HAJI MANARA NI MUHUNI _ WILSONORUMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 221

  • @butungo1
    @butungo1 2 ปีที่แล้ว +6

    Shikamoo Jemadari!!! Kunywa beer ntalipa

  • @japhetjohnson3691
    @japhetjohnson3691 2 ปีที่แล้ว +2

    Hahahaaaa 😀😀kitenge anauwa saaaanaaa aiseeee

  • @gwakisamwakambulwe2491
    @gwakisamwakambulwe2491 2 ปีที่แล้ว +3

    Shida inayoonekana hapo kwa hawa wachambuzi .....wengi wana chuki binafsi na haji Manara

  • @ibrahimchediel4867
    @ibrahimchediel4867 2 ปีที่แล้ว

    Jemedari uko vzr sana nilikuwa nashangaa iweje manara awe juu ya uongozi

  • @EXZAUDYLUCAS4
    @EXZAUDYLUCAS4 ปีที่แล้ว

    Jemedari wew kweli ni mtu ulio shushwa na mungu kwajili ya mpira.. hakika unajua

  • @kelvinmunishi4755
    @kelvinmunishi4755 2 ปีที่แล้ว +6

    Kupigwa na makopo mbona khawaida tu kinachofuata ni vyuma🗡🗡🗡🗡🔨🔨🔨🔨 za vichwa ni vibaraka wa TFF ninyi watu wawili

  • @adorchmassimba4413
    @adorchmassimba4413 2 ปีที่แล้ว

    Jemedali hao unabishananao wote timu mwanchi manara

  • @husnamiraj9252
    @husnamiraj9252 2 ปีที่แล้ว

    Manara muhuni mzee anazeeka vibaya

  • @kingmpeto9878
    @kingmpeto9878 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwangalie uyo horuma km katuni 😀😀😀😀😀 dunia ina mambo hii

  • @mahmoudsueid4645
    @mahmoudsueid4645 2 ปีที่แล้ว

    Ndio man nampenda sana jemedari kam nyeusi atasema nyeusi CIO nyeusi akasema hii zambarau shikamooo jemedari heshma kwako!!!!!!/

  • @jacksontura504
    @jacksontura504 2 ปีที่แล้ว +3

    Huyu Jamaa ni mhuni mwenyewe

  • @davidwatson6821
    @davidwatson6821 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisa, huyu mtu ni muhuni, hafai kwenye maendeleo ya soka hapa nchini, tumwogope kama ukoma

  • @luqmaneme9105
    @luqmaneme9105 2 ปีที่แล้ว +1

    Mnaongoza sna maneno press ya Haji hamkuisikiliza kwa makini mnakimbilia mic tu kumsema Haji studio

  • @fahimally3923
    @fahimally3923 2 ปีที่แล้ว

    manara ni muhuni kweli

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 2 ปีที่แล้ว +3

    Mwenye Radio Efm waondoe hawa wahuni wawili jemedari na hichi kidogo chenye miwani, wanakuharibia sana

    • @mgangaruban9383
      @mgangaruban9383 2 ปีที่แล้ว

      acha roho mbaya mawzo hayawez kufanana ko waache waongee acha mihemko

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr 2 ปีที่แล้ว +1

    Manara muongo sana tena sana

  • @emmanuelluoga3963
    @emmanuelluoga3963 ปีที่แล้ว

    Manara is the Best.
    Wanamuogopa na ana akili nyingi sana na amewashika vyema😄😄😄

  • @tellyandrew7030
    @tellyandrew7030 2 ปีที่แล้ว +1

    Maulid wewe ni Chawa wa Manara

  • @jamessakaya1890
    @jamessakaya1890 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisa mpira auitaji maneno tena kwa ukorofi wa mtu mmoja..

  • @yusufukim8439
    @yusufukim8439 2 ปีที่แล้ว +1

    Ndio🤝👏👏

  • @nassoribrahim2192
    @nassoribrahim2192 2 ปีที่แล้ว

    Na huyu jamedal hajui uungwana ni nini waweza kuomba radhi ili hali umekosewa , huyo karia anatakiwa na yeye awajibike asijiweke level ya mama kihishma , sawa haji muhuni lakini hawazidi nyinyi mana uhuni uendana na ubabe na ndicho tulichokiona, (mimi binafsi nawapa muda ktk dhurma, uovu na unafik na mungu anayo majibu ,)

  • @spencersambo8085
    @spencersambo8085 2 ปีที่แล้ว

    Exactly

  • @daudkhatib4678
    @daudkhatib4678 2 ปีที่แล้ว

    Wewe. Na. Kazumari. Ni. Wahuni. Mara. Mia zaidii. Washenzi

  • @rehemamejja8342
    @rehemamejja8342 2 ปีที่แล้ว

    Huyu kitengeee hajielewiiiii...

  • @isayandolomindolomi1853
    @isayandolomindolomi1853 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwanini kitenge wasimfungie naye

  • @tuweniomary4232
    @tuweniomary4232 2 ปีที่แล้ว +3

    Wewe unajua mpira? Chuki mliyoitengeneza nyinyi kwa Mayele mnaona mpira sio? Aseme yote unamlazimisha? Ndio kasema yote sasa na katoa sababu za kuongea hayo ni namna hiyo kesi ilivyosomwa sasa ndio kashalipua hayo hata wewe hakuna atakayekuamini si ulisema Azizi Ki hawezi kuja Yanga muuni wewe chawa wa Tff na haumuwezi Manara mmakonde wewe mahakama ambayo haijasajiliwa

  • @albanokifunta2674
    @albanokifunta2674 2 ปีที่แล้ว

    Mbona wahuni hapo studio pia wapo au ndo kunogesha kipindi?

  • @buffontv4183
    @buffontv4183 2 ปีที่แล้ว

    Nakubal

  • @rehemamejja8342
    @rehemamejja8342 2 ปีที่แล้ว

    Jemedariii ....wewe mwanaummeee.....

  • @jacobwarieba5841
    @jacobwarieba5841 2 ปีที่แล้ว +1

    Mnaraaa nimhuni.kabisaaaaa nihatari zaidi nduguuu yanguuu umeongeaaa vizury saaana nikweli kabisaaaa mhuuuni

  • @michaelsultan6505
    @michaelsultan6505 2 ปีที่แล้ว

    Ndugu mchambuzi wewe ulitupiwa machupa na mashabiki wa yanga uliwafanya nini, nawe ni mchambuzi hovyo sana bora uache hiyo kazi

  • @petermgaya3812
    @petermgaya3812 2 ปีที่แล้ว

    Uko Sawa kabisa aisee

  • @godfreybitakama9845
    @godfreybitakama9845 2 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa

  • @jackobmapunda7582
    @jackobmapunda7582 2 ปีที่แล้ว +3

    MANARA MUHUNI KAMA WAVUTA BANGI MAHAKAMA IMESHAHUKUMU ASUBIRI MIWILI IISHE NA PESA 20MILI O AMTAFUTE SAKHO AMUAZIME DOGO KARUDI NA MSHIKO.

    • @legangatzmedia4846
      @legangatzmedia4846 2 ปีที่แล้ว

      Hela anayo miliki Haji mnachanga ukoo wenu wote changeni mlizo nazo hamtafika hata asilimia mbili ya mari za Haji

    • @daudkhatib4678
      @daudkhatib4678 2 ปีที่แล้ว

      Ichooo. Kinachoitwa. Oruma. Kipumbavu. Sanna. Tumemuelewa. Zamani. Chili. Nyingi. Kwa. Yanga. Na. Manara.

    • @legangatzmedia4846
      @legangatzmedia4846 2 ปีที่แล้ว

      @@daudkhatib4678 Oruma ni waku mchana tu aache kutafutia jina kwa Manara

  • @nasseralshaibani6995
    @nasseralshaibani6995 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna tafauti ya kitenge na manara wote hawa wawili ni hatari

    • @emanuelkilinga9196
      @emanuelkilinga9196 2 ปีที่แล้ว

      Kitenge aliwahi kusababisha kituo kimoja cha radio kugoma kutangaza habari za simba wakaambulia hasara

  • @sundaymushi9640
    @sundaymushi9640 2 ปีที่แล้ว +3

    Well said 🔥🔥

  • @peterchande957
    @peterchande957 2 ปีที่แล้ว +4

    Jifunzeni toka kwa wachambuzi wa wasafi, kila kukicha mnaamka kwa Yanga na Manara, tumewachoka, halafu mnakwepa kujibu maswali ya Maulid

  • @simpleboytz255
    @simpleboytz255 2 ปีที่แล้ว

    Hiki sio kituo Cha redio ni kituo Cha wahuni

  • @issakwisamwakisambwe4080
    @issakwisamwakisambwe4080 2 ปีที่แล้ว +3

    Sawa kabisaaa msukule hafai uchawa unamponza

  • @allymavunyila8549
    @allymavunyila8549 2 ปีที่แล้ว +1

    haji akili hana

  • @sharifapazi3259
    @sharifapazi3259 2 ปีที่แล้ว

    Ucmfananishe mzee mwinyi na kalia acha zarau

  • @mwasungadaniel8121
    @mwasungadaniel8121 2 ปีที่แล้ว

    Hajis manara ni big industry ,,,tulia wewe

  • @nilanlubbega9788
    @nilanlubbega9788 2 ปีที่แล้ว

    Uyo anatumika au ajuwi anacho sema siwena wasemaji vichaa

  • @devievicent2735
    @devievicent2735 2 ปีที่แล้ว

    Bora wangekuchinja kabsa mana una mihemko yako

  • @mremagerejiservice1477
    @mremagerejiservice1477 2 ปีที่แล้ว

    Mnamwonea manara.amezuiliwa kimchongo tuu

  • @tadeimroso7572
    @tadeimroso7572 2 ปีที่แล้ว

    Wa

  • @faymalove5101
    @faymalove5101 2 ปีที่แล้ว

    Wewe Kitenge huyu alishasema umeolewa marekani au umesahau

  • @hamisikanengene8285
    @hamisikanengene8285 2 ปีที่แล้ว

    Nikweli kk

  • @nilanlubbega9788
    @nilanlubbega9788 2 ปีที่แล้ว

    Kitenge tunakuomba sana mshauli uyo jemedali

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 2 ปีที่แล้ว

    Manara ni wa kumsamehe ni mtu wa mashala sana si mtu mgomvi

  • @kikumbivunge7976
    @kikumbivunge7976 2 ปีที่แล้ว

    Oruma anasura kama Kona ya kitanda nae ana vita na manara mjini kaja kutembea Kwa mjomba

  • @nassirkassim7681
    @nassirkassim7681 2 ปีที่แล้ว

    Hajui kitu uyo mpira haupo ivo

  • @oshenijosifati8120
    @oshenijosifati8120 2 ปีที่แล้ว +3

    Ila yote kwa yote twende sawa manara alitakiwa kuomba msamaha Jana na siyo kuendeleza maneno amekosea sana. Mimi nilikuwa namtetea lakini sasa akiendelea hiv mmh!

    • @tuweniomary4232
      @tuweniomary4232 2 ปีที่แล้ว

      Hiyo wewe

    • @filipdjod9903
      @filipdjod9903 2 ปีที่แล้ว

      Anataka kushindanna na mamlaka hapo ataangukia pua vbaya sana,ilimbid awe mpole tu ingesaidia

  • @kakorejrboyz6447
    @kakorejrboyz6447 2 ปีที่แล้ว

    ILA KITENGE SIMUELEWAGI KAMA
    .... HV!!!!! 👌

  • @willsonmzee5387
    @willsonmzee5387 2 ปีที่แล้ว +4

    Kitenge povu mbona linakutoka sana huyu Manara alifungiwa kipindi Cha Malinzi je,ni nani aliitwa kuojiwa,Kuna jamaa alimchpa kibao raisi mstahafu mzee Mwinyi akachukuliwa hatua uliona mzee Mwinyi anatwa kuojiwa acheni ushabiki ongeeni ukweli Manara kapewa adhabu ndogo Sana hiyo.

    • @eliaskasanya9835
      @eliaskasanya9835 2 ปีที่แล้ว

      Kitenge acha kumtetea uhuni ktk soka, ulisikia Karia katoa kauli yoyote? Pangetokea vurugu pale uwanjani nani angewajibika? Nani alomfuata mwenzie? Usitetee uhuni nani naungana na Prima kwamba Haji muhuni

  • @mwambarock2562
    @mwambarock2562 2 ปีที่แล้ว

    Hiki kipindi bila #kitenge ..hamuna kipindi utotomtupu #manala#wasafitv#ambangile#momo...#mashamsham

  • @keffajacob8952
    @keffajacob8952 2 ปีที่แล้ว

    Oruma upo sahihi...afungiwe maisha kabisa

  • @spencersambo8085
    @spencersambo8085 2 ปีที่แล้ว

    Kitenge acha kumkashifu Rais manara muongo kakili yeye au mlituma

  • @mtemimegani3198
    @mtemimegani3198 2 ปีที่แล้ว +1

    Heshima ya manala kuficha ubaya wa laisi wako alafu ww unaonekana muhun, Sasa huy mchambunz mwenzen ni mchawi tena mloz hapo mnataft suluhishen au mna tafta chuki

    • @sprianbenedict7244
      @sprianbenedict7244 2 ปีที่แล้ว

      Laidi kama anadam ya blue bc adhabu isibadilishwe kwa manara lkn kama naye anadam led bc case itendeke kwa haki

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 2 ปีที่แล้ว +1

    Manara katunga tu! Hakuambiwa Hilo neno, ila kwa kuwa ni muhuni alidhani wajinga wenzie watamuunga mkono!

  • @kingmpeto9878
    @kingmpeto9878 2 ปีที่แล้ว +3

    Jemedali punguza uchawa kutoka kwa karia.Ivi wewe ni mmakonde wa wapi usiekua na misimamo ? Unatutia aibu km huwezi kazi ya kuchambua MPIRA nenda kalimie mikorosho Yako bado una nguvu zako. Yaani we kila cku ni manara tu huna Cha kuchambua kingine umeenda kumsomea Manara MJINGA ni MJINGA tu

  • @emanuelkilinga9196
    @emanuelkilinga9196 2 ปีที่แล้ว +4

    Huyu kanga sijui kitenge neno labda labda linatoka wapi. Put things into reality no guess work.

  • @hizbullah7551
    @hizbullah7551 2 ปีที่แล้ว

    Naulizia swali ugomvi ni manara na tff au manara na karia maana maana inavyo onekana karia anashawishia wakati yeye mwenyewe anamapungufu yaliyowazi has a ktk hii kesi

  • @frankmwinuka6298
    @frankmwinuka6298 2 ปีที่แล้ว

    Atari kabisa

  • @eugenvem1818
    @eugenvem1818 2 ปีที่แล้ว

    Dahhhh nimekupenda hupepesi macho

  • @ibrahimchediel4867
    @ibrahimchediel4867 2 ปีที่แล้ว

    Mpira hauwezi kwenda bila nidhamu eti kaomba radhi kajishusha yy kama nani? Anaturudisha nyuma sanaaa

  • @athumanimdaki2847
    @athumanimdaki2847 2 ปีที่แล้ว

    Kiukwel nazungumza kutoka moyon mm simpendi jemedal yan yy kila cku nikuiponda yanga na manara cjuw amechukuliwa mke

  • @abdallahkamilagwa9655
    @abdallahkamilagwa9655 2 ปีที่แล้ว

    Oruma!,Oruma!,Oruma!,Oruma weweeeee!....

  • @kbdesgners
    @kbdesgners 2 ปีที่แล้ว

    Ukwel huwa unajitenga kitnge nishabik wayang na unamasrah na hili ila uyo kinye kashafungiwa ivo

  • @hamisikanengene8285
    @hamisikanengene8285 2 ปีที่แล้ว

    Muhuni manala

  • @abdulmalickupete9015
    @abdulmalickupete9015 2 ปีที่แล้ว

    MANARA ni muhuni kweli tena muhuni sana hafai ktk michezoni

    • @jumasaidi1714
      @jumasaidi1714 2 ปีที่แล้ว

      Leo hii manara Kawa muhuni?

    • @muharamihassani2397
      @muharamihassani2397 2 ปีที่แล้ว

      Mtu aliyelelewa vizuri mkubwa akijamba mtoto huomba radhi unalijua Hilo manara yupo sahihi

  • @jacobwarieba5841
    @jacobwarieba5841 2 ปีที่แล้ว

    Mtuuuu mhuniii ni mhuni tuuu manaraaaa afai kuishi na ujingaaaaa...kamaaaa kitenge anamsapoty pia wwe ni mhni

  • @godlistenmsuya5893
    @godlistenmsuya5893 2 ปีที่แล้ว

    Kitenge we Siumesoma Mandra? Mbona wew na Tralbu Mna Mtete Mgonjwa ambae Amekwisha Kufaa?

  • @mafurumatijo8803
    @mafurumatijo8803 2 ปีที่แล้ว

    Kitenge anachekelea maana ataendelea kutangaza tamasha la mwananchi.

  • @zwazwatv4142
    @zwazwatv4142 2 ปีที่แล้ว

    Kuma la mama yako mbwa wewe muhuni mama yako

  • @mohamedjuma8348
    @mohamedjuma8348 2 ปีที่แล้ว

    Kitenge unajishushia heshima yako kwa kumtetea huyo muhun au na wewe ni muhun

  • @karmalyshaft9742
    @karmalyshaft9742 2 ปีที่แล้ว

    Uko sahihi baba muhuni kweli amesha haha anabwata kama mbwa akipewa chakula tuliii

  • @nilanlubbega9788
    @nilanlubbega9788 2 ปีที่แล้ว

    Jemedali ajuwi anacho sema sio muungwana

  • @hashimlowela294
    @hashimlowela294 2 ปีที่แล้ว

    Kwahyo kaombeshwa msamaha ili mladi aingizwe kwenye kosa?

  • @bintnouh4483
    @bintnouh4483 2 ปีที่แล้ว

    Manara yupo kama wifi

  • @rehemamejja8342
    @rehemamejja8342 2 ปีที่แล้ว

    Kitengeee wewe Ni ndefu tu....

  • @josephibrahim47
    @josephibrahim47 2 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo redio inawahuni ndio maana watu wameikimbia haji yuko sahihi ameonewa

  • @ibrahimanderson5648
    @ibrahimanderson5648 2 ปีที่แล้ว

    Over my dead body😂😂😂🤣🤣🤣

  • @kenedymboma6345
    @kenedymboma6345 2 ปีที่แล้ว

    Alimtunzia heshima karia

  • @stevenshadrack5637
    @stevenshadrack5637 2 ปีที่แล้ว +2

    Yaah manara ni mhuni,Dawa ya kosa ni kuomba msamaha,,,,,,umekosea halafu unaongeza makosa.....kichwa cha manara kimejaa uji uji na uhuni

  • @kassimrajabu7805
    @kassimrajabu7805 2 ปีที่แล้ว

    Huyu kuma ni nani??miwani kama kobe??!

  • @jacobwarieba5841
    @jacobwarieba5841 2 ปีที่แล้ว

    Wewe mtangazaji unapotoshaaa watuuu tunakujuaaa wwe ni wa yangaaa

  • @pyzertz1379
    @pyzertz1379 2 ปีที่แล้ว +1

    Lazim urushiwe makopo mjinga limbwaji hayo unayoyaongea unaona sahihi hizo mia mia ztawatoa ulimi kolo

  • @edwardsolomon169
    @edwardsolomon169 2 ปีที่แล้ว

    Jemedr na olomo naona mmelipwa mzigo mkubwa kumushughulia BUGATI

  • @kingmpeto9878
    @kingmpeto9878 2 ปีที่แล้ว

    Ivi aka ka horuma Nako kanataka kupambana na manara ama kweli Nchi Ina wehu wengi kuliko walio timamu 😀😀.We huruma nae na miwani Yako km dereva wa trekta na mchambuzi wa kupambana na manara 😀😀

  • @jonathansirkintungi7434
    @jonathansirkintungi7434 2 ปีที่แล้ว

    Kitenge tunakujua mulungura unakusumbua. Kama mchsmbuzi hupaswi kuonesha ushabiki wewe ni mtumishi wa umma. Usitumie speaker vibaya unaowapinga hawana mic

  • @jacmansaleh4141
    @jacmansaleh4141 2 ปีที่แล้ว

    Mnalalia upande mmoja nyie....! Kitenge uko sahihi sanaaa

  • @gaudencehaule7398
    @gaudencehaule7398 2 ปีที่แล้ว

    bro kunywa soda nakuja kulipa

  • @stevenhyera4841
    @stevenhyera4841 2 ปีที่แล้ว +1

    Jifunzeni kwa wasafi wanachambua mpira badala ya mtu

    • @mgangaruban9383
      @mgangaruban9383 2 ปีที่แล้ว

      kuna machawa wa yanga pale na tunawajua kama job

  • @charlesmsasa6465
    @charlesmsasa6465 2 ปีที่แล้ว

    Manara ni mhuni anatafuta umaarufu akae pembeni.

  • @nilanlubbega9788
    @nilanlubbega9788 2 ปีที่แล้ว

    Kalia nauyo ndio wauni

  • @tuweniomary4232
    @tuweniomary4232 2 ปีที่แล้ว

    Muulizeni huyo mmakonde kanuni zimesajiliwa muone ataleta nini

  • @pesaspy_tv
    @pesaspy_tv 2 ปีที่แล้ว

    Oruma anatafuta umaarufu kupitia manara

  • @telesphorymisana9062
    @telesphorymisana9062 2 ปีที่แล้ว

    Jaman tujadili kutatua matatizo sio kumjadili mtu kila siku plz we need solution na sio hukumu ya mtu.

  • @abiaslimadyanse1842
    @abiaslimadyanse1842 2 ปีที่แล้ว

    Lugha anayoitumia Wilson oruma sio lugha Rasimi kuwa na nidhamu na siku nikikutana nawew utajuaHujui