Just love team wasafi wote ni maisha haya lzm tuwe creative Na bidii kwa sana wenye kuongea achaneni nao nice work team wasafi team Simba bby wng team jonijoo congrats to all never give up
Master Jay napenda interview yako and I like ur seriousness always its seems as u smoke phantom vile,,ila nimesikia umesema ushaacha,,,but nimecheka sana ulivyosema huwezi kutongoza,,,Big shout out to JONIJOOO
One of de best Show toka pindi limeanzaa Master kajiachia sana kweli utu uzima Dawa next time mapindi makalimakali kama haya yazinduliwe na Ma Senior sio kina #Gigy
naipenda sana hii show..nyie wasafi tafuteni wateja wenye tamthilia na maigizo muwe ..channel imejaa nyimbo asubuhi mpka jioni hadi inakera..alafu kipindi kizuri kama iki ipo j4 tu wiki nzima kwa siku 1 tena nusu saa..mnatunyima uhondooo
Yo #WASAFIMEDIA naomba niwapongeze sana sanaa kwa ubunifu wa hali ya juu sana ambapo tunaona kaz nzuri...Naiman mnatambua kua mnamashabiki wengi kutoka pande nyingi yaani nchi mbalimbali sasa kwa kuheshim ilo ningependekeza muweke SUBTITLES kwenye vipindi kama ivi ili watu wasioelewa Kiswahili wawapate fresh koz Lugha ya Kiingereza ndio international Language...ivo tu yan....your big fan
mhoji na muhojiwa wote nawapenda konki konki konki master J love youuu babaake
daaah ebhana eeee daimond hakufanya koxa kumchukua jonii jooo bonge ya creativity
Kweli kabic
Ila m naona kama hayuko free eti au macho yangu tu ukunguuuu😀
Kweli kabisa uyu jama anajua sana
Broo Jonijoo hii interview ni kali mno na ya kizazi sana. Hongera kwa jonijo kwa kuwa mbunifu na salamu zake mkubwa Master J
Hizi project zimeshafanyika sana usa sema wabongo hatutembei jamaa wanacopy kila kitu
INNOCENTZ WENCESLAUS Sasa kipi kipya chini ya jua.
Nowdays mtu unamodify. Ntajie kipya?
Jonijooo uishi miaka mingi bro I wish nitakuona live
Kiukweli umekua bora sana Jon joo umeboresha sana kipindi hiki binafsi nafurahia sana ubora wakipindi chako
Toka bartender imeanza hii ndo interview Kali afu nimefurahi kwakweli
Kabisa Asee
Bob unawaza ka mimi apa.
Kwel ile ya mwanzo sijui gigy cjui ilokiwaje
Zote kali
Jonijoo mtu nakukibl sn,
jonijooo...mbona.. unatembea..tembea...sana😂😂😂🔥🔥🔥🔥
nakubali.....wauni...sio...watu...wazuri
Just love team wasafi wote ni maisha haya lzm tuwe creative Na bidii kwa sana wenye kuongea achaneni nao nice work team wasafi team Simba bby wng team jonijoo congrats to all never give up
All the way from 🇱🇷
Tupo live na maisha
Muhuni anuniwi
Tusio na rasta tucomment wapi😁😁😁😁
Made my day best interview congrats jonijoo baba akoo
Ubunifu mzuri, location ya kibunifu
Master na ujuaji wake wote ' BSS' hapa kapatikana #muchLovefrom254
Sijui tapat wap like za jonijoo wahun sio wa2 wazur
Tv Show Kali Sana... Huu ubunifu nimeupenda mmetisha sanaaaa.
Jonijoo umetisha sana pindi adimu duniani🔥🔥🔥🔥🗣️🗣️bartenderrr
Kabla ya hii interview
Huyu jamaa nilikuwa namuonaga bishoo kinoma...
Kumbe yuko poa
Bartender mko vizuri,
Kama Mimi👊👊
This show is dope...love frm kenya🇰🇪
Master Jay napenda interview yako and I like ur seriousness always its seems as u smoke phantom vile,,ila nimesikia umesema ushaacha,,,but nimecheka sana ulivyosema huwezi kutongoza,,,Big shout out to JONIJOOO
Nilikuwa sina kitu cha kuangalia
youtube
thanks @wasafi_tv
Ogu 255 ❤
Nice interview.. Iko poa sana..ukitoka hapo lazma unakuwa umejifunza kitu
Master j naomba niulize. Kitu. Marlow yupo wapi saiz kapotea Sana. Alafu alikuwa nimtuwako muhimu. Sana whay master
Wanaokudharau siku moja watakuheshimu... Huyu jamaa alimdharau sana harmonize.. Leo anamheshimu! God is great
Hakumdharau bhana alimchana kweli na aliimba vibaya sana tena sana. Harmo wa siku zile na sasa vitu viwili tofauti
Master jay anajielewa sana,,hongera kaka,,,bonge la interview
Can't afford to boycott this episode ..254 tuko ndani
Tuko wengi
@@cynderellamokeira6648 hehee yea tuko ndani
Tuko hapa
Ebhana kama na wewe unatamani master j apige japo puff icho kinywaji chake gonga like
One of de best Show toka pindi limeanzaa Master kajiachia sana kweli utu uzima Dawa next time mapindi makalimakali kama haya yazinduliwe na Ma Senior sio kina #Gigy
Live😂 watutolee mapapa😂😂
Brother nakukubali sana master J natamani sana siku moja nikutane nawe
Master he's so Charming more blec
Nakubali Sana kaka
Much love much respect mr legend/pioneer master jay big inspiration 🎶💪💪💪
Uyu jama jupo makini sana kwenye kazi yake kbs yani kama alihisomea duuh big up bro
Anayekubali kuwa master Jay si mnywaji juice 🥤 piga hivi 👍👍👍👍👍👍
Kama unamkubali master j na jonijo babaako like hapa twende sawa
Rah san pale unapomalza kuanglia bongo dar es salam unakuja tena kweny bartender kushushia juice na joninoooo😂😂
Raha Sana 🇹🇿🔥🔥
😂😂😂😂💪💪
Willy Sekwa Tv 😊😊😊
Willy Sekwa Tv we unashushia au unakunywa kwa macho😅😅
Hivi hiki kipindi kinakuaga saa ngp?me huwaga nakiwahigi kipindi cha block89 tu
naipenda sana hii show..nyie wasafi tafuteni wateja wenye tamthilia na maigizo muwe ..channel imejaa nyimbo asubuhi mpka jioni hadi inakera..alafu kipindi kizuri kama iki ipo j4 tu wiki nzima kwa siku 1 tena nusu saa..mnatunyima uhondooo
Master jay,master beats,respect kaka
Master J,,noma snaa big up sana dingilay
Hii interview nimeikubali. Jamaa ana vibe xn
One of best interview in Tz this year
Keep it up Jonijoo
master jay sio mfuatiliaji wa mambo ya kijamii unafeli maswali madogo sana unaniangusha bro. loooh
Mm nakukubali sn bro unajuwa kuuliza maswali big up
tushamoka Sana sio wasasaivi so powa nimeipenda iyooo.
Big up sana #MastaJ umeifanya yaKibabe sana hiyo interview 😂😂😂😂
Heshima kwako Master nakuheshimu sana... Daaah noma sana
Ukiwa unarap sanaaa njoo nitakurecodia halafu tutasikiliza sebureni Ahahaha
Nakukubali sana master J
Yo #WASAFIMEDIA naomba niwapongeze sana sanaa kwa ubunifu wa hali ya juu sana ambapo tunaona kaz nzuri...Naiman mnatambua kua mnamashabiki wengi kutoka pande nyingi yaani nchi mbalimbali sasa kwa kuheshim ilo ningependekeza muweke SUBTITLES kwenye vipindi kama ivi ili watu wasioelewa Kiswahili wawapate fresh koz Lugha ya Kiingereza ndio international Language...ivo tu yan....your big fan
Show ya kibabe .....nimekubali sana master
Namkubal sana Master Jay yupo flexible poa sanaaaa. Mwanzo kanichkesha sana hapo eti kama dawa 😂😂😂😂
Jonijoo genius unaweza bro big up sanaa
Daaaah Wasafi mmepata kichwa Jonijoooo
Interview kali eneo kali noma sana
Bonge la show .. hongera jonijoo, hongera wasafi
Master j alikuwaga kiraza sana kila kitu hajui
Huyu master j anajielewa sana...
Ahahaaa love master j love jonijoo bonge l exclusive
Safi kabsa mmewahi kutupia kunako you tube
Mond ilifanya vizuri sana kumuleta Jonijoo uku interview iko🔥🔥🔥
❤❤❤❤Jonijoo...Ishi miaka mingiiiiiii aiseeeeee
Nimependa vibe la master Jay
Waheshimiwa njooo muone watu wanafeli 😂😂😂😂😂😂😂😂
Nimeipenda show for the first time...big show Master J vs Jonijoo
Love this show, amazing
Jonijoo muelewa mpaka unakera ❤️
Jonijoo mtu na swaga zake wcb for life gonga like hap
ija MASTER J akirudi kwenye GEMU atafanya balaaa sana thro game limebadilika
Nawatakienii kazii nzulii #wcb
Wauni siyo watu wazuri. Nice jonijoo your creativity brother keep itup.
😂😂😂 Eti Ata kutongoza Tabu 😄 Yani siwezi
Kwnn
Nakikubali Sana hiki kipindi ni cha kijanja sana
Apo mwisho kwenye maswali #Jonijoo unawaweza kweli adi Master Jay kafeli 😂😂😂😂😂 tunangoja #SalamaJabir
Jonijooo akuna kam ww bongoo br nakubar xanaa
Hatari sanaaa, Babakoooo
#Jonijooo una ubunifu mkubwa sana big up.
Kali sana
Ushauri waleteni ata wana michezo
😂😂😂😂😂
Jonijooooo unanikosha. Sana. Mzeeee
Jonijoo we noma sana
Kweli
Dah... one of the best... nimeifurahia
OYA JONIJO KIPIND KIJACHO TUNAMTAKA MZEE WA KONKI KONKI KONKI MASTER TORORO BOY
daaah mast umeniangusha hira nimependa maojiano yenu
leo nimeamini siku zote wanao kudharau siku moja watakusalimia kw heshima so Master J ulimdharau Harmonize sai unamkubali duuh maisha bana
Yamoto sanaaa mzeee .
kwa kweli wahuni sio watu wazuri......kipo hot
Daa nilikuwa Nataka nilale yaan nilipo ona master j nikaflai sana
Master j upo sawa sawa kabisa laity ingekuwa hivyo naamin tungepata wasanii na wanamuziki wa uhakika
Jonijo unajua Sana broo
The best episode .... Master J 👍🏽
Kipindi kizuri sana kwa kwel
Jonijoo marayakwanza nilichukiya Sana vipindi vyako ,,,lakini bahada ya wewe kuhingiya wasafi tv mmmmmm kizazi sana
Location ya kinyamwezi sana big up baba ako jonijoo
Simba hukukosea kumsajili jonijoo nampenda sana anaubunifu wa hali ya juu hongera jonijooooo.
hahahaha iyo ipo poa sana walauchoki kuangaliya leo amepatikana J
Jonijooo talent quy
Nimependa Interview so open.
Angalieni show acha kuomba likes 😏😏😏
For the first time I've had somebody talk sense 😂🤣
show kali
Hujawah niangusha joniijoo! Toka kweny now you know! Big up
WAHUNI SIYO WATUUU WAZURIIIIII WW TUKO LIVE NA MAISHAAA 😃😃😃😃
Wahuni sio watu wazuri,,,Baba ako Tupo live na maisha
Kwa hao mumble rappers master umenichekesha saana