MANARA AMLIPUA JEMEDARI SAID, AANIKA USHAHIDI WA MSG ZOTE MBELE YA WAANDISHI WA HABARI..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 164

  • @bahiyalumelezy3016
    @bahiyalumelezy3016 2 ปีที่แล้ว +3

    Hilo lishamba linaumia sana hajji kuzaliwa mjini na wazazi wa fani ya mpira na pia mungu amemzawadia uwezo mkubwa na kipaji cha hamasa na kiswahili anakijuwa vizuri.jemadari sijui askari nyota hana ht alie atateseka sana kwa hajji.tatizo nyota.

  • @manenochuma1878
    @manenochuma1878 2 ปีที่แล้ว +1

    Salute yeah Bob kubwa

  • @halimmnav9458
    @halimmnav9458 2 ปีที่แล้ว +2

    Wasikuumize kichwa ndugu fanya yako kazi iendelee

  • @epafrangweshemi4014
    @epafrangweshemi4014 2 ปีที่แล้ว +2

    Mjukuu wa Yanga, mtoto wa Kitwana, SUNDAY na Kasim Manara umenifurahisha kwa kila hatua hadi kufikia tukio hilo la kuitisha press conference ya kuwapiga hao nanga. Wa mbili havai moja. Songaa!!!!!

  • @arexyoramu9608
    @arexyoramu9608 2 ปีที่แล้ว

    Pole ase

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 2 ปีที่แล้ว +1

    We ni Bwege tu Mpuuzi mmoja tu...we ni mfifishaji no 1 wa mpira wa Tanzania

  • @edmundndonde6202
    @edmundndonde6202 2 ปีที่แล้ว

    It's fine

  • @kizaebangula5365
    @kizaebangula5365 2 ปีที่แล้ว

    Ni kweli haji

  • @daudkhatib4678
    @daudkhatib4678 2 ปีที่แล้ว

    Kweni. True. Anauxuri. Gani. Uyoo. Jemedari mjinga. Mpumbavuu. Mkubwaa.

  • @tiagomilanzi3290
    @tiagomilanzi3290 2 ปีที่แล้ว +1

    Jemedali Said n mtu wa hovyo sna,,mimi n Simba damu lkn sikubaliani na ujinga anaufnya coz maisha ni popote hakuna mtu Alie zaliwa kufia Yanga au kufia Simba maisha n popote,,tunatakiwa tule kwa kuvuja jasho la haki

  • @hadijaabbas2192
    @hadijaabbas2192 2 ปีที่แล้ว

    Poleni

  • @mahreztz8280
    @mahreztz8280 2 ปีที่แล้ว

    Kwy Jemedari ana Ugomvi na Yanga au Ana Ugomvi Na Hajji !!!!?

  • @oscarngowi4750
    @oscarngowi4750 2 ปีที่แล้ว

    Chizii manara

  • @yahkiwera3611
    @yahkiwera3611 2 ปีที่แล้ว

    Duhh

  • @japhetnzunda99
    @japhetnzunda99 2 ปีที่แล้ว

    Hao wamekosa kazi yakufanya

  • @videozaaj1069
    @videozaaj1069 2 ปีที่แล้ว +1

    Ila we ni kolo mwenzetu😂😂😂😂😂kwann unadanganya??

  • @yahyamkone5601
    @yahyamkone5601 2 ปีที่แล้ว +1

    Upo sahihi Sana Bugatti

  • @zayyedsuleiman6432
    @zayyedsuleiman6432 ปีที่แล้ว

    Wewe kinyonga

  • @jaywi5681
    @jaywi5681 2 ปีที่แล้ว +1

    Wewe ni Simba kaka na nafasi yako inakusuta lakini umetimiza kauli ya Mwl. Nyerere, Viongozi bora wapo Simba, ushindi wa wapinzani utatokana na Simba.

  • @edwardsemwenda1751
    @edwardsemwenda1751 ปีที่แล้ว

    jemadari mtu wa hovyo sana

  • @hidayajonson8140
    @hidayajonson8140 2 ปีที่แล้ว +3

    Huyu Mbona ANAFANYA kazi ya kumharibia mwenzie kamharibia kwa METACHA saiv kamharibia kwa FARID MUSA why Anakuwa na roho ya kichawi hivo.....Mwanzoni kipindi yupo SIMBA alikorofishana na MKULE kisa YANGA saiv KAANZA na wengine kumbukeni Aliwatukana wachambuzi wa michezo

    • @tiagomilanzi3290
      @tiagomilanzi3290 2 ปีที่แล้ว

      Mchawi ni Jemedali coz yeye ndie Alie anza hakuna mtu Alie zaliwa kufia Yanga au kufia Simba maisha ni popote

  • @daudkhatib4678
    @daudkhatib4678 2 ปีที่แล้ว

    Waambiee aoooo. Ukwelii. Hawannaa. Ishuuu. Wannsfikii pumbavuu

    • @julianajeremiah4353
      @julianajeremiah4353 ปีที่แล้ว

      Sasa umeisaidia we ndio unacheza hahahaha huyu bwana nae

  • @denismugisha2
    @denismugisha2 2 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe kajamaa nakaona redioni ni kajinga sana kanatumia redio vibaya

  • @petermgogosi20
    @petermgogosi20 2 ปีที่แล้ว

    Senzo byeee bado manara( Nguruwe

  • @mikidadmhando2504
    @mikidadmhando2504 ปีที่แล้ว

    Kwani ni uongo?????

  • @zainabucharles6841
    @zainabucharles6841 2 ปีที่แล้ว +2

    Wwe mbona unazihak wenzio ahamed ameshakuzidi t

  • @amirimahadhi1062
    @amirimahadhi1062 2 ปีที่แล้ว +2

    Ushukuru Simba imekupa ramani bila hivo sijui ungekuwa wapi mbwa ww

  • @petermgogosi20
    @petermgogosi20 2 ปีที่แล้ว

    Jitu lina age50 alafu linasema mimi yanga fc hapana labda itakua kinyesi fc

  • @stevefuraha7550
    @stevefuraha7550 2 ปีที่แล้ว

    Nguruwe pori uyu jaman, muongo khaaaaaa

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 2 ปีที่แล้ว

    Huyu si aliwahi kusema amezaliwa spain? Sasa leo anasema kazaliwa kwa Dr Khan!

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 2 ปีที่แล้ว

    Hili linapenda ukubwa sana .....

  • @vicentsamson4659
    @vicentsamson4659 2 ปีที่แล้ว +2

    Huna jipya press zako hazina mvuto kutwa kumchamba mtu Kama mama wakiswahil

  • @hassansawasawa6753
    @hassansawasawa6753 2 ปีที่แล้ว +2

    Haji yupo sahihi kutetea tasisis anayompa chakula,, cyo kamba anaipenda San yang hapn ila anatekeleza majukum yak yakaz, kiufup Haji anajua kutetea muajili wak

  • @petermgogosi20
    @petermgogosi20 2 ปีที่แล้ว

    Nguruwe ipo siku italiwa masikio

  • @ridhiwanijaffu3170
    @ridhiwanijaffu3170 2 ปีที่แล้ว +2

    Unatafuta huruma ya wanayanga

  • @vanslausvv3699
    @vanslausvv3699 2 ปีที่แล้ว

    10:00

  • @nurdinsondi73
    @nurdinsondi73 2 ปีที่แล้ว

    Na mo aliigusa yanga?mbona unamuatack Kila siku

  • @jerinanguto7656
    @jerinanguto7656 2 ปีที่แล้ว

    Kweri

  • @saidipara4134
    @saidipara4134 2 ปีที่แล้ว

    We wenzako unavyo wachamba wenzako huwa wanakuwa wamekosea nini.sasa mbona leo unajibu

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 2 ปีที่แล้ว

    Kwahyo ukizaliwa mji huu unakuwa sio bwege ? Sasa swali langu , mji huu unawasenge wangapi alafu ndio uniambie kuwa ww sio bwege kwakuwa umezaliwa mji huu .

  • @nicholaskinyua4494
    @nicholaskinyua4494 2 ปีที่แล้ว +1

    muzee mimi na kukubali sana hira wewe huko na madui wegi sanaa hila uchiogope

  • @josephadam5384
    @josephadam5384 2 ปีที่แล้ว +8

    Jemedari ndo alikua mtu wa kwanza baada ya mechi ya ngao ya kufungua ligi dhid ya simba(mayele's goal)kusema kua yanga hii inacharacter ya kubeba ubingwa msimu huu..pia huyohuyo Jemedari amekua akiikosoa simba mara kadhaa wewe haji unashida sana wewe mi nimependa kuskiliza michezo hasa SPORTS HQ YA EFM coz of that mwamba JEMEDARI huyu jamaa hua apindishi maneno na kuchambua mpira wetu na kujenga hoja anajua kwelikwel so acha kutafuta sympathy wewe YANGA ya GSM imekuajiri ila wewe ni SIMBA so usichichokonoe sana

    • @HajiJuma-xw7vh
      @HajiJuma-xw7vh 4 หลายเดือนก่อน

      Duuuh kimbee etii..!! Asee inawezekana ikawa kweli

  • @waziribori2280
    @waziribori2280 2 ปีที่แล้ว +2

    HAMNA KITU HUYU NJAA TU

  • @zayyedsuleiman6432
    @zayyedsuleiman6432 ปีที่แล้ว

    Kwakujiproud huyu jamaa hata kama anaisema yanga kunatatizo gani?

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว +5

    MAMA YOOYOOYOO YANGA WAMEKUPA DHAMANA YA KUILINDA KWANI WEWE MUNGU??? CHIZI WEWE.

  • @jumaawachi3163
    @jumaawachi3163 2 ปีที่แล้ว

    poa sana

  • @edwalikinunda3483
    @edwalikinunda3483 2 ปีที่แล้ว

    Kinunda

  • @hanifaomar7438
    @hanifaomar7438 2 ปีที่แล้ว +3

    Yani huyu Baba jamani anapenda kuongea sijapata kiona kutwa navyombo vya habari wanaabari nao hawachoki naabari za manara na Simba mbona mambo nimengi Sana

  • @mfaumeabbas88
    @mfaumeabbas88 2 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa jeme anafunza ktk

  • @ramadhanmahongole5663
    @ramadhanmahongole5663 2 ปีที่แล้ว +1

    msemaji roporopo na wa hovyo kuwahi kutokea Tanzania ni huyu Manara kila siku kuitisha press conference na waandishi wa habari hana ajenda kazi yake ni kuwasema watu hata haya han

  • @queenraphaher7736
    @queenraphaher7736 2 ปีที่แล้ว +2

    Haji wajuta kuku uza,, piga kazi kaka

  • @victaboy7273
    @victaboy7273 2 ปีที่แล้ว +2

    Haji anatumia nguvu kubwa , kuaminisha watu kuwa yeye anaipenda yanga

    • @hassansawasawa6753
      @hassansawasawa6753 2 ปีที่แล้ว

      Cyo anaipenda yanga Bali anatetea plandi,(taasisi) yak aloajiliw,, hivo Yupo sahihi kutetea taasisi aloajiliw

    • @victaboy7273
      @victaboy7273 2 ปีที่แล้ว

      Ni njaa tu mjomba😂😂😂

    • @abdallahlyimomrwana9134
      @abdallahlyimomrwana9134 2 ปีที่แล้ว

      Bro sisi haitusumbui yanga yupo kutupigia debe ili muumie kama hivi lkn makepeace mkimuona hajji cjui ttz nn?😂😂💛💚🏆🥇👍

    • @victaboy7273
      @victaboy7273 2 ปีที่แล้ว

      @@abdallahlyimomrwana9134 haji hatusumbui hta kidogo, ni kupokezana tu kaka

  • @vascokasambala2159
    @vascokasambala2159 2 ปีที่แล้ว

    WEKENGE UNAMFUNDISHA KAZI NANI APO

  • @oscarny0ni518
    @oscarny0ni518 2 ปีที่แล้ว +2

    Huna hakili hata lobo

  • @yohanamhanzi6797
    @yohanamhanzi6797 2 ปีที่แล้ว

    Wewe ni mhamasishaji siyo msemaji --Bumburi njoo utuambie cheo chako ni kipi kama Manara anasema yeye ni msemaji wa Yanga.

  • @rweyemamualbert9932
    @rweyemamualbert9932 ปีที่แล้ว

    Kulalamika sana ni udhaifu sheee

  • @jumaally2469
    @jumaally2469 2 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe ndio maana ndoa zinamshinda uyu anagubu sna alafu mshamba wa maisha

    • @angellomarcel5677
      @angellomarcel5677 2 ปีที่แล้ว

      Ndoa zinamshinda sababu jogoo hapandi mtungi

  • @JamesJames-mq2jn
    @JamesJames-mq2jn 2 ปีที่แล้ว +1

    Unlalamika kma mwanamke

  • @juma4480
    @juma4480 2 ปีที่แล้ว +1

    Haji usikonde hao roho mbaya zinawaxumbua tu

  • @razakjuma9140
    @razakjuma9140 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu ni mwendawazimu, hayuko timamu, hakuna cha maana anachozungumza hata kimoja hao wote anaowataja wote kashagombana nao na walishafikishana mahala pabaya kina Shafii na wengineo leo anajifanya hao Wana nafuu.

  • @chinchon2126
    @chinchon2126 2 ปีที่แล้ว +3

    Wanaokutukana wanaokuita mbwa wote makoloooooo

  • @adam-saffi211
    @adam-saffi211 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mtu ni mgonjwa, na ni hatari kwenye jamii

    • @davidlinus6940
      @davidlinus6940 2 ปีที่แล้ว

      Alikufanyia nn mpaka akawa mbaya kwenye jamii

  • @makoreremakorere4212
    @makoreremakorere4212 2 ปีที่แล้ว

    Tatizo we bwabwaja sana ukome

  • @johanessmwijage1192
    @johanessmwijage1192 2 ปีที่แล้ว

    We ujaujua kesho mbn una bwatuka brooo

  • @williamwarioba6099
    @williamwarioba6099 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa so mzima

    • @omarchuo2178
      @omarchuo2178 2 ปีที่แล้ว +1

      YANGA BINGWA 😜

    • @pastorymadale1529
      @pastorymadale1529 2 ปีที่แล้ว

      Watanzania tunatumia vibaya mpira ,mpira nisehemu ya furaha nasio uadui tuache kutakiana mabaya juu ya maisha yetu nje ya mpira tuache ujinga hasa watu wa habari.

  • @issaedward1064
    @issaedward1064 2 ปีที่แล้ว +1

    We zeruzeru ni mataa...k

  • @rahimmarions5712
    @rahimmarions5712 2 ปีที่แล้ว

    Sasa hii ni ya yanga au ya haji..!??..huyu jamaa anatusi wenzie akitusiwa yeye lawama kibaoooo

  • @tithomhagama
    @tithomhagama 2 ปีที่แล้ว

    ZUNGUMZA YANGA BANA

  • @lukindaantony771
    @lukindaantony771 2 ปีที่แล้ว +1

    Manara wape ukweli wo hao makolo hawana lolote

  • @ishtaradel2998
    @ishtaradel2998 2 ปีที่แล้ว +1

    Yan ww uishiwi kulalamika km ww ndio ww

    • @omarchuo2178
      @omarchuo2178 2 ปีที่แล้ว

      YANGA BINGWA 😜

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      @@omarchuo2178 VP MATAKO YANALIYA MBWATA???

  • @suleimanbadru819
    @suleimanbadru819 2 ปีที่แล้ว +2

    Hapa ndounapofeli zungumza yanga sio simba

  • @boazmwakasala403
    @boazmwakasala403 2 ปีที่แล้ว +1

    kudadeki wape wapeeee

  • @sulleysonmishlay8253
    @sulleysonmishlay8253 2 ปีที่แล้ว

    Manara wewe ndiyo unatia ubaya kati ya waandishi na Club Yako

  • @zeddybass6672
    @zeddybass6672 2 ปีที่แล้ว +4

    Huyu mshamba tu mbona wasafi kilasiku wanaipondea simba ss hatusemi huyuhyu aliwahi kumchukia prisca kishamba pimbi sana huyu

  • @juma4480
    @juma4480 2 ปีที่แล้ว

    Haji mdogo wangu chondechonde wasikupe presha hao wameishiwa sera

  • @robkingazi3459
    @robkingazi3459 2 ปีที่แล้ว

    sema unazngua

  • @SamSam-ob6td
    @SamSam-ob6td 2 ปีที่แล้ว +1

    huyu amekaa kama mwanamke mwenye gubu hovyoo

  • @malickomary5687
    @malickomary5687 2 ปีที่แล้ว

    wewe bana nanii kaidhihaki yanga??...acha kulazimisha bifu ili ujipaize kwa majina ......kendraaaaaaaa

  • @issaissa1361
    @issaissa1361 ปีที่แล้ว

    Manara nakukubari mwamba achana na nae uyo anatafuta umaarufu kupitia jina lako tukabizi watoto wa mjini tumtatue marinda

  • @issaalfani1030
    @issaalfani1030 2 ปีที่แล้ว

    Kumbe walianza kitambo kukupiga vita

  • @thelespholykagaga3308
    @thelespholykagaga3308 2 ปีที่แล้ว

    Mnafiki mkubwa wew

  • @vascokasambala2159
    @vascokasambala2159 2 ปีที่แล้ว

    APO UNATAKA NINI

  • @oswaldtemba2770
    @oswaldtemba2770 ปีที่แล้ว

    Pumbavuuuuu mkubwa weeee

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 2 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa akili hana kabisa. Jemedali anaongea anachikiona na huwa ni mkweli.

  • @ismailhassani7922
    @ismailhassani7922 2 ปีที่แล้ว +1

    Kama unavyohitaji wewe afute kazi mwenzio

  • @simonmsagamasi6070
    @simonmsagamasi6070 2 ปีที่แล้ว

    Sasa mbona unasema Simba mazuzu?? Uko timamu we we???

  • @binbadru8408
    @binbadru8408 2 ปีที่แล้ว +1

    Matusi au umeambiwa kweli!!? Hawa waandishi wanaommpa air time hawana akili km ww,UNAAMBIWA ww unajumuisha yanga

  • @saidimalilo9640
    @saidimalilo9640 2 ปีที่แล้ว

    Chochote kizuri kinaaziaga Simba alafu kinaenda yanga Kwa hiyo manala usiponde sana Simba wamekulea ndiyo wamekuona yanga Waka kupa kazi

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 2 ปีที่แล้ว

    Huyu kila siku anakalamika ana shida gani kila siku malalamiko

    • @yahyamkone5601
      @yahyamkone5601 2 ปีที่แล้ว

      Haji alalamiki anasema ukweli mwambieni huyu jemedali ache ushamba wake kwani awezi kufanya kazi bilakumtaja haji? Huyu mmakonde anazinguwa mwambieni akaokote korosho kwao

  • @makoreremakorere4212
    @makoreremakorere4212 2 ปีที่แล้ว

    Simba sio kuku Simba anyatiwi mandoga ww

  • @samwelmakanzajr1194
    @samwelmakanzajr1194 2 ปีที่แล้ว +1

    Anatumia nguvu nyingiii!!!!kuwaaminisha watu yeye niyanga sisi tuliosoma cuba tunajua nisimba damu ila ugalitu

  • @ramadhanmahongole5663
    @ramadhanmahongole5663 2 ปีที่แล้ว

    mhh unaongeeea... kombe lenyewe baya halina muonekano wa kuitwa kombe lipolipo tu mbunifu wa kombe hilo alikosea

  • @ismailhassani7922
    @ismailhassani7922 2 ปีที่แล้ว +1

    Wakati unashangilia Simba hukuwa Simba mnafki mtu

  • @meedyshow8807
    @meedyshow8807 2 ปีที่แล้ว

    Manara wewe ni simba ..unawadanganya wana yanga unajipendekeza wewe ni simbaaaaaa

  • @rehemamsafiri3921
    @rehemamsafiri3921 2 ปีที่แล้ว

    Chizi huyu sio bure

  • @husseinhussen6836
    @husseinhussen6836 2 ปีที่แล้ว +1

    acha,kutukana,watu,ndio,watakuacha,bira,hivyo,ata,wenzio,wananyama,na,damu,kama,wewe

  • @DeusiMorisi
    @DeusiMorisi 2 หลายเดือนก่อน

    Ameanza kugombana

  • @felicianonyango4574
    @felicianonyango4574 2 ปีที่แล้ว +1

    Haji mbona hueleweki? Una matatizo gani? Unatuboa sana. Mbona huelezi uliyofanyiwa na Yanga kipndi ulichokuwa unaumwa ukiwa Simba? Wewe haukususia pesa ya michango yao mpaka wazee ndiyo wakaingilia kati? Acha hizo
    Ule usemi kumbe nii kweli. (Nyani haoni..,.

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 2 ปีที่แล้ว

    Nyani haoni kundule. Wee Manara kila siku unavyoipiga Simba huoni? Huwa huna story nyingine zaidi ya kuisema Simba ili uzidi kupata followers. Na unasahau kwamba Simba ndiyo iliyokufikisha hapo. Una laana ya babu yako.

  • @johanessmwijage1192
    @johanessmwijage1192 2 ปีที่แล้ว

    Acha ushamba ujielewi ukitu