Asante Sana na Hongera Sana mungu. Akupe maono meng naakuangazie Baraka nimekuona napatikana Dodoma napenda Sana soro mipigo yako nimevutiwa uko nchi gan
nafurahi kusikia hivyo ndugu tuzidi wasiliana kuhusu solo ili tuleteane mafunzo zaidi mimi kwa ss niko johannesburg south africa na wewe ubarikiwe ndugu
Mwalimu nimefarijika sana kwa masomo yako na nimekuwa mfuatiliaji wa ufundishaji wako Mungu akubariki sana. Shida yangu kubwa sasa ni kupata vidio zako za masomo unayo yafundisha nitazipataje ili niingie moja kwa moja kujifunza pale nipatapo nafasi ya kufanya mazoezi
Kwa ss kama umesabscribe tayari nenda kwenye profile yngu kwa juu utaona sehemu umeandikwa videos kisha itakuonyesha vidoes zote zangu ns kama unataka masomo maalumu basi acha namba yko ntakucheck
Kaka Eli Phaz ahsante sana. Niko TZ aisee nimekuelewa mno. Nimekuwa nikipiga music ni miaka thelathin sasa. Lakini ni very local haswa. Nitaendelea kufuatilia. Naitwa Abiud +255755661039
Happo sawa ndugu. Asante sana
Uko vizuri.nilianza kujifunza kinanda.naomba mwalimu mawasiliano zaid
Unaeleweka
Mwalimu. Hongera sana
Excellent !
Thanks 🙏
Asante Sana na Hongera Sana mungu. Akupe maono meng naakuangazie Baraka nimekuona napatikana Dodoma napenda Sana soro mipigo yako nimevutiwa uko nchi gan
nafurahi kusikia hivyo ndugu tuzidi wasiliana kuhusu solo ili tuleteane mafunzo zaidi mimi kwa ss niko johannesburg south africa na wewe ubarikiwe ndugu
Bsrikiwa sana mwalimu
Am wewe pia
Superb ?
Mwalimu kamili... Ahsanti sana kaka
Na mi nashukuru sana kabisa MUNGU awazidishie
barikiwa sana
Na wewe pia ndugu
nakuelewa sana mwalimu
nashukuru sana ndugu
Asante sana mwalimu you’re the best
Be blessed
I like your class
brother upo vzr,huwezi amini ndio mara ya kwanza nimejifunza leo lakini nimekuelewa balaa Mungu akutunze na kukubariki,nasubiri part II
Nashukuru sana
Assante sanakabisa mimini nimkongomani napenda nijifunzekabisa napenda kinandasana mubarikiwesana naaminikupitiya nyinyi tutajuwa nitakufwata sikukwasiku assantesana
Asante ndugu
Nashukulu sana sasa najifuza mziki kiganjani kwangu mwalimu endelea kutupa ujuzi mwengene
Sawa ndugu
Nimejaribu sana mkuuu tafadhali nahitaji zaid mafunzo kiongoz
+27658918501
@@Eli_Music mbn sikupat
Niko South Africa kwa hiyo ipige ilivyo au nicheck kwenye whatsap
Asant
Mafunzo Yako ni mema sana bro
Asante ndugu
EL PHAZ pamoja sana nimekuelewa sana mwalimu wangu
Asante
Mwalimu nashukuru sana umenisaidia,naweza kupata Somo linaloendelea
Po kwa video ipi? Niendeleze
Braza nakukubari
MUNGU AKUBARIKI
Napenda muziki kupita maelezo ila sikubahatika kupata nafasi ya kujifunza lakini bado sijakata tamaa asante sana
Mziki huna umri bali tu kiwango cha mda utiapo katika mazoezi yako tu
Nakukubali sana kiongozi nilikua napenda siku moja nije kwako unifunze music
Mda wowote ukiwa tayari nijulishe ndugu
Nimeanza Leo kujifunza Gitaa Asante.
Safi sana ukikwama nambie
Asante mwalimu kwa somo zuri,naomba kujua ni kwa nini B na E hazina sharp kama ilivyo kwa herufi nyingine?asante
Nimependa mafundisho yako naona mabadiliko chanya.ila mi mkono wangu wa kushoto unakuwa mzito kuama umbali mrefu toka kwenye moja kwenda nyingine
Mwalimu nimefarijika sana kwa masomo yako na nimekuwa mfuatiliaji wa ufundishaji wako Mungu akubariki sana. Shida yangu kubwa sasa ni kupata vidio zako za masomo unayo yafundisha nitazipataje ili niingie moja kwa moja kujifunza pale nipatapo nafasi ya kufanya mazoezi
Kwa ss kama umesabscribe tayari nenda kwenye profile yngu kwa juu utaona sehemu umeandikwa videos kisha itakuonyesha vidoes zote zangu ns kama unataka masomo maalumu basi acha namba yko ntakucheck
Nimekuelewa kbsa
Amani ndugu
Amani
Nimejitima sana kwa haya majifunzo but kidogo kuunganisha nyimbo imekuwa gumu
Ngoja nifundishe nyimbo ambayo ina kodi hizo
You're a good teacher
Am humbled my brother,, n thsnks fr yr support
Kaka Eli Phaz ahsante sana. Niko TZ aisee nimekuelewa mno. Nimekuwa nikipiga music ni miaka thelathin sasa. Lakini ni very local haswa. Nitaendelea kufuatilia. Naitwa Abiud +255755661039
tutawasiliana
amani ndugu
Eli phaz nashukur kwamafunzo mazuri lakini kdgo jinsi yakupga mkono wakulia asante sana
Mungu akubali maana tunapenda kupinga gitaa la tunashindwa tuazie wapi Asante sn
Na mi nashukuru sana kunisapport na kama kuna somo lolote ungelitaka kujua basi nijirushe ntalifunza
Unafundisha vzr fanya mpango wakutuachia namba zako za WhatsApp kwenye comment
Mwalimu naomba SoMo la pili
Om iko njiani
Naomba no zako za what's up mwalimu
+27658918501
duh bado ila najaribu
Unapatikana wapi
Niko south africa
kaka nimekuelewa uko vzuri sana .
ila waambie kwamba ili kuweza kutambua hizo not kirahs lazima wafany zoez sanaa
Ok ok ntafanya hivyo ndugu,, asante kwa wazo
Somo limekua Nzuri naweza Pata gita Nzuri ni aina gani.
Yapo mengi mazuri inategemea na mfuko wako kwanza
Hembu namba za watssp nikutafute kiongoz
+27658918501
@@Eli_Music ntanunua Gita mwalimu nikutafute
Nahitaji namba yako mwalimu tuwasiliane Nahitaji darasa
+27658918501
Someone has to teach you how to teach.
I will appreciate that
Sioni subscribe