DADA WA KAZI 💞 Love story | DONTA TV

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 678

  • @TuyajengeYaishe-q8v
    @TuyajengeYaishe-q8v 9 หลายเดือนก่อน +43

    Lovely unanifulahisha kwel ndg yang unavyo mlalamikia dada ako

  • @gracejames-o7
    @gracejames-o7 9 หลายเดือนก่อน +12

    Jamanii kalvin nimekupendaa coz uko na good content am proud for listen u

  • @PaulKamanu
    @PaulKamanu 9 หลายเดือนก่อน +36

    kelvin na watu wako na waoenda xna kwa KAZI nzuri from kenya

  • @MichaelGeorge-hr4dk
    @MichaelGeorge-hr4dk 9 หลายเดือนก่อน +9

    Loveness nakupenda San naomba naomba yako❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @IssaYassin-y2t
    @IssaYassin-y2t 9 หลายเดือนก่อน +30

    uko makini kaka me nakukbar sana mjombaa enderea kufanya kaz nzr san

  • @stephanomgallah6358
    @stephanomgallah6358 9 หลายเดือนก่อน +6

    Nakupa bigap sanaa Kelvin na me ni mshabik wa kwanza kkielewa na upo vzr sanaa na mungu azidi kkpa ulinzi wa maisha yako na uzidi kutupa vitu vzr ndg yang..

  • @ClaraMunisi
    @ClaraMunisi 9 หลายเดือนก่อน +15

    Loveness wajina wangu, nakupenda sana unafanya reality ya jina mpaka kwenye movie❤❤❤

  • @YussufuYussufu-xo6we
    @YussufuYussufu-xo6we 9 หลายเดือนก่อน +12

    Nakubali movie Zeni yussuph kutoka🇲🇿🇲🇿🇲🇿🔥🔥🔥🔥

  • @MineniAbedialphonce
    @MineniAbedialphonce 9 หลายเดือนก่อน +3

    Lovess mtoto wakike mtamu kama hasali,Donta mmetowa wapi uyu kwa wamasai au usukumani au hiringa kabisa jameni mniambie

  • @BabyvisterMjeni
    @BabyvisterMjeni 9 หลายเดือนก่อน +14

    Mbona brown umekonda

  • @bazuriomari
    @bazuriomari 9 หลายเดือนก่อน +7

    Movie zenu zinazidi kunimaliza yani ni zuri lakini ninahamu yakumaliza movie moja moja

  • @hafidhyussuf7245
    @hafidhyussuf7245 9 หลายเดือนก่อน +8

    ❤ mbona mumifanya fupi ilioisha na utam lengo limeelieka ila mbona ingekua poa Zaid kujua mengi tukajifunza zaid

  • @Abera662
    @Abera662 9 หลายเดือนก่อน +5

    Hapo Sasa nadhani itakuwa tamu kama Dada wa kazi na kijana tajiri maua🌹🌹🌹Kalvim from Kigali🇷🇼🇷🇼

  • @AhadiBwanyungu-j6s
    @AhadiBwanyungu-j6s 9 หลายเดือนก่อน +5

    wadada nihatari munapenda wawapelekeye moto saana yaani mudada kamahaujapelekewa moto hamujisikiyagi vizuri nawapa polezaidi

  • @jaromeedward781
    @jaromeedward781 9 หลายเดือนก่อน +32

    Kweli kaka zangu dada zangu muna chapa KAZI vizuli sana mungu awabaliki muzidi kushikamana maishaalefu kwenu wote mumenifundisha vingi sana Mimi kwenye KAZI zeni nipo Zambia❤

    • @JumaRashidy-r5x
      @JumaRashidy-r5x 9 หลายเดือนก่อน +1

      Kwaiyo we unafurahishwa na mwenendo wa hawa jamaa yaan hawamalizi move wanatoa nyingine mi naona wanatuchanganya tu

    • @happyfania9384
      @happyfania9384 9 หลายเดือนก่อน

      Hajui hata kutega

    • @HillaryKeraryo-yb1oy
      @HillaryKeraryo-yb1oy 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂haelew😊​@@JumaRashidy-r5x

    • @DeusAlphonce-mo9bw
      @DeusAlphonce-mo9bw 8 หลายเดือนก่อน

      Kwel ​@@JumaRashidy-r5x

    • @HassanMwachili-lp2gj
      @HassanMwachili-lp2gj 8 หลายเดือนก่อน

      @@JumaRashidy-r5x 00)

  • @ARONPaul-bz3ws
    @ARONPaul-bz3ws 9 หลายเดือนก่อน +10

    Makusudiii ayooo sasa calvin fanyaaaa yako😅😅😅😅usiache nyamaaaa

  • @Cuteeeee477
    @Cuteeeee477 9 หลายเดือนก่อน +48

    Wa4 naombeni like zangu 🎉🎉

  • @mussayusuph627
    @mussayusuph627 9 หลายเดือนก่อน +1

    Move nzuri sana ila ilitakiwa iwe na muendelezo hii hapa sio mwisho wa story ila Safi sana kwa kazi nzuri inafunzo na haina mambo mengi 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Annwanjiroombati
    @Annwanjiroombati 5 หลายเดือนก่อน +2

    Wou, Huyo ni kevin na love nes, mnabamba sana

  • @HamiduKabondo
    @HamiduKabondo 9 หลายเดือนก่อน +9

    Ndugu zangu akina kevi ntawapenda sana ila jitaidini kidogo kuitoa kwawakati firam yenu ya kesho yangu naipenda sana

    • @Alimrisho-bf5ui
      @Alimrisho-bf5ui 8 หลายเดือนก่อน +1

      Yaani nikweli wanachelewa kutowa sijuwi wanafeli wapi '

    • @EkoniaChiwanga
      @EkoniaChiwanga 7 หลายเดือนก่อน

      Sanaaaa

  • @Nadzuamwatsenze
    @Nadzuamwatsenze 9 หลายเดือนก่อน +6

    Wooooh, kz nzuri sn 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @RammyanLewah
    @RammyanLewah 9 หลายเดือนก่อน +4

    Wana donta family nawakubali kwa movie zenu, ❤❤❤

  • @GraceVISAMAYANI-gj1xm
    @GraceVISAMAYANI-gj1xm 9 หลายเดือนก่อน +6

    Asante,Ila muendelezo wa kesho Yangu

  • @CharlesMikipi
    @CharlesMikipi 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mwajina mwenzangu Victoria nimekupenda bule❤❤❤ kaka kelvi pia ❤❤❤

  • @SamweliPhanueli
    @SamweliPhanueli 9 หลายเดือนก่อน +13

    Hahaha jamani hata kama nikutega sio hivo

  • @drinnerfuraha1161
    @drinnerfuraha1161 9 หลายเดือนก่อน +22

    Imeweza kma kawa❤❤❤

    • @DAUDICHALO
      @DAUDICHALO 9 หลายเดือนก่อน +2

      Mambo dada 💖

  • @KHADIJAMASIGA-d7m
    @KHADIJAMASIGA-d7m 9 หลายเดือนก่อน +5

    Kelvin uko pw sana bro

  • @theodorachaki5174
    @theodorachaki5174 9 หลายเดือนก่อน +6

    Napenda Kevin akiigiza na blauni na hao wadada so MTU mwengine

    • @AmenaMm-r5t
      @AmenaMm-r5t 9 หลายเดือนก่อน +1

      Hhhhh atmm pia nampenda san kev na wat wak

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 9 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂😂nitakufaa kwa kuchekaa Loveness ❤❤

  • @Ali_Ngabwe
    @Ali_Ngabwe 9 หลายเดือนก่อน +5

    Nyie wot mnataka nin sasa 🇨🇩🇨🇩

  • @sadiomane124
    @sadiomane124 9 หลายเดือนก่อน +5

    Ngamia wang anifaaye jangwani nmemuombea dua 2siishie njian

  • @OBARIOSCAR
    @OBARIOSCAR 3 หลายเดือนก่อน

    Munanifunza mengi sana..Nawapa Swadakta..Shukrani sana,Kevin,Loveness...na wengine

  • @edsonipaulo
    @edsonipaulo 9 หลายเดือนก่อน +10

    tunawapenda natunapenda mnachofanya. ombi binafsi naomba muwe na utaratibu mzuri wakuachia vipande kwautaratibu mzuri tujue tunafuatiliaje tusibahatishe mana tunapenda kaz zenu❤

    • @MirshuuMakame
      @MirshuuMakame 9 หลายเดือนก่อน +2

      Ni kwel kbsa munafany vzr ad tunawaz tuanglie wap

  • @edsondomino8573
    @edsondomino8573 9 หลายเดือนก่อน +2

    Yaan movie yeyote akiwepo loveness na kelvin naeinjoi kinoma yaaan🎉🎉❤❤

  • @MwahijaKhatibu
    @MwahijaKhatibu 9 หลายเดือนก่อน +6

    Locatio imebadilikaaa nice

  • @AgueroBoaz-ei5qt
    @AgueroBoaz-ei5qt 9 หลายเดือนก่อน +2

    Uyo sijui vicky nae avaage vi jola analiumbo libaya daaah na misuluali hiyooo

  • @GetrudaSanga-d7l
    @GetrudaSanga-d7l 9 หลายเดือนก่อน +3

    Khelvin uko serious jaman khaaaah 😂😂😂😂 hatar sana

  • @ahmadjuma5677
    @ahmadjuma5677 9 หลายเดือนก่อน +2

    aisee Hii movie ya dada wa kaz inafaa iendelee maaana inamafunzo sana but mmpo vizuli na mungu azidi kuwapigania inshallah

  • @Matridadominic
    @Matridadominic 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kelv pangilia kazi zako vizuri,, unapoteza ubora wa kukufatilia aisee

  • @GraceKenya-i4j
    @GraceKenya-i4j 5 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 loveness aliambiwa ajiongeze bc wee Kelvin hapumui aki nawapenda ❤❤❤

  • @JoylinePeter
    @JoylinePeter 9 หลายเดือนก่อน +1

    well done nawapenda Bure💪💪Daah kesho yangu vepy inachelewa mno daaaaaaah so pw tunakwazika xx😢😢

  • @madamlina-nf7ed
    @madamlina-nf7ed 5 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda kweli kazi zako tatizo mnatuchanganya

  • @GloriaLizy
    @GloriaLizy 5 หลายเดือนก่อน +2

    Napenda hizi moves nikiwa Kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Dama-h6v
    @Dama-h6v 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kelvin wewe kiboko yao umekuwa seriously kweli hahaha eeeeh dakitari wa mpenzi leo sio yeye aki ❤from Kenya 🇰🇪 nawapenda xnaaaa ❤🎉

  • @jafaringussa7293
    @jafaringussa7293 3 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda mno kev akiwa na mahusiano na loveness

  • @marxk1186
    @marxk1186 9 หลายเดือนก่อน +34

    Aliyetengeneza Hilo beat la mbosso naomba namba zake😂😂😂😂😂

    • @HeriTarim-sm5tm
      @HeriTarim-sm5tm 7 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣🤣

    • @StelaSumaku
      @StelaSumaku 5 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅

    • @VictorOkomol
      @VictorOkomol หลายเดือนก่อน

      ❤🎉🎉loveness i love you like my sister

  • @jumambato5492
    @jumambato5492 9 หลายเดือนก่อน

    Aki mnaweza acheni hao wanaopiga midomo kawaida ya binadam. Mimi na familia nawakubali Juma Mbato from Kenya big up Donta TV.Loveness Victoria nawahitaji

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 9 หลายเดือนก่อน +4

    victoria na Loveness 😂😂 Tena Nyie Tena
    mkuwa Dada na mdg wake

  • @kadzojamesjameskadzo3950
    @kadzojamesjameskadzo3950 9 หลายเดือนก่อน +3

    Mashallah ❤️❤️,hutaki ushauriwe sio

  • @Elizakilisipinilikolika1996
    @Elizakilisipinilikolika1996 9 หลายเดือนก่อน +2

    Nakupenda kelvin na loveness ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @malikahiribae
    @malikahiribae 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera kelvin kwa kumfukuza loveness amepata funzo 😊😊

  • @ZakaboyMusa
    @ZakaboyMusa 9 หลายเดือนก่อน +6

    Sawa bana loveness.

  • @Almostaphiq
    @Almostaphiq 9 หลายเดือนก่อน +273

    Mm kiukweli nimeanza kuichukia chaneli ya DONTA TV kwasababu hawana utaratibu kanuni wakuachia kazi kwa mpangilio leo utaangalia hii kesho tamthilia nyingine ndani ya week moja utaangalia tamthilia zaidi ya kumi tena zikiwa tofauti tittle hivyo ninashindwa niangilie ipi niache ipi so nimeumia haswaaa napatikana ZAMBIA🇿🇲🇿🇲🇿🇲

    • @emmanuelgwanchele4168
      @emmanuelgwanchele4168 9 หลายเดือนก่อน +21

      Ata mm nmewachoka mwishowe tunasahau hatujifunzi Tena hatujui tufatilie ipi Sasa!! Wameanza kuboa

    • @yasirhassan7438
      @yasirhassan7438 9 หลายเดือนก่อน +20

      Nilijua naliona hii pekeyangu. Halaf kuna zingine hawazimalizii kama ile Vampaya mpaka leo

    • @zai-q2e
      @zai-q2e 9 หลายเดือนก่อน +6

      Hata mm mh

    • @busimebiringanine5800
      @busimebiringanine5800 9 หลายเดือนก่อน +9

      Hata na Mimi nimeyaona

    • @Almostaphiq
      @Almostaphiq 9 หลายเดือนก่อน +10

      Yaani mpaka kero walah

  • @RuthMakungu-x3j
    @RuthMakungu-x3j 3 หลายเดือนก่อน

    Wow Kevin u aren't giving up so easily continue bro ❤❤❤❤

  • @hellenrobi5775
    @hellenrobi5775 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kama mm hapa mnanichanganya sana panga kazi DONTA TV nawapenda kutoka 🇰🇪 Kenya

  • @Joksmart
    @Joksmart 9 หลายเดือนก่อน +9

    Kesho yangu vip Boss

  • @FrolahRubunda
    @FrolahRubunda 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mmmmh lovenes duuh umetish unasaut nzur

  • @GerrardNdola-l1v
    @GerrardNdola-l1v 9 หลายเดือนก่อน +56

    Kuhusu Kelvin weweeeeh wote nimewamwagia like zakutosha ila na mm msiniche bure jaman Kelvin anawezag sana uyu mkaka
    JERRY from United ❤❤❤

    • @hilamvicent6720
      @hilamvicent6720 9 หลายเดือนก่อน

      Yan zipo series Kama tano Yan wametoa kama wamevulugwa
      Uku KESHO YANGU ndo ilitakiwa waimalize Yan had mood ya kuangalia movie zao inaisha mi nawapenda Sana Ila wanaelekea kunkatsha tamaa

    • @GradnessMarico
      @GradnessMarico 9 หลายเดือนก่อน

      Leteni kesho yangu bana

  • @utukufu133
    @utukufu133 9 หลายเดือนก่อน +35

    Donta Family naombeni namba ya loveness nampenda

    • @CharityGilla
      @CharityGilla 9 หลายเดือนก่อน +1

      😂

    • @rpynoel566
      @rpynoel566 9 หลายเดือนก่อน +1

      Umemtamani umbwa ww😂😂

    • @mohamedhaji2200
      @mohamedhaji2200 9 หลายเดือนก่อน +1

      Umalaya

    • @MAYUNGAOfficial
      @MAYUNGAOfficial 9 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂

    • @taiobrunini6799
      @taiobrunini6799 8 หลายเดือนก่อน +1

      Hakuna namba ya cm

  • @BrunoMuyumba
    @BrunoMuyumba 5 หลายเดือนก่อน +7

    Mi na chekanga tu 😂😂😂😂

  • @gogoloveofficial5666
    @gogoloveofficial5666 9 หลายเดือนก่อน +2

    Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI

  • @NasraJuma-u9u
    @NasraJuma-u9u 9 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂lovenesss upewe mauwa yako🎉🎉

  • @Roze-so4he
    @Roze-so4he 9 หลายเดือนก่อน +7

    Mimi ni meisha yani ni mecheka paka bas tu ameambiwa n dadake kaingize chumivi kidogo kidogo yeye anaanda kumimina patiki nzima yani mm ni mecheka paka bas😂😂

  • @adozenaziz8362
    @adozenaziz8362 9 หลายเดือนก่อน +1

    aaaaaah mixer uku donta plus uku donta family mmmh soon naleft

  • @joycemuenimutua4506
    @joycemuenimutua4506 9 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂pole sana loveness kimekuramba 🎉🇰🇪

  • @KenedyMusonda
    @KenedyMusonda 9 หลายเดือนก่อน +1

    It's really good I really like it even every part I have to like

  • @AishaSalem-g2v
    @AishaSalem-g2v 9 หลายเดือนก่อน +4

    Kk kelvin na bro braun mko vizur sana aki mungu awabarik❤

    • @MoodyAbdallah-t5d
      @MoodyAbdallah-t5d 4 หลายเดือนก่อน

      Wanaume wote wangekuwa kama kelvin ingekuwa sawa kweli

  • @MalengaAsende-h9u
    @MalengaAsende-h9u 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mnazingua sana ,mnatoa movies nyingi alafu hazifiki mwisho

  • @RammyanLewah
    @RammyanLewah 9 หลายเดือนก่อน +2

    Aki loveness umenchekesha sana navitendo vyako, umenfanya nrudi Tena apa😂😂😂

  • @dadaamwazewe1299
    @dadaamwazewe1299 9 หลายเดือนก่อน +6

    Nyie waingizaji mnaboo ssa hampangi kaz yenu vizur kwa ssa😏 ushaur kama movie haitoendelea don't sey can't writing episode 2🥺🥺🥺mtatufkuza

  • @VaneRhobi-d2i
    @VaneRhobi-d2i 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nmechekq kweli 😂😂😂😂that point nlipewa akili nichanganye n zangu nitumie nkatumia za kuambiwa 😂😂😂😂😂loveness pole dada s kila kaka n muona sketi 😂😂😂😂

  • @ShukuCalu
    @ShukuCalu 9 หลายเดือนก่อน +29

    Like zangu naomben

  • @JuliasMfuru
    @JuliasMfuru 9 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman donta tv mnaanza kuzingua achieni kazi Kwa mtiririko

  • @user-ex8tk4fl8z
    @user-ex8tk4fl8z 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤nawapenda wote recho apa broo nakukubali sana na ninawapenda sana

  • @MariamRwandobi
    @MariamRwandobi 5 หลายเดือนก่อน +2

    Kelvin brown na love mko vizuri na love umenichekesha sana na hiyo piga yako deki😂😂😂😂

  • @MineniAbedialphonce
    @MineniAbedialphonce 9 หลายเดือนก่อน +1

    Oooooh kumbe lovess amekuwaa mke wawote aaaaaah bwana mbona anaboha sana

  • @CharityGilla
    @CharityGilla 9 หลายเดือนก่อน +2

    Waoh donta tv mnajua be blessed sana ❤❤❤❤ngamia wang anifae jangwan nimemuombea dua tusiishie njian😅😅

    • @FricoStore
      @FricoStore 9 หลายเดือนก่อน

      Ngamia wako kasha anza kulewa sifa huyu

  • @MariamWanguu-f8p
    @MariamWanguu-f8p 4 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri sanaaa more blessing nyote ❤❤

  • @LovenesMichael-pn7fm
    @LovenesMichael-pn7fm 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani movie zen ni nzur mnafany kazi nzur

  • @BarakaBoniface-yb6yj
    @BarakaBoniface-yb6yj 9 หลายเดือนก่อน +8

    Kelvin nakukubal sana sema movie zako nyingi unazitoa hazifiki mwisho zinaishia njiani inakuwa cyo poa

  • @peteretlawe6269
    @peteretlawe6269 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mwamba nimemkubali Sana kiukweli wanaume tunapaswa kuwa na msimamo ktk maisha kwa hizi viumbe

  • @Vicky-m7t
    @Vicky-m7t 5 หลายเดือนก่อน

    Wallah nimecheka kwa sauti yan we love n hatarii❤❤❤

  • @RebekaKulwa
    @RebekaKulwa 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hongereni sana mtafika mbali mungu awatangulie

  • @bennimubona6105
    @bennimubona6105 9 หลายเดือนก่อน +4

    Is this new one? Waooo please washe motooo

  • @JafariMwelukoka
    @JafariMwelukoka 9 หลายเดือนก่อน +1

    Bigup sana nakubali sana kaz yako Kelvin haujawai kukosea

  • @DimaillOfficial
    @DimaillOfficial 9 หลายเดือนก่อน +3

    Kwani ukicoment mara mbili dhambi!😃😃😃
    Brown ni chawa hatari😁😁😁

  • @HassanJaffar-qt1eh
    @HassanJaffar-qt1eh 9 หลายเดือนก่อน

    Congratulation brother kelvin 🎉. You are so talented

  • @HeriMuhasa
    @HeriMuhasa 9 หลายเดือนก่อน +3

    Endelesh mambo🎉🎉

  • @Saumu-w6h
    @Saumu-w6h 3 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda kazi zako saumu kutoka Kenya ukunda

  • @shakilasharifa9
    @shakilasharifa9 9 หลายเดือนก่อน +1

    Love Ness umekurupuka sana nenda taratibu 😅😅😅😅😅

  • @NuruHussein-sz2be
    @NuruHussein-sz2be 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona Haina mwendelezo jamani❤❤❤❤

  • @Josephringia-v6j
    @Josephringia-v6j 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi mzuri kelvin na watu wako Jose kutoka nairobi

  • @EsterLukindo
    @EsterLukindo 9 หลายเดือนก่อน +1

    Wagwaniiiiiiiii sheemejiiiiiii umetishaaaaa

  • @furahaeto6193
    @furahaeto6193 7 หลายเดือนก่อน

    Jamani munajipanga kweli kwa movie zenu nazipenda kinoma ❤❤❤❤

  • @MatabishiMuzangwa
    @MatabishiMuzangwa 4 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kukututolea mashauri mazuri kama haya.

  • @EdwinRutunda
    @EdwinRutunda 9 หลายเดือนก่อน +5

    Kelvin mnaanza kuzengua malizia kwanza kesho yangu

  • @CosmasSengenge
    @CosmasSengenge 9 หลายเดือนก่อน +10

    Ebu tupeni series ya kesho yangu tuimalize kwanza ndo muachie kazi nyingine. Mnashusha mvuto wa chaneli yenu kuachia muvi nuinginyingi

  • @Fadhila0-x7c
    @Fadhila0-x7c 9 หลายเดือนก่อน +4

    Kazi nzuri kelvin

  • @FabriceMuzungu-x7w
    @FabriceMuzungu-x7w 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nipo USA Arizona Kevin we love you 🎉 here much more 🎉

  • @SimonJoseph-wk6wg
    @SimonJoseph-wk6wg 6 หลายเดือนก่อน

    Haaaa ndo maisha ya biashara ya sasa lazima wafanye hivyo lakini malizen series zenu, 🙋🙋sawa love, kelvin,tina , Kunambi n.k!!