Amazing Simplicity and message impact....fullness of Gods Glory...7 yrs on..this and Tunda La Roho really helped me in my most tuff period of loss in 2018....!!!!!!
Mimi nimezaliwa 1998 nimeikuta hii album nzima home mpaka leo Niko mtu mzima bado ile cassette mzee wangu anayo yaani anaficha chumbani hataki kabisa ipotee....I appreciate that
Huuu wimbo huwa unanipa kuwaza mbali sana ususani wazazi wangu maana unipa kupowa sana ninapokuwa nausikiliza.watumishi wa mungu hongereni sana kwa nyimbo nzuri kama hizi ila kwa sasa nashangaa mmekuwa kimya sana
Acheni kuzizuia nyimbo zinazobariki watu kuzidownlosd
2024 bado nasikiliza mmejua kunifalij na kuniimalishaa
Amazing Simplicity and message impact....fullness of Gods Glory...7 yrs on..this and Tunda La Roho really helped me in my most tuff period of loss in 2018....!!!!!!
Hawa watu waliimba na nyimbo zao zilikuwa nzur sana na walivuta waumin wengi sana jmn du,
Upendo ndo amri kuu ambayo Bwana Yesu ametuasa kuifuata. Barikiweni na Mungu kwa wimbo mzuri
Mimi nimezaliwa 1998 nimeikuta hii album nzima home mpaka leo Niko mtu mzima bado ile cassette mzee wangu anayo yaani anaficha chumbani hataki kabisa ipotee....I appreciate that
Hapana umekosea boss hii album ya mwaka 2005
Tunda la roho
Walimu wa zamani walikuwa wanaombea kazi zappos hizi nyimbo zinauwepo huchoki kuzisikiliza by ng'wana msoka❤
Wananibariki hawa jamani mbarikiwe sana
Daah hii inanikubusha 2005 niko darasa la pili nakumbuka mbali R.i.p my mom💚💚💚
Polee sana mdg ang, mie nilikuwa F1😀😀
Upendo ni kitu muhimu hata yesu aliwapenda wnafunz wake na ss wanadm aminaaaa mbarikiwe
Nyimbo zenu nzuri sana aaaaa mungu akubariki ❤❤❤❤
hii kweli mmeomba ongereni sana mungu awalinde
Nyimbo hii Iko Kwenye simu yangu tangu 2008 nabadrisha simu tu nyimbo nahama nayo kwenda simu mpya, Naipenda sana
Nakumbuka mbali sana baba yangu mdogo alikua anaipensa sana hii nyimbo saivi yupo gelezan
Pole
Dah pole
Pole sana Mungu
Mungu amsmamie
Jamni MUNGU ampe wepesi atoke
Ni mbali Sana nakumbuka nko na kaka yang marehemu Zacharia kasen rip my brother
ASANTE SANA LAKINI SI MTUTOLEE WIMBO MWINGINE JAMANI.MBARIKIWE SANA NDUGU NA DADA ZETU KUTOKA TANZANIA.
Daaah kumbe muda umesonga hivi
Hii album Ni ya moto Hadi leo
Well done! reminds me many years back still in secondary school. All congratulations!
One of my favourite song all time since 2005 until today, it reminds me my childhood
Barikiwe sana.Hakika upendo ni amri kuu ya Mungu kwetu waja wake.
2022 still listening to this
Namkumbuka Sana Marehemu Baba yangu. Alikua anapenda sana nyimbo zenu
Jamani mnanikumbusha sana.nawapenda sana
Jamani hizi nyimbo zinanibariki sana,nitazipata wapi nikihitaji?
Mbarikiwe watumishi kubwa tuutafute upendo
Nakumbuka hm IPO siku nitarud tuuuuuu najua mungu atanitunza
We need to download this song's kindly stop barring
Asante ni sana kwaa ujumbe mzuli
Make it downloadable pliz ❤❤
nakumbuka mbali sana tuwekeeni nyimbo zote za buzuruga
Nice song,, you ar Nothing wthout Love,, Fact
Nimekumbuka mbali
Achieni nyimbo watu wazichukue Mtandaoni
Safi sana Mungu awabariki sana
Nawependa sina zaidi ya neno lingine
Asante sana kwaya hii
Hakika, bila Yesi siyo kitu
Nimekumbuka mbali da
Mbalikiwe sana
Nyimbo yangu bora kabisa
Ilitisha sana mkowapi sikuizi wapedwa nimewa mis sana
2022 nasikiliza
Mmbarikiwe sana
Deus abençoe muito todos vocês 🖐️🙏
Mko vizuri
Nice song, you ar Nothing wthout Love... Fact
Nice song
Mbarikiwe
Amakweli
Muziki umezidii mpk kero
Up to 2020
Safi sana
Pongez kwen wenzangu
2021
2020
❤❤❤❤❤
Welcme
非常漂亮
❤
It's very songs
God bless your all
Mungu wabariki sana sana
Amen
Nice song
Huuu wimbo huwa unanipa kuwaza mbali sana ususani wazazi wangu maana unipa kupowa sana ninapokuwa nausikiliza.watumishi wa mungu hongereni sana kwa nyimbo nzuri kama hizi ila kwa sasa nashangaa mmekuwa kimya sana
Well done ,nice song
Mbarikiwe mmeimba vzr sana nawapenda sana
Aaa
Nice song