Wanaume angalieni kauli zenu nachukia neno sikutaki yaani mimi ukishaniambia hivyo sidhani kama utashuka tena ndani ya moyo wangu 😢 hata kama nilikupenda vipi ila kauli ya neno sikutaki aseee kila mmoja apite njia yake mmm sidhani kama nitakusamehe milele
hakupendae umpendi na umpendaye hakupendi jameni mapenzi shikamoo
Every day kunambiii?? Tuna miss nely and Victoria na shenaiza
Kweli kabisa shenaiza amepotea kweli namumiss sana
Kweli kabisa umeongea ukweli
Ak nely na Vic me nawakubali kinoma yani sijui wapo wapi nawamiss
eti jmn shenaiza wapi
Mi nafkiri sheneiza hayuko nao tena maana kipindi kirefu haonekani
Wangapi wameskia action😂😂😂❤❤
Mim mwenyew nimesikia hiyo
Nimekuwa wa kwanza kwenye chuma kipya kazi nzr sana Donta plus❤🎉
Team strong like zangu niko wa Kwanzaa
tupo mamy💋💋💋
❤❤❤ tuko pamoja kipenz
mnajitahidi sana jamani kila la kheri kwenye kazi zenu
Kama Kuna mtu amesikia wakisema akisheni kama umesikia gonga like
Wa pili kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 likes ziko wapi tukawane❤❤
wow ,leo nmefika mapema ♥️
Jamani hii movie iko na ile maana halisi ya mapenzi kwamba unaempenda kampenda mwengine huyo mwengine nae Ana mwingine😢😢😢😢😂😂😂😂😂😂
You can’t force someone to love you.
Unaye mpenda akupendi 😂akupendaye umpendi😅 this life no balance 😢
Daah,mmetisha,but Napenda media zenu,,Mungu awafikishe kule mnapohitaji kufika🎉🎉🎉🎉
Kenya mko wapi?🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Tuko ndani kama mimba ya zuu😂😂😂
Kwakwel jaman Amina simpendi tangia nimuone kwenye penzi la mtoto wa bosi anavomfanyia loveness
😀😀😀😀😀😅😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
😂😂😂😂mpende tu ndo karata kapewa kwaiyo hutaki aitendeye haki satafukuzwa kazi inabidi tuwe waelewa jamani nikazi
@@RizikiZiki hapana namchukia from the bottom of my heart ♥️🤣🤣 alaf huyu anaelekea uhalisia wake yupo hvo Hvo
Tasha nipende mm brown hakutaki😢😢 ila movie poa sana
😂😂😂
Penda unapopendwa hyo ndo alternative way
Wooooow❤❤❤ wakwanza
Hawa mapach wa ukweli wanatofaut kbisa
Kazi zenu ziko poa🇲🇿🇲🇿🇲🇿tunazipenda watu wa Mozambique
Mnaoo omba likes,hiv mlishafungua duka y kuziuza n mm nianze kuziomba au😂😂😂😂
Ila mbona hii movie mnachapia chapia sana 😢 maneno
Mwambiye jesi ❤❤❤
sikuwa na cha kucoment ila nimekipata ❤❤JAMES "ETI MUNGU KWANINI UMENIZAA MFUPI "
Tasha karembo Mashallah ❤ njoo mm nakupenda 😂❤
Hii move hamjakosea I'll Jina kweli ni sikupendi mwanzo mwisho
❤❤❤❤❤ strong from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪nawapenda sana❤❤
Unaeyempanda nae kapenda mwingn duh mapenzi we😅😅,stk kuwa Kilazimishi😂Kaz safi ❤❤❤❤❤❤❤❤
Mnaharibu movie na izo action zenu
Wagwan mumeweza kabisa
Nakupenda sikupendi, namupenda yule anampenda yule nipende mimi yule hakupendi, ila mapenzi😂💔❤
Nawapenda sana donta
Asantenu kwakazi nzur nawapenda san
Imeisha au bado inasonga
Wa kwanza
Jameni James ashapenda ubaya auko moyoni
Brown kimekuramba😂😂😂
Jamani angalieni huyu Natasha analilia mapenzi kwa kulazimisha mtu ampende instead akubali James anayempenda
Kwani hizi like munapelekaa wapi❤❤😂😂😂😂😂😂😂
Hata mimi nashangaa
Huwa nashangaa sanaa😅😅😅
Wanaenda ongezea mboga 😂😂😂😂😂
@@HudhaimaYussuf 🤣🤣🤣🤣
@@ChadiaNishimwe basi wengine huwa hutowaa machozi kabisa 🤣🤣🤣🤣
Unayempenda naye anampenda mwengin mapenzi shikamoo 😂😂😂😂😂😂😂
Sijachelewa
Kwaiyo hii ep ya ngap maana ndo kwanza naiona
Jemsi umetisha sana kazizako nzuri sana
Wanaume angalieni kauli zenu nachukia neno sikutaki yaani mimi ukishaniambia hivyo sidhani kama utashuka tena ndani ya moyo wangu 😢 hata kama nilikupenda vipi ila kauli ya neno sikutaki aseee kila mmoja apite njia yake mmm sidhani kama nitakusamehe milele
Asipotumia hiyo kauli unadhani itakuwa rahisi ww kuachika ? Utakuwa unajifariji kuwa yupo nawewe
Wewe hutaki kusikia ukweli, utateseka sana cz unapenda kudanganywaaa eeeh 😂😂😂
inapendeza san😂😂😂😂😂
Na hayo ndio mapenzy ya sasaa, Unaemtaka hakutaki, akutakae humtaki🙌😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉
Nawapenda jemsi na Brawun❤❤🇸🇦🇧🇮🥰🥰
Wakwanza wapi likes zangu from 🇰🇪
Natasha na sister are very beautiful Manshaallah
Hii Leo director amefail Buda ..
Naona tasha umevalia gazeti
Kma una fatilia donta weka like much love from kenya
Nzur😂
Kazi njema
Ila movie yeyote bila KEIVIN hainogi
Awo ni mapacha kweli au
Haya ndio mapenzi ya sasa yalivyo
Like 🎉 zangu kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Brown anaipenda iyo flana,,uyo girlfriend wake sasa😂😂😂
waoooooo❤❤❤❤❤
Lakin amina jamani
Yaani Amina simpend kama nini Mwanamke mwenyewe wa hovyoo😂😂😂 ila Tatiana kapiga kwenye mshono
Awo mademu ni mapacha jamani
Mbna jamaa langu nerly sikuiz simuon aisee jama lang sana yule
😀😀 akina mama wauza samaki wanashindwaje kukusaidia??
😅😅😅hii ni maajabu 🤣🤣🤣🔥🔥🔥🔥🔥
Jems mista plan anakucumbua huyo Leo hiii
Broun wanamkana mchana kweupe😂😂😂
Brown filamu ya kijana tajiri kujifanya maskini kupata mke Bora mbona iliishia kuwa uko na victoria hotel imeisha au vipi
Mapenzi🤗🤗🤗
Jaman wanao act wote ni weupe hakuna hata mweusi😂😂😂
what is a really definition of love?
Bona huku hakunanga likes
Ahhhh movie hii bwan vituko hlo neno sikupend limeshamil humu
Hawa dada ni mapacha kweli ee
Nyiye mapacha kweli au?
For a man it’s good you marry the woman who loves, for a woman it’s good you marry the man who loves you. Not the one you love .
Mm nimeona to kafupi kwenye kimbandastik😅😅😅
Waigiza kina bwela mbna 😮😮😮😮
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 James Jaman et kwann Mungu umenizaa mfupi
anajuta😂😂😂😂😂😂😂
Mbavu zangu mie😂😂😂😂
Mwanzo nilijua ni movie nikajua ni behind the scene halafu nikaangalia yote nikaipenda 😂
Kenya Watching
Mpya like nyingi kwangu❤❤❤
Muvimzuli sana
Jems falla wewe kbs umenipa kicheko mupaka 😂😂😂😢😅ukaamua kulilia mapenzi😂😂😢
Nimapacha kweli 😂😂
Mmmh dada anaongea huyu😂😂
Inayemupenda hakupendi hayo ndio mapenzi ya saai😂😂😢
Kwahy wakubwa vp tupende wap tnapopenda au tnapopendwa
Uyu Tasha apunguze kelele sauti yake nikali sana haieleweki
Hapo ni mapacha au 😢😢
ndio ni mapacha
Teom Oman 🇲🇬 tujuane
Kaka pambana ila ongeza ubunifu
Unayemtaka hakutaki anayekutaka humtaki 😅eeh ila mapenzi bhn
😂😂😂😂😂 yaani humuni mioyo tu inasukumana 😂😂
Mbona mmefanana nyinyi wasichana ata uko kuharibika kw uso au ni twins
James ata hujui kulia😄😄
😂😂 hii ni ngumu kumeza
😂😂😂😂mana imeisha ivo 😢😂😂😂😂😂
Pacha king'ang'anizi hatar