asanteni sanaa kwa kutufikisha episode ya Mwisho ya Agano,,,,, na kwa kutuunganishia tena ya hii mpya kabisa ya Dunia,,,,, hamna baya,,,,nawapenda nyote
Binafisi agano iko poa nimeifatilia mwanzo mwisho ila fainal yake sijaielewa vizur yaan kuna vipengele haviko Sawa. 1.yule mchwawi mkuu haikupaswa afe kizembe ivo na kifo cha kufanana na Hao wengine iyo mbaya. 2.sijafrahishwa na namna ya yule askari mpelelezi iliishia wapi na alipotea ghafra tu kwenye thamthilia. 3. Pia swara la watu kubadilishwa kuwa njiwa nayo iliishia wapi? NB :Kuna namna ilitakiwa mfanye kwenye ivo vipengele ili sisi wafuatiliaji na shabiki zenu tuendelee kuwakubali Zaid. Haya wacha tuone kwenye Hii DUNIA
Nakujibu kuusu askari ukuona alikuwa na mausiano na mchawi mmoja yule aliyefungwa stoo na kuteswa na manyanya ukuona aliuliwa geust na malkia yule dada akapiga makelele mpka manyanya akaja akakuta maiti ndani
KARIBUNI SANA KUTAZAMA TAMTHILIA YETU MPYA YA DUNIA,, AMBAYO ITAKUA INARUKA KILA JUMA TATU, JUMA TANO NA IJUMAA ,,, ASANTENI TUNAWAPENDA
Tuko pamoja
Tunataka mzingatiye muda
Tupo na nyie babaa
Asante sana hii kitu kizuri sana cha tofauti ulicho leta yaani wewe wa tofauti unaleta na ratiba kabsa
Sindi kaolewac na Chapombe 😂
asanteni sanaa kwa kutufikisha episode ya Mwisho ya Agano,,,,, na kwa kutuunganishia tena ya hii mpya kabisa ya Dunia,,,,, hamna baya,,,,nawapenda nyote
Number 1 today gong likes 5 Guys Kam unaipenda hiy team ❤kanji mlevi hiyo stailo unacezeaga ikosawa much love from BURUNDI 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Tupo dani wapili tokea🇰🇪🇰🇪🇰🇪 much 💚..twende nalo
Vaileth Tena na manyanya 😂❤😊 niliwamic kuwaona pomoja
Wakwanzq kutoka Kenya 🇰🇪
JINA LA MSANII BACKGROUND TAFADHALI
Nawakubali kutoka Congo Drc 🎉wakongomani nipeni Likee zangu Hapa❤❤❤❤❤
MBOTE NA BINO NYOSO🇨🇩
Kwa tuliopo tugonge like hapa
Jamani kanji wewe wa kuletea mke wako mawe etii nyama jamani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
number 4 hahah
Kanji ever with Alcohol are twins
Ila hyu matrilida amezidi umalaya
Manyanya anajua sana atafika mbali❤❤
Ata kama nimechelewa ila naomba like zen i'm from 🇲🇿🇲🇿 na mpenda sana manyanya na w
Leo nipeni like zangu aisee kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩
Atimae vaii karudi tena , asante kabisa, tulikuwa tume miss kazi toka kwako
Kitu kingine hiki apa baada ya agano we hauogopi
Nilimmiss Sana Vai jamani atimae amerudiii
Manyanya Vai asikuumize awamu hii😂😂
Hii movie ipo tozzy kabisa
Nimekubari sana hi móveis 🇲🇿
Wa pili kutoka🇰🇪🇰🇪
Umalaya tu Ila kuoga aaahhhh
Kaz kaz 🔥😊
Bora cha pombe mmneoana
Binafisi agano iko poa nimeifatilia mwanzo mwisho ila fainal yake sijaielewa vizur yaan kuna vipengele haviko Sawa.
1.yule mchwawi mkuu haikupaswa afe kizembe ivo na kifo cha kufanana na Hao wengine iyo mbaya.
2.sijafrahishwa na namna ya yule askari mpelelezi iliishia wapi na alipotea ghafra tu kwenye thamthilia.
3. Pia swara la watu kubadilishwa kuwa njiwa nayo iliishia wapi?
NB :Kuna namna ilitakiwa mfanye kwenye ivo vipengele ili sisi wafuatiliaji na shabiki zenu tuendelee kuwakubali Zaid. Haya wacha tuone kwenye Hii DUNIA
Nakujibu kuusu askari ukuona alikuwa na mausiano na mchawi mmoja yule aliyefungwa stoo na kuteswa na manyanya ukuona aliuliwa geust na malkia yule dada akapiga makelele mpka manyanya akaja akakuta maiti ndani
Woow hakuna kulala🎬
naflah kmuona vayleti
Kazi mpya #MANYANYA
Dunia Naomba like zangu Tafadhali
Naomba kicheche awepo jamn
badirisha T shirt kaka umetok nayo kwenye Agano😆😆😆 baada ya kuoa jini sasa ume muoa vai kweli ww ni mtu mwenye mikosi😆😆
😂😂😂😂😂
Kutoka Mozambique🎉🎉🎉🎉
Duuuu kumbe vai team strong nipeni hâta kidogo ntashukuru🇲🇬🇲🇬🇧🇮
Wapili kutoka dar
Sijachelewa🎉🎉🎉
Kazi naubora wa Mahali ama sehemu ya ku shootia. Wengine wa copie apa kabisa siyo village’s houses
Jamani movie inamafunzo ni Dunia kbxaaa Matilda ameigiza maisha yangu kbxaaa
Wanaume musi ruhusu wake zenu kufanya kazi, kwani mwanamuke akipata kazi ata kuya tabiya mbaya.🇨🇩🇨🇩🇨🇩
From Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Paco international umeua kwenye sound track 🔥🔥🔥
Utakula kwanza ndipo tuleeeee🎉❤❤😂😂😂
Mabugaaaa😂😂 nakuona unavobembelezea hiyooo tamuu😂😂
😂😂😂😂😂ilachapombe nahuyo mkeo kazi nzr jamani
Uremwanmuke nikweri hanahutu kabisa kirasiku pesapesa aaaaa☝️
Mmmh 😮
Lkn uyu dem wakuitwa matlda amenona this time mashalla
Mpo nice sana ii mmetisha mpewe maua yenu🎉🎉🎉🎉🎉
Tunaomba muenndeleza wake tumeipend san
Apo sawa manyanya tunakuomba ufanye kama ulivo sema
Cha pombe huyu😂 kilaza😂😂hiyo mijiwe
68,waooo 😅😅😅❤❤❤❤
Jamn hasante tena Kwa kutoa nyingne nawapenda sana😂😂🎉
Dah huyu kanji noma kuekti ulevi salute kwake
Iyo chupa ya mlevi haibadilishwii
Kali sana manyanya safi sana broo ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Kazi mpya safi sana team Manyanya tunawapenda ❤🎉
Vp kicheche atakuwepo humu jaman
Wow❤❤❤
Matlida tuko wengi huku😂😂😢😢
Woq
Mlevi na manyanya wanauwaa Sana asee😂😂😂
Wakwanza, mu nip like zangu jameni
❤❤❤🎉🎉🎉
nawapenda mnafanya vzr kwakweli
Wow nice one I'm happy to see you again ❤❤❤❤❤
❤❤❤❤🎉🎉
Chaulevi nakubali kazi zako
ni mimi wakwanza nipewe likes zangu
🎉🎉❤
We pendapenda tu itakula kwako
❤❤❤
❤❤❤
❤
Yaan namkubali sana manyanya
Hii itanoga Vai yupo
Iko Bomba kabisa
Tunaomba part 2
Kazi nzuri❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mzee wa pombe
Nyie mko wakali
🎉🎉many nya 🎉🎉🎉
Mtoe na song
Hiii kweli dunia
Vaileth 🔥🔥🔥
Dunia ina mengi
Jamani
Nice movie 💐🇹🇿
Nampenda sana kanji ❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂 love from Kenya 🇰🇪
Wahi mm 😂😂😂😂😂
Nice move❤❤❤
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰❤❤❤
❤❤❤❤😊😊😊
Next ❤❤❤❤❤❤❤❤
We 60
❤❤❤❤❤❤
😅😅😅😅
😅😅😅😅
Napenda❤❤❤