Ikiwa unampenda mziwanda kwa ajili ya Allah bilishaka unamchukia shek abuu khaula na masalafy kwa ujumla na masalafy ni waislam na mziwanda kalithibitisha hilo ss ww honi kuwachukia masalafy ni kuwagawa waislam na mziwanda sikuzote anahimiza umoja?
Love you shekh Mziwanda hakika ninaendelea kufaidika mengi kupitia ulinganiaji wako ulivyo wa hekima na busara, Allah azidi kukupa wasaa na umri na afya njema tuzidi kufaidika zaidi. Shekh usikate tamaa utashinda majaribu yote kwa idhini ya ALLAH.
Ikiwa unampenda mziwanda kwa ajili ya Allah bilishaka unamchukia abuu khaula na wenzake jee huku sikuwagawa waislam? na she mziwanda ulinganizi wake ni umoja na akathibitisha kuwa masalafy ambao ndio wanaomradi jee kuwachukia huonikuwa unampinga shekhe mziwanda na unaupinga umoja kwa tatizo la ufahamu Tu na ufahamu ni rizki Tu? kama anavyosema she mziwanda
@@yussufhamad3721 Hizo chuki zako peleka huko huko kwa anae kufundisha na kukaririshwa itikadi hio. Usinilishe maneno ambayo sijayasema wala kuyatamka wala kufikiria au kuyawaza kuyasema au kufanya jambo hilo. Wewe hauko ndani yangu wala huna uwezo wowote Wa kujua kilichoko ndani yangu. Usichokipenda wewe usidhani wote watakuwa na chuki nacho. Soma uislam acha kukariri itikadi na misimamo ambayo inaishia kukupeleka motoni badala ya peponi, Mimi sijamtaja shekh wako kwenye komenti yangu badala yake nimemtaja ninae pendezwa nae zaidi katika uislam na mawaidha yake, Mimi sio muumini wa makundi bali uislam, Hivyo shekh yoyote anapohubiri kwa hekima bila sifa au kujigamba au kujikweza au bila kuwa tusi mashekh wengine huyo atakuwa kipenzi changu. Usinipangie chakupenda wakati ALLAH kanipa akili timamu na katika uislam hakuna kulazimishana katika dini. Acha chuki ndugu kuwa muungwana na fuata uislam sio itikadi.
Basi itakuwa ww umemzidi shekhe mziwanda kwa elimu kufikia kujua kuwa anajua Sana au ni ktk walewajinga wasojua kitu hata Quran anawezakujamtu akaongea kiarabu pori Tu utamsikia mjinga ahaa she kazisoma Aya nzito nzito hapa ahaa sheyuko Sawa kumbe tatizolake kuwa nimjinga hawez hatakutofautisha maneno ya kiarabu na Quran ninavyofaham iliusemekuwa Fulani anajuwa mara nyingi inakuwa ni mjuzi zaidi yake kwamaana mziwanda yafaa kujakuchukuwa elimu kwako ww coz ww umemzidi elimu mpk unamseinishia makosa yake Tunamuomba ALLAH aturuzuku haki na atuwafikishe kuifata
Mziwanda sitokua hanaelimu yy na wenzake hapana wanayo elimu ila hawaitumii ktk dini wanaitumia ktk DILI zao na hawanawivu na dini kama utkumbuka kunakipindi ilizuka kadhia ya mashia akatatika yy na wenzake na akafika kuwaambia aowazee anaosema wasitukanwe na mashekhe wenzake kuwa waache njaa ( NANJAZENU) na masufiy ni dhahir Yao kuwa wanjaaa kweli na yy mziwanda kakaa kimnya karudi kushirikiana nao ktk haflazao za maulid na kadhia imekwisha kimnya. "hii inaonesha wazi kuwa kulikuwa na maslah baada ya kupatikana watu wamekaa kimnya"
Na muambe shekhe wako mziwanda kuwa kakosea hadharan na video zimetumwa ktk mitandao na abuu khaula kamkosoa na audio pia ziko mitandao I coz hakumkosea abuu khaula Bali kakosea dini na kaipotosha jamii kwahiyo kama abuu khaula kunamambo kamkosoa kwa hakii basi arudi asawazishe alipo Pahribu na wala hatopunguwa chochote ktk umaarufu wake ila kusemakuwa sijui afatesijui wake ikibidi kufanya hivyo watafanya ila abuu khaula kasema kwa za ajibu masuali aloulizwa hapohapo barazan kwake Kwan kujibu kwake kutaashiria kuwa yy anataka haki au laa ila kunyamazakimnya sisawa
Hayo maswali kama mwaamini hayajibiki si akubali huo mdahalo ili amkamate vizuri na ndo itapendeza zaidi akimnaaqish ana kwa ana ili hiyo haqqi mnayo dai idhihiri kwani shida iko wapi
Huyu she mziwanda yeye mwenyewe kasema kuwa kuna masharti ya mdahalo na abuu khaula kamtajia baadhi ya masharti jee kuna sharti la batili kamalipo sharti la batili aseme na moja ya sharti kaambiwa ajibu masuali aloulizwa hapohapo barazani ikiwa anataka haki Kwan kunashida GN mbona kajitutumua kujibu mambo ambayo haayana msingi ili Tu kutafuta huruma za watu waonekane masalafy ni watu WA matusi
@@saidimtoni1148 she Abuu khaula hajakataa mdahalo ila she mziwanda kaekewa masharti ya mdahalo na yeye mwenyewe nishamsikia akisema kuwa mdahalo ili uwe na afya lazima uwe na masharti jee masharti aloekewa na abuu khaula kuna labatili kama kunalabatili kabla hawajaitisha mdahalo na asimame barazan kwake aseme moja mbili tatu ni masharti ya batili ktk mdahalo ila kilichonishangaza kajibu masuali ambayo haayana msingi zaidi ya kutafuta huruma za watu watu watakuseidia nn ewe shekhe mziwanda?
Alhamdulillah kama nasema urongo mtaniambia... ukweli halisi juu ya wanaodai wanafata maswahaba hawana nidhamu nzuri na hili lajitokeza marangi kwenye comment za post za watu wa twariqa... ukitizama comments utaona wanaongoza kwa matusi na lugha chafu ni kina nani... na soon nitatoa majina yao wote wanaotukana inshaaAllah
Maadam Mziwanda waendelea kupotosha watu basi Ruduud dhidi yko zitaendelea. Tunataka Mpk Mtu akitaka kuzungumza jambo ktk Dini awe na uhakika nalo ndio azungumze
Nmefuatiliaaa sanaaa Nöegundua kweli 1- Maulidi ni Bidaa 2- Khitma n bidaa 3- Dua baada ya swala ya faradhw kwa pamojaaa ni bidaa 4-Batzanji n muongo baah ya maneno yake Kwanini -Toka waaambiwe walete DALİLİ hawaleti kazi yao ni NENDA KASOME HAHAHA Haya mjibu basi hoja hizo kama MMESOMA!!!!!!!?????😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@@IbrahimuSaid-z7e huyu jamaayako kaulizwa masuali mengi Tu yamsingi na yakielimu kachagua yaleanayoyaweza ndo kajibu huyu ataelewa Tu tunamdhania kher Tunamuomba ALLAH atseidie ktk hilo ss hatutafuti huruma za watu watu hawana chakutulipa
Kumbe nihayo mbona hukumtafuta ukamwambia hivyo waja kwenye mtandao unatangaza na kutoa namba !? Wacha chenga hun hoja na umeshajiona kua huna hoja sasa unatafuta huruma za watu
Ulinyamaza kwasababu hukua na elimu wala hoja za kielimu wakaaje kimya ikiwa unaamini kua dini ya Allah inapotoshwa unaogopa kutukanwa katika kuitetea dini acha kutudanganya huna hoja wewe kwa uchache wa elimu hata uitwe nani bado unahaki ya kusimama kuitetea dini cha msingi hukua na hoja huna hoja sasa unatafuta huruma za watu
Ndugu IssaSimbilla acha kukebehi Shekh wakati Elimu huna Shekh yuko wazi amekuwa muwazi ndiyo maana ametoa Simu kwa Mawasiliano yenye Kujenga na kwa faida yetu Sisi tusiyo na Elimu ikiwa nipamoja na wewe njoo na hoja
Siku ZOTE nilikua napenda nijuwe history ya mziwanda ya kielim Sasa nishajua hapo hamna kitu ... Asante sana kijana ABUU KHAULA KWA KUMNYAMAZISHA MZIWANDA JAHIL WA MAMBO YA USUL
SaidAbdallah..haya tuambie na wewe historia yako ya ki ili'mu ikoje Sasa.! ili tulingamishe maana usije ukawa unajitanua kukosa adabu tu kwa kebehi hali ya kuwa we mwenyewe kiwango Cha ili'mu Bado ni Cha chini hakifiki hata robo ya sheikh hapo unae mmbeza.!!
@@swalehemrombo9301 al-hamdulillahi hivi tunavyo chat nipo Madina na namuomba Allah aniafkishe ktk elim na ikhlas na matendo mema na kuafkiyana na mtume SWALALLAHUALAYHI WASALLAM... Naam Lete ya kwako upo wap kielim..akh yangu
@@SaidAbdallah-sm1ftNa hapo ndipo mnapojiona nyie tu ndio wenye dini aliyekuwa hajaenda madina ni kafiri ALLAH aikubali dua uliyoiomba na atujaalie ikhlasi sote na atuondoshee maradhi ya nafsi ambayo wengi katika tullabul'ilm tuko nayo.
We akili itakua haiko sawa maana ameshasema yeye hataki kujibizana kwenye mitandao yeye kama anajiweza aende wapange munakasha na sio kujibizana kwenye mitandao
@@kitumbofamily5672 shida mwafatilia upande mmoja kuhusu mjadal alishapewa mambo ya kuzingatia so ilibid aseme yuko tayar na yafanyike yanayo takiwa wawek huo mjadal ndio karud na mada ya matusi mana huyu ni mtu anaye kwenda na hisia za watu sizan kama anakusudia dini mana kama huna mising jamaa anakupoteza kwel mana allah pia kampa ufasah allah amuongoze mtu huyu amiin
wewee si ndo ulimwambia mwenzako anaongelea jikon weweee?! halaf mbona sasa hv umekuwa mpole’ huongei kama mara ya kwanza ulivyokuwa unaongea kwa kijiweka kifua mbelee’ wewe pia s ulsema usalaf umeanza karne ya nne’ sasa hv unatumia lugha ya huruma kwa watu wakuonee huruma’ wewe jibu zile hojaaaa kwanzaaa
Mziwanda anatafuta huruma za watu masuali ya msingi yote hakuna hata moja alojibu matokezeo yake anajishuku kuwa anawashwa maneno mabovu Sana Allah atuhifadhi na fitna za she mziwanda
@@yussufhamad3721basi mshauri abuukahula amtafute shekh wakae bila ya media waelekzane kwa insafu lengo ni kupata radhi za ALLAH sio nani mshindi nani kashindwa kwa sababu nyuma ya mitandao kila mtu ana mkubw ya kumkasirisha ALLAH ila ALLAH anatupa stara yake kwa hyo hakuna mkamilifu ndugu yangu
Na unabahati ungejichanganya kwa Abuu khaula ungeona chamoto,,,tatizo siyo kujua mashekh tatizo ni ufaham hata kama ungesoma kwa shekh fauzan je umeelewaje,,
basi kila mmoja na ashike njia yake ALLAH pekee ndie amjuae aliepatia na nan anakosea madam ufahamu upo tofaut na haiwezkani hadi kiama kitafika watu wote wakafahamu sawa. tusitukanane wala kubezana sio dini jamani
Wewe mziwanda umetukana mangapi au baad ya kuzidia kihoja ndio unatafuta huruma za watu hapo unazifi kujiabisha huna hoja huna hoja huna uwezo wa hoja huna hoja huna uwezo wa hoja wadanganye hao wafuasi wako wa usufy
Amezungumza mengi ambayo sio mazuri lkn usiwanasibishie watu na manhaj ya matusi kila binaadamu anapata na kukosea kama walivyo waislamu wote kwaiyo kukusea kwa muislamu hau ufanyi uislamu kuwa sio dini ya hakki kwa kukosea watu fulani
Laumuhimu shekhe kama ww ni salafi lingania basi kufuata hao wema walio tangulia na kushikamana nao kivitendo nasio kulingania kwayale ambayo wao hawajalingania
😥😢😢 SubhanaAllah Salafi ndiyo njia ya haki kwa mienendo ya kitabu na sunnah na wema waliotangulia lakini mashekhe wetu sasa ndio mtihani,na pia mashekhe wawili au watatu pindi wanapoenda kinyume na manhajj sio kwamba manhaj hiyo ni upotofu bali hao mashekhe na sio wote ni baadhi tu
Njia ya haki ndo imekufundisha kupost vdeo za uchi za Donald? Mtihani huu akhy kumbuka hizo video zitabakia hta ukifa kisha unajinasibidha kusema salfi ndio njia ya haki wakat haki huifnyi. Allah azid tu kutuhifadhia siri za matendo yetu lau ikitokea siku akalifungua pazia la aamli zetu bas hakuna atakaebkia salam. Tumuimbe Allah atupe hidyah na atusameh makosa yetu na atufishe akiwa ameturidhia
Umejitahidi baadhi ya sehemu pia nakukaribisha katika man Haji hii karibu Sanaa bwana mziwanda pia nikusaidie hii hadithi kasome vizuri umeitamka makosa na uswahihi ipo hivi من أحدث في أمرنا ... Hapo rekebisha hapo , Kisha jisikilize ulivyoitamka wewe والله المستعان
Mziwanda anajichanganya eti nilitoa namba kwa ajili ya kukutana nao na watu wengine wawepo ili tuwekeane masharti ya kufanya mjadala wakati video ya nyuma alio hojiwa na huyu huyu bab deo mziwanda anasema njoo abuu khaulah tukae mtu mbili pekeyetu tuonyeshane, sasa mbona unajichanganya wewe mziwanda!!!!
Naam sh. Mziwanda nmekuelewa sana fikisha kielimu zaid sio jazba kama unaongea na watt wadogo anaetaka atakuelewa mwenye chuki muache aendelee na matuc atakwenda kkulipa t kwa alwah hawa wingine hawakufundishwa adabu
Ati mpotoshaji ! Hupotoshi Sheikh, na elimu unayo maalim wetu, ila muhimu kuacha bidaa ikishabainika kua ni bidaa. Msiwe mnafanya kushindana mpaka mfanye midahalo. Itafika wakati mtahitaji kufanya midahalo mpaka uwepo wa Haji manara kua mshereheshaji kwenye maulid.
Yaan anachofanya hapo Mziwanda ni ile Funika kombe mwanaharamu apite, Hoja Mziwanda hana na Maswali aliyoulizwa hayana majibu kwahyo atumia njia ya kukwepa na kukimbia kinachozungumzwa na video hii karecord kuuwa Soo asionekane hajui lkn tushakuelewa mziwanda kuwa huwezi kujibu maswali uliyoulizwa maana hayana majibu na hchi ndicho anachokikimbia
Huko nyuma shekh amesema Abuu kaniambia ninashaukwa Lkn mwisho hapa azungumza maneno kama yale yale kusema kuna baleghe za elimu umri n.k Kwahy yalee yaliosemwa ndio mabaya kushaukwa Lkn kubaleghe sio baya?
Huyu Mziwanda ni Muongo sana anajifanya ni mkali wa kuongea but Alhamdulillah alinyooshwa na Sheikh Wetu Abuu Khawla. Rejeeni kwenye Masuali alioulizwa huyo Mziwanda na ajibu. Jitu la Bidaa, jitu la Mawlid.et sas anajitia kuongea kwa upole . Ukiwa n Wajinga wenzako unakua Simba. Sasa hivi umekua Nzi mdogo san kweny Kinyesi cha Babdeo online Tv hahaaa
Rungu la Abuu khaula sio mchezo Allah akuhifadhi sheikh abuu khaula kwa kumnyamazisha MZIWANDA kama wew ni msomi kweli jibu hoja la sivyo taajaa na sio udhalilifu huo usipofanya hvyo Itakuwa tushabainikiwa wenye akili kwamba abu khaula yupo katika haqq na ww upo katika baatwil
Aliyabasi.....dini haiko hivyo unavyofikiria wewe kuwa ni km ushabiki wa Simba na Yanga.!! Kurushiana matusi na vijembee Sasa huo ndio utakuwa usalafiy Gani huoo.!? Mwenye busara hawezi kujibu upuuzi na utumboo.!!
@@swalehemrombo9301 hhhhhhha ufaham nao ni rizki abuu khaula alikubali challenge yake kwa masharti kwahyo sheikh wenu kama yeye Ana inswaaf akubali tu kwani yeye si ndio kaanza kuitisha munaaqasha
Dah tujitaid sana kuelimisha kielim tuache ubishi nynyi wenyehoja tumewambia mtuambie mje dah kwel nimejifunza ki2 kwanza ww kama ww una jua maana ya salf
Sheikh unajichanganya ndio maana msimamo wako unayumba naomba wajue masheikh wa kisalafi ili uwafuate Mara wewe salafiyah mara wewe sufi Pia madhhebu yako ni imamu shafi nakuomba msome Imam Shafi vizur amewazungimza vipi Masufi kama kweli we Mshafi usufi utaukimbia Allah akuongoze
Mashallah sheikh Mziwanda maneno yako yanaeleweka kwa ufasaha.
Allah akuhifadhy miongoni mwa masshekh ninaowapenda kwa ajili ya Allah @mziwanda
ALLAH AKUHIFADHI SHEKH,ENDELEA KUMVUTAVUTA HUYO AWRA KWA LUGHA LAINI MPAKA AINGIE KWENYE MAKUCHA
❤❤❤ nakupenda sana ostadh mziwanda,,kwa ajir ya Allah,, Allah akupe nguvu nying na afya tele inshallah,,
Ikiwa unampenda mziwanda kwa ajili ya Allah bilishaka unamchukia shek abuu khaula na masalafy kwa ujumla na masalafy ni waislam na mziwanda kalithibitisha hilo ss ww honi kuwachukia masalafy ni kuwagawa waislam na mziwanda sikuzote anahimiza umoja?
Love you shekh Mziwanda hakika ninaendelea kufaidika mengi kupitia ulinganiaji wako ulivyo wa hekima na busara, Allah azidi kukupa wasaa na umri na afya njema tuzidi kufaidika zaidi. Shekh usikate tamaa utashinda majaribu yote kwa idhini ya ALLAH.
Ikiwa unampenda mziwanda kwa ajili ya Allah bilishaka unamchukia abuu khaula na wenzake jee huku sikuwagawa waislam? na she mziwanda ulinganizi wake ni umoja na akathibitisha kuwa masalafy ambao ndio wanaomradi jee kuwachukia huonikuwa unampinga shekhe mziwanda na unaupinga umoja kwa tatizo la ufahamu Tu na ufahamu ni rizki Tu? kama anavyosema she mziwanda
@@yussufhamad3721 Hizo chuki zako peleka huko huko kwa anae kufundisha na kukaririshwa itikadi hio. Usinilishe maneno ambayo sijayasema wala kuyatamka wala kufikiria au kuyawaza kuyasema au kufanya jambo hilo. Wewe hauko ndani yangu wala huna uwezo wowote Wa kujua kilichoko ndani yangu. Usichokipenda wewe usidhani wote watakuwa na chuki nacho. Soma uislam acha kukariri itikadi na misimamo ambayo inaishia kukupeleka motoni badala ya peponi, Mimi sijamtaja shekh wako kwenye komenti yangu badala yake nimemtaja ninae pendezwa nae zaidi katika uislam na mawaidha yake, Mimi sio muumini wa makundi bali uislam, Hivyo shekh yoyote anapohubiri kwa hekima bila sifa au kujigamba au kujikweza au bila kuwa tusi mashekh wengine huyo atakuwa kipenzi changu. Usinipangie chakupenda wakati ALLAH kanipa akili timamu na katika uislam hakuna kulazimishana katika dini. Acha chuki ndugu kuwa muungwana na fuata uislam sio itikadi.
اسعد الله أوقاتك بكل خير ياشيخي
Nilitamani sana kusoma kwake shekh lakini Allah hakuniafiki katka hlo ila Shekh anajua sana Allah Amhifadhi
Basi itakuwa ww umemzidi shekhe mziwanda kwa elimu kufikia kujua kuwa anajua Sana au ni ktk walewajinga wasojua kitu hata Quran anawezakujamtu akaongea kiarabu pori Tu utamsikia mjinga ahaa she kazisoma Aya nzito nzito hapa ahaa sheyuko Sawa kumbe tatizolake kuwa nimjinga hawez hatakutofautisha maneno ya kiarabu na Quran ninavyofaham iliusemekuwa Fulani anajuwa mara nyingi inakuwa ni mjuzi zaidi yake kwamaana mziwanda yafaa kujakuchukuwa elimu kwako ww coz ww umemzidi elimu mpk unamseinishia makosa yake Tunamuomba ALLAH aturuzuku haki na atuwafikishe kuifata
Utukufu wa elimu haujifichi. Shukran Sheikh Mziwanda. Umezungumza kielimu. Asiyeelewa amevaa jazi.
Mziwanda sitokua hanaelimu yy na wenzake hapana wanayo elimu ila hawaitumii ktk dini wanaitumia ktk DILI zao na hawanawivu na dini kama utkumbuka kunakipindi ilizuka kadhia ya mashia akatatika yy na wenzake na akafika kuwaambia aowazee anaosema wasitukanwe na mashekhe wenzake kuwa waache njaa ( NANJAZENU) na masufiy ni dhahir Yao kuwa wanjaaa kweli na yy mziwanda kakaa kimnya karudi kushirikiana nao ktk haflazao za maulid na kadhia imekwisha kimnya. "hii inaonesha wazi kuwa kulikuwa na maslah baada ya kupatikana watu wamekaa kimnya"
Na muambe shekhe wako mziwanda kuwa kakosea hadharan na video zimetumwa ktk mitandao na abuu khaula kamkosoa na audio pia ziko mitandao I coz hakumkosea abuu khaula Bali kakosea dini na kaipotosha jamii kwahiyo kama abuu khaula kunamambo kamkosoa kwa hakii basi arudi asawazishe alipo Pahribu na wala hatopunguwa chochote ktk umaarufu wake ila kusemakuwa sijui afatesijui wake ikibidi kufanya hivyo watafanya ila abuu khaula kasema kwa za ajibu masuali aloulizwa hapohapo barazan kwake Kwan kujibu kwake kutaashiria kuwa yy anataka haki au laa ila kunyamazakimnya sisawa
Hayo maswali kama mwaamini hayajibiki si akubali huo mdahalo ili amkamate vizuri na ndo itapendeza zaidi akimnaaqish ana kwa ana ili hiyo haqqi mnayo dai idhihiri kwani shida iko wapi
Huyu she mziwanda yeye mwenyewe kasema kuwa kuna masharti ya mdahalo na abuu khaula kamtajia baadhi ya masharti jee kuna sharti la batili kamalipo sharti la batili aseme na moja ya sharti kaambiwa ajibu masuali aloulizwa hapohapo barazani ikiwa anataka haki Kwan kunashida GN mbona kajitutumua kujibu mambo ambayo haayana msingi ili Tu kutafuta huruma za watu waonekane masalafy ni watu WA matusi
@@saidimtoni1148 she Abuu khaula hajakataa mdahalo ila she mziwanda kaekewa masharti ya mdahalo na yeye mwenyewe nishamsikia akisema kuwa mdahalo ili uwe na afya lazima uwe na masharti jee masharti aloekewa na abuu khaula kuna labatili kama kunalabatili kabla hawajaitisha mdahalo na asimame barazan kwake aseme moja mbili tatu ni masharti ya batili ktk mdahalo ila kilichonishangaza kajibu masuali ambayo haayana msingi zaidi ya kutafuta huruma za watu watu watakuseidia nn ewe shekhe mziwanda?
Allah akuzidishie sheikh mziwanda
Barakallahufik mwalimu wetu
: Maashaa Allah Allah akulipe kila la kheri shekh wetu
Huyushekhe yuko sahihi huyushekhe anaelimu maashaallaa Mungu amzidishie
Asante mwalimu wangu mashaallah, umeeleweka
Shukurani Kwa kutuelimisha mungu akulipe kheri inshallah ❤
Sh Mziwanda nakuelewa sana endelea kutoa darasa Allah akupe umri mlefu
Hakika wewe muelea Sana nakuunga mkono lNSHA ALLAH ALLAH akuhifadh kwamsimamo wako
Mashallah sheh nimekuelewa nimekuskiliza had mwisho
Shkh Mhharam mziwanda Nakupend kwaajili ya Allah, Kma ni elimu unayo n ss Tunanufaik na elimu yko
ALLAH akuongezee zaidi Hikma. Fahamisha wenye Jazba za Dini.
Masha Allah sheikh mziwanda hpo umeeleweka kabisa....
Mashaallah Allah akubariki
Walwahi tunampenda shekhe wetu katika dinii
Sheikh muharam unaakili sana Mashekh wenye akili dunian Allah awahifadhi
Ahsante ya shekh naona nidhamu inakuhifadhi wallah sikupendi kwaajili ya Madh,hab,lakini nakupenda kwaajili ya allah, nakusikiliza
Shekh Allah akuifadhi na akuzidishie hekmaa
Alhamdulillah kama nasema urongo mtaniambia... ukweli halisi juu ya wanaodai wanafata maswahaba hawana nidhamu nzuri na hili lajitokeza marangi kwenye comment za post za watu wa twariqa... ukitizama comments utaona wanaongoza kwa matusi na lugha chafu ni kina nani... na soon nitatoa majina yao wote wanaotukana inshaaAllah
Sheikh Mjanja Mjanja Sanaaa Jibu Hoja Ki Elimu Watu Tunahitaji Mnaqasha Tupate Faida
Mm napenda majibishano yaendelee kwa yanafuta ujinga .uongo tena basi .maana tusijechukia jambo kumbe lina kher allah atuongoze aamin
Alhamdulillah sheikh Allah
Twayyib ❤
Masha,Allah
Alhamdulillah sisi wazima. Hilo ndilo jibu ulipoulizwa hali, jee nyinyi ni nani?
Maadam Mziwanda waendelea kupotosha watu basi Ruduud dhidi yko zitaendelea. Tunataka Mpk Mtu akitaka kuzungumza jambo ktk Dini awe na uhakika nalo ndio azungumze
Subhaanallah hapo mziwanda umesahau ulimtaja kabisaa
Nmefuatiliaaa sanaaa
Nöegundua kweli
1- Maulidi ni Bidaa
2- Khitma n bidaa
3- Dua baada ya swala ya faradhw kwa pamojaaa ni bidaa
4-Batzanji n muongo baah ya maneno yake
Kwanini
-Toka waaambiwe walete DALİLİ hawaleti
kazi yao ni
NENDA KASOME HAHAHA
Haya mjibu basi hoja hizo kama MMESOMA!!!!!!!?????😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Sheikh umezungumza vizur alhamdulillah lakini hapa mwisho mwisho sasa ndo umearibu yani swala la kesema sio lazima tuelewe sawa hapo umeteleza sheikh
Shekh mziwanda Allah akuongoze nakubashiria kher unauwelewaelewa kwa mbali ila bado endelea mm Naina bado rizkiyako ya uelewa ni ndogo
Inawezekana ww ni kipovu, usiseme JUA halina mwanga
Tumia miwani Kaka kama hujaona Tena sio miwani ya kuchongwa bali ni miwani ya elimu yenye hekma
@@IbrahimuSaid-z7e huyu jamaayako kaulizwa masuali mengi Tu yamsingi na yakielimu kachagua yaleanayoyaweza ndo kajibu huyu ataelewa Tu tunamdhania kher Tunamuomba ALLAH atseidie ktk hilo ss hatutafuti huruma za watu watu hawana chakutulipa
hatutaki umoja wa kinafiki
Uo mdahalo bora ukiwa siri na ikiwezekana ww ndo umfate asaa kuonesha usafi wa nia yko allah akufanyie wepesi
ASSALAMU ALAYKUM WARAHMATULLAHI WABARAKAATUH.
SHEKH NAOMBA KUULIZA, KWANINI BAADHI YA WANAFUNZI WANAWATUSI HAO A'LAAM ..?
Mashall ah
Ulipigwa radi nzito mpaka leo umekuwa mpoleee,hhh
Sheykh mziwanda umeshindwa kujibu hoja unatafuta huruma kama unajiweza jibu hoja.
Chukua namba mtafute
Kumbe nihayo mbona hukumtafuta ukamwambia hivyo waja kwenye mtandao unatangaza na kutoa namba !? Wacha chenga hun hoja na umeshajiona kua huna hoja sasa unatafuta huruma za watu
Mdahalo umekimbiwa na nani aliyekubali au aliyekataa kua mkweli Kaka
Abu Khawla anaogopa yasije kumkuta yaliyomkuta Bachu😂😂
Ulinyamaza kwasababu hukua na elimu wala hoja za kielimu wakaaje kimya ikiwa unaamini kua dini ya Allah inapotoshwa unaogopa kutukanwa katika kuitetea dini acha kutudanganya huna hoja wewe kwa uchache wa elimu hata uitwe nani bado unahaki ya kusimama kuitetea dini cha msingi hukua na hoja huna hoja sasa unatafuta huruma za watu
Hiv unatumia akili kufikria au matako ndugu yangu muislam
Sasa nyinyi ndio mna hoja ama mna upuuzii.!!? Sasa mtu mwenye busara atajibu upuuzi.!?
@@swalehemrombo9301 Kwa sababu mtu hata awaeleze nn hamuwez kuelewa kazi ubishi tu Yan akili zenu ni finyu acheni chuki na kujikweza
@@sultanbakary4292
Huo si katika uislamu...
@@rajabumbendenga5480 huyu akili Hana Kuna maswali mtu anauliza kama mpumbavu mpaka unajiuliza huyu mtu anatumia akili kweli kufikria
Kweli kapinda
nani?
Uzur clips zipo mbona wajitetea sheikh
Kumbe mawahabi walivyo na mtindio wa ubongo hata kuuliza hawajui
Kajitetea na nini
sio kujitetea hiyo ndio hali halisi
Hapa ndipo
Allah akubariki sana sheikh Mziwanda
Mziwanda anatafuta huruma za watu ila hilo halitomseidia chochote mbele ya Allah
Hahaha 😂 huna hoja unataka kufunga mlango wakukosolewa eti namba ya simu
Ndugu IssaSimbilla acha kukebehi Shekh wakati Elimu huna Shekh yuko wazi amekuwa muwazi ndiyo maana ametoa Simu kwa Mawasiliano yenye Kujenga na kwa faida yetu Sisi tusiyo na Elimu ikiwa nipamoja na wewe njoo na hoja
Miladu Nataka Umfate Haula Darasan kwake umjambishe kidog 😄😄😄
Hawezi kufika darasani kwake kwasababu mtu wabidaa anamuogopa sana mtu wa sunnah
@@Abuu-lr5bz lakini Abuu khawlah ndiye aliyekataa kukutana na babdeo
sio babdeo tu hata aende na sandeo, haweziii
@@Abuu-lr5bz Acha uongo Haula ndo alikataa kwa uoga wake
😂😂😂😂😂😂😂 mziwanda unarungu lako hapo kwenye USALAFI
Jamaa anauliza kwel
na nyinyi mnaocoment huyu shekhe ndio kaongea elimu gani hapo la msing ungejibu zile hoja kwanza ufahamu wako ww na maswahaba utangulizwe upi
Unataka mijadala ya mitandaoni mbona mdahalo umekimbiwa
mashall hawo mawahabu nikiru umepita vz mzwanda mtumi mhm s.a.w aliitwa mpa mshairi
Wamwita Mtu muonga una nidhamu na heshima Allah akuongozi
Huyu sheikh ni simba kabissa
الله يحفظك
Siku ZOTE nilikua napenda nijuwe history ya mziwanda ya kielim Sasa nishajua hapo hamna kitu ... Asante sana kijana ABUU KHAULA KWA KUMNYAMAZISHA MZIWANDA JAHIL WA MAMBO YA USUL
SaidAbdallah..haya tuambie na wewe historia yako ya ki ili'mu ikoje Sasa.! ili tulingamishe maana usije ukawa unajitanua kukosa adabu tu kwa kebehi hali ya kuwa we mwenyewe kiwango Cha ili'mu Bado ni Cha chini hakifiki hata robo ya sheikh hapo unae mmbeza.!!
@@swalehemrombo9301 al-hamdulillahi hivi tunavyo chat nipo Madina na namuomba Allah aniafkishe ktk elim na ikhlas na matendo mema na kuafkiyana na mtume SWALALLAHUALAYHI WASALLAM... Naam Lete ya kwako upo wap kielim..akh yangu
@@SaidAbdallah-sm1ftNa hapo ndipo mnapojiona nyie tu ndio wenye dini aliyekuwa hajaenda madina ni kafiri ALLAH aikubali dua uliyoiomba na atujaalie ikhlasi sote na atuondoshee maradhi ya nafsi ambayo wengi katika tullabul'ilm tuko nayo.
@@destinymediapro2083 sio ivyo ndugu yangu unajua tusipoekana sawa ni mtihani makundi yamekua mengi ..
Jitahidi urudi na sunna ya adabu Akhy wengine wapo hapa hapa tz na wako vizur sana na adabu wanayo,usipate khasara ukarud bila sunna hii ,
Anaongea kinyonge 😂😂😂 acha uzushi. Abuu khaula endelea kudeki hanamajibu huyu nashangaa wafuasiwake et wanajidai wamemuelewa 😂😂 munaelewa kuwa hana majibu
Alafu anataka muongee 2 wakat majambo yameanzia mitandaoni cc tulikuwambali tutajua vp nani mwenye hoja sahihi acha kujifichia kichaka ambacho watu washakuona
kashinda abuukhawlah
❤❤❤
Brother MZIWANDA ulimwambia mwezio yuko jikoni hilo siyo TUSI!??? BAASI TARAJAA
Wewe ilo unaona TU acha ushindani
Hakika hapa akikosea mno hayo maneno sio ya heshma
Mziwanda wewe ndio ulieanza kumtukana abuu khaula ulimwambia anaongea jikoni
Allh amu ongowe yuko sw ila je atakaye shindwa atasema km mm nime shindwaa
Sheikh jibu zile hoja za sheikh abuu khawla
Uyo shekh wako kapewa namba mbon ajapiga
We akili itakua haiko sawa maana ameshasema yeye hataki kujibizana kwenye mitandao yeye kama anajiweza aende wapange munakasha na sio kujibizana kwenye mitandao
@@abdulmalicktvabdulmalicktv3750kaambiwa Na Abuu Khaula kuwa yupo tayar na mdahalo lakin Kuna vtu lazma vizingatiwe visimamiwe hajajibu had leo
Huwezi jibiwa suali namna unavyotaka lazima mukae mueleweshane Kwa niaba YA mujtamaa
@@kitumbofamily5672 shida mwafatilia upande mmoja kuhusu mjadal alishapewa mambo ya kuzingatia so ilibid aseme yuko tayar na yafanyike yanayo takiwa wawek huo mjadal ndio karud na mada ya matusi mana huyu ni mtu anaye kwenda na hisia za watu sizan kama anakusudia dini mana kama huna mising jamaa anakupoteza kwel mana allah pia kampa ufasah allah amuongoze mtu huyu amiin
wewee si ndo ulimwambia mwenzako anaongelea jikon weweee?!
halaf mbona sasa hv umekuwa mpole’
huongei kama mara ya kwanza ulivyokuwa unaongea kwa kijiweka kifua mbelee’
wewe pia s ulsema usalaf umeanza karne ya nne’
sasa hv unatumia lugha ya huruma kwa watu wakuonee huruma’
wewe jibu zile hojaaaa kwanzaaa
Alipigwa kitu kizito mpaka kawa mpole leo, alisahau alivosema kuongelea jikoni
Kweli ehehehe, kapigwa na kitu kizito leo amekuwa baridi sana
Mtafute kwa namba yake
Alafu uone
Mwenye busara hawezi kujibu upuuzi mwenye busara anajibu kwa hikma kwa ili'mu ili ktk hayo kupatikane faida na sio ushabiki.!! Km mnavyotaka nyiee.!!
@@tigerroar3545...mwenye busara hawezi kujibu upuuzi mwenye busara anajibu kwa hakina hoja na dalili zilizo wazii na sio kutukanana.!!
Hakuna sehemu abuu khawlah Allah amuhifadhi kamtukana mziwanda!
Mziwanda anatafuta huruma za watu masuali ya msingi yote hakuna hata moja alojibu matokezeo yake anajishuku kuwa anawashwa maneno mabovu Sana Allah atuhifadhi na fitna za she mziwanda
@@yussufhamad3721basi mshauri abuukahula amtafute shekh wakae bila ya media waelekzane kwa insafu lengo ni kupata radhi za ALLAH sio nani mshindi nani kashindwa kwa sababu nyuma ya mitandao kila mtu ana mkubw ya kumkasirisha ALLAH ila ALLAH anatupa stara yake kwa hyo hakuna mkamilifu ndugu yangu
Shk unaruka maneno yako uliosema mwanzo kuhusu abuu khawla
Na unabahati ungejichanganya kwa Abuu khaula ungeona chamoto,,,tatizo siyo kujua mashekh tatizo ni ufaham hata kama ungesoma kwa shekh fauzan je umeelewaje,,
basi kila mmoja na ashike njia yake ALLAH pekee ndie amjuae aliepatia na nan anakosea madam ufahamu upo tofaut na haiwezkani hadi kiama kitafika watu wote wakafahamu sawa. tusitukanane wala kubezana sio dini jamani
Hakika kama kwel alikua anataka angekuja aka tengenezwa kama yule mkenye wenu humeid
Acheni ushabiki kwani abuukhawla hakosei
Huy sheikh ni mwambaaa
Sisi watu wa twariqah tuna muunga mkono sheikh wetu Al faadhwil mziwanda
Ngoja uchambuliwe
Mnashikamana vipi hayakua mshatofautiana ktk vitendo
Kasome tena kamusi ya kiswahili ukikosa maaana njooo waswahili haswa wakupe maaana ya kushaukwa maaaaaaana unachekesha
Wewe mziwanda umetukana mangapi au baad ya kuzidia kihoja ndio unatafuta huruma za watu hapo unazifi kujiabisha huna hoja huna hoja huna uwezo wa hoja huna hoja huna uwezo wa hoja wadanganye hao wafuasi wako wa usufy
Kisha yey amejiita mwanamme yupo barazani kwaiyo hili lilikua linaamaana gani kama sio tusi
Amezungumza mengi ambayo sio mazuri lkn usiwanasibishie watu na manhaj ya matusi kila binaadamu anapata na kukosea kama walivyo waislamu wote kwaiyo kukusea kwa muislamu hau ufanyi uislamu kuwa sio dini ya hakki kwa kukosea watu fulani
Laumuhimu shekhe kama ww ni salafi lingania basi kufuata hao wema walio tangulia na kushikamana nao kivitendo nasio kulingania kwayale ambayo wao hawajalingania
Mm nafikiria ili tupate uelewa sisi wanafunzi iwekewe niqashi ya kielim tufaidike mana majadiliano ya kielim hayajakatazwa yakichungwa na kufuatwa
Sheikh ulkuw utumie hii nafac kutoa hat sehem 2 3 ulmonukuu
😥😢😢 SubhanaAllah Salafi ndiyo njia ya haki kwa mienendo ya kitabu na sunnah na wema waliotangulia lakini mashekhe wetu sasa ndio mtihani,na pia mashekhe wawili au watatu pindi wanapoenda kinyume na manhajj sio kwamba manhaj hiyo ni upotofu bali hao mashekhe na sio wote ni baadhi tu
Njia ya haki ndo imekufundisha kupost vdeo za uchi za Donald? Mtihani huu akhy kumbuka hizo video zitabakia hta ukifa kisha unajinasibidha kusema salfi ndio njia ya haki wakat haki huifnyi. Allah azid tu kutuhifadhia siri za matendo yetu lau ikitokea siku akalifungua pazia la aamli zetu bas hakuna atakaebkia salam. Tumuimbe Allah atupe hidyah na atusameh makosa yetu na atufishe akiwa ameturidhia
@@destinymediapro2083 hivi wewe Manhajj gani vile
Shkh hawa masalafi isiwajib wape t elim mana ukijib hoja zao ndo wanavotaka ili muendelee kubishana wanatafta umaaruf t
Umejitahidi baadhi ya sehemu pia nakukaribisha katika man Haji hii karibu Sanaa bwana mziwanda pia nikusaidie hii hadithi kasome vizuri umeitamka makosa na uswahihi ipo hivi
من أحدث في أمرنا ...
Hapo rekebisha hapo , Kisha jisikilize ulivyoitamka wewe
والله المستعان
Ahahahhaha dah
Mziwanda anajichanganya eti nilitoa namba kwa ajili ya kukutana nao na watu wengine wawepo ili tuwekeane masharti ya kufanya mjadala wakati video ya nyuma alio hojiwa na huyu huyu bab deo mziwanda anasema njoo abuu khaulah tukae mtu mbili pekeyetu tuonyeshane, sasa mbona unajichanganya wewe mziwanda!!!!
Sio salafi wote wanakejeli na kutukana. Wapo baadhi NI waelewa na Wana Hikma. Lakini wingi SASA Mtihani.
Sh. Mziwanda NI mbunifu katika Elimu. Kweli inahitaji hikma katika kuwafahamisha waislam maarifa.
Jaman kwan katukana nani😂😂😂 ww umeshndwa kujibu hoja n yy huyu ndo alianza kutusi
Sheikh Mziwanda anajua sana kuongea na ni mtu mwenye maarifa mengi inawezekana ana mapungufu mengi ya kimaarifa lkn anachoongea kina mantiki Sana.
kawa mpole😂😂😂jibu maswali ya ABUU KHAWLA
😂😂😂😂 kama vile alivyokuwa mpole Abuu khawla kupiga simu
Swali gani aliouliza Abuu khawla
@@Kan332
Mwambiee ajibu af uone kama hatojibiwaaa
upole ni moja sifa ya muumini unatka shkeh aweje labda?
Huna hoja mziwanda huna hoja na unajua kua huna hoja
Kama hana lete yako
Naam sh. Mziwanda nmekuelewa sana fikisha kielimu zaid sio jazba kama unaongea na watt wadogo anaetaka atakuelewa mwenye chuki muache aendelee na matuc atakwenda kkulipa t kwa alwah hawa wingine hawakufundishwa adabu
Hapo kwa qassim mafuta umesema kile ni chuma bahari ile hapo nimekuelewa
Pia usisahau amesema pia anamakosa pia
Ati mpotoshaji ! Hupotoshi Sheikh, na elimu unayo maalim wetu, ila muhimu kuacha bidaa ikishabainika kua ni bidaa. Msiwe mnafanya kushindana mpaka mfanye midahalo.
Itafika wakati mtahitaji kufanya midahalo mpaka uwepo wa Haji manara kua mshereheshaji kwenye maulid.
Yaan anachofanya hapo Mziwanda ni ile Funika kombe mwanaharamu apite, Hoja Mziwanda hana na Maswali aliyoulizwa hayana majibu kwahyo atumia njia ya kukwepa na kukimbia kinachozungumzwa na video hii karecord kuuwa Soo asionekane hajui lkn tushakuelewa mziwanda kuwa huwezi kujibu maswali uliyoulizwa maana hayana majibu na hchi ndicho anachokikimbia
Ww kwel unaongea una ropoka ss sindio kaitaji madaharo mbn mnavichwa vigumu nyinyi wenye hoja njoeni mezani na ushahid wa kielimu nazani itakua saw
Huko nyuma shekh amesema
Abuu kaniambia ninashaukwa
Lkn mwisho hapa azungumza maneno kama yale yale kusema kuna baleghe za elimu umri n.k
Kwahy yalee yaliosemwa ndio mabaya kushaukwa
Lkn kubaleghe sio baya?
Kumbe hujaelewa
Haula.hapohaji hatasikumoja akiwa yeyekamayeye labda aje nawalimu wake wa wakiwahabi wote anaodhani kua wanaweza kuyavuka hayo maji
Huyu Mziwanda ni Muongo sana anajifanya ni mkali wa kuongea but Alhamdulillah alinyooshwa na Sheikh Wetu Abuu Khawla. Rejeeni kwenye Masuali alioulizwa huyo Mziwanda na ajibu. Jitu la Bidaa, jitu la Mawlid.et sas anajitia kuongea kwa upole . Ukiwa n Wajinga wenzako unakua Simba. Sasa hivi umekua Nzi mdogo san kweny Kinyesi cha Babdeo online Tv hahaaa
Ndugu yangu punguza ukali wa maneno usalafi hautufunzi hivi punguza akhuu
@@abduwahabi7019 inshallah kheir. But huyu jamaa ni hatari San kwa kuupotosha kw kisingzio Cha Lugha y kiarabu anaudhi mno
Babu deo mbona video haiko stable?
Rungu la Abuu khaula sio mchezo Allah akuhifadhi sheikh abuu khaula kwa kumnyamazisha MZIWANDA kama wew ni msomi kweli jibu hoja la sivyo taajaa na sio udhalilifu huo usipofanya hvyo Itakuwa tushabainikiwa wenye akili kwamba abu khaula yupo katika haqq na ww upo katika baatwil
Mtafute kwa namba yake
Alafu uone
Aliyabasi.....dini haiko hivyo unavyofikiria wewe kuwa ni km ushabiki wa Simba na Yanga.!! Kurushiana matusi na vijembee Sasa huo ndio utakuwa usalafiy Gani huoo.!? Mwenye busara hawezi kujibu upuuzi na utumboo.!!
@@swalehemrombo9301 hhhhhhha ufaham nao ni rizki abuu khaula alikubali challenge yake kwa masharti kwahyo sheikh wenu kama yeye Ana inswaaf akubali tu kwani yeye si ndio kaanza kuitisha munaaqasha
@@swalehemrombo9301 Ufahamu pia ni rizki kwani ww umeelewaje😀😀😀😀😅
Sheikh wangu upo sawa kabisa na Mimi nikatika wanafunzi wako nakupenda Sana kwa ajili ya Allah,,nondo zako zinatisha pambana Sheikh wetu Inshaallah
mziwanda ukiwa muongo uwe na kumbukumbu kaka wao walikosea hukutumia njia ya sawa
Ww huna adabu baba ako unaweza muita muongo?huna adabu yawezekna mkifundishana pembeni Pana ibilic
Sasa hapo wewe jahili wakiwahabi ndo umesema nini?
Mashekh ya Kisufi fundisheni dini ya Kitabu na Sunnah kwa ufahamu wa wema waliopita lkn kazi yenu ni kuwafundisha wafuasi wenu maulid khitma
Hufundisha kwa hoja za wanazuoni pia soma
Maashallaah
Kumbe nihivyo mbona hukusimama kujibu hoja nawewe ungevumilia kama alivyovumilia mtume swallahu alaihi wasallam hakuacha kutetea dini sasa wewe unamuiga nani mbona husimami ukatetea eti unaogopa kutukanwa huna hoja mziwanda huna hoja mziwanda
Dah tujitaid sana kuelimisha kielim tuache ubishi nynyi wenyehoja tumewambia mtuambie mje dah kwel nimejifunza ki2 kwanza ww kama ww una jua maana ya salf
Ww ndo ulianza kutukana mziwanda
Sheikh unajichanganya ndio maana msimamo wako unayumba naomba wajue masheikh wa kisalafi ili uwafuate
Mara wewe salafiyah mara wewe sufi
Pia madhhebu yako ni imamu shafi nakuomba msome Imam Shafi vizur amewazungimza vipi Masufi kama kweli we Mshafi usufi utaukimbia
Allah akuongoze
Alisma pia huenda umesahau hebu fuatilieni vzr