Mashaallah. Shekhe unayosema yote hayo niukweli mkubwa.yaani ninakushukuru sana . Yaani utafikiri wewe nikaka yangu hayo ndoyamo ndani ya moyo wangu. Tuko nyuma yako begakwabega
Hakuna mapadri wanaomtukana Rais. Wanaoonekana majukwaa ya kisiasa siyo mapadri ni wachungaji na maasfkofu wasiokuwa na makanisa yanayofahamika ndiyo maana kila siku wanaonekana kwenye mikutano ya chadema na kila siku wakizurura kwenye kesi zao mahakamani. Padri anakaa kanisani ns siyo kuzurura. Anapata taarifa rasmi na siyo majungu. Mapadri na viongozi wa dini walitaka taarifa na Serikali ilitoa taarifa hiyo. Hakuna padri anayemsema rais wala Serikali na wakiwa na jambo wana namna yao ya kusema na siyo uhuni wa majukwaa ya kisiasa
Hayawani Kwa nini asimtetee Dr Samia na yeye ni raisi na hao mapadri wamuheshimu kama rais wao na ni rais wa dini zote dr Samia oyeeeeeeee nampenda namthamini na haya aje rais wa namna gani mtaongea tuu wachani blabla zenu
Sheikh mbona wanao pinga wanapinga kwa hoja na vifungo vya mkataba wanao tetea hawatetei hoja za vile vifungo vinavyo kingwa kwahio sheikh umevutika sawa lakini umetunga mkono kuangalia hoja zenyewe 18:37
Acha umalaya vifungu vya mkataba vimeshafafanuliwa vyema nawanasheria Wa serikali bado mnachochea vurugu tuu shida yenu nachadema yenu nikuleta vita nakupinga mafanikio ya mama Samia ktk kuiinua nchi kiuchumi mmekosa hoja hatutawasikiliza kenge nyie
Ss huyu shekh anajua sheria na katiba , bac ww km ulivyo na imani hiyo na mwengine ana imani yake , ucsisikilize tu ww c ni kiongozi bac kazisome sheria ucmpangie mtu ni ww umevutiwa wengine wanasoma sheria ilivyyo , just ndio mashekh matumbo
Sheikh unakosea, kuna wakati walikua wanazungumzwa Wachina, kuna wakati walikua wanazungumzwa Wazungu wa Madini kule Buzwagi. Sasa hivi wanazungumzwa Waarabu kwa kua ndo wameingia kwenye huu Mkataba mbovu.
Ndg..najaribu kukuamsha...kwanini MAASKOFU NA CHADEMA ...WAMEKAZANA KUPINGA suala la bandari ....NI hivi hapa kuna MASLAHI BINAFSI ...maana bandari imekuwa NI shamba la Bibi.. Mfano KONTENA linasajiliwa IMEBEBA BIBLIA KUMBE KUNA MAGARI..au kusajiliwa kuwa kuna bendera au kofia za chama kumbe kuna MAGARI.....jpm alisema pale bandarini kuna uovu mkubwa....Rejea clip ya jpm alipotembelea pale na kutufumbua macho WATANZANIA.....haya NI machache tu.....
Tuzidi kutetea udini usiwepo kama ulivyo kemea kuzalilishwa mtu Kwa dini kama walivyo Sema uwarabu na mengineyo upo sawa tena sana nakama alivyo Sema kila kiongozi wakiisilamu akitawala swala laudini linatokea ni vizuri kuwakemea waache ujinga huo
Hili Jambo ni Simple sana!. 1.MUWEKEZAJI NI LAZIMA, Wasietaka Uwekezaji WAHAMIE Nchi ya Djibouti kule hawataki WAWEKEZAJI. 2.Chaguzi zinakuja by Next Year; KILA MUISLAMU ANAYEJITAMBUA Ahakikishe kua KURA YAKE HAIENDI Chadema Kwa njia hii WANASIASA WOTE Watajifunza Kuheshimu Watu Wote &Wakati Wote●
Waislam ni ndugu zetu,wala hatuna shida nao,sasa shehe kwanini hoja inaoneka una unga mkono wa bandari bila kuchambua mkataba na hoja za wengi.acha ubabaishaji dini haina shida na waislam ni ndugu zetu.chambua mkataba
Tunajua Viongozi wa chadema wanaopokea muongozo kutoka ulaya wanajua bandari yetu ikichapakazi vizuri chama Chao kitapigwa chini 2025 Tunajua nia yao mbaya
sheikh mpotoshaji Lema kasema baadhi ya viongozi wengi wanasiasa waislamu wanaitumia dini kwa ajili ya maslahi yao ya kisiasa wanakula nguruwe na hii ni kweli kwa baadhi ya wanasiasa waislamu na hakusema viongozi wa dini wa kiislamu wanakula nguruwe hiyo si kweli
CHADEMA NA MAASKOFU...WANASHIDA......INAONEKANA WATAKOSA VITU VINGI HASA BANDARI IKIBINAFSISHWA....NA KINACHOONEKANA NI UJANJA UJANJA WANAOFANYA PALE BANDARINI...WANAAGIZA MAGARI KWENYE MAKONTENA WANAANDIKA ZIMEPAKIWA BIBLIA..
@@karimkassam571 kwanini mnatumia dini watu waovu wamejaa dini zote na vyama vyote mbona hutaji viongozi wa Bakwata waliokamatwa kutumia jina la bakwata kupitisha vitu vyao binafsi kukwepa kodi? tatizo hapa ni mkataba sio dini
Kura za Wabunge ulizitoa wewe tu, sie wengine ni Waislamu lakini hatukubaliani na huu Mkataba. Na suala la Udini alilianzisha Mbarawa maana yeye ndo alianza kuzungumza na Viongozi wa Dini.
Hawa tusipo waangalia watakuja kuleta shida ktk nchi yetu hasa katika upande wa dini sisi wakristo ni wengi sana kuanzia dar hadi bara hawa wanataka kutuletea waarabu walete udini tukatae katu katu
Mpumbavu mkubwa ww huna elimu ya kusoma na kuelewa lazima uunge mkono wewe na huyo raisi wako wasegeju tuuu nipe andiko wapi imeandikwa utawaliwe na mwanamke tuache tupambane wenyewe
@@meryshekoloa961, hamna haja ya matusi, kwani suala la ubinafsishaji wa bandari katika ilani ya chama cha chadema 2015 , haikuzungumzia kuweza katika bandari ya Dar es salaam?
Sheikh, mie nachojua ni kwamba Serikali haiendeshwi kwa Imani bali inaendeshwa kwa Katiba na Sheria. Na hawa Wabunge wewe unaamini kwamba walichaguliwa kwa kura HALALI?
Wakristu wajipange hawa watu wanafikiria kuifanya mchi iwe ya kiislaam Nuinyi no nani mtu asiwaseme kwa unafiki Wakristo fikirie DPW wakija hapa itakuwa dhambi kuwa mkristo
😢Kumbe ninyi waislam ni watu wa ajabu sana mnaendeleza choko choko? Ndiyo mana helimu kwa waislam wataiona pale? Mnapotupeleka uko mtakuja ligawa taifa? Jibu swali la msingi mbona watu walimpinga magufuri tena ni wakristo? Acheni unafiki na dini yenu ya kinafiki hii
NA mimi naunga mkono kwa aslimia zoooooote, kazi iendelee kama kawaida, hawo hawana nia njema na taifa letu, na wananchi kwa ujumla, na wanaonesha hawajui kuutumia uhuru waliopewa vizurj.
Sema baazi ya watanzania Wana ubongo mwepes wakusahau unakumbuka ubinafishishaji leli tanesco madin ges nakulikuwa maneno kama haya hiv niugojwa Gani unawapata.
Mashekhe wetu ongeleyeni mambo muhimu hiyo bandari ni tatizo kubwa kama matatizo ya migodi ya dhahabu ilikuwa mibovu natukaja pigaga kelele lakini sasa ni mapema kuzuia mkataba mibovu ili msije mkaaza kulia
Uwekezaji wa bandari hauna tatizo tatizo uwekezaji utaingiria masrahi ya watu waliofanya bandari nimariao kwanza tushike lipi? Mbowe Akira swiden alisema mkataba mi miaka 100 wengine imeuzwa wengine hakuna ukomo njia ya muongo ni fupi
Chadema chama cha udini ukabila na hawana hata jipya wanalimbilia makanisani tu kuwadanganya watu hawatapata kura hawataingianikulu nina imani asilimia zaidi ya 80 kabisa hawatawahi kuingia ikulu kabisa na nimewaona tangu mwanzo genge hili sio zuri kabisa
Wewe unaejinasibisha na usheikh Kwa ni jahil huna elimu juu ya kitu unachokizungumzia pili ni MUNAFIKI kama bin salul kazi Yako kujipendekeza pendekeza tu Huna lolote na hizo nafasizako unazojinadi kwazo. Tafuta elimu kwanza kabla ya kulizungumzia jambo, PUMBAVU MKUBWA WEWE,
serikali inafanya KAZI yake pamoja na wataalamu na wenye elimu ya biashara wataishauri serikali. Wewe sheikh ikushauri usijihusishe na mambo usio na elimu nayo.
Majitu kama shekh huyu wanastahi kuchapwa viboko aidha hadharani au kuwavizia kwa kificho! Haiwezekani kuvutiwa kwako kwa upeo binafsi kuuhusisha na maono ya wengi
Shakhe nikweli mimi nilikua nakusikilizaga sikunyingi sijawahi kusikia hata sikumoja mkisema kwamba muislamiu na mkristo ni sawa kwa kuwa swote wanaitafuta pepo lakini nashangaa mkituita sisi makafiri tunakaa kimya sisi mbona tunamuachia mungu mpaka watoto wenu unasikia wakiambiwa usicheze na mtoto wa kikafiri waislam mnatubaguaga waziwazi
Alipokuwa mwinyi hakusemwa apokuwa kikwete hakusemwa nyinyi vi viongozi wa kiislam ndio mliosababisha yote kama Hanna mungu mtu katukana uislam mkabidhini mungu ashugulike nae katika dini zote kunawatu wakorofi wesiojali wanaweza wakatilana dini ya mtu yoyote Ile shekhe kauli yako ni yakichochezi Kwa kua Kila mtu na akili yake ukikuta watu wanagombana mkristu na muislam Kwa kiss ambacho sio Cha dini vilevile utasimama na muislam mwenzake Kwa sababu tu ni muislam jifunzeni kupuuzia mambo ya mtu mmojammoja Kwa sababu mtuakiongea chukua mema na mabaya uyaache shekhe sisi wakristu pia tulimpigaaga kura kikwete hakuna kiongozi anae pigiwa kura na watu wa dini moja
Tuachane na uwekezaji uwe WA mzungu uwe wa mchina uwe WA Mwingereza uwe WA Mwarabu tuendeshe wenyewe mbona Mwl Nyerere aliweza? Maaana hao wote ni wafanya biashara wanatafuta utajiri waupeleke kwao sisitunaaambulia madeni maana huko tulikotokea tulipigwa sana, mfano Reli TANESCo NBC na mengineyo kwani hamkuyaona hayo?
Kwenye mambo yanchi jamani ebuacheni mambo yaudini kuwenisiliasi waislamu wenzangu hiinchi imetunza amani kabla dinizetu hazijaingia nchini wazee wetuwalielewana bilayakuwa nadini Allah tujalie nchi yetu
Waislam unajua ndio walio anzisha harakati za uhuru? Nyerere alikaribishwa tuu katika chama na wazee wa kiislam ndio waliona mbali ninyi ndio mnaeneza chuki
@@soudmoshmnyika5813 unashida wewe mm muislam kwenye masuala yamaslahi yanchi acheni kupotoshwa nyie mashekhe wetu wauamusho walikamatwa akiwa rais wadini gani mashekhe Arusha na kirimanjaro walikamatwa utawala gani hatutoki kwenye reli udini sioshida zetu TANZANIA
Umeshindwa kuomba mvua inyeshe umekalia siasa hufai na ustegemee mashehe ote wana akili kama yako fiiuuu kwenda huko kumbe wewe ulivutiwa na maneno basi vutiwa na haya yangu nitakuletea pipi
Mama kafanya makosa makubwa kuwapa Uhuru chadema ilitakiwa awapeleke vilevile kimagumagu kina mbowe walikonda na watetea mashoga waliondo roho mkononi
Masha Allah Kiongozi wetu wa roho. Sisi kama wa-Islamu tutalinda taifa letu na viongozi wake kama tulivofanya wakati wa ukoloni. Insha Allah
Semea nafsi Yako wewe mwenyewe, hiyo sisi inatokea wapi? Mkataba wa kijinga huo acha kuchanganya na Dini wewe.
Mashallah hapo kwedibangala kweditilibe nimepapenda sana mzigua ktk ubora wake inshallah
Asante shekh, fanya Kazi ya Mwenyezi Mungu na ishalah malipo yako utakuta.
KAZI YA MUNGU NI KUTETEA HAKI SIO KUTETE MIKATABA INAYOUWA NCHI YETU
MKATABA WA DPW SHEHE ANAUELEWA INAONEKANA ELI YAKE NI YA CHINI SANA / NDOGO
@@kawiche4911 ILA MAASKOFU WANAVOPINGA..NI HALALI...KWA SABABU BANDARI HUWA WANAFAIDIKA NALO...COZ WANAANDIKA KONTENA LINA BIBLIA KUMBE KUNA MAGARI
Mashaallah.
Shekhe unayosema yote hayo niukweli mkubwa.yaani ninakushukuru sana .
Yaani utafikiri wewe nikaka yangu hayo ndoyamo ndani ya moyo wangu.
Tuko nyuma yako begakwabega
She uko SAWA Niko pamoja nawe nami naunga mkono DP tuachane na hili linaloitwa tundu lisu yeye kila kitu ni kupinga
Asante sana abuu iddi kwa kumtetea mama samia
Nakuusieni
Na nyie mashekh mteteeni sana mama samia kama wao mapadri wanavo mtukana
Hakuna mapadri wanaomtukana Rais. Wanaoonekana majukwaa ya kisiasa siyo mapadri ni wachungaji na maasfkofu wasiokuwa na makanisa yanayofahamika ndiyo maana kila siku wanaonekana kwenye mikutano ya chadema na kila siku wakizurura kwenye kesi zao mahakamani. Padri anakaa kanisani ns siyo kuzurura. Anapata taarifa rasmi na siyo majungu. Mapadri na viongozi wa dini walitaka taarifa na Serikali ilitoa taarifa hiyo. Hakuna padri anayemsema rais wala Serikali na wakiwa na jambo wana namna yao ya kusema na siyo uhuni wa majukwaa ya kisiasa
Umepotea hauna lolote 2:33
Hayawani Kwa nini asimtetee Dr Samia na yeye ni raisi na hao mapadri wamuheshimu kama rais wao na ni rais wa dini zote dr Samia oyeeeeeeee nampenda namthamini na haya aje rais wa namna gani mtaongea tuu wachani blabla zenu
Sheikh mbona wanao pinga wanapinga kwa hoja na vifungo vya mkataba wanao tetea hawatetei hoja za vile vifungo vinavyo kingwa kwahio sheikh umevutika sawa lakini umetunga mkono kuangalia hoja zenyewe
18:37
Hivyo wew unaiamini serikali na sio mungu,ondoka hapo babu unatuletea Giza tu
100%sheikh Allah akuhifadhi
Sawa asante shekh muendelee kutuelimisha kuusu chadema
CHADEMA WAMELAANIWA ....KWANZA CHAMA ..UDINI
Sahihi, chadema ni chama cha udini
Wamelaaniwa na nani, hawaombi radhi maana hawajakosea , km wamekosa wapeleke mahakamani
Issue ni mkataba na masharti yasiyo na tija Kwa Taifa,ACHA kupotosha umma Kwa Njaa zako,fafanua vifungu vya Mkataba ACHA udini.
Acha umalaya vifungu vya mkataba vimeshafafanuliwa vyema nawanasheria Wa serikali bado mnachochea vurugu tuu shida yenu nachadema yenu nikuleta vita nakupinga mafanikio ya mama Samia ktk kuiinua nchi kiuchumi mmekosa hoja hatutawasikiliza kenge nyie
Wewe unanjaa tu hz njaa
Shekh toa mawaidha ya dini na sio Mambo ya serekali huna elimu ya Sheria una elimu ya dini na ndo kazi yako utaenda kusema nini kwa Alla
Na wale MAASKOFU wa chadema nao...mbona hamuwaambii hili
Haujui mambo ya kijamii Unajuaa tu mambo ya Dini yako,
Mambo ya kidini ndio jamii yenyewe kuwa mfaham
Kweli wewe chizi Kuna Dini inayo elezea maswala yaki Jami ka Dini yaa kiislam ndio unaleta Udini wenyewe huo
Umma unataka mali zao zisiuzwe abadani
Tatizo zilianza mda Kwann mda muislamu??? Mkapa akuleta mmbwa had miskitini tulifanya Nini,,, tuandamand utawala wa mkristo satakuja
@@Lky589waweke akiba ya maneno yao
Unaweza kunionyesha kuwa bandari inauzwa?
Ss huyu shekh anajua sheria na katiba , bac ww km ulivyo na imani hiyo na mwengine ana imani yake , ucsisikilize tu ww c ni kiongozi bac kazisome sheria ucmpangie mtu ni ww umevutiwa wengine wanasoma sheria ilivyyo , just ndio mashekh matumbo
NDIO MAANA LOWASA ALISEMA KIPAUMBELE CHA KWANZA ELIMU CHA PILI ELIMU CHA TATU ELIMU.😭😭😭😭😭😭
Sheikh unakosea, kuna wakati walikua wanazungumzwa Wachina, kuna wakati walikua wanazungumzwa Wazungu wa Madini kule Buzwagi. Sasa hivi wanazungumzwa Waarabu kwa kua ndo wameingia kwenye huu Mkataba mbovu.
Ww hauko km shekh ila upo km mpenzi wa chama cha ccm,
Na MAASKOFU NI wapenzi wa chadema
Cha msingi ni kwambwa waisalam wasiwaunge mkono chadema kwenye chaguzi zote popote walupo
Kwa hoja Yako, wakristo wasiwapigie CCM , na wao wawapigie Chadema
@@AlphaxardMRusweka-jr1wi upendavyo na hapo ndio tutajua nani wengi nchini
ukicikia maxhee wachumia tumbo ndoo hawa wapo kimaxlah tu
Ndg..najaribu kukuamsha...kwanini MAASKOFU NA CHADEMA ...WAMEKAZANA KUPINGA suala la bandari ....NI hivi hapa kuna MASLAHI BINAFSI ...maana bandari imekuwa NI shamba la Bibi.. Mfano KONTENA linasajiliwa IMEBEBA BIBLIA KUMBE KUNA MAGARI..au kusajiliwa kuwa kuna bendera au kofia za chama kumbe kuna MAGARI.....jpm alisema pale bandarini kuna uovu mkubwa....Rejea clip ya jpm alipotembelea pale na kutufumbua macho WATANZANIA.....haya NI machache tu.....
Maslahi kwao tuu
Safi sana sheikh wangu Abu Idd,umezungumza kwa hoja na hekma kubwa.
Barakallahu fiyka ndg yangu nawe kwa kulijua hilo zito alilolizungumza sheikh wetu
Sheikh sina cha kukupa zaidi ya kukuombea dua kwa Allah akulipe kheri zisizo na mwisho. Mengi na kama sio yoke kuwa umeukonga moyo wangu
Tuzidi kutetea udini usiwepo kama ulivyo kemea kuzalilishwa mtu Kwa dini kama walivyo Sema uwarabu na mengineyo upo sawa tena sana nakama alivyo Sema kila kiongozi wakiisilamu akitawala swala laudini linatokea ni vizuri kuwakemea waache ujinga huo
Hili Jambo ni Simple sana!.
1.MUWEKEZAJI NI LAZIMA, Wasietaka Uwekezaji WAHAMIE Nchi ya Djibouti kule hawataki WAWEKEZAJI.
2.Chaguzi zinakuja by Next Year; KILA MUISLAMU ANAYEJITAMBUA Ahakikishe kua KURA YAKE HAIENDI Chadema Kwa njia hii WANASIASA WOTE Watajifunza Kuheshimu Watu Wote &Wakati Wote●
Ingieni tu kwenye siasa maana sasa havi hakuna anayeshuka wote mnataka kuwa juu.Mungu hapendi hayo
Mashaallah sheikh Abuu Idd anaufasaha sana wa kuzungumza
Waislam ni ndugu zetu,wala hatuna shida nao,sasa shehe kwanini hoja inaoneka una unga mkono wa bandari bila kuchambua mkataba na hoja za wengi.acha ubabaishaji dini haina shida na waislam ni ndugu zetu.chambua mkataba
Tunajua Viongozi wa chadema wanaopokea muongozo kutoka ulaya wanajua bandari yetu ikichapakazi vizuri chama Chao kitapigwa chini 2025 Tunajua nia yao mbaya
Iki00fanya vibaya ndio wataiondoa CCM? Mbona sijaelewa hoja?
Wewe ni dalali na unajipedekeza kwa rais lakini munamuingiza mkenge 2025
CHAMA CHA UDINI NA UKABILA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿NA CHA KANISA NI. CHADEMA ❤❤❤
asante kwa kuchambua mkataba umefurahi!! haya kanywe maji ukalale
Huna akili
@@uwezomayonko5101 UBARIKIWE MGALATIA MTIIFU
sheikh mpotoshaji Lema kasema baadhi ya viongozi wengi wanasiasa waislamu wanaitumia dini kwa ajili ya maslahi yao ya kisiasa wanakula nguruwe na hii ni kweli kwa baadhi ya wanasiasa waislamu na hakusema viongozi wa dini wa kiislamu wanakula nguruwe hiyo si kweli
Wakristo mwisho wao ndio huu kula peke yenu mwisho leo , nimekuwa nikikufuatilia sana katika video zinazopostiwa za kiislam,
CHADEMA NA MAASKOFU...WANASHIDA......INAONEKANA WATAKOSA VITU VINGI HASA BANDARI IKIBINAFSISHWA....NA KINACHOONEKANA NI UJANJA UJANJA WANAOFANYA PALE BANDARINI...WANAAGIZA MAGARI KWENYE MAKONTENA WANAANDIKA ZIMEPAKIWA BIBLIA..
@@karimkassam571 kwanini mnatumia dini watu waovu wamejaa dini zote na vyama vyote mbona hutaji viongozi wa Bakwata waliokamatwa kutumia jina la bakwata kupitisha vitu vyao binafsi kukwepa kodi? tatizo hapa ni mkataba sio dini
شكرا لك وجزاك الله خيرا
Hii nchi t
upiganepo kidogo,kidogo kwakuwa hawa hawataki haki.lisu alipopigwa lisasi mlisemaje
Kura za Wabunge ulizitoa wewe tu, sie wengine ni Waislamu lakini hatukubaliani na huu Mkataba. Na suala la Udini alilianzisha Mbarawa maana yeye ndo alianza kuzungumza na Viongozi wa Dini.
Hii nchi ina mabata mzinga mengi sana sio siri.
Kama wewe
Hawa tusipo waangalia watakuja kuleta shida ktk nchi yetu hasa katika upande wa dini sisi wakristo ni wengi sana kuanzia dar hadi bara hawa wanataka kutuletea waarabu walete udini tukatae katu katu
Tatizo siyo Waaarabu na Uislamu tatizo ni mkataba ulioingiwa
Hujitambui nenda kanye ukalale
Wewe wingi wenu utoke wapi kwa kuzaa uzazi wa mpango?
Ni wakati wa kuhoji mikataba yotee msilete ububusa sio nyie mnaona huu tuu
Sasa mmefichia makucha yenu unajidanganya waislamu niwengi nchi Hii kumzid wakristo eti kuanzia zanzibar Kuna wakristo Wengine?😅😅😅😅😅😅unachekesha wwe
Sheikh , umezungumza vema tena kwa ufasaha
Sio utalaam ni imani tu
Alla akuzidishie elimu na akili zaidi
Amin thuma Amin
Sheh nakushauri uache upuuzi kumuelewa lema mpaka utumie akili ukiwa mlevi unaweza ukafikiri ana niaovu lema ni muungwana mno siyo mchumia tumbo kama nyie
Nami nakushauri uache upumbavu na matusi kwa sheikh wetu choko wewe.
Mpumbavu mkubwa ww huna elimu ya kusoma na kuelewa lazima uunge mkono wewe na huyo raisi wako wasegeju tuuu nipe andiko wapi imeandikwa utawaliwe na mwanamke tuache tupambane wenyewe
@@meryshekoloa961, hamna haja ya matusi, kwani suala la ubinafsishaji wa bandari katika ilani ya chama cha chadema 2015 , haikuzungumzia kuweza katika bandari ya Dar es salaam?
Kwakifupi shekh hakumwelewa lema, kama hajatumwa ingeisikiliza clip ya lema upya
Mbona kuna MAASKOFU wanawake hao nao amewaruhusu maana hata BIBLIA Inakataa
Ahadi unazozisema wanaziahidi viongozi umeziona wapi katika mkataba?
Sheikh, mie nachojua ni kwamba Serikali haiendeshwi kwa Imani bali inaendeshwa kwa Katiba na Sheria. Na hawa Wabunge wewe unaamini kwamba walichaguliwa kwa kura HALALI?
Tunaomba tuchambulie mkataba wenyewe shekhe
Wewe huo mkataba unao?
Mwambie aclete imani yy atuchambulie sheria , achaneni nae nani kaamini hao wabunge wa chama kimoja akwende ,
AIBU AIBU AIBU HIII. KWELI HUKO KWA ALLAH KAZI ITALUWEPO. KWA HILI NIBORA SHEKHE WANGU UNGEKAA KIMYA TU.
Wappe haooo
MPUMBAVU ANAJULIKANA KWA MANENO YAKE.
SASA SHEHE UMEJIDHALILISHA KWA HILO UNATETEA MADUDU YA DPW
WATANZANIA SIO WAJINGA.
DPW
Na wale WANAANDIKA kwenye KONTENA kuna biblia kumbe kuna MAGARI....NAO NI kina Nani....
Madudu ya dp world umeyapata wapi ? Huo mkataba unao ili kunithibitishia kuwa mkataba una madudu?
@@karimkassam571waulize , na jibu huto lipata
Wee sio shekh wa allah....wewe ni shekh mchumia tumbo
Wambie tupo pamoja na wwe
Babu chambua vifungu vya mkataba tutakuelewa zaidi ya apo tumekuelewa ndo walewale
MashaAllah!!!
Mbona mashekh wakiongea hawalazimishi kama akina lema wanavyolazimisha
Sheikh uko vizuri sana nasaha zako hawa makafiri mbowe na wenzake
Lema ana kanisa ni adui wa waislam nilishinae mwanza
Hatupo kwenye udini,
@@halidnaamo6156 kakwbambia Nani kwani uko wapi uislamu unavotukanwa
A
Wakristu wajipange hawa watu wanafikiria kuifanya mchi iwe ya kiislaam
Nuinyi no nani mtu asiwaseme kwa unafiki
Wakristo fikirie DPW wakija hapa itakuwa dhambi kuwa mkristo
Kwani huko ulaya ambako dp world anaendesha bandari ni dhambi kua mkristo? Acha chuki, kua mzalendo kidogo wa taifa lako.
Tuvunje muungano kila mmoja akae kwake ziishe hizo kelele
Umekiri mwenyewe nikweli kila anpotawala muislam udini unaibuka hiyo ni akili.nzuri?, mbona wakristo hatufanyi hivyo waislam mnashida.
Wanao zua udini ni wakristo pindi mwislam akitawala
😢Kumbe ninyi waislam ni watu wa ajabu sana mnaendeleza choko choko? Ndiyo mana helimu kwa waislam wataiona pale? Mnapotupeleka uko mtakuja ligawa taifa? Jibu swali la msingi mbona watu walimpinga magufuri tena ni wakristo? Acheni unafiki na dini yenu ya kinafiki hii
Wacha kupotosha watu wee dogo huna maadili yoyote huijui dini ya kiislamu nenda kaulize uckae ukijua Calicas hujui kitu ndo maana
Ujinga ni mbaya sana.kwani huko nyuma bandari haijawahi kufanyiwa mkataba? Naomba ujibu hili swali
mpumbavu ni wewe na huyo lema wako
We subiri beba bibilia Kama mzigo ukifika kanisani askofu akwambie fungua kifungu Fulani ili Hali bibilia huijui kilichoandikwa ndani bwege wewe
Mnafiki ww na mama ako kafiri
Na ukifa kafiri lazima wende motoni nguruwe we
Ss tutamtetea mama mpaka tufe
NA mimi naunga mkono kwa aslimia zoooooote, kazi iendelee kama kawaida, hawo hawana nia njema na taifa letu, na wananchi kwa ujumla, na wanaonesha hawajui kuutumia uhuru waliopewa vizurj.
kuziona pepo cio Kaz ndogo
Mzalendo anauchungu zaid, hatuna imani tena na serikali hata kidgo,kuanzia kwa d. Hadi wabunge
Fafanua vifungu unaungaje?Acha matangopoli
unataka kuffanuliwa kifungu kip?
Sema baazi ya watanzania Wana ubongo mwepes wakusahau unakumbuka ubinafishishaji leli tanesco madin ges nakulikuwa maneno kama haya hiv niugojwa Gani unawapata.
Mbona hamkusema wakati ule wa ubinafsishaji?
Mashekhe wetu ongeleyeni mambo muhimu hiyo bandari ni tatizo kubwa kama matatizo ya migodi ya dhahabu ilikuwa mibovu natukaja pigaga kelele lakini sasa ni mapema kuzuia mkataba mibovu ili msije mkaaza kulia
Uwekezaji wa bandari hauna tatizo tatizo uwekezaji utaingiria masrahi ya watu waliofanya bandari nimariao kwanza tushike lipi? Mbowe Akira swiden alisema mkataba mi miaka 100 wengine imeuzwa wengine hakuna ukomo njia ya muongo ni fupi
hiv hawa huwa najiuliza wanapewa kitu na rais ili wamtete au?ninin?
Hata chadema wanapewa kitu kumtukana Rais?
Kwahiyo ili wawe Sawa inabidi wamsimange
Wewe unashabikia mkataba umesoma, je ni mkataba wa muda gani,miaka mingapi,faida nazo,tutajie ,tuzijue,
Wewe ama tasisi unayo iongoza ndo inaunga mkono mchakato wa bandari
Chadema chama cha udini ukabila na hawana hata jipya wanalimbilia makanisani tu kuwadanganya watu hawatapata kura hawataingianikulu nina imani asilimia zaidi ya 80 kabisa hawatawahi kuingia ikulu kabisa na nimewaona tangu mwanzo genge hili sio zuri kabisa
Wewe unaejinasibisha na usheikh Kwa ni jahil huna elimu juu ya kitu unachokizungumzia pili ni MUNAFIKI kama bin salul kazi Yako kujipendekeza pendekeza tu
Huna lolote na hizo nafasizako unazojinadi kwazo.
Tafuta elimu kwanza kabla ya kulizungumzia jambo,
PUMBAVU MKUBWA WEWE,
Ila wewe unaetukana na kukashifu upo sahihi....ndugu hii ni Dunia
Nani kawapa kura,? Wacha unafik lisu anaenda nje ya nchi kwa natibau hajakimbia
Anapewa pesa na mabeberu sana na ndio maana hata ushoga na akina fatma karume wanatetea na hawana uzalendo hawa njaa akina Lisu na chadema
serikali inafanya KAZI yake pamoja na wataalamu na wenye elimu ya biashara wataishauri serikali.
Wewe sheikh ikushauri usijihusishe na mambo usio na elimu nayo.
Nani kakuambia sheikh ana elmu embu acha wenge Kuna mtu anaejua biashara Kama muislam
Tuko tayari kupambana na waislaamu kwakuwa wanaibua hoja zisizokuwa na maaana
Waoga nyinyi ...mtaweza.kupambana na moto wa waislam
Majitu kama shekh huyu wanastahi kuchapwa viboko aidha hadharani au kuwavizia kwa kificho! Haiwezekani kuvutiwa kwako kwa upeo binafsi kuuhusisha na maono ya wengi
Soma comments, unahisi wote hawajitambui? Wewe unaye sema hapo hata mkataba wenyewe sidhani kama unao, unasikiliza maneno ya kwenye majukwaa
Mgumu kuelewa mwepesi kusahau...ina maana shekh kaeleza kwa uwazi UMESHINDWA KUELEWA...
Wape hao wakuruppukaji
Mafatani wakubwa Chadema wapotoshaji na hawaitakii mema Tzd
Shukran kwa maelezo yakokuwa mazuri
Mimi piaaa
Wewe ni chawa wa Samia
Shakhe nikweli mimi nilikua nakusikilizaga sikunyingi sijawahi kusikia hata sikumoja mkisema kwamba muislamiu na mkristo ni sawa kwa kuwa swote wanaitafuta pepo lakini nashangaa mkituita sisi makafiri tunakaa kimya sisi mbona tunamuachia mungu mpaka watoto wenu unasikia wakiambiwa usicheze na mtoto wa kikafiri waislam mnatubaguaga waziwazi
Magufuli alisemwa na watu wote ila akiwa kiongozi wa kiislam asisemwe
Alipokuwa mwinyi hakusemwa apokuwa kikwete hakusemwa nyinyi vi viongozi wa kiislam ndio mliosababisha yote kama Hanna mungu mtu katukana uislam mkabidhini mungu ashugulike nae katika dini zote kunawatu wakorofi wesiojali wanaweza wakatilana dini ya mtu yoyote Ile shekhe kauli yako ni yakichochezi Kwa kua Kila mtu na akili yake ukikuta watu wanagombana mkristu na muislam Kwa kiss ambacho sio Cha dini vilevile utasimama na muislam mwenzake Kwa sababu tu ni muislam jifunzeni kupuuzia mambo ya mtu mmojammoja Kwa sababu mtuakiongea chukua mema na mabaya uyaache shekhe sisi wakristu pia tulimpigaaga kura kikwete hakuna kiongozi anae pigiwa kura na watu wa dini moja
@@josephudoba5563 tatizo anasemwa na chadema na maaskofu tu
@@josephudoba5563lete rejea waislam salimesema magufuri
Ume potoka sana kimbe ni kichwatu wala haujui lolote
Shekhe wangu unajidhaliisha kisa ni .... KUMBE NAWEWE NI MWANASIASA
Kama maaskofu na wao wanasiasa au hujui
Tuachane na uwekezaji uwe WA mzungu uwe wa mchina uwe WA Mwingereza uwe WA Mwarabu tuendeshe wenyewe mbona Mwl Nyerere aliweza? Maaana hao wote ni wafanya biashara wanatafuta utajiri waupeleke kwao sisitunaaambulia madeni maana huko tulikotokea tulipigwa sana, mfano Reli TANESCo NBC na mengineyo kwani hamkuyaona hayo?
Sheikh na ungepelekwa Zanzibar wangesema mikataba mizuri anapeleka kwao ndio binadamu tulivyo kwa kwakweli mtihani kweli
Umesoma mkataba babaangu nakuelewa masharti ya mkataba au kila kila mtu anatetea anachojiskia?
Hawa hawaelewi chochote,sasa wanajifanya wasemaji wa Serikali,na Msigwa afanyaje?
We uliye usoma tusaidie
Suala sio kuaminishwa na kuamini ila ni kusoma mkataba unasema Nini.
Usitushashiwi na Imani yako wewe iunge mkono serikali na watoto wako tuache sisi na watoto wetu
SISI WATANZANIA TUNAUNGA MKONO MCHAKATO WA MKATABA WA BANDARI....SHEKHE TUPO PAMOJA
Chaajabu wanaooinga wengi niwakiristo lakini siajabu sana mbona walipinga hata uhuru .
Huo ni uozo wa akili mkataba haueleweki lakini ww unaunga juhudi hiyo akili au matope?
Sio....sisi sema wewe na njaa zako
Pumbavu kwani wa.ekimbia bira sababu
Kwenye mambo yanchi jamani ebuacheni mambo yaudini kuwenisiliasi waislamu wenzangu hiinchi imetunza amani kabla dinizetu hazijaingia nchini wazee wetuwalielewana bilayakuwa nadini Allah tujalie nchi yetu
Waislam unajua ndio walio anzisha harakati za uhuru? Nyerere alikaribishwa tuu katika chama na wazee wa kiislam ndio waliona mbali ninyi ndio mnaeneza chuki
@@soudmoshmnyika5813 unashida wewe mm muislam kwenye masuala yamaslahi yanchi acheni kupotoshwa nyie mashekhe wetu wauamusho walikamatwa akiwa rais wadini gani mashekhe Arusha na kirimanjaro walikamatwa utawala gani hatutoki kwenye reli udini sioshida zetu TANZANIA
Umeshindwa kuomba mvua inyeshe umekalia siasa hufai na ustegemee mashehe ote wana akili kama yako fiiuuu kwenda huko kumbe wewe ulivutiwa na maneno basi vutiwa na haya yangu nitakuletea pipi
Mashekh wote tunamuunga mkono mama Samia natutahamasisha waislamu nchi nzima wasiichague chadema2025
Ukionà mtu kaponda press hii, mjue ni kafiri au chadema.
Tende na misikiti havibadilishwi na bamdari zetu.
Sheikh kuomba radhi ni kuyakana maneno potofu Wasiliana na Mbunge huyo akutajie hao anaokula nao kitimoto itakuwa kheri
Hamuwezi kulinda nchi mbona munawapa wakoroni na mnaongea udini hapo mnataka misfa tu
Kwani samia nini kamuchagua
KACHAGULIWA NA MWENYEZI MUNGU
Kachsguliwa na Mungu mwenyez Pali alipo Mchukua magu nakumuinua Samia pia kachaguliwa kwakura za wananchi kwani Nini maana ya mgombea mwenza?
Tunaikemea nahaiungiki mono watoke au tokeni
Hakuna unacho kiongea wewe lema yuko xawa
Raais anataka vurugu na watu,kwani si rahisi kusema basi tuwekeze wenyewe.anasubirisha vurugu huyu katumwa.suala ni jepesi tu
Kama kubadilisha chama kila mara kuna tija kwa nchi za ki africa basi tungeona faida kwa nchi kama kenya,zambia,malawi nk
Mzee wa misifa tu wewe,
Nafasi zangi nyiiiingi
Huna Elim ya kuchambua mambo ya mikataba