Shukrani sana mwalimu. Mimi ni beginner najaribu kujifunza na nashukuru Mungu naelewa japo kuna changamoto za strumming, kuhama chords na pia kutengeneza mziki kwa chords nilizozishika
Ni somo la siku nyingi ila nilikuwaga napita tu kipande hiki ila kwa Mara yakwanza ndo naelew ingawa nimeanza kuhangaika miaka minne ila Leo ndo nimefunguliwa asnt bro
Nina shida ndogo, wakati piano inapitishwa kwa mfano chanya 2 kwenye ufunguo wa c na ninapojaribu kucheza gita kwenye ufunguo sawa wa c hailingani ninapojaribu kucheza solo au wimbo wa wimbo ukipigwa kwenye piano😭Na nahitaji helpppo pleaseeeeee
Na barikiwa sana na mafundisho yako ya gitaa yaani wewe ni mwalimu ninae kuelewa maana unafundisha pasipo ubinafsi
Asante sana ndugu,,, na wewe barikiwa pia,, nafurahi kusikia hivyo ndugu
Broo sauti ndogo sana hatusikii vizuri
Somo zuri unaeleweka sana
Love your lessons bro ............naomba finger picking styles
Poa ntaileta karibu tu
Ubarikiwe
Shukrani sana mwalimu. Mimi ni beginner najaribu kujifunza na nashukuru Mungu naelewa japo kuna changamoto za strumming, kuhama chords na pia kutengeneza mziki kwa chords nilizozishika
Sawa somo linakuja
👏👏👏 tunafirahi kaka! Shule iendelee
Asante ndugu kwa Uwezo wake Muumba ntafanya hivyo
Mungu akupe nguvu
Asante. Ndugu
somo zuri, ila jarivu kuprepare vizuri content upunguze muda. Asante.
Ni somo la siku nyingi ila nilikuwaga napita tu kipande hiki ila kwa Mara yakwanza ndo naelew ingawa nimeanza kuhangaika miaka minne ila Leo ndo nimefunguliwa asnt bro
Awesome
Ninahamu SANA ya kulijua mwanzo mwisho
Utajua tu ndugu zidi kufanya mazoezi
Kaka elfas unaenda haraka kwenye ushikaji wa mfumo wa Namba nakuomba uende Pole pole
Ok ndugu
Mimi nataka unifundishe live
Nini hata unataka kujua kuhusu live
Asante sana mwalimu,sasa naomba unioneshe namna ya kushike hatua zote kuanzia ya 1 Hadi ya 7 ikiwa unapigia kwenye fret ya 6
Sawa..upo?
Brother bdo sijajua gtaa Ila kwa apa ulipo nifikisha asant
Asante ndugu
Broooo auna group la kufundishia
Unamaanisha la whatsapp?
@@Eli_Music ndiyo kaka
Nalifanyia kazi
Tunapokea shule
Asante ndugu usisite kunijulisha nini ungependa nikifanyie somo
Nina shida ndogo, wakati piano inapitishwa kwa mfano chanya 2 kwenye ufunguo wa c na ninapojaribu kucheza gita kwenye ufunguo sawa wa c hailingani ninapojaribu kucheza solo au wimbo wa wimbo ukipigwa kwenye piano😭Na nahitaji helpppo pleaseeeeee
Angalia video hii na mfululizo wake th-cam.com/video/da3Tgc8ui4U/w-d-xo.htmlsi=AeArZOjMYOfr4X9n
hellow