Safi sana pongezi nyingii mtz mwenzetu, binafsi najivunia nionapo mabilionea wazawa ili hatimae tuumiliki uchumi wetu kwa utimilifu. Maana list ya mabilionea iliyopo sasa sehemu kubwa ni waasia, japo si jambo baya kwani wametengeneza ajira na kulipa mapato.
Ni sawa lakini pesa zinazotoka kwake na kurudi serkali ni nyingi haya mmesikia milioni 400 maana yake imebaki billion 1 na milioni 600 bado pesa alizopoteza mpaka kuja kupata hiyo pesa lakini wakiwa wazungu wanasamehewa kodi
Kipindi cha Marehemu magufuli Saniniu Lazier aliuza kilo 9.2 kwa billion 7.8 leo mtu anapata kilo 111 anapewa billion 20 😂😂 Kazi iendelee Mama anaupiga mwingi
Waandushi wa habari punguzeni mihemko,mtu hata hakufkia ubilionea nyie mnampa mnajua mtu kuwa bilionea mpka awe na kiasi gani??hata yule wa guruwe anaitwa bilionea
Hongera yake MUNGU amzidishie atupe na cc inshallah
Ameen
Aamina yaarabi na Atupe Mwishon Mwema
@@SalmanMughal-lq5lt amiiiin
Upewe nawew ukiwa wapi, ukitaka madini kuwa maeneo ya madini, ukitaka samaki kuwa karibu na mito na bahar
@@hallin9561 pesa ni Rizki popote inapatikana muhimu juhudi tuu
Hii ni hatari haifai kumtangaza mtu kwa pesa aliyoipata ni kumtafutia maadui. Msigwa hakikisha hiyo pesa inaleta tija ktk maisha usiwaruhusu machawa.
Mashaa Allah habari nzuri sana hii Tanzania ina pesa jamani lakini umaskini bado upo mwingi vijijini uko mungu atasaidiya
Huu mwaka mpaka kieleweke ,
Hongera zake ,
Tabu anaipata EX wake aliemzarau msigwa wakati hana hela😂😂😂😂😂
I'm next billionare insAllah
Ameen
Keep it 💯
Safi sana pongezi nyingii mtz mwenzetu, binafsi najivunia nionapo mabilionea wazawa ili hatimae tuumiliki uchumi wetu kwa utimilifu. Maana list ya mabilionea iliyopo sasa sehemu kubwa ni waasia, japo si jambo baya kwani wametengeneza ajira na kulipa mapato.
Hongera kwake Mungu mwema.Tanzania to the World🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mzee anajituma sanaaa acha mungu ampe🎉
Anajituma mzee Mungu amemuona
Hongera kaka Mungu atupi mja wake
AMEVUNA ..AKAVUNWA
KODI 47% 😂
Na anamabasi ya msigwa na Aidan duuh noma sana
Mwenye mabasi sio huyu, bali ni ndugu yake
Mwenye mabasi ni mdogo ake
Hongera zake. Uchimbaji soi kazi rahisi, Kuna mawili ufe au upate
Ufe upate na ukose
Hongera sana kaka sema kuwa makini wasiojulikan ni wengi Tz
Vijijini kuna pesa nyingi kuna Mali mashamba ila bado vijana tunakimbilia mjini 😂😂😂
Hongera sana ❤❤
Hongera mkuu 🙏
Hongera msigwa.endelea kuwekeza zaidi
Aifahi kutangaza watu kwa stahili hii
Fact
111 🤲
Mabasi ya mdogo wake yeye alikuwa namabasi zamani yalikuwa yanaitwa mdimi
Hongera sana Ila walinzi muhimu
Dah
Solute tajiri
ongera
+MUNGU+ azidi KUKUBARIKI na kukutunza hata na uzao wako baada yako 1 WAKORINTO 1:9🙏
Badilisha maisha mzee ishi kitajili sasa
Pongezi nyingi kwake
Mi ntatajwa mbinguni😂
🙏🙏
Naomba awe baba yngu jamoon huhuhu umaskini bay by by
Pesa za ndagu hizooo
Huyu ni bilionea kitambo mbona
Tajiri wangu wa zaman
SASA JICHANGANYE WEWE MWENZANGU NA MIMI NENDA KACHIMBE HAYO MADINI HAKI YA KWELI UTACHIMBA MIAKA 100 HATA LAKI 2 HUJI KUPATA
Ni sawa lakini pesa zinazotoka kwake na kurudi serkali ni nyingi haya mmesikia milioni 400 maana yake imebaki billion 1 na milioni 600 bado pesa alizopoteza mpaka kuja kupata hiyo pesa lakini wakiwa wazungu wanasamehewa kodi
Ni bilioni ishirini (20)sio bilioni mbili(2)
Hesabu huijui kaa kimya 20bilion ni yake Kodi zilikwisha tolewa
@@rizikingoko4472 sawa zwazwa
Kurukia tu mambo
Ndagu hiyo
On to the next
Huo niuongo 111kg huwezi uza Kwa billion 20
Kipindi cha Marehemu magufuli Saniniu Lazier aliuza kilo 9.2 kwa billion 7.8 leo mtu anapata kilo 111 anapewa billion 20 😂😂 Kazi iendelee Mama anaupiga mwingi
Laizer ilikuw Tanzanite huyu ni Dhahabu usipotoshe watu.
😂 Nilijua ni yule mchunga mbuzi msigwa wa siasa tungeumia
Msigwa nigawie hapo milioni 10 jamaniii
Sema kapigwa parefu gharama za kukagua mill 200 plus ...sjui kodi 400plus na stina ktu sjui za nn plus bilioni ya ushuru sjui
😂😂😂😂serikal
Hajawaonyesha yote Mzee 😅
Ni pesa ndefu sana hiyo aise
Madini yangu siyaoniii😢
Wow😮🤑🤑🤑🤑🤗🥳
Duh
Ndugu yangu huyu alipotea zamani
Ni SHEMEJI yangu huyu ameoa kwetu kabisa huyu jamaa kamuoa dada angu kabisa😂
Sasahivi atakuoa na wewe
@@brandsmedia4861 🤣🤣🤣
Watu mnajua kujibu 😂😂😂😂😂😂😂😂@@brandsmedia4861
Sasa ataowa ukoo mzima
Mfichen wacje mteka bc😢😢😢
Inamaana apo laiza akasome duuuh
Sasa mbona uyu ni billionea toka 2000
Ana mabasi
Mhmmm
Sio vit ni vat mkuu
Duuh
20B siyo billionare,huyo ni millionare
Unajua maana ya billionaire??? Na maana ya millionaire???? .....ushaambiwa anamiliki billionaire 20 halafu unasema sio billionaire
Mtu kuwa na less than 10 usd ni bilionea?
@@rkcomercialenterprises3209 ulichoandika umekosea au umemaanisha.....10 USD si dollar KUMI.........huyo ana dollar billioni ishirini
Huna akili sasa hiyo B hapo inatafuta nini
Mumguj
Waandushi wa habari punguzeni mihemko,mtu hata hakufkia ubilionea nyie mnampa mnajua mtu kuwa bilionea mpka awe na kiasi gani??hata yule wa guruwe anaitwa bilionea
We nawe kilaza kweli, umeambiwa mtu kapata BILIONI 22. wewe unasema bado hafai kuitwa billionaire sasa ulitaka awe millionaire
@@brandsmedia4861 Usikurupuke nenda kasome
mjomba angu kabisa huyu
Huyu mtangazaji wa ayo sindio ameporwa kadi ya kamera na walinzi wa makonda.
Hapana uyu yupo HQ dar
kwani kilo moja ni shiling ngp.-
Nawewe umeona kama hela ndogo ee
Milion 220 kwa kg 1
Angetakiwa alipwe bilion 24 ah nimekumbuka amekatwa kodi na mirabaha kweli ipo xawa
Vijijini kuna pesa nyingi kuna Mali mashamba ila bado vijana tunakimbilia mjini 😂😂😂