Miaka yote katika nchi hii mwislam akiwa Rais,wenzetu wanazusha mambo mengi sana,ilimradi tu atawale kwa shida,MKAPA aliuza maeneo ya migodi kwa miaka mia wala hakuna aliesema,wote walikua kimya kabisa,acheni udini,mwacheni mama afanye kazi bwana
Kodisha bandari hakuna mtuu anaeiweza bandari hapa kuiendesha lazima tukubali mabadiliko hata marekani namataifa makubwa yamekodosha bandari kodisha tupate pesa za kuiendesha nchi nchii inahalibaya ya uchumi rasilimali zipo sisi tumeshindwa kwanini tusikodishe
Kujibu Hawa shida ni waandishi wa habari nchini Hawa wasaka tumbo hawana mpiyia ktk.taifa letu njaa lmawasumbua kutafuta exelence president Samia sluu Hassan kuwaona lakini sisi tutaka kusema tusichokeze Mambo ya dini hatujadilini. Mambo ya dini ktk taifa letu exelence president Samia sluu Hassan ukuruhusu haya mambo unaligawa taifa ni hatari Sana ktk taifa udini tuuweke. Mbali na taifa letu wengine wanavaa nguo za kiislam kutugawanya watanzania ktk dini hatulioni Hilo huna jipiyia tunaangalia dunia nchi zilizoendelea wamaachezim gani ili wapige hatua
Acheni udini walipokuwa wakimtukana JPM TENA mnawajua ni wakubwa kabisa mbona mlifunga midomo?? Mnataka kutuuza kwa waarabu?? NIAMBIE NI KIPI KILICHOBINAFISISHWA KINAFANYAKAZI HADI LEO
HV mnajua wananchi wanakusanya matukio yote kuzwa wanyama bandali Bagamoyo bandali dar mashoga wafanyane wakubwa wakubwa wasituhalibie wtt nk kazaneni TU mbona kitaeleweka mnashindwa kumuambia ukweli raising kuna wananchi hili jambo hawajalipenda mnapaka mafuta kwa mgongo WA chupa nini ndo hampendi mheahimiwa raise nae ni binadam mfikishieni salama
Bandar ikodishwe Mama fanya Kaz kama Rais achana na waongeaji Wanaokusifu wanaokutukana we fanya watakuja kuona Hata jpm walimtukana mwanzo Kisha wakamsifu. Piga Kaz tu
Watanzania tubadilike mbowe alichoongea sio kibaya ni fikra potofu za binadamu mabubu zetu walipigania tanganyika leo tunagawa mali zetu kwa mkataba mbovu tujitasimini.
Mmh sijaona matusi mimi aliyotukanwa. Yaan shekh nilijua utaongelea jambo la msingi ambalo litaigharim vizazi vyetu unakuja na vtu ambavyo ni vya kujipendekeza
Duh Yaa Rab tunusuru. Dini kumbe inaweza tumiwa kwenye siasa kwa masilahi ya viongozi?? Sio nyie munao sema hakuna Dini katika siasa??? Shekh hembu kaeni na maustadh wanao somesha Dini wasiokuwa na njaa wakupeni maarifa
RAIS AKIWA MUISLAM MNAPATABU SANA NA PRESSURE HATA AKILI ZENU AMZITUI ZAIDI YA CHUKI ZISIZO NA MANUFAA KWANI KOSA HASA LA HUYU MAMA NI NN NYINYI KWANZA HATA DHAMBI KWENU NIKITU RAHIS WAKATI MTANGULIZI WAKE MLIKUWA KIMYA YA HOVYO YAKAFANYAWA KILA MTU KIMYA MLIOGOPA AU ULIKUWA UNAFIKI WENU WALA KUKOSOWA KWA STYLE HII YA SS HAIKUWEPO LEO HAKUNA WATU WASIOJULIKANA MMESAHAU JUZI TU. KWELI NINYI NIKAMA WANYAMA LAKINI WANYAMA NAO NI BORA KULIKO NYINYI KWANI TUNA NUFAIKA NAO KULIKO MSIO JIELEWA.
Wewe na mambo ya sheria za kisekula wapi na wapi wewe unataaluma ya uimamu na sheria za dini ya kislamu kwahivyouliwekwa kuwa mshauri wa mufti kwasababu ilimu hiyo unayo lkn hujui hata kifungu kimoja cha sheria kazi kujipendekeza
@@ICONTVTZ wewe shekhe km umekosa kazi ya kufanya ni bola ukae kimya hio ndo ukisikia unafki ndo huyo raise haja tukanwa Bali wananchi wamechoshwa na mambo haya ya ufisadi kila kukicha nchi inagawanwa TU mkataba gani WA miaka 100 rais hi nchi sio yake peke take ndo mana tukaitwa wananchi ni kuna inatuhusu unacheza na mhimili WA bandali ukiongelea bandali umeongelea maisha ya kila mtanzania unajua anemilikishwa kesho atamka na tamko gani? Akiamka kapandisha TU kodi ya bidha zinazo shuka hapo bandalini unafikili kitatokea kitu gani hebu acha mambo ya sasa hayo we fundisha wtt masomo ya dini TU acha ushabiki yani nchi igawanwe watu wakae kimya TU au unatafuta kick upewe ukuu WA wilaya
Shehe utapewa uwaziri kwani kuna wizara inaandaliwa ya wajinga iyo itakufaha sana mana ujui kama hili bunge hakuna alie chaguliwa pia naamini kama una watoto wanakua heka kwa kujipendekeza lakini omba wewe na mkeo mimi nikiomba nitaomba Mungu usifanikiwe (shekhe mpenda masilahi wewe )
Mueshimu anaejieshimu samia na kikosi chake watuuza ww unamtetea kwavire ni mwi silam mwenzio ila ukweli ugozi wa malahis wa kisilam ni mubaya kuliko wote
Miaka yote katika nchi hii mwislam akiwa Rais,wenzetu wanazusha mambo mengi sana,ilimradi tu atawale kwa shida,MKAPA aliuza maeneo ya migodi kwa miaka mia wala hakuna aliesema,wote walikua kimya kabisa,acheni udini,mwacheni mama afanye kazi bwana
Asante Kwa Kutufuatilia
Ulicho sema nikweli kabisa
Mhuu unaketa tena udini, usiwe mnyonge angalia uhalisia wa hoja. Ukijikita kwenye udini hutaona chochote katika uhalisia wake.
Asc.. Shekh...upo sahihi...nimekuelewa ...sana..hao hawana jingine isipokuwa NI HASADI TU
Asante Kwa Kutufuatilia
Waache chuki zao maendeleo ndio sio ubaguzi hatutaki plz tuko na rais
Asante Kwa Kutufuatilia
Viongozi waheshimiwe wanapofanya mema, mazuri, yenye manufaa, huwezi heshimiwa if reject facts.
Asante Kwa Kutufuatilia
shekhe na kukumbusha tulaani kamari zinazo tangazwa kwenye vyombo vya habari
Asante Kwa Kutufuatilia
we shehe nae nimpuuzi tu unafanya kazi ya kusifia hatuna imani na serikali kwa sasa kwa haya yanayo endelea
Asante Kwa Kutufuatilia
Sasa kama huna imani na serikali ukisha tukana inakuaje?? Sasa matusi hapo yanatengeneza nini??
Kodisha bandari hakuna mtuu anaeiweza bandari hapa kuiendesha lazima tukubali mabadiliko hata marekani namataifa makubwa yamekodosha bandari kodisha tupate pesa za kuiendesha nchi nchii inahalibaya ya uchumi rasilimali zipo sisi tumeshindwa kwanini tusikodishe
Asante Kwa Kutufuatilia
Habari ashaipata mbowe mimi nakuunga mkono kwa suala la ubaguzi na matusi ila wewe ni ccm mzuri
Asante Kwa Kutufuatilia
Mashaalah umejitahid sana wengi wanaogopa kusema ukweli
Asante Kwa Kutufuatilia
Kazi ipo mm napita tu
Asante Kwa Kutufuatilia
Hata waislam awana imabi na wewe
Mungu akupe moyo huwo huwo moyo wa imani na matumizi bora ya ufaham
Mungu akulipe kilala kheri.
Asante Kwa Kutufuatilia
Hata mbwa huteteana
June ni masika kawaida sana
Asante Kwa Kutufuatilia
Shekh umenena...
Walaaniwe tu hao wao si wamekusudia kutukana
Asante Kwa Kutufuatilia
Mie nafikiri tafsili ya alichoongea mbowe ndiyo inayotusumbua watu wengi
v
Kujibu Hawa shida ni waandishi wa habari nchini Hawa wasaka tumbo hawana mpiyia ktk.taifa letu njaa lmawasumbua kutafuta exelence president Samia sluu Hassan kuwaona lakini sisi tutaka kusema tusichokeze Mambo ya dini hatujadilini. Mambo ya dini ktk taifa letu exelence president Samia sluu Hassan ukuruhusu haya mambo unaligawa taifa ni hatari Sana ktk taifa udini tuuweke. Mbali na taifa letu wengine wanavaa nguo za kiislam kutugawanya watanzania ktk dini hatulioni Hilo huna jipiyia tunaangalia dunia nchi zilizoendelea wamaachezim gani ili wapige hatua
Asante Kwa Kutufuatilia
Cijui kwa nini Mungu haingilii KATI
Asante Kwa Kutufuatilia
Shekhe acha unafiki ww ni muislamu acha ujinga acha unafiki acha unafikii
Asante Kwa Kutufuatilia
Dah! Shekhe inakubaliana na kuuzwa kwa nnchi kweri! Lkn ukweri nikwamba tuendako imani hii tulio nayo inatoweka kwahili hata mungu atatuacha
Ndio ujue masheikh wa jumuiya ya bwakwata walivyowekwa mfukoni na ccm awaelewi
Asante Kwa Kutufuatilia
Mungu.akupe.mwisho.mwema.kipindi.hiki.cha.samia.tutayasikia.mengi.kushinda.kipindi.,cha.mwinyi.jk,madui.uwaga.hawajifichi
Asante Kwa Kutufuatilia
Sheikh mambo ya kisheria haya kaa chonjo.huyawezi
Asante Kwa Kutufuatilia
Amin
Asante Kwa Kutufuatilia
Mama yako sio mama yetu
Asante Kwa Kutufuatilia
Hujalazimishwa kumuita mama
Dunia imeisha jaman mungu atusimamie tu
Asante Kwa Kutufuatilia
Na wewe shekh umekosea wale wabunge wamechaguliwa na nani wameiba uchaguzi mbona wewe huku Sema chochote uchafu ule watu Wana hasila kuwa mkweli
Asante Kwa Kutufuatilia
Shaaaheee
Asante Kwa Kutufuatilia
Acheni udini walipokuwa wakimtukana JPM TENA mnawajua ni wakubwa kabisa mbona mlifunga midomo?? Mnataka kutuuza kwa waarabu?? NIAMBIE NI KIPI KILICHOBINAFISISHWA KINAFANYAKAZI HADI LEO
Asante Kwa Kutufuatilia
Wamekuja just kwelikweli
Asante Kwa Kutufuatilia
acha kupendelea upendeleo shehe huyo rais kwasisi watanzania hatuna imani nae
Asante Kwa Kutufuatilia
Usiseme sisi sema Mimi...maana MH. Rais samia Nina imani naye sana....na sio Mimi tu tupo wengi.....
Wapo wenye imani nae sio lazma ww
Mwamini mungu acha kufuru anataka kumwamin kiumbe mwenzako
Maana ake nini?
Asante Kwa Kutufuatilia
Huyu hata hui mkataba hajausoma.
Asante Kwa Kutufuatilia
Unakuja fungu lako lipo tu ndo mana unapambania lakini serikali inasema Haina DINI ila ikizidiwa inatumia DINI kama mwamvuli
Asante Kwa Kutufuatilia
We ndio shehe wa avyo
Asante Kwa Kutufuatilia
Jitetee mwenyewe unapokufa utajibu nini
Asante Kwa Kutufuatilia
Hanna Shekhe hapo kuna shehena tu
HV mnajua wananchi wanakusanya matukio yote kuzwa wanyama bandali Bagamoyo bandali dar mashoga wafanyane wakubwa wakubwa wasituhalibie wtt nk kazaneni TU mbona kitaeleweka mnashindwa kumuambia ukweli raising kuna wananchi hili jambo hawajalipenda mnapaka mafuta kwa mgongo WA chupa nini ndo hampendi mheahimiwa raise nae ni binadam mfikishieni salama
Asante Kwa Kutufuatilia
Bandar ikodishwe
Mama fanya Kaz kama Rais achana na waongeaji
Wanaokusifu wanaokutukana we fanya watakuja kuona
Hata jpm walimtukana mwanzo Kisha wakamsifu.
Piga Kaz tu
Asante Kwa Kutufuatilia
Watanzania tubadilike mbowe alichoongea sio kibaya ni fikra potofu za binadamu mabubu zetu walipigania tanganyika leo tunagawa mali zetu kwa mkataba mbovu tujitasimini.
Asante Kwa Kutufuatilia
Kwani Samia sio mzanzibar ambaye ameuza bandari za Tanganyika????
Asante Kwa Kutufuatilia
Mimi naona viongozi wetu mnaleta uchochezi,
Asante Kwa Kutufuatilia
Washehe, elimu Dunia ndogo sana huyu
Asante Kwa Kutufuatilia
Elimu dunia ndio Nini?
She hata wezwe no kutegwa hwani.a ya munhu au ya viongoz au unasubili uteuz
Asante Kwa Kutufuatilia
Mmh sijaona matusi mimi aliyotukanwa. Yaan shekh nilijua utaongelea jambo la msingi ambalo litaigharim vizazi vyetu unakuja na vtu ambavyo ni vya kujipendekeza
Asante Kwa Kutufuatilia
Lkn samia ametuaibisha sana ccm nawatanzania kwaujumla lama kweli bandari tuu inatushonda tunabifisisha
Asante Kwa Kutufuatilia
WE SHEKHE CHOKO NINI
Asante Kwa Kutufuatilia
Hii yote ni shd ya uelewa mdogo juu ya kile alichokisema mbowe
Asante Kwa Kutufuatilia
Hamic kasome dn
kwavile mmesikia niwaarabu kasoro sio mpaka tusubiri molaa arekebishe ubaya unapo jitokeza tumeamrishwa tukataze kwanguvu zotee mkata hatuuwelewi
Asante Kwa Kutufuatilia
Ndo Hawa muumin akitaka nyumba wanamwombea ila yeye anataka achangiwe
Asante Kwa Kutufuatilia
Bandari ibinasifishwe...kwani waliopo hivi sasa ...NI wapigaji ....tu
Asante Kwa Kutufuatilia
Tuache unafki udini mpaka sasa upo bado tu kushika mizizi naishauli serikali ijitafakali
Asante Kwa Kutufuatilia
hawa jamaa wakisha utawala hata mvua inakua yashida lakn wakrsto wakitawala mvua inanyesha yakutosha nchi inatoa mazao yakutosha lakni wao nishida
Unaongea Nini wewe kuna amani wakati utapeli unapamba moto?
Asante Kwa Kutufuatilia
Heshima hujengwa kwa mambo uanayowafanyia watu naomba nisikutolee hasira yangu kwa hlli pls Acha kujipendekeza
Asante Kwa Kutufuatilia
Acha tumuombee mungu mtakatifu purtin awazibiti majambazi kote duniani.
Asante Kwa Kutufuatilia
HUNA LOLOTE SHEKHE BORA UNGEKAA KIMYA UNASAPOTI UJINGA ULIOFANYWA NA RAIS SAMIA WEWE PIA NI MVUNJIFU WA AMANI MJINGA MKUBWA WEWE
Asante Kwa Kutufuatilia
Acheni udini nchi yetu sote hii. Kama Mambo hayaendi Sawa lazima tupige kelele
Asante Kwa Kutufuatilia
Tutolee bangi zako
Asante Kwa Kutufuatilia
Kafir jahir maruhun ww
Nimefrai sana umoja weno viongozi wadini,hii nisauti yamungu,kuungana nakututetea wanainchi tunawategemea,ninyi wabunge hawaeleweki,wanatetea ugali.
Asante Kwa Kutufuatilia
Hujielewi
Asante Kwa Kutufuatilia
Wewe hupati kazi bandarini sheikh kule kazi zilizobakia zakubeba mizigo tu
Asante Kwa Kutufuatilia
Jikemee mwenyewe
Asante Kwa Kutufuatilia
Watoto mrio zariwa na shahawa zapombe acheni matusi mpaka kesho ukimkuta na mama yako ndio utamweshimu
Asante Kwa Kutufuatilia
Mungu akusaidie na maneno yako.
nenda kwenye mada ya bandari acha kutufundisha
Asante Kwa Kutufuatilia
Nilijua huyu jamaa ana akili kumbe kikofia kitupu
Asante Kwa Kutufuatilia
Mnazingua
Asante Kwa Kutufuatilia
Mashe washaramba asali
Asante Kwa Kutufuatilia
Eti Kwa nafasi zako zote, una nafasi kwenu si Kwa Kila mtu
Asante Kwa Kutufuatilia
Huyu anataka hela tu
Hawa ndio hovyo kabisa hawa wachumia matumbo bure kabisa njaa hawa
Asante Kwa Kutufuatilia
Kala kashiba huyi Hana lolote analosema simuelewi Mimi
Wewe mnafiki
Asante Kwa Kutufuatilia
wawekezaji wakawekeze zanzibar
Asante Kwa Kutufuatilia
Kwa nini wasiwekeze huku tanganyika?
Ivi unajua kua bandari ya Zanzibar wamepewa wafaransa au hujui ilo?
😀😀😀😀😀😀
Mmmmmhhhhh. Mama weeeeeee!!!
Asante Kwa Kutufuatilia
Mheshimu kauli za watu msizipotoshe kauli za watu kwa ajili ya kisiasa. Waombeeni watanzania waondokana na tafsiri potofu.
Asante Kwa Kutufuatilia
Mnafiki mchumia tumbo
Asante Kwa Kutufuatilia
Nchi hii imeoza hata viongozi wa Dini wamokama hawaoni ngojea taifa liwe kamasomali sijui Dini zenu mtaziweka wapi
Asante Kwa Kutufuatilia
Hivi nikiambiwa kuwa unachokifanya kwa Zanzibar sio kizuri au kwasababu wewe ni Mtanganyika Nikasilike sasa mie sio Mtanganyika?
Asante Kwa Kutufuatilia
Wewr nimuisram mwenzangu lakini upo kinyume sana
Asante Kwa Kutufuatilia
Acha porojo sheeke, hunalolote
Asante Kwa Kutufuatilia
Tumekuzoa hunajipya
Asante Kwa Kutufuatilia
Sheikh bora unge tupa adisi ya mtumeSSW tungekuwerewa kuliko hiyo adisi unayotupa atukuwelewi
Hakuna kitu kinaitwa adisi....elimika
Asante Kwa Kutufuatilia
Wenye akili wataelewa wewe kamtafute diamond Na harmonize uwasikilize
Duh
Yaa Rab tunusuru.
Dini kumbe inaweza tumiwa kwenye siasa kwa masilahi ya viongozi??
Sio nyie munao sema hakuna Dini katika siasa???
Shekh hembu kaeni na maustadh wanao somesha Dini wasiokuwa na njaa wakupeni maarifa
Asante Kwa Kutufuatilia
Kwendraaaaaaa kule wewe
Asante Kwa Kutufuatilia
Alishambuliwa mmoja wetu hata kunyanyua madomo hamkunyanyua kwendini huko na unafiki wenu
Asante Kwa Kutufuatilia
Watanzania nani katuroga?
Asante Kwa Kutufuatilia
Sina hata haja ya kukusikiliza mpumbavu wewe unaongea no sense nyie ndio wale waislam wanafiki pumbavu kubwa zima halijielew
Asante Kwa Kutufuatilia
Shehe tafadhali tunakuheshimu. inchi hii inahitaji kuponywa ndugu yangu. Acha hizo. Usitukosee watanzania. Sasa endelea kusema tusiyoyataka watanzania, asitukanwe vipi wakati anaenda kuchukua mikataba ya siri. Jua sisi tuko vijijini mbeya huku sio kama unavyosema wengine sio watanzania, endelea kudharau haya, utaona
Asante Kwa Kutufuatilia
Sasa ndugu yangu hebu nieleze jee umefaidikaje nabandari wewe kama Mtanzania?
Mpumbavu ww, ngoja atukanwe baba ako au mama ako km utasema kauli hiyo.
Udini wenu unawatesa,hii nchi siyo ya kanisa et waislam wasipewe nafas ya kuwekeza,
RAIS AKIWA MUISLAM MNAPATABU SANA NA PRESSURE HATA AKILI ZENU AMZITUI ZAIDI YA CHUKI ZISIZO NA MANUFAA KWANI KOSA HASA LA HUYU MAMA NI NN NYINYI KWANZA HATA DHAMBI KWENU NIKITU RAHIS WAKATI MTANGULIZI WAKE MLIKUWA KIMYA YA HOVYO YAKAFANYAWA KILA MTU KIMYA MLIOGOPA AU ULIKUWA UNAFIKI WENU WALA KUKOSOWA KWA STYLE HII YA SS HAIKUWEPO LEO HAKUNA WATU WASIOJULIKANA MMESAHAU JUZI TU. KWELI NINYI NIKAMA WANYAMA LAKINI WANYAMA NAO NI BORA KULIKO NYINYI KWANI TUNA NUFAIKA NAO KULIKO MSIO JIELEWA.
Hana tofauti na mang'ungo wa msovero
Asante Kwa Kutufuatilia
Wewe na mambo ya sheria za kisekula wapi na wapi wewe unataaluma ya uimamu na sheria za dini ya kislamu kwahivyouliwekwa kuwa mshauri wa mufti kwasababu ilimu hiyo unayo lkn hujui hata kifungu kimoja cha sheria kazi kujipendekeza
Wanafki hawa njaa tupu ,machawa wa Serekali
Asante Kwa Kutufuatilia
Mwenzangu elimu ya vifungu unavyo
Daaaaaaaahhhh nguvu ya uma inatakiwa
Asante Kwa Kutufuatilia
Sheikh vipi ile habari yenu wewe na alhadi aliyekuwa sheikh wa mkoa
Asante Kwa Kutufuatilia
@@ICONTVTZ wewe shekhe km umekosa kazi ya kufanya ni bola ukae kimya hio ndo ukisikia unafki ndo huyo raise haja tukanwa Bali wananchi wamechoshwa na mambo haya ya ufisadi kila kukicha nchi inagawanwa TU mkataba gani WA miaka 100 rais hi nchi sio yake peke take ndo mana tukaitwa wananchi ni kuna inatuhusu unacheza na mhimili WA bandali ukiongelea bandali umeongelea maisha ya kila mtanzania unajua anemilikishwa kesho atamka na tamko gani? Akiamka kapandisha TU kodi ya bidha zinazo shuka hapo bandalini unafikili kitatokea kitu gani hebu acha mambo ya sasa hayo we fundisha wtt masomo ya dini TU acha ushabiki yani nchi igawanwe watu wakae kimya TU au unatafuta kick upewe ukuu WA wilaya
Umebarikiwa elimu ya dini bt ya siasa achanayo
Asante Kwa Kutufuatilia
Lipumba,Mbowe,zito,Halima Nawengine wanao tea msirahi mapana ya Nchi hawatukani,tusitafute umarufu Kwa kujipendekeza
Asante Kwa Kutufuatilia
Pumbavu zako mjinga wewe
Asante Kwa Kutufuatilia
@@ICONTVTZ viongoz wa dini hawatukanwi mm ni mkristo, pia bibilia inaeleza wazi HESHIMUNI MAMLAKA ZILIZOWEKWA DUNIANI MAANA HATA MBINGUNI ZATAMBULIKA.
Tumekuelewa ila mkataba ambao hauonyeshi unaisha lini ni ubovu endelevu
Asante Kwa Kutufuatilia
KAKOFIA KAKINAFKI HAPO UNANJAA PELEKA HUKO KWAHIO TUUZWE
Asante Kwa Kutufuatilia
Shehe utapewa uwaziri kwani kuna wizara inaandaliwa ya wajinga iyo itakufaha sana mana ujui kama hili bunge hakuna alie chaguliwa pia naamini kama una watoto wanakua heka kwa kujipendekeza lakini omba wewe na mkeo mimi nikiomba nitaomba Mungu usifanikiwe (shekhe mpenda masilahi wewe )
Asante Kwa Kutufuatilia
Kafiri maruhun jahir
@@RAJVII-fu7du kafiri wewe tena wewe ni kiongozi wa makafili kafili huyooooooooo
Kwanza unapotaka kufanya jambo litafakari kuhusu sizadhani km kuna usawa na mashekhe kuweni makini sio mnaongea ongea tu
Asante Kwa Kutufuatilia
Acha ujinga ww kama ukifanya mema nani atakusoa kukosoa sio tusi
Asante Kwa Kutufuatilia
Mjinga kabisa wewe shee,
Mpuuzi kabisaaaaa
Asante Kwa Kutufuatilia
Ww fanya ya din sio siyasa
Asante Kwa Kutufuatilia
Ujinga mtupu,
Mnafundishwa pia kuwasapoti wezi WA rasimali za wananchi,
Endelea na ujinga huu wa kutaka kutuhadaa watanzania
Eti kutetea mbaguzi
Asante Kwa Kutufuatilia
Wataaram washeria wamesema aufai nyinyi mnatuchaganya tena anasema mwarim wao shivuni
Acha ujinga hakilazima isemwe wewe unanjaa unatafuta kiki kaaomehitima tunakukuwa unapendavyeo unagambana sanna namashehe wenzako wewe hivyo ngoja siku utakayo pigwa bei kilakitu kinabinafsishwa badowewe
Asante Kwa Kutufuatilia
Mueshimu anaejieshimu samia na kikosi chake watuuza ww unamtetea kwavire ni mwi silam mwenzio ila ukweli ugozi wa malahis wa kisilam ni mubaya kuliko wote
Asante Kwa Kutufuatilia
Ushapewa V 8 shekhe