaka

  • @ellsonmkonyi1319
    @ellsonmkonyi1319 2 ปีที่แล้ว +1

    Mm nafikiri wasemaji wote wa vilabu wawe atlest Wana diploma au degree moja na kuendelea

  • @PiliKalanangwa-rt1xz
    @PiliKalanangwa-rt1xz ปีที่แล้ว +1

    Huyo manara ni mshenzi sana, na anaroho mbaya sana, na mungu atampa zawadi yake. Haiwezekani Kila mtu agombane nae yeye, anafikia hatua ya kutaka waandishi wafukuzwe KAZI!!! Hii ni roho mbaya iliyopitiliza, ndio mana mungu kamfupisha, duuh sijawahi kumsikia mtu wa aina yake. Kakaangu. Jemedari mungu atakusimamia, inshaallah

    • @madarakaiddi
      @madarakaiddi 8 วันที่ผ่านมา

      Acha lugha za kipolipoli we unajijua undani wako?mibongo bwana

    • @madarakaiddi
      @madarakaiddi 8 วันที่ผ่านมา

      Huwezi kujua hata ww unaweza kupata mtoto kama huyo

  • @edwardsemwenda4726
    @edwardsemwenda4726 2 ปีที่แล้ว +3

    Jemedal achana na yanga kuanzia leo

  • @johnsonbagambi1908
    @johnsonbagambi1908 2 ปีที่แล้ว +2

    Manara kawazid mkubali nyinyi mazuzu

  • @kingmpeto9878
    @kingmpeto9878 2 ปีที่แล้ว +8

    Jemedali Said kazumali achana na kuingilia mambo ya Yanga hayakuhusu. Na wewe mwenye Jezi ya arsenal ni mpuuzi tu achana na manara nenda ccbrt pumbavu kbs wewe 😀

  • @charlesaugustine2157
    @charlesaugustine2157 2 ปีที่แล้ว +1

    Nyie mashabiki au wachambuzi wa mpira fateni mafanikio ya wachambuzi wa nje Jitafakari Mr Jemedari.

  • @kazembeally1619
    @kazembeally1619 2 ปีที่แล้ว +3

    Shida ya jemedar kila kitu cha yy lazima akiponde ss niwadau wenu kabla amjabisha chukuen clip zake mzisikilize.uyu anataman yanga isiwepo uy anatumwa

  • @richardmganyasi6963
    @richardmganyasi6963 2 ปีที่แล้ว +1

    Kama jemedali alitoa maoni na bugati katoa maoni kuwa Jemedali afukuzwe sasa tabu ipo wapi

  • @philemornmutta1597
    @philemornmutta1597 2 ปีที่แล้ว +2

    Manara anapenda ugomvi na waandishi wa habari kumbuken aligombana na Prisca Kishamba lkn pia Shafii Dauda alisha zinguana naye so ana udhaifu huo tumchukulie km alivyo tumvumilie Kaz iendelee

  • @getrdamakom2699
    @getrdamakom2699 2 ปีที่แล้ว +5

    Manara choko tu jemedari kazia hapo hapo

  • @shaibfarahani9209
    @shaibfarahani9209 2 ปีที่แล้ว +1

    Haj manara yuko sahihi inamaana Tanzania timu yanga tu amna ingne naona post zake anaongoza kuponda tu yanga aina mazuri Tanzania bado sana kwenye mpila nyny wachambuz munaleta ushabik munapoteza mvuto wa radio watu wanahamia wasafi fc

  • @daudkhatib4678
    @daudkhatib4678 2 ปีที่แล้ว +1

    Mimi. Shabiki. Wa. Yanga. Kutokaa. Zanzibar. Ni. Kwelii. Huyoo. Gemedari. Kazi. Yakee. Kubwaa. Kuiponda. Yanga. Tuu

  • @bonifaceibunga9443
    @bonifaceibunga9443 2 ปีที่แล้ว +1

    Hamfai kabisa e f m

  • @saidlukals9523
    @saidlukals9523 2 ปีที่แล้ว +7

    Ni kweli kabisa jemedar amezidi kuisema vbya yanga

  • @user-gl4qr7rs2q
    @user-gl4qr7rs2q ปีที่แล้ว

    Uyo manara afai uyo anatumia power kubwa sna kuaminisha watu kuwa yy ni yanga dam dam..... Msimsikilize uyo ni kiazi anasema E FM atuifatilii akati manara tv ndo sitaki ata kuiona

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr 2 ปีที่แล้ว +1

    Haji ana roho mbaya na kibri ndio maana mungu kamuumba vile kwa sababu ya kumpunguza makali

  • @saidybhokey5744
    @saidybhokey5744 2 ปีที่แล้ว

    albino manara anashida sana

  • @khadijacharles2433
    @khadijacharles2433 2 ปีที่แล้ว +1

    Haji manara anaroho fitina ndo inayomuangaisha kamfiti babra kamshinda uyoo

  • @enalamlenga6188
    @enalamlenga6188 2 ปีที่แล้ว +4

    Safi sana kazimari wewe onyenya tu kuwa wewe sio levo yake, two wewe nisomi hasiekurupuka anapoliongelea Jambo na pia unajitambua,all in all huyo hajitambui,achana nae wewe piga kazi Kama kitu ni nyeupe means hivyo na kAma ni nyeusi means that is it.

  • @buyukubwa9713
    @buyukubwa9713 2 ปีที่แล้ว +1

    Wewe menyewe ukiwa simba mbona uliwatukana yanga kila siku mpuuz

  • @nasibuhamisi1283
    @nasibuhamisi1283 2 ปีที่แล้ว +3

    Jemedari kazoea acheni kumtetea hakuna anayempinga heris said Sasa nyinyi hapo mnalopoka TU

  • @fabianmasanja6319
    @fabianmasanja6319 2 ปีที่แล้ว +1

    Msukule bhana kipindi upo simba ulituaminisha kuwa jemedari ni yanga hana nia nzuri na simba lakin leo unatuaminisha tena kuwa jemedari ni mtu mbaya kwa yanga

  • @dennisgamuya6123
    @dennisgamuya6123 2 ปีที่แล้ว +2

    Jemadari Haj kuchambua mpeni asome taarifa ya habari

  • @olivermhando952
    @olivermhando952 2 ปีที่แล้ว +5

    Jemedari siyo mchambuzi,huyo ni mshabiki wa mpiratu, hajuwi kuchambuwa anakatisha watu tamaa. Atoke kweri.

  • @teddymhagama611
    @teddymhagama611 2 ปีที่แล้ว +1

    kwani huyo manata ni msemaji su mhamasishaji?? mbona anajipa cheo si chske🤣🤣🤣

  • @elkanangosha9588
    @elkanangosha9588 2 ปีที่แล้ว +4

    Manara chizi asiwadangaye Yanga ,na Simba hatumtaki

  • @hassanseyf3801
    @hassanseyf3801 2 ปีที่แล้ว +1

    Jemedar roho chafu mbaya inakusumbua tyu

  • @miketheoberty5678
    @miketheoberty5678 2 ปีที่แล้ว +1

    Jemedari Kaza Buti Mkuu
    Kuna Mtu kajiita Msemaji wa Yanga Huyo si Msemaji wa Yanga
    Msemaji wa Yanga ni Hassan Bumbuli

  • @azizabdallah6140
    @azizabdallah6140 2 ปีที่แล้ว

    Manara hajii wew ni Simba kindaki ndaki

  • @abamohamed7092
    @abamohamed7092 2 ปีที่แล้ว +2

    Jemedari said ni mchambuzi mwenye upeo wahali ya juu,kasoro alizozisema nikweli kabisa ,

  • @barakamwakipesile4345
    @barakamwakipesile4345 2 ปีที่แล้ว +3

    waandishi mko vizur ila naomba muamini hakuna mpira tanzania manara kama hutaki kusemwa acha kazi kua shabiki we ni mshamba tu

  • @sashahauke2032
    @sashahauke2032 2 ปีที่แล้ว +1

    Mimi sioni kama kuna shida labda kama kunalingine liko nyuma ya pazia manara usiwe na roho mbaya bwana

  • @alvintumaini681
    @alvintumaini681 2 ปีที่แล้ว +2

    Nyie mnazingua soon mtapoteza mwelekeo

  • @charlesally6028
    @charlesally6028 2 ปีที่แล้ว +1

    Kama alivyomfukuzisha nugas siyo mtu huyo😀😀

  • @mansoolpapalah9537
    @mansoolpapalah9537 2 ปีที่แล้ว +2

    Nasimama Na Buggati✊

  • @iddimngazija1957
    @iddimngazija1957 2 ปีที่แล้ว +1

    Zima radio ya michongo kwa7bu ya mchambuzi wa michongo na ww mwenye t-shirt nyekundu na miwani yako kama kobe kaa kimya mpuuzi ww

  • @damianmwalyego7870
    @damianmwalyego7870 2 ปีที่แล้ว +2

    Manara ni mshamba saana inamaana yeye ndo anawapangia waajiri Wa redio waajiri waandishi Wa namna gani?

  • @julianagowele9163
    @julianagowele9163 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtukomeeeee

  • @dicktv8762
    @dicktv8762 2 ปีที่แล้ว +1

    Nyinyi pigen kaz achanen na choko uyo anawaswa

  • @jamessilwamba2862
    @jamessilwamba2862 2 ปีที่แล้ว +1

    Ingieni mtaani muone washabiki wa yanga hawaitaji daraja wana daraja tayari mteteeni barge mwenzenu mabweni radio yenu hiyo uchwara

  • @jareengeorge5478
    @jareengeorge5478 2 ปีที่แล้ว

    Manara kwa roho mbaya anakipaji.ameingia yanga watu kibao wameachishwa kazi kwaajiri yake.Mungu hapendi

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 2 ปีที่แล้ว

    Leo mmeingia aibu, sura zimewatusa mwenye kanzu buluu na Emirates

  • @alsaadyalsaady6838
    @alsaadyalsaady6838 2 ปีที่แล้ว +2

    Jemedari said piga kazi na usiache kuuzungumzia ukweli hao wanaokupinga sio wapenda maendeleo acheni uchawa huo msiambiwe ukweli?

  • @RajabuAbdulRashidi-cm6zd
    @RajabuAbdulRashidi-cm6zd ปีที่แล้ว +1

    Sio kweli redio no 1 kwa michezo ni efm

  • @kazembeally1619
    @kazembeally1619 2 ปีที่แล้ว +4

    Nakumbuka wakat yanga wameenda algeria mliisema sana yanga kwamba aiko sirias.juzi amemuongelea dikson job.alafu anasaau kuwa watanzania asilimia 70 tuna maumbo madogo.akuchambua kimpira alichambua kinaz kwakuwa hata uko tunapo waiga kimpira kuna mabeki wakat wafupi.puyo.canavaro.na pepe

  • @mariachacha4167
    @mariachacha4167 2 ปีที่แล้ว +1

    uchambuzi wako jemedari uko tofauti na wengine kwako kuna kitu nyuma ya pazia na kwelo efm ni kichefuchefu ukiwasha unaambiwa toa hao

  • @kamaratsalimsafari8838
    @kamaratsalimsafari8838 2 ปีที่แล้ว +3

    #Manara atengwe na watanzania nimchonganishi, Kwanza zandaani Yee simtanzania

  • @josephramadhani8914
    @josephramadhani8914 2 ปีที่แล้ว +1

    sioni mnacho suluhisho hapo,Bado mnatengeneza migogoro

    • @khaiyamsimu-ko7rk
      @khaiyamsimu-ko7rk ปีที่แล้ว

      Haji anatumia nguvu nyingi sana akisema watu anaona sawa lakini akiambiwa ukweli anaona kaonewa mpuuzi tu

  • @jamalhassani9351
    @jamalhassani9351 2 ปีที่แล้ว +4

    Jemedari tuachie yanga yetu

  • @deoboytz
    @deoboytz ปีที่แล้ว

    Kweli jemedari unachokiongea ni kweli

  • @khadijacharles2433
    @khadijacharles2433 2 ปีที่แล้ว

    Wewe mwenyewe mpuuzi tu

  • @patrickalfred3680
    @patrickalfred3680 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyo mwenyewe mwenye nyekundu sijui nani .. anaongea pumba sana..

  • @Frankgamanuel
    @Frankgamanuel 2 ปีที่แล้ว +2

    Sio kweli watangazi Mmekuwa Unbalanced sana ktk uchambuzi na mengineyo, sio nyinyi tu
    Wapo wengine mnaboa sana?!!

  • @selemanomary3578
    @selemanomary3578 ปีที่แล้ว

    Efm yote hawampendi manara kisa amekwenda yanga acheni roho mbaya

  • @bashiromary6975
    @bashiromary6975 2 ปีที่แล้ว +3

    Huyu jamaa aliyeva jezi ya Arsenal naye ameongea pumba kuhusu uanachama wa Haji Manara Simba, Haji Manara alishatamka tena hadharani kuwa yeye siyo na wala hajawahi kuwa mwanachama Simba Sports Club na alienda mbali kuthibitisha Hilo kwa kuutaka uongozi wa Simba kama alichokisema siyo kweli basi wa uthibitishie umma wa Soka kuwa yeye Haji Manara kama kweli alikuwa mwanachama wa Simba kadi yake ya uanachama ni namba ngapi? Jambo ambalo mpaka leo halijakanushwa na timu ya Simba.
    Kusema ukweli huyu jamaa Kazumari hatoshi kwenye kazi hii ya uandishi wa habari akiwa kama mchambuzi wa michezo hasa mchezo wa mpira wa miguu amekuwa ni mwandishi mwenye kukitumia chomba cha habari cha mwajiri wake vibaya na ndiyo maana wasikilizaji wengi wa vipindi vya michezo, wanasikiliza redio zingine Kama Wasafi Fm kuliko vya efm.

    • @neymatarimo2567
      @neymatarimo2567 2 ปีที่แล้ว

      Usimsikilize Haji kwani ni mangapi Alisha SEMA na yote yauongo

  • @jareengeorge5478
    @jareengeorge5478 2 ปีที่แล้ว

    Acha uongo manara.ulivyokua Simba ulisema redio zote ni yanga.leo vipi uchukie.hukumu hapahapa duniani na badooo.wanafiki wote jehanamu

  • @FRANSKALITUSI4937
    @FRANSKALITUSI4937 2 ปีที่แล้ว +2

    Hahahaha duu hii Dunia

  • @kiteteprimary9764
    @kiteteprimary9764 2 ปีที่แล้ว +1

    Efm ni kituo cha wahuni nyie njaa ndio zinawasumbua

  • @bahatimlingi491
    @bahatimlingi491 2 ปีที่แล้ว +2

    Wee Jemedar fanya yako kwani lazma uiongelee Yanga

  • @johnsonbagambi1908
    @johnsonbagambi1908 2 ปีที่แล้ว

    Manala kawazid mkubali tu tatizo la wabongo mtu akikutangulia mna nongwaaa😂😂😂😂😂😂

  • @jeromekantambi1314
    @jeromekantambi1314 2 ปีที่แล้ว

    Mmeliambia ukweli mtupu linatumia nguvu kubwa sana kudanganya wanayanga

  • @ramadhanikhalfan7841
    @ramadhanikhalfan7841 ปีที่แล้ว +1

    Nasimama Wilson Oruma

  • @salimnkome4727
    @salimnkome4727 2 ปีที่แล้ว

    Uyo jemedali mnaf8kia sana muone sura yakeipo kinafiki

  • @dadisolomon3273
    @dadisolomon3273 2 ปีที่แล้ว

    Uyu jamaa kweli anapoteza wasikilizaji

  • @legendmmari8094
    @legendmmari8094 2 ปีที่แล้ว

    Aisee jemedari kazumari huwa namuelewa sana

  • @MabenaKishapu
    @MabenaKishapu หลายเดือนก่อน

    hakuna mtu aliyekuwa anaitukan yanga kama manara dah kwel manara we ni mnafiki kinoma2

  • @shaibfarahani9209
    @shaibfarahani9209 2 ปีที่แล้ว

    Achokiongea manara kipo sahihi fatalia post za jemedari said inamaana simba aina mabaya

  • @Frankgamanuel
    @Frankgamanuel 2 ปีที่แล้ว +5

    Tena angetakiwa kushukuru na kuongeza ubora kwenye Club yetu ya Yanga
    Tusitake kusifiwa hata kama tunakosea Tusifiiwe tu hapana sio kweli.

    • @songorosongoro9927
      @songorosongoro9927 2 ปีที่แล้ว

      Wewe unajua mpir

    • @Frankgamanuel
      @Frankgamanuel 2 ปีที่แล้ว

      @@songorosongoro9927
      nakupongeza sana wewe unayejua mpira lakini unanisikitisha kutetea ujinga!!?
      Tujitaidi kuwa balance Kwa pande zote

    • @hussenikassimu626
      @hussenikassimu626 2 ปีที่แล้ว

      Yes kabisa

  • @jamessilwamba2862
    @jamessilwamba2862 2 ปีที่แล้ว

    Mteeteni bwege mwenzenu huyo mnaua radio yenu hiyo

  • @hamisikanengene8285
    @hamisikanengene8285 2 ปีที่แล้ว +2

    Maliam baa manala

  • @EkyochikichoPendelelo
    @EkyochikichoPendelelo ปีที่แล้ว +1

    Mimi ni mkongomani iyo ni kweli kila mara ninavyo fatilia efm uyo jamaa uwa namuona kweli sio mchambuzi mbali ni mshabiki wa Simba na Mimi ivi nimekuwa na mda nikiona anahaza kuchabuwa nataka kuwafatilia

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 2 ปีที่แล้ว +8

    Mimi mwenyewe sikuizi sisikilizi efm sababu ya uyu jemedari. Majizo fukuza uyo nzala. Awezi kuiongelea yanga mabaya na wachezaji wetu.

    • @donedaddy4561
      @donedaddy4561 2 ปีที่แล้ว

      Kwani huyo kitenge humjui

    • @amarihamis8277
      @amarihamis8277 2 ปีที่แล้ว +1

      Msiposikiliza utopolo kuna watu wanasikiliza tena wengi sana ... tafuten station yenu

    • @edwardenock6100
      @edwardenock6100 2 ปีที่แล้ว

      Huyu jemadar huwa sio mchambuz Ila nimlopokaj tu karb kufatilia uchambuz wote wa jemedar

    • @hannyjames7668
      @hannyjames7668 2 ปีที่แล้ว +1

      Ww unakaz gan kwanza ili tuanze na ww kukufukuza

  • @masoudsigali4523
    @masoudsigali4523 2 ปีที่แล้ว +3

    Huyu jamaa alovaa jez ya arsenal hana points kma arsenal yenyewe, , Mara ngap huyo jemedar anaongea upumbafu

  • @siwamukhtar3013
    @siwamukhtar3013 2 ปีที่แล้ว

    Kitenge mbona anabezi upande mmoja ,mbona amsemi

  • @christonetitus5497
    @christonetitus5497 2 ปีที่แล้ว +3

    Jemedali kweli hana nia njema kabisa na Yanga. jaribuni kucheki kila maoni yake yananegative kwa Yanga. Jemedali nashauri ishu za yanga aziache anatukwanza sana. yote hayo kwa sababu ya mchezaji wake Metacha

    • @donedaddy4561
      @donedaddy4561 2 ปีที่แล้ว

      Usiseme kwa jemedar tu kitenge huwa hamumuoni sio au ndo kujiziba macho!!???

    • @ishakaramadhan3100
      @ishakaramadhan3100 2 ปีที่แล้ว

      Kwahio.kitenge.yy.yuko.sawa.kuiponda.simba

  • @rabsontryphon9254
    @rabsontryphon9254 2 ปีที่แล้ว +1

    Katoa maoni yake kama Binadamu ..

  • @jamessilwamba2862
    @jamessilwamba2862 2 ปีที่แล้ว +1

    Yanga hatuna shabiki km huyo wa arsenal yanga tunajjua wenyewe tulivyo

  • @pambanyepesi8949
    @pambanyepesi8949 2 ปีที่แล้ว +2

    Wanayanga wanatakiwa wamkatae jemedari

    • @donedaddy4561
      @donedaddy4561 2 ปีที่แล้ว

      Nikiwa na akil zangu hiyo n pumba plus mashudu kitenge nae tumkatae akiwasema makolo

  • @daudabdallah7843
    @daudabdallah7843 2 ปีที่แล้ว

    Manara Yuko sahihi hebu jipimeni

  • @salimnkome4727
    @salimnkome4727 2 ปีที่แล้ว

    We nimpumbavu jemedali sio yanga situdanganye

  • @josephnchunga4229
    @josephnchunga4229 2 ปีที่แล้ว

    Wew jemedari Kama umekosea jifunze kuomba msamaha Kama umekosea mwenzie ,mbona mnaingiza Mambo ya hovyo kwenye mpira ,Yani kwani haji kuwa yanga hata kama sio yanga kindaki ndaki inakuuma nini wew Kama sio umbea huo aiseeee toka manara alipo hamia yanga mnamtukana matusi kweli mpk mmesha mpatia majina ya hovyo hovyo, hata yeye Ana damu amevumilia kachoka na vijambo vya wahasimu wao wa jadi.

  • @Frankgamanuel
    @Frankgamanuel 2 ปีที่แล้ว +2

    Br.
    Jemedali we piga kazi Mimi ni yanga lakini hapo Manara kazingua
    Kama anataka promo ya club awake mzigo.
    Hila naynyinyi watangazaji samtimee mnazunguaga kweli mnapitiliza.

    • @musanason2664
      @musanason2664 2 ปีที่แล้ว

      Ww huwezi kuwa Yanga alafu unaongea pumba

  • @abdulkarimhamza8777
    @abdulkarimhamza8777 2 ปีที่แล้ว

    Jemedar kazid nayeye

  • @markikivea7101
    @markikivea7101 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwenye jezi ya arsenal huyo akili moja na JEMEDARI wanajipooza na Timu lao kufanya vibaya

    • @mahegejr6757
      @mahegejr6757 2 ปีที่แล้ว

      Alaf huy alievaa jez ya arsenal ndio hajuag kitu kabisa lkn anajion km dr.rick

  • @abdallahally842
    @abdallahally842 2 ปีที่แล้ว

    Mbona kilakitu cha simba kitenge anaponda simba huyu manara fala kweli

  • @mohamedyally9673
    @mohamedyally9673 2 ปีที่แล้ว +1

    MANARA NI MLEMAVU MNAPASWA KUMSAMEHE HAYOPO SAWA

  • @beberurafiki1273
    @beberurafiki1273 2 ปีที่แล้ว +1

    ukuma wa wachambuzi wa efm wana2miaga vby nafas waliyo nayo kutaka kupambana na wale wanaowakosoa. Nakumbuka walivomjibu hata mwenyekiti wa tff, makuma nyie. Yawezekana kwl Manara yupo wrong lkn efm nyie ni mikundu michaf kumamake.

  • @cosmaskabila3058
    @cosmaskabila3058 2 ปีที่แล้ว

    Kazimari wewe ni msenge tuuu huna akili ,falaaa tuu wewe na jemedarii