Tabata Mennonite Choir - Getsemane (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • Tabata Mennonite Choir - Getsemane (Official Video)
    #TabataMennoniteChoir #TabataChoir
    Subscribe to Africha Entertainment: bit.ly/AfichaSubs
    The Best Of African Music: Kadogo Kamu: New Ugandan Music: New Zambian Music: New Rwanda Music: New Kenyan Music: New Taarab Music: New Gospel Music: New Tanzania Music: New Zanzibar Music: Kenya gospel music: Tanzania Gospel Music: Zambia Gospel Music: ugandan Music, kikuyu gospel music, taarab music, bongo movie, bongo movies, tanzania movies, kanumba movie, steven kanumba, swahili gospel music, kikuyu, mugithi, mugithi mix

ความคิดเห็น • 604

  • @fredyjames7019
    @fredyjames7019 7 หลายเดือนก่อน +106

    Tunaosikilikiliza haya madini 2024 tujuane hapa

    • @mariammnono5247
      @mariammnono5247 7 หลายเดือนก่อน +1

      Naitafuta nidawnlod siipati 😢😢

    • @slaviuslivinusnguvumali6063
      @slaviuslivinusnguvumali6063 6 หลายเดือนก่อน +1

      kitambo sana naipenda

    • @babaWawili-be2jn
      @babaWawili-be2jn 4 หลายเดือนก่อน +1

      🤞🤞

    • @mbokakategela6874
      @mbokakategela6874 3 หลายเดือนก่อน +1

      mimi hapa

    • @AbdulAli-t1b
      @AbdulAli-t1b 2 หลายเดือนก่อน +3

      Naitwa jakobo athuman hata mm naipenda San pole San umenitoa machoz mungu akubariki

  • @hoseahsedekia
    @hoseahsedekia 15 วันที่ผ่านมา +16

    Wangapi tuko hapa 20.9.2024 Hakika Mungu awabariki watumishi wa Mungu🙏

  • @marylaizer
    @marylaizer 7 หลายเดือนก่อน +116

    Mm nina miaka 30 tangu nimesikia huu wimbo had leo sijawahi kuchoka kuusikiliza kama naww unajifariji hadi leo 2024 gonga like hapa kisha tuombe MUNGU ikiwezekana hiki kikombe cha uchumi kuyumba biashara hakuna kazi hakuna ikiwezekana hiki kikombe cha umasikini kituepuke

    • @mollelvincent5639
      @mollelvincent5639 6 หลายเดือนก่อน

      Sema miaka 30 ni uwongo aisee

    • @jobmakambala2216
      @jobmakambala2216 6 หลายเดือนก่อน

      Wako wapi hawa watu alie na jibu naomba anijibu

    • @AnneBonareri
      @AnneBonareri 6 หลายเดือนก่อน

      Wengine walikufa

    • @deborahmchona5584
      @deborahmchona5584 6 หลายเดือนก่อน

      Nani Yuko hapa Leo ijumaa kuu bwana yesu asifiwe

    • @erastomakweta6267
      @erastomakweta6267 5 หลายเดือนก่อน

      AMINA

  • @kiplangatkemei1560
    @kiplangatkemei1560 23 วันที่ผ่านมา +35

    wale tumetoka TikTok likes zikuje

    • @AntonyMuia-wn4rq
      @AntonyMuia-wn4rq วันที่ผ่านมา

      Enyewe kama sio TikTok sigeijua nayo unapedeza kweli

  • @UpeoMinistryofMedia
    @UpeoMinistryofMedia 17 วันที่ผ่านมา +11

    Nani mwingine anakoshwa na "AAAH, AAAH...." gonga like tujuane😅😅

  • @meshackwaweru-yt2wm
    @meshackwaweru-yt2wm 21 วันที่ผ่านมา +9

    Wenye tunazidi kubarikiwa 2024 mikono juu

  • @RuthMwetwa-l7g
    @RuthMwetwa-l7g 19 วันที่ผ่านมา +13

    Niko apa nikitoka TikTok wapi like zangu jameni

  • @florahraph
    @florahraph 19 วันที่ผ่านมา +5

    Wenye tumetoka tktok gonga like❤❤🎉🎉🎉

  • @priverabrahams9323
    @priverabrahams9323 6 หลายเดือนก่อน +27

    Ijumaa kuu ya Leo 2024, na dude kama hili

  • @saidibaisi2238
    @saidibaisi2238 3 ปีที่แล้ว +89

    Kama nawe pia upo tayar twende weka like ya kuamin💯💯🏃🏃🏃

  • @CharlesNyange-jh2xo
    @CharlesNyange-jh2xo 4 หลายเดือนก่อน +23

    Tujuwane jmn wenzangu tunaoendelea kubalikiwa 2024 na kazi hii na jina la bwan lihimidiwe .

    • @AgnesNew-n5i
      @AgnesNew-n5i 4 หลายเดือนก่อน

      Tuko pamoja

  • @paulinenicholaus4135
    @paulinenicholaus4135 หลายเดือนก่อน +8

    Leo1/9/2024❤🎉 who listening with us☝️

  • @chrisngivingivi5691
    @chrisngivingivi5691 29 วันที่ผ่านมา +9

    Hizi nyimbo ziliimbwa kwa hisia sana, Mungu awabariki

  • @zuwenakabwe1017
    @zuwenakabwe1017 4 ปีที่แล้ว +108

    Mi muislam lakin naipenda hii nyimbo balaa

    • @edwinmgovano3013
      @edwinmgovano3013 4 ปีที่แล้ว +3

      Is now your point time to in jesus.May mighty God sum up you to in on his kingdom.Amen

    • @consolatasankwa2635
      @consolatasankwa2635 4 ปีที่แล้ว +2

      Yesu anakupenda ni muda umefika uokoke, Okoka

    • @zuwenakabwe1017
      @zuwenakabwe1017 4 ปีที่แล้ว +3

      Consolata Sankwa emen

    • @zuwenakabwe1017
      @zuwenakabwe1017 4 ปีที่แล้ว +1

      Edwin Mgovano emen

    • @winfridagama2042
      @winfridagama2042 4 ปีที่แล้ว +5

      Muslam mwenye upendo wa ajabu Mungu akubariki matendo mema

  • @mathayodundo5433
    @mathayodundo5433 3 ปีที่แล้ว +170

    Huu wimbo nikikuwa kijana mdogo marehem baba yangu na mama yangu walikuwa wanaipenda kanda ya wimbo huu leo hawapo duniani nimekumbuka mbali sana

  • @Mussakuyella
    @Mussakuyella 6 หลายเดือนก่อน +3

    Wimbo bora sana

  • @moureenleonard3981
    @moureenleonard3981 3 หลายเดือนก่อน +9

    Nyimbo naipenda sana nilisikia jilani yangu kaupiga nikaukumbuka nikabidi niuckilize❤2024

  • @claudiamtuya
    @claudiamtuya 6 หลายเดือนก่อน +7

    Marehemu Baba yangu alipenda sana hii nyimbo,Rest Well Dad❤

  • @IbrahimHussein-hq3zn
    @IbrahimHussein-hq3zn 11 หลายเดือนก่อน +3

    Menaite.tabata.uw.inaipa.amni.rohoni

  • @AliceGati-ny8fr
    @AliceGati-ny8fr ปีที่แล้ว +2

    Mnadance kwa utaratibu mno,💕💕💕watu siku izi wanacheza kama vipeopeo

  • @DONATHLUBIKI-lf1mi
    @DONATHLUBIKI-lf1mi 7 หลายเดือนก่อน +19

    2024 still watching this anointing song ❤

  • @AnchiraEvodius-xq1pv
    @AnchiraEvodius-xq1pv ปีที่แล้ว +6

    Wimbo huu Mimi ulinifanya kumjua mungu kuwa alitupenda sana wanadam

  • @martinnassary587
    @martinnassary587 4 ปีที่แล้ว +42

    Akaomba akisema ee baba ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke ila sii kama nitakavyo Mimi Bali utakavyo wewe basi na sisi tunakuomba utuepushe na kikombe hiki cha korona kama ikikupendeza baba yetu ulie mbinguni

    • @segelmoses5080
      @segelmoses5080 2 ปีที่แล้ว

      Amen

    • @eliaboniface101
      @eliaboniface101 7 หลายเดือนก่อน

      Yesu akuwa na maombi ya ubinafsi kama sisi ndio maana alitaka kuomba kikombe kimuepuke ila akukumbuka nilazima afe kwaajili ya waliopotea

  • @WilleyIbrah
    @WilleyIbrah 15 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu ainuliwe juu Mbinguni Kwa matendo yake makuu. Tukeshe Kwa kusali na kuomba Kwa kua hatuijui siku Wala saa atakayokuja mwana wa Adam.

  • @elijahosiemo5195
    @elijahosiemo5195 7 หลายเดือนก่อน +2

    Pure talent all round. Thanks, good song!!

  • @richurassa-kb1vk
    @richurassa-kb1vk ปีที่แล้ว +3

    Mungu awatangulie Yani natamani sana niwe mwimbaji wakwaya

  • @mbachoclassic7818
    @mbachoclassic7818 3 หลายเดือนก่อน +3

    Nimezisikiliza zamani nikiwa primary miaka ya tisini mpaka sasa za moto Mungu aendelee kutupa habari njema kama hizi

  • @anetivicent6176
    @anetivicent6176 4 ปีที่แล้ว +22

    Tatizo waalimu wa hizi kwaya,,,,wanamalizika naona,,,,,sasa tunabaki na bongofleva za kidini,,,,Eee Mungu tukumbushe tulikotoka na kwaya zenye ujumbe kama huu ziko wapi??

    • @jovanafidelis2802
      @jovanafidelis2802 4 ปีที่แล้ว +1

      Hata Mimi kwasasa naona bongo fleva tu.sijaona kwaya.

    • @truezjr.3410
      @truezjr.3410 4 ปีที่แล้ว +1

      Nyimbo za siku hizi ni mashindano kwenye TV na cyo kufikisha ujumbe wa Mungu kwa Wanadamuu...

    • @christinajacobo1880
      @christinajacobo1880 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwel mung atusaidie

    • @segelmoses5080
      @segelmoses5080 2 ปีที่แล้ว

      pray for them

  • @tapraandichmetto153
    @tapraandichmetto153 20 วันที่ผ่านมา +4

    When gospel was truly anointed by the holy Spirit.
    I wonder if time will go back to these good days.
    Very nostalgic!

  • @TelesyaNdaigah
    @TelesyaNdaigah 7 หลายเดือนก่อน +3

    Jaman naipenda sana sasa nashindwa kuuhifanzi kwangu

  • @ShortYouTube-km9si
    @ShortYouTube-km9si 6 หลายเดือนก่อน +3

    Wangapi Wako Hapa Wakati Huu Tukiingia Mwezi Wa Pasaka🙏🙏

  • @mamabrayo3233
    @mamabrayo3233 7 หลายเดือนก่อน +5

    A soul touching song...naiskiza kama nimefunga macho

  • @CharlesKinyumu-ll7cr
    @CharlesKinyumu-ll7cr 2 หลายเดือนก่อน +4

    watunzi wa hizi enzi walikua na upako kweli,miaka yote io na bado kusikiza ujumbe ni swari na upako bado watiririka kweli,kuna Mungu aishiye jameni.

  • @Delaxmboya
    @Delaxmboya 7 หลายเดือนก่อน +4

    Finally nimepata wimbo jameni

  • @happinessmwidima3806
    @happinessmwidima3806 4 หลายเดือนก่อน +7

    Mungu amrehemu baba yangu, moyoni mwangu UNAISHI. in those days ulikuwa unabonyesha replay kila wimbo ukikaribia kuisha

  • @loitolaisser3040
    @loitolaisser3040 3 ปีที่แล้ว +52

    Nyimbo zinazoishi hadi leo tangu nikiwa mdogo nilikuwa nazipenda hizi nyimbo Mungu aendelee kuwabariki🙏🏿

    • @loitolaisser3040
      @loitolaisser3040 2 ปีที่แล้ว +1

      Ni kwa neema nipo tena🙏🏿

    • @issasingaile3851
      @issasingaile3851 2 ปีที่แล้ว

      waimbaji wazamani ilikuwa kweli cyo wasasa

  • @peacemakersplus37
    @peacemakersplus37 ปีที่แล้ว +12

    Huu wimbo ni mtamu Hadi unaskiza unajipata nywele za kichwa zinasimama ..kwanza mpangalio wa wimbo wenyewe na instruments umeweza Kabisa...weka like kama umebarikiwa..

  • @jerubetjoan20
    @jerubetjoan20 9 หลายเดือนก่อน +4

    When Gospel was real, ile kikombe ya laana, kukataliwa niondolee Baba hii mwaka 2024.

  • @Jabali_Media
    @Jabali_Media ปีที่แล้ว +3

    Dah utukufu mwingi Sana... Mfano halisi wa wimbo wa dini.... Nidhamu adabu hekima na utii wa Hali ya juu

  • @NoeBarnaba-uk4kg
    @NoeBarnaba-uk4kg ปีที่แล้ว +4

    ❤ hawa waimbaji waliendaga wapi sijasikiaga nyimbo zao tena barikiwa Sana Kwa nyimbo zenu tam sana

  • @getrudemangarejonathan7339
    @getrudemangarejonathan7339 11 หลายเดือนก่อน +13

    2023....can't stop playing...remind me of my late mom😢😢the song though still have the same power... Jesus I love you no matter the lose of our loved once....Nov 2023 ...

    • @lisambeba4580
      @lisambeba4580 3 หลายเดือนก่อน +1

      Reminds me of my late mom pia, hili lilikua kanisa tulilokuwa tukisali pamoja alipokuwa hai - Tabata Segeres mennonite, alikua anapenda sana wa zile cd za gospel za akina Rose muhando; very nostalgic kwakwl 🙏🙏

  • @PeterDaudi-i4k
    @PeterDaudi-i4k 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu ni mwemaa huu wimbo unanifariji sanaaaaaa ❤

  • @KennedyOriko
    @KennedyOriko 6 หลายเดือนก่อน +9

    I'm in Kenya but I started watching this in 2007 until today.ina mafundisho hasaa tuombe bila kuchoka.

  • @RutayisireJ
    @RutayisireJ 6 หลายเดือนก่อน +3

    Ata nikiwa na njaa kusikiliza tu na shiba na upande sana❤❤❤❤❤❤❤

  • @faithnelsoni4600
    @faithnelsoni4600 6 หลายเดือนก่อน +4

    Leo nipo hapa ijumaa kuu

  • @deogratiaspeter9400
    @deogratiaspeter9400 4 ปีที่แล้ว +59

    Mungu awabariki sana wote walioshiriki katika Wimbo huu.

    • @justinemwakipangile783
      @justinemwakipangile783 3 ปีที่แล้ว +1

      Mungu awabariki nyinyi!!!!!!!

    • @wilsonmaswimbo3061
      @wilsonmaswimbo3061 3 ปีที่แล้ว +1

      Ndabva ndoiwasei nziyo iyi? Ndinoida ino ndiitira

    • @gracemwilu5316
      @gracemwilu5316 2 ปีที่แล้ว +1

      Mungu awazidishie baraka zake popote mlipo menomite choir ninambarikiwa sana ninaposkia wimbo huu ambao unatukumbusha mateso ya yesu.

    • @hebronmwagodi9496
      @hebronmwagodi9496 2 ปีที่แล้ว

      Wimbo mzuri sana, ulinitia moyo sana 2007 nkisomea KCSE, Mungu abariki Choir hii

    • @bahatibahatimdee7586
      @bahatibahatimdee7586 2 ปีที่แล้ว

      Nabarikiwa Sana na nyimbo hizi

  • @sebastianmarcely4704
    @sebastianmarcely4704 4 ปีที่แล้ว +19

    Huwa najickia faraja san nnaposikilza hii nyimbo mungu awabarik san

  • @sophiaismail4762
    @sophiaismail4762 ปีที่แล้ว +2

    nabarikiwa nai nyimbo👍👍

  • @daemuularmmy5280
    @daemuularmmy5280 3 ปีที่แล้ว +14

    2021 feb gonga like twenzetu

  • @RizikiAbdala
    @RizikiAbdala 11 หลายเดือนก่อน +5

    Leo ni October 15 2023 naangalia wimbo huu,natamani ufanyiwe review

  • @elvinahmoraa5988
    @elvinahmoraa5988 3 ปีที่แล้ว +7

    Wacha mungu aendelee kuinuliwa siku zote Amina🙏🙏❤️💕

  • @esterchananji2657
    @esterchananji2657 3 ปีที่แล้ว +5

    Mavazi yao safi kabisa na hapa Ni kabla shetani hajawa Fundi cherehani

  • @williamkirway4620
    @williamkirway4620 3 ปีที่แล้ว +14

    Waimbaji wimbo wenye ujumbe wenye kutukumbusha,hata tunapokuwa tunamwona ndugu ana wakati mgumu Kesha nae kumwombea,19-12-2020Wiliam cresent kirway toka Haydom-manyara.

  • @loitolaisser3040
    @loitolaisser3040 3 ปีที่แล้ว +21

    2021 bado wimbo unaendelea kuishi🙏🏿

  • @tinakabyemela3593
    @tinakabyemela3593 ปีที่แล้ว +2

    Huu wimbo unanibariki mpaka leo 2023

  • @joelsundee
    @joelsundee 14 วันที่ผ่านมา +1

    Wenye tunasiki hii leo kujeni hapa

  • @danielmathengeofficialpage4058
    @danielmathengeofficialpage4058 ปีที่แล้ว +2

    Tafadhali niambieni huyu mwana gita mwenzangu anaitwa nani Nim ngotee!

  • @LucasNtigizu
    @LucasNtigizu 11 หลายเดือนก่อน +2

    Namshukuru Mungu kwa huruma yake isiyo kifani nakumbuka mbali mno nikiwa nachunga mbuzi

  • @lizzynkifu4179
    @lizzynkifu4179 ปีที่แล้ว +3

    2023 bado ni wimbo wangu pendwa

  • @blessedone3156
    @blessedone3156 4 ปีที่แล้ว +9

    Who is here october2020.nimeamshwa asubuhi ikiimba kwa akili nimeitafuta hadi nimeipata.hamukukesha pamoja nami hata saa moja😭😭😭🙏

  • @raphaelmwamakimbula9642
    @raphaelmwamakimbula9642 2 ปีที่แล้ว +11

    Wimbo naupenda mno jamani!♥️♥️♥️👏🇹🇿

  • @carolinelabby6021
    @carolinelabby6021 9 หลายเดือนก่อน +3

    Huu wimbo umenikumbusha marehemu wazazi wang,Mungu aendelee kuwapumzisha Kwa Amani

  • @linahsemindu4261
    @linahsemindu4261 3 ปีที่แล้ว +16

    Nimebarikiwa Sana Leo tar 15 ya mwez wa 8 mwaka huu 2021 mungu awabariki Sana na ambariki baba angu mzazi mzee bathroom semindu anaumwa " naomba kupitia faraja y wimbo huu na juma 2 ya Leo akabarikiwe 🙏

  • @beatricesway6875
    @beatricesway6875 ปีที่แล้ว +2

    Nimejikuta nakumbuka huu wimbo usiku huu,2023 lakini ujumbe wake ni maisha ya Leo

  • @lucasnela2785
    @lucasnela2785 2 ปีที่แล้ว +6

    Nyimbo yenye baraka hakika mlimtumikia Mungu.

  • @julianakabanza2617
    @julianakabanza2617 4 ปีที่แล้ว +28

    Nazipenda sana nyimbo hiz ni kwaya yangu ninayoipenda milele hakika mnajua kuteka hisia za watu mbarikiwe sana

  • @mossesramadhani501
    @mossesramadhani501 ปีที่แล้ว +2

    Kwa anayejua HUU wimbo ulitoka mwka Gani

  • @furahafedrick8501
    @furahafedrick8501 4 ปีที่แล้ว +15

    Kwanza nimeona kwenye tv ulivo isha tu nikakimbilia TH-cam niangalie ninavo taka

  • @TNRG2009
    @TNRG2009 ปีที่แล้ว +6

    Here are the Swahili lyrics of this Golden Gospel Song:
    1a. Wakati ule Yesu, alipokuwa busitanini Getesimane; alimchukua Petro, na Zebedayo
    Wakati akienda kuomba;
    (Alihuzunikaa, alisononekaa x2)
    Ndipo akawambia,
    Roho yangu,
    Inahuzunikia sijakufax2.
    Kaeni hapa mkeshe, Pamoja nami-mi x2.
    Akaendelea mbele kidogo (Baba-a),
    Akaanguka kifulifuli (Baba-a),
    Akaomba akisema eh Baba (Baba-a),
    Kikombe hiki kiniepuke (Baba-a),
    Wala si kama Mimi ntataka (Baba-a),
    Bali ni kama Wewe utataka (Baba-a) x2.
    1b. Wakati ule Yesu alipokuwa busitanini Getesimane;
    alimchukua Petro na Zebedayo,
    Wakati akienda kuomba;
    (alihuzunika-a, alisononeka-a x2).
    Ndipo akawambia, Roho yangu, Inahuzunikia sijakufa-a x2.
    Kaeni hapa mkeshe, Pamoja nami-mi x2.
    Akaendelea mbele kidogo, Akanguka kifulifuli,
    Akaomba akisema e'Baba, Kikombe hiki kiniepuke,
    Wala si kama Mimi ntataka,
    Bali ni kama Wewe utataka x2.
    2a. Akawajia wale wanafunzi,
    akawakuta wameshalala.
    Akawambia: Je Petro,
    hamkukesha pamoja nami,
    (hata saa moja X4).
    Kesheni, muombe, msije, mka-ingia majaribuni x2;
    [Roho-i, (radhi)X3),
    Lakini mwili ni dhaifu] x2.
    2b. Akawajia wale wanafunzi,
    akawakuta wameshalala,
    Akawambia: Je Petro,
    Hamkukesha pamoja nami,
    (Hata saa moja X4.).
    Kesheni, muombe, msije, mka-ingia majaribuni x2,
    [Roho-i, (radhi x3),
    Lakini mwili ni dhaifu] x2.
    3. Akawajia mara ya tatu,
    Akawakuta wameshalala,
    Akawambia-a saa yaja,
    Mwana wa Adamu atakamatwa,
    (Twende zetuni x4).
    Baba twende (twendeni), twende (twendeni zetuni), kaka yangu twende (twendeni);
    Mama twende (twendeni), twende (twendeni zetuni), Dada yangu twende (twendeni);
    Baba twende (twendeni), twende (twendeni zetuni), Kaka yangu twende (twendeni);
    Mama twende (twendeni), twende (zetuni), Dada yangu twende (twendeni);
    4. Dada yangu simama twende, Baba yangu twende;
    Kaka yangu simama twende, Kaka yangu twende;
    Dada yangu acha twende, Mama yangu twende;
    Dada yangu simama twende, Baba(?) yangu twende:
    Baba twende (twendeni), twende (twendeni zetuni), Kaka yangu twende (twendeni);
    Mama twende (twendeni), twende (twendeni zetuni), Dada yangu twende (twendeni);
    Baba twende (twendeni), twende (twendeni zetuni), Kaka yangu twende (twendeni);
    Mama twende (twendeni), twende (zetuni), Dada yangu twende (twendeni);
    (Yule mwenye(???) …acha twende twende zetuni×2).

  • @patrickernest5074
    @patrickernest5074 3 ปีที่แล้ว +30

    Proud to be Christian ♥️♥️♥️

  • @favoured4131
    @favoured4131 2 ปีที่แล้ว +37

    2022...time flies..the memories the faith still stands...

  • @dayanaurio8550
    @dayanaurio8550 3 ปีที่แล้ว +11

    Jamani nyimbo napemda kuisikiliza kila ck,,mungu awabariki Sana kwa kz yenu nzuri💕

  • @titohaule4758
    @titohaule4758 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu Awabariki viongozi wa kwaya hii na waimbaji wa kwaya hii Bila kumsahau huyu kijana kiongozi akiwa na sauti nzuri sana Mungu awabariki sikuzote za maishayenu

    • @kelvinemanuel2416
      @kelvinemanuel2416 2 ปีที่แล้ว

      Bahati mbata hatupo naye miaka mingi iliyopita.. RIP

    • @loitolaisser3040
      @loitolaisser3040 2 ปีที่แล้ว

      @@kelvinemanuel2416 elikana nasikia yupo hai

  • @tee_mult
    @tee_mult 13 วันที่ผ่านมา

    I was so young nilipokuwa nasikiliza I’m in my middle 20s but the song is blessing to me still❤ 2024 🎉

  • @DestinedVictor
    @DestinedVictor 5 หลายเดือนก่อน +2

    baba ifanyike kama vile utakavyo 🙏🙏

  • @NelisonLukas
    @NelisonLukas 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hakika izi ndizo nyimbo za kuukonga moyo

  • @stellerlema863
    @stellerlema863 ปีที่แล้ว +2

    Mama yangu anapenda huu wimbo jamani anaujua wote😔☺️☺️ nam naupenda pia❤❤

  • @felisterkamuli1893
    @felisterkamuli1893 ปีที่แล้ว +19

    2022 still loving the song..May God bless the choir

  • @misstee102
    @misstee102 ปีที่แล้ว +1

    2023 🔥🔥My favorite song 🎵

  • @Ms_joyce21
    @Ms_joyce21 6 หลายเดือนก่อน +3

    Best song ever❤️

  • @furahafedrick8501
    @furahafedrick8501 4 ปีที่แล้ว +8

    Nashindwa kuelewa huu wimb ni wamwaka jana kweli mm naona wakitambo lakn nikama umetoka leo

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 3 ปีที่แล้ว

      Hazichuji hizi nyimbo nitamu sana

  • @alexandernyimbi8186
    @alexandernyimbi8186 4 ปีที่แล้ว +27

    Elikana kwenye ubora wake kabisa. One of the Everlasting Album from this Choir

    • @jumannemasangwa9849
      @jumannemasangwa9849 4 ปีที่แล้ว +2

      Loving the song endlessly

    • @fredyelifuraha2553
      @fredyelifuraha2553 2 ปีที่แล้ว +1

      Is Elikana still alive?

    • @alexandernyimbi8186
      @alexandernyimbi8186 2 ปีที่แล้ว +2

      @@fredyelifuraha2553 Yes He is 🙏🏽

    • @williamalbert9220
      @williamalbert9220 7 หลายเดือนก่อน

      Hivi anapatikana wapi ili tuweze kuongea nae tuwatafute na wenzie tuandae tamasha lao

  • @emmaculatemuga6823
    @emmaculatemuga6823 ปีที่แล้ว +2

    The pafect song

  • @kelvinnzioka8816
    @kelvinnzioka8816 6 วันที่ผ่านมา

    Wimbo huu nimeuskia kwa mara ya kwanza kutoka tiktok. Mungu airehemu na airejeshe kanisa yake maana tumepotoka na kuiacha ile njia ya zamani.

  • @henrymhanze2588
    @henrymhanze2588 4 ปีที่แล้ว +7

    Nyimbo zinazoishi

  • @samroymen4980
    @samroymen4980 4 ปีที่แล้ว +5

    hizi sasa ndo Gospel mtu anaimba akimaanisha siyo za siku izi zenye hata huez tofautisha gospel na secular

    • @christinajacobo1880
      @christinajacobo1880 3 ปีที่แล้ว

      Kwel hatahazieleweki uvaaji tu wenyewe haunatpfauti na mtu ambae hamjui mung

  • @Simonkiundi
    @Simonkiundi 6 วันที่ผ่านมา

    Hii wimbo inasumbua TikTok sana congratulations kw Hawa Wana kwya

  • @MecktridaAntony-xk6dl
    @MecktridaAntony-xk6dl ปีที่แล้ว +2

    Jaman jaman huu mwimbo jaman mzur sana hizi hzo nipo kandogo👏👏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @johnmophat5300
    @johnmophat5300 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu azidi kutubariki 2024 na zaidi 🎉❤

  • @carolinekaigua6187
    @carolinekaigua6187 ปีที่แล้ว

    2023😊😊😊God you have been faithful 🙏🙏🙏

  • @SaidimaneManega-kt4tm
    @SaidimaneManega-kt4tm ปีที่แล้ว +1

    Jamani huu wimbo naupenda sana

  • @lovenessmjaka9754
    @lovenessmjaka9754 ปีที่แล้ว +5

    Nilisikiliza hii nyimbo nikiwa mdogo mpka now 2022 naupenda San huu wimbo MUNGU awabariki sana

  • @Julius-m6o
    @Julius-m6o 23 วันที่ผ่านมา +1

    Nice song,I've been blessed a lot may the gospel circulate all over the world Amen

  • @jeunajuatv817
    @jeunajuatv817 ปีที่แล้ว +1

    September 02 2023 still love this song

  • @bintijuma942
    @bintijuma942 ปีที่แล้ว +1

    Amina

  • @bellasamwelisamweli7956
    @bellasamwelisamweli7956 4 ปีที่แล้ว +4

    Akaomba akisema ee baba 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼5

  • @plasinapius5421
    @plasinapius5421 3 ปีที่แล้ว +4

    2021 bado npo manyi❤❤❤🙏🙏🙏

  • @josephmiringu9559
    @josephmiringu9559 ปีที่แล้ว +1

    Asante Kwa maneno mazuri ya kujenga roho zetu,mungu awe baraka kwenu

  • @lusekelomwandemelela3894
    @lusekelomwandemelela3894 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nyimbo za hawa jamaa zinasisimua

  • @phinawatwego7260
    @phinawatwego7260 4 ปีที่แล้ว +4

    Mwili ni dhaifu, tujitahidi, twende zetu