KIJANA ASIYEONA MWENYE KIPAJI KIKALI CHA KUIMBA, ANATOKA KAMBI YA NYARUGUSU, ALIPOTOKA FOUNDER TZ

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • Kutana na Kijana @GodfreyMteule (19) mkazi wa kambi ya wakimbizi Nyarugusu Kigoma mwenye tatizo la kutoona(Kipofu) akiwa na kipaji cha uimbaji ambaye anasema pamoja na kua ni mtu asiyeona lakini hajachoka kupambania ndoto zake na kuamua kuja kwa watanzania kuomba msaada wa kukuza kipaji alichonacho.
    Ripota wa Ayo TV Kigoma alifunga safari zaidi kilometers 150 hadi katika kambi ya wakimbizi Nyarugusu kufuata kipaji hiki ambapo kijana huyu anasema kwao wamezaliwa watoto tisa na yeye ndiye mtoto wa kwanza ambaye anasema hawezi kumkufuru Mungu kwa jinsi alivyo.
    Mawasiliano 0752768451 ( M-Pesa )Jina Bawili Issa.

ความคิดเห็น • 48

  • @Justin_king_pro
    @Justin_king_pro 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Uki hambiwa hii ndiyo Nyarugusu camp
    Unabidi usi hongei Mara pili🎉❤🙏🙏🫡
    Mungu aku tangulie ndugu Yang 🙏

  • @RahimuPombekari
    @RahimuPombekari 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Mungu atakufanyia wepesi kwa maradhi yako

  • @jovithageorge8220
    @jovithageorge8220 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +26

    Jamani kama mmeguswa na na huyu dogo naomba tujuane

  • @beatricejoseph2347
    @beatricejoseph2347 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Hujafa hujaumbika ,Mungu wetu ni mwema hakunyimi kila kitu.

  • @HasnatMustafa-n1q
    @HasnatMustafa-n1q ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Polee sana 😢😢😢 Allah akufanyie wepesi inshallah 😢😢

  • @LPBRANDSTUDIO
    @LPBRANDSTUDIO ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mungu akubariki Sana Kaka .... Hakika naona hukuu wa MUNGU Ndani Yako.... Amen 🙏🏼

  • @TUTU-g2x
    @TUTU-g2x ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    PAMBANA SANA KAKA UNAKIPAJI

  • @JonasManeno-n1l
    @JonasManeno-n1l ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mung hamutupi mjawake ukipewa kilema unapewa na mwendo mung atakujalia kaka usikate tamaa pia wew ni wasaman sana Niko pamoja na wewe 🎉🎉🎉.

  • @MasokaJiko
    @MasokaJiko ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Kama wewe mbembe nipe like yangu 😢😢😢😢

  • @OscarBihiye
    @OscarBihiye 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mungu akutie nguvu .Amen mungu ni mwema katika kila jambo❤

  • @Bahariachora-td6tm
    @Bahariachora-td6tm 53 นาทีที่ผ่านมา +1

    Hiyo nyimbo naisubir jmosi hyo dogo anajua sana mungu awe nae

  • @aidanshayo9182
    @aidanshayo9182 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mungu akupe tumaini nafaraja katika mapito yako

  • @ALLY_K61
    @ALLY_K61 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Dah mwenyezi mungu Akusimamie IshaAllah

  • @kevootibai2356
    @kevootibai2356 44 นาทีที่ผ่านมา +2

    Natamani ningekuwa na chochote kitu Cha kusupport huyu kijana ila Sina. Kikubwa ameonekana Kuna watu watamsaidia afikie malengo yake na ndoto zake zitimie

  • @frankmmasi
    @frankmmasi 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +13

    Kwa nn msimtengenezee laini tumchangie na mkaenayo nyinyi mumjengee vizurii alale pazurii angarau tuchangie kwa mwezi mzimaa embu fikirieni ivyoo. #millardayo

    • @mfastotheking
      @mfastotheking 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      bila shaka namba inapatikana sehemu ya description,

  • @ElishaOisso
    @ElishaOisso ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mungu azidi kumfungulia milango.

  • @Ommyblacktz13
    @Ommyblacktz13 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mungu akikupa kilema hakunyimi mwendo 😢😢😢😢

  • @FaridaHamis-m7e
    @FaridaHamis-m7e ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mashallah Allah akubaliki sana ufikie ndotozako inshaallah

  • @Faridahabibu-n5u
    @Faridahabibu-n5u ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Jaman kakaangu God bless you❤

  • @fadhilimbotela1049
    @fadhilimbotela1049 13 นาทีที่ผ่านมา

    Kama unaamin kipaji kipo kwa ndg yetu weka like hapa 👍

  • @Wikyebato_lusema
    @Wikyebato_lusema 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Daaaaaaah 😢😢😢😢 god preced you my brother 😢 💔

  • @OscarOkran-m4c
    @OscarOkran-m4c 6 นาทีที่ผ่านมา

    Halafu anajua kujieleza Hadi raha Mungu ampganie kwa kweli avuke maana yuko kwenye kipindi kigumu😢

  • @AishaNgoyi-vi2ku
    @AishaNgoyi-vi2ku ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu awe nawee

  • @harrsmgaya8141
    @harrsmgaya8141 50 นาทีที่ผ่านมา

    Kipaji kipo mungu akuongoze

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu akuaaidie sana jamnii

  • @ShadrackMwakilasa
    @ShadrackMwakilasa 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu akubariki sanq

  • @TotoSupet
    @TotoSupet 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu yupo atafungwa njia

  • @penueldjuma2845
    @penueldjuma2845 5 นาทีที่ผ่านมา

    Mungu yupo one day yes 😭😭😭😭😭

  • @Da_Silver
    @Da_Silver 53 นาทีที่ผ่านมา +1

    Link ya wimbo please

  • @zoomextrastudio
    @zoomextrastudio 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    aiseee huyu mkaka ako na kipajii

  • @LinusBaltazari
    @LinusBaltazari 43 นาทีที่ผ่านมา

    😭😭😭😭😭pole sana kaka🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 7 นาทีที่ผ่านมา

    Pole sana kaka😢

  • @chrstopher4598
    @chrstopher4598 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😭😭😭Dah, Mungu awe nawe

  • @isamony58
    @isamony58 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Poe kijana wanguuu😢😢😢😢

  • @officialAlikoBrand
    @officialAlikoBrand 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Allah huakbal

  • @Dulla_kite
    @Dulla_kite 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Alhamdullha 😢❤

  • @AliJussa
    @AliJussa 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😢😢Mungu hajashindwa kitu

  • @azizikidevu8404
    @azizikidevu8404 2 นาทีที่ผ่านมา

    🎉🎉

  • @lilianngolo1089
    @lilianngolo1089 44 นาทีที่ผ่านมา

    😭😭Mungu akutanguliye

  • @TOWASHIMUSA
    @TOWASHIMUSA ชั่วโมงที่ผ่านมา

    NAOMBA namba ya mteule

  • @ByamunguBatumana-ff9de4zx6p
    @ByamunguBatumana-ff9de4zx6p 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😭😭Pole Sana

  • @shabanzamgy2386
    @shabanzamgy2386 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😢

  • @blacknighttv7148
    @blacknighttv7148 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wa pili leo

    • @Inezamethodebrighton
      @Inezamethodebrighton ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Kutowa msada au kufanya nin😂😂😂 WATU WANAOMBA MSADA WEWE UNASEMA WA PILI KWA KOMENTI KUMANINA😂😂😂

    • @Nestoemanuel
      @Nestoemanuel 2 นาทีที่ผ่านมา

      Msenge ww

  • @WinnieKasambala
    @WinnieKasambala 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😭

  • @audaxbizimana8084
    @audaxbizimana8084 50 นาทีที่ผ่านมา

    😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢