Woow, nilikua na umuri mdogo, wakati dad ali buy his first television na CDISC and this was one of them, and i still love this old gospel songs, they are so powerful , i wish gospel za leo zingekua like this ones .. GOD BLESS U SO MUCH guys werever you are and tuzidi kuwa na tunda la ROHO .. SHALOM 👏
This song reminds me of my hometown Mwanza, During that time it was the AIC choirs era, AIC Changombe, AIC Shinyanga, AIC Makongoro, The whole country was listening to AIC choirs' songs
2003 hiyo, ikifika Krismasi basi ndugu wanaoimba kwenye hiyo kwaya wanakuja kijijini kusherehekea pamoja na familia, ilikuwa raha sana, Mambo yamebadilika sana.
2024 bado anointing ina flow kwenye album hii💝
Kama umependa mavazi Yana staha gonga like
MUNGU ni mwema aisee,toka nipo mdogo nasikia huu wimbo mpaka sasa 2022.Asante Mwenyezi Mungu
2024 na Bado nabarikiwa na huu wimbo😇
Barikiwa mtumishi
Hivi na nyinyi huwa unawasisimua huu wimbo?yaani kila nikiusikiliza tu ni kama umeimbwa juzi tu🙏🙏🙏🙏
2023 YESU AKIWA NDANI UMEPUMZIKA, VIJANA WENZANGU UKOMBOZI UMEFIKA.
Woow, nilikua na umuri mdogo, wakati dad ali buy his first television na CDISC and this was one of them, and i still love this old gospel songs, they are so powerful , i wish gospel za leo zingekua like this ones ..
GOD BLESS U SO MUCH guys werever you are and tuzidi kuwa na tunda la ROHO ..
SHALOM 👏
This song reminds me of my hometown Mwanza, During that time it was the AIC choirs era, AIC Changombe, AIC Shinyanga, AIC Makongoro, The whole country was listening to AIC choirs' songs
Still watching this video in 2024 gonga like hapa twende😊
Enz hzo mwanza kwaya za Hal ya juu n buzuruga, makongoro na nyakato achen tu
Nimeisikiliza nikiwa mdogo sana leo ni mtu mzima kamili na bado napata amani ya moyo kuusikia
Nikiwa Nyamongo Tarime nyimbo hii napenda kuiskiliza nikiwa na familia yangu Asante kwa wimbo huu mzuri mungu awabariki saana
Huuu wimbo unanibariki sana tokea nipo mdgo nimekua nausikia mbarikiwe
Hii nyimbo namkumbuka sana dada yangu alikuwa akiipenda sana
Wimbo mzuri sana hongereni sana naomba muanze upya mludi ktk nafasi zenu
moja kati ya kwaya bora zaidi kuwahi kutokea
Nani anaangalia hii 2020
Asante sana kutoka mwanza Niko dodoma
2003 hiyo, ikifika Krismasi basi ndugu wanaoimba kwenye hiyo kwaya wanakuja kijijini kusherehekea pamoja na familia, ilikuwa raha sana, Mambo yamebadilika sana.
mbarikiwe Mungu awatie nguvu amina
nimekumbuka mbali kipindi hii nyimbo inatoka!! it so maizing
Kabisa aisee!
Nimekumbuka 2005, dada alinunua hii album. Inanibariki mpaka leo
Wimbo huu nimekuwa nikiusikiliza kwa miaka zaidi ya 15 sasa. Mbarikiwe sana wana tunda la Roho
Nilikua nauza duka kipindi hicho babati mtaa wa nyunguu kwa ngonya Mimi pamoja na shemeji yangu chami alinunuaga redio nzuri ina mziki mzuri son
Au sio
Hii nyimbo itaishi sana❤❤❤
Mbarikiwe sana watumishi kwa kazi nzuri mnayoifanya ya kuhakikisha injili inasonga mbele
Nimekumbuka mbali sana hii track
Kama unawapenda gonga like
My favorite nyimbo mpk kihama❤
Tunda la roho🙏🙏 mwenyezi MUNGU awe pamoja nasi
Nmekumbuka sana kipnd icho ulikua favorite song kwa mama daah
I Love this song tunda la roho.
Tunda la roho 2021 bado inabamba
huu wimbo shautatfutaga nalaaaa
Mbarikiwe watu wa mungu
Watching here in kenya 😁
Hii kwaya niliipenda
Great song
Mbarikwe sana nakumbuka ktambo 2008
Nawapenda sana Mama wendo dodoma chamwino
Naupenda xana wimbo huu
Great song of the 21 century
Nyimbo nzuri sana ❤
2021 Inapendeza
Jaman na anajua kwa ya moshi kilimanjaro - Ni kwa neema yake
nakumba mbari sana
waimbaji mungu awabaliki sana
Asante sana
saf sana tunda la roh
Mmmh zamani Sana ,nakumbuka
track tamu, sana
I love this song
Wimbo mzuri
Asante
I love Buzukuga Choir please give full address of church
Message iko sawa mtaenda mbali
Tunda la Roho
2024 ❤
Amen
Nawapenda sana
Wimbo mzuri sana
tunda la roho n upendo
2023❤
Hello
Good
very good keep it up
我爱你们
🔥🔥🔥👏👏💝
2020
Tusapotiane kwa kusubscribe
❤
Sevu
M
2024 ❤
Nyimbo nzuli sana
Asante sana
Nawapenda sana
2020
Wimbo mzuri sana umenibaliki maana enzi hizo baba angu alikuwa anaupenda sana wabalikiwe walioimba na mtunzi