Team, kp & zebuu mnafanya kazi zuri sana, kwangu naowaombea tuh Mwenyezi Mungu Awalide na awaongoze kwa kila kitu🙏🙏 Nawapeda sana kinoma yaani nawakubali vilivyo aizee❤❤❤
Hongereni sana tim kp na zebuu movi nzuri sana ina mafunzo mengi mno na yapo ktk jamii Allah awaongoze. Lkn zebuu anavaa uchi sana km mkeo usimvishe ivo
Daah movie mzuri sana imenifanya nikaachilia wote walionitumia vibaya juu ya mapenzi ili mungu anifungulie milango ingine..shey shey I love the wise words from you and the whole crew big up..much love from Kenya.
Hii movie imeuwa I sei, mbona waTz elmu yenu ya uigizaji ni bora mno...??¿¿..mimi kama mkenya nimejifunza mengi zaidi kupitia thamthilia hii. Benzema.❤❤
Kwakweli iyi imeenda nimejifunza mengi kbs asante kwakazi nzuri nashukuru wema unamalipo pia ubaya unamalipo hivyo basi kilamutu atajuwa kipi ambaco anataka kutumikiya na malipo ambayo atapata asante nawapenda💝💞❤
Nataka kujuwa KP ilikuchukuwa muda wakiasigani kuandaa hio history umenipa funzo kubwa sana Mungu akubariki wewe pamoja nawenzio mlioshirikiana Sheila umenifundisha kiaskwamba Ubongo wangu umetanuka kutambuwa Kizuri aidha ubaya jamani tusimdharau mtu aidha watu tusio wajuwa tuisha kwa Amani naupendo nimeipenda tamthiria hii ya Benzema yani m'mecheza kama Benzema kweli m'barikiwe sana🙏
Jamani mm napenda uyo sheishei na msimano wake 😂😂😂😂hahaha eti mm nakula hata km nna stress na ww jnyonge huyo mpenzi wako ale Raha na kaamaba kampa safi sana hhhaa😂😂😂
Ooomaskini inaliza Ili funzo.Asante nawapenda toka congo.Masha'Allah
Hiyo imekaa poa sana zeebu na kp pia mistakisai shei shei likoma dipoz chukueni maua yenu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤like zangu hapa
Sijawahi kum'penda muigizaji kama huyu Dada Sheishei kweli anaweza yuko Juuuu kabisaa Sheishei popote ulipo juwa yakwamba nakupenda sana
Kp na zb nawapen maua yenu mnaigiza viziri sana aty
❤❤❤❤❤❤❤❤ duh Hongeren sana kwa kaz Mlioifanya pa1 najopo lte Imefundisha Mamb Meng zaid tutafutan in box Benzema mwenyew Kma itakupendeza
Team, kp & zebuu mnafanya kazi zuri sana, kwangu naowaombea tuh Mwenyezi Mungu Awalide na awaongoze kwa kila kitu🙏🙏
Nawapeda sana kinoma yaani nawakubali vilivyo aizee❤❤❤
Hongereni sana tim kp na zebuu movi nzuri sana ina mafunzo mengi mno na yapo ktk jamii Allah awaongoze. Lkn zebuu anavaa uchi sana km mkeo usimvishe ivo
Shei shei jamani unaweza kumbe unatabasamu zuri kazi nzuri sana bado nafatilia movie ya plan B nawakubali sana na ninawapenda sana
Hapana sio tapeli ni kuigiza tuu yusra nimeipenda sana hii zembena keip na zeeb naomba like zangu yusra mwenzangu vp lakini
Samahan sikumaanisha tapeli kiukweli nilimaanisha kwenye hii move alivyo tibiwa alafu akamuacha benzema ndoo maana nikaweka emoji ya kucheka,
Samahan sikumaanisha tapeli kiukweli nilimaanisha kwenye hii move alivyo tibiwa alafu akamuacha benzema ndoo maana nikaweka emoji ya kucheka,
Samahan sikumaanisha tapeli kiukweli nilimaanisha kwenye hii move alivyo tibiwa alafu akamuacha benzema ndoo maana nikaweka emoji ya kucheka,
Daah movie mzuri sana imenifanya nikaachilia wote walionitumia vibaya juu ya mapenzi ili mungu anifungulie milango ingine..shey shey I love the wise words from you and the whole crew big up..much love from Kenya.
Hii movie imeuwa I sei, mbona waTz elmu yenu ya uigizaji ni bora mno...??¿¿..mimi kama mkenya nimejifunza mengi zaidi kupitia thamthilia hii. Benzema.❤❤
kp and zebuu napenda movie zenu sana,,, tunawatazama from kakamega kenya❤❤❤❤❤
Nimefurai nimeuzunika nimelia na mwisho nimmejifunza pokeeni mauwa yenu nyoote❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nawapenda tu sana kazi nzuri❤❤❤🎉🎉🎉
Mzee likoma anaelewa yuko vizur😂mafunzo mazur
Yaani hilo libaba la benzema ni dawa ya meno😂😂😂😂😂😂
Zebuu tapeli wew mungu anakuona😂😂 Fanya urudishe hela za benzema 😂😂 zote alizo kutibia macho
Nikweli lakini nataka nikuoe
ndio aludishe
😢😅😂🎉Bungoma Kenya nawapenda Sana zebu Na kp hata norah😅😅
This shei shei anajua kuplay part yake vinoma mno💕🔥👌
Very nice shei shei
Kazi nzri sana Guys hakika tumejifunz kweli😢😢😢pia pol zebuu nawapenda nyte
Tenda wema mbele zako mungu atakulipa mbele. Have learned a big lesson pongezi kwa kweli
i love when sheyshey acts with kp.....nawapenda sana na nitazidi kutazama filamu zenu😁😁😁😁😁😁😁❤❤❤❤👍
🎉🎉🎉🎉sijachelewa wanao mpenda kp na zb nipeni like zangu❤❤❤❤❤❤❤😂😂
Maybe later love 💕💕💕💕
😂😂😂😂😅😢
Kwakweli iyi imeenda nimejifunza mengi kbs asante kwakazi nzuri nashukuru wema unamalipo pia ubaya unamalipo hivyo basi kilamutu atajuwa kipi ambaco anataka kutumikiya na malipo ambayo atapata asante nawapenda💝💞❤
Siku hizi hakuna kuchagulia kinjana mme ao mke eti muowe huyu ama olewa nahuyu KBS ❤❤
nawapenda Sana
Zebuu na Kp mnapendezesha saaaana muvie 💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛
Likoma sikusamei mpaka unipe juice? aki wapi likes za Kenya 🇰🇪
Wema niakiba ya kesho hunjui Nini kesho ❤❤
Aiseee ila wanawake bhana pole san kaka yang, kaz zuri sana mbarikiwe
Vizuri sana nimependa io
Movies nzuri dana ya mafundisho kuonesha watu tuishi kea uendo sio pesa ❤❤❤🎉🎉🎉
Nawapenda ❤ zebuu kachapia kamuita kp
Kwel mna kipaj, take these❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hongereni kwa kujaliwa na kipaji chenu mbarikiwe🎉😅❤❤❤
Aisee jamni hii movie nimeipenda kishenzi 😢❤🎉🎉🎉 congratulations team kp na zebuu
Sheila nimekuelewa tangu mwanzo mpaka mwisho nimejifunza vingi, nakupenda Sana ❤
Keep acheza vizuri sana ❤
Mnakuja juu sana hongereni 🎉🎉🎉
Movie ina mafunzo mengi sana..asanteni sana kwa kazi yenu zuri kutoka Kenya.
Kali sana hongera kwa kazi safi
Hicho kibao zeb utakua na Akili shey shey❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Ila shey shey kala vyote😂😂😂😂😂🎉🎉❤❤❤
Hivi kyp ukijaribu kuuachana na zebu hautofanya kazi njema ila hiii naikubali sana chukuweni zawadi yenu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉
Kazi nzuri ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 kazi nzr sana inafundisha
Kbx mwisho wa kibaya ni aibu!
Wee Zebuu, umeyakanyaga🙈
Movie nzuri sana hakika nimejifunza kitu
Nawapenda Sana dada Zang kaka Zang mungu azidi kuwafungulia njia hongereni Sana🥰
Kali hiyo kazi❤❤❤🎉🎉😊
Nataka kujuwa KP ilikuchukuwa muda wakiasigani kuandaa hio history umenipa funzo kubwa sana Mungu akubariki wewe pamoja nawenzio mlioshirikiana Sheila umenifundisha kiaskwamba Ubongo wangu umetanuka kutambuwa Kizuri aidha ubaya jamani tusimdharau mtu aidha watu tusio wajuwa tuisha kwa Amani naupendo nimeipenda tamthiria hii ya Benzema yani m'mecheza kama Benzema kweli
m'barikiwe sana🙏
Vizuri mmejibu ombi langu , nilikua naimis sana
Hahhah😂😂😂 ,kp kasubiri ushahidi wa mwisho muhogo anaenda zake ndo anaudkia hahhh 😂😂😂chezeq njaaa wee ,njaa mwanaharamu 😂😂😂😂😂and hahhaa
Mtaka yote hukosa yote zebuu natumia umejifunza Asante Kwa movie yenu nimejifunza kitu kutoka kwenu
I like how Benzema and his friend(the boss) have done their parts in this movie,,,,it's very interesting with many lessons,,,keep it up.
Pole dada movie zako nzuri sana ❤❤👍🥰
Anaipenda mihogo huyo jamaa anameza mate😂😂😂😂😂😂
Maua yenu hayoo 🎉🎉❤❤🎉🎉
Mzee rikoma nakubali sana
More love from NAIROBI kenya ❤❤❤❤❤❤kazi nzuri sana
❤❤❤
❤❤
Kazi nzuri sanaaaaaa ❤❤❤❤❤
Acha utapeli zebuuuuuuuuuuuuuu🙉
Hiiii movie imejaaaa lobo 3 ya ukweli hongera sana kp na zebuu p1na mzee rikoma🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ila we dogo unajua kuandika mistari maua mauaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ ila hako ka shey shey ninakaelewa Kako silias na kaziiiii ❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuri sana wote mmefanya vizuri ila mzee likoma ameopoa hatujaona miseno yake kazi nzuri
Wow zebuu nakubali umecheza vzr kwa part yako na mwezako pia congratulations❤❤❤
Daaa shey shy nakukubali sana mwaya❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Shey,shey,umetisha Sana wewe noma
Mwisho wa ubaya aibu
Ame shangaa dunia usimuzarau mtu ❤
Nawapenda sana kazi nzuri
Merci beaucoup, une très bonne éducation ❤
Aisee wazee haoo ni balaa adi waha wamecheka🤣🤣 uku Kg Tz 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😀😀
Pongezi 🎉❤kutoka Nairobi
Fimbo ya mnyonge inalipwa na Mngu anaweza yote 🥰
Kwenye mihogo hapooo shei shei umepiga sanaaa
Kazi nzuri sana nimependa pia nimejifunza kitu
Aiseeee haka kadada ninakaelewa sana ila kaizi kweli uwiiiiii
Kisai Kp Na Zebuu Wallah Sichoki Kuitizama Beziman. Natamani plan B unoge kama hii.❤❤❤
Ongereni sana❤❤❤❤kazi mzuri
Aky Benzema n last card movie tamu izi💞💞💞💞💋
Jamani mm napenda uyo sheishei na msimano wake 😂😂😂😂hahaha eti mm nakula hata km nna stress na ww jnyonge huyo mpenzi wako ale Raha na kaamaba kampa safi sana hhhaa😂😂😂
From Kenya nawafuatilia mko vzur sema tu' nawapongeza.
Hongera sana najifunza mengi mngu awabariki 👏👏👏
Asante sana zebu umenipa fundish kubwa sana dada zangu hakika mm nimbabe San kumbe mwish waubabe ndiyo huo sikujua nitajufunz
Ubaya unalipwa na uzuri❤❤❤ Asante sana shiella
Nzur❤ from oman
Hongereni nyote kwa kazi zurimunao yifanyaga ila kp badhirisha hata Mara moja mwanamke
Jamani kazi nzuri na inafundisha sanaa Mungu azidi kuwaongoza vema kwenye sana yenu mnayoifanya ili mzidi kutufundisha
Yaani kiukweli miss sheishei amependeza sana kwa kutinga vijikanga
Nimefwatilia video hii ina Mafundisho mazuri Sana
Kazi nzur nakupenda shey shey
Jamani.suraj.huyo nlikumiss ni siku nyingi mno , karibu tena
😂😂😂😂 nimependa vile Sheila amampiga Kofi zebuu❤❤❤
He, Job poa sana ni javan frm nairobi kenya❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Kudadeki mumeanza kuigiza vizuri nimeyipendahii chukuweni mauwayenu
Kula deki sasa
Asante sheishei kwa roho ngumu kiboko ya wapumbavu
Nimetokea kuwapenda jaman❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Duu likoma na sheila wametisha saana 😁😁😁😁
Nawachukuru sana kwa kazi mimi nipo congo
Happy birthday Zebuu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤
Mzee likoma ako poa sana